ALIVYOPATIKANA KADINALI RUGAMBWA/ MAPADRE KUOA?/ PADRE AFIA HOTELINI/ MAJUKUMU YA KADINALI HAYA HAPA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 51

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад +5

    Majibu yaliyoshiba, ametulia, hashambulii imani nyingine. Ahsante Fr Kitima.

  • @ImeldaMutayoba-dy3vw
    @ImeldaMutayoba-dy3vw Год назад

    Majibu yaliyo safi yaliyo ya ukweli yametulia ubarikiwe Fr Kitima

  • @melchadesmagongo4185
    @melchadesmagongo4185 Год назад

    Few among brilliant brains we have, Congratulations Dr Kitima, Hongera Mtangazaji kwa kuuliza mambo ya msingi

  • @SrMariaLauda
    @SrMariaLauda Год назад

    Hongera sana Fr kwa umakini wako katika kujibu maswali yahusuyo Kanisa

  • @ulircktarimo5869
    @ulircktarimo5869 Год назад +1

    Majibu mazuri father Kitima

  • @Ochuwixe0729
    @Ochuwixe0729 Год назад +1

    makini sana fr kitima,mungu akuongoze vyema

  • @wilbrodtungaraza6204
    @wilbrodtungaraza6204 Год назад

    Hongera Sana Baba Kitima kwa kazi nzuri

  • @VennyMkokw-so2qy
    @VennyMkokw-so2qy Год назад

    Saf sana majib simple and clear

  • @poncegk5263
    @poncegk5263 Год назад +1

    Well done kwa ufafanuzi mzuri

  • @cosmaswilliam3805
    @cosmaswilliam3805 Год назад

    Mungu ni mwema.

  • @kalegapeter2715
    @kalegapeter2715 Год назад

    Congratulations

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Год назад

    Good job wajina

  • @ElvinyGodfrey
    @ElvinyGodfrey Год назад

    Ahsante kwa helimu hiyo

  • @nanfukatheresa2802
    @nanfukatheresa2802 Год назад

    Asante baba kwaufafanuzi

  • @BenedictaMallya
    @BenedictaMallya Год назад

    Asante FR

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Год назад +1

    Fr. Kitima upeo wako wa kiakili wa kutafakari mambo na kujenga hoja za kimantiki ni mvuto wa namna take!

  • @robertmujuni4102
    @robertmujuni4102 Год назад +1

    15:11 n

  • @subilaadam4179
    @subilaadam4179 Год назад

    good work

  • @AlllyMtemi
    @AlllyMtemi Год назад +2

    Makao makuu Vatcani sehemu ambayo hata Nabii Issa hakuwahi kukanyaga na Vatcani hata ndani ya bibilia haimo, yaani ni UMAFIA mwanzo mwisho

  • @charlesgasper-wo9hc
    @charlesgasper-wo9hc Год назад

    Watoto wamkatoriki wanaoa sawa lakini ndoa zawachungaji familia zao zinapoingia kwenyematatizo ya kibinadamu sawa nawaumini wake alio wapawosia wakaenikwa amani namengineyo mengitu. Wakatoriki wako vizuri. Wao kanisa ndiyo nyumba yao waumini ndiyo watoto wao excellent job catholic churches.

  • @michaeldady1767
    @michaeldady1767 Год назад +1

    Professional presenter

  • @soudia9084
    @soudia9084 Год назад

    Mnaikh8ni miili yenu ndio maana kuna mashiga wengi duniani mnajidanganya na knadanganya waumini wenu.

    • @sarafinafranci8481
      @sarafinafranci8481 Год назад

      Wewe ndo unajidanganya maana hakiri mgado.

    • @soudia9084
      @soudia9084 Год назад

      @@sarafinafranci8481 mimi nimeolewa, Vipi najidanganya wanakamatiwa magesti, Ni wakati wa kuamua watafute wake wakawa na furaha ,

  • @robertmujuni4102
    @robertmujuni4102 Год назад

    Tunamwombea Cardinali Mpya awe na ujasiri wa kukemea mabaya bila kuogopa mahali popote anapouona na kuusikia

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 Год назад +1

    Huyu mwanasheria mbobevu. Tunashukuru kumleta

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 Год назад +1

    Utume mwema Baba karidinari Protas Rugambwa

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад

    Hujaona waliooa wakizini,wengine wakifia gesti wakiwa na mademu wao.

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Год назад +4

    Hata watu waliooa wanaanguka katika uzinzi

  • @josephkahindi1713
    @josephkahindi1713 Год назад +1

    Uyu rugambwa na yule rugambwa aliefariki ni ndugu????

    • @kanyeshahigirimana5686
      @kanyeshahigirimana5686 Год назад

      hapana ila huyu alipewa jina tu na yule Cardinal nwenye jina lake kabisa baada ya kuzaliwa
      ila sio ndugu hata kidogo maana yule wa kwanza ni muhaya na huyu wa pili ni mnyambo.

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 Год назад

    Lakini hii ni tatizo liangaliwe upya na kutiliwa mkazo mapema wanapotaka kuwa katika hali hiyo wawe makini maasikofu wao kuwazibiti.fikiria father padri anazini na mtoto wa miaka 12 mtamwokoaje huyu mtoto kiroho?.mimi nashukuru kwa kuwa padri aliniomba mapenzi nikiwa mtu mzima na nilikuwa nimeiva kiimani nilipambana nanilifanikiwa .kwa wale waumri mdogo fr. Mnawaua kiroho bora mfanye punyetu ujijuwe wewe na Mungu wako.watoto mnawaua kiroho hadi kwa watoto wao. fr. Hili litawagalimu na limeshawagalimu Kwa Mungu kisha kufa.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Год назад

      Naukumbuke hao ni binadamu na wote hawezi kuwa watakatifu haiwezekani kamwe. Upandre haulazimishwi bali mtu unachagua mwenyewe note hii

    • @stevenghambi3471
      @stevenghambi3471 Год назад

      Kwahio walioowa hawakutongozi

    • @saimalunde4002
      @saimalunde4002 Год назад

      Hivi unajua kila kitu ni tabia ya mtu wewe alivyokutaka huyo father kwani alikutaka kitima hafi uje u comnent kwake ipo hivi hata sisi tunsoish msisha ya kawaida tunatofautiana kuna wansozini na wasio zini kwahiyo hta mapadre wapo wema nawachafu kikubwa nikuombeana maaana dhetani ana nguvu

    • @maryaugustino8716
      @maryaugustino8716 Год назад +1

      Namshangaa huyu dada😮 duniani kote hata wachungaji waliobobea mnao waita watakatifu madhambi mangapi wanafanya? Nyie mmeona mapadre tu. Kanisa Catholic ni kanisa lenye nguvu sana. Karibu uonje utakatifu

  • @jesuslove2205
    @jesuslove2205 Год назад +1

    Presenter mzuri

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane Год назад

    Kwanini hajawahi tokea papa mweusi? Wakati Papa anaabudu kwenye sanamu ya bikira maria mweusi?

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 Год назад

      Pole maskini wa uelewa!

    • @erickmbogoro6738
      @erickmbogoro6738 Год назад

      Dr. Fr. Kitima yupo vizuri sana na hata akiwa VC wa SAUT alikuwa vizuri sana.

  • @soudia9084
    @soudia9084 Год назад

    Bora nyote muoe badala ya kufNya haramu na kujidanganya nafsi yako.

    • @jacklinebarthazary6278
      @jacklinebarthazary6278 Год назад

      Kwan walio kwenye ndoa wenyewe hawaanguki kwenye zambi ya uzinzi?mbona wapo kwenye ndoa nabado wanashindwa padri pia ni binadamu kazaliwa na mama na baba kwaiyo tusipende kuwaukumu

    • @maryaugustino8716
      @maryaugustino8716 Год назад

      Kwani nyie inawahusu nini? Mbona mnaendelea kuishadadia dini yetu? Mbona hao mashekhe mangapi mabaya wanayo fanya? Kuna walimu wa madrasa wanafanya sivyo watoto wa madrasa mbona sisi hatuongei? Tena nyinyi ndio mnanuka ufilauni na mtachomwa sana siku ya kyama