Nampenda Sana huyu Baba, Asanteni jugo media kutukumbusha furaha hii. Nilikuwa darasa la nne tulisikiliza misa yake kwenye radio tukiwa misa yetu ya kipindi cha dini. Padre Edwin apumzike kwa amani, Mtakatifu Yohane Paulo wa pili utuombee. Nimefurahi Sana
Hakika tulipata baraka sana ktk nchi yetu kutembelewa na kiongozi mkubwa kabisa kabisa duniani,ulimwengu wote ulikuwa ukifuatilia ujio wake,ni Mtakatifu hasa,alikuwa na nguvu za ajabu alipita karibu yangu mwili wangu ulitokwa na jasho ghafla,pumzika kwa amani Baba Mtakatifu Yohane Paul wa Pili.
Mzee Mwinyi alichokifanya kumpokea kiongozi wa mkuu wa wakatoliki duniani ni ukomavu wa uongozi na imani yake. Aombewe maisha mzee wetu na viongozi wetu wa sasa wapate cha kujifunza.
Mungu asante. Nchi yetu ilitembelewa na Mtakatifu tuliyeishi naye. Mtakatifu Baba Mtakatifu John Paulo wa pili utuonbee. Nchi yetu imebarikiwa sana kwa makuu haya. Nimefurahi sana Kwa kumbukumbu hii. Asante kwa waliyotuletea hii.
Dah... Kifo bhana, hakika aridhi inameza kwa kweli asilimia zaidi ya 80% walioko hapo wako katika nyumba zao za milele. (wako kwenye mashimo ya makaburi.)😢😢😢😢😢
Mt. John Paul wa pili utuombee Mungu aendelee kukubariki mzee wetu Ally Hassan Mwinyi! Kiongozi halisi uliewapeleka watu wako kwa Mungu na sio kwenye dini! Hakika umebarikiwa
we jipeleke kwa Mungu ...uombewe nn kwani Mungu atakusikia kwa niaba y'ako .......a u tired u can't go to God by ua self or u think this pop has the front seat in heaven 🤔🤔
Ndiyo maana tunabarikiwa Tanzania.Tunamshukuru sans Mungu kwa kutupa tunu tuliyopata mwaka 1990. Baba huyo sasa ni Mtakatufu. Mungu alitupendelea sana. Asante Mungu.
shetani ushindwe kwa jina la Yesu ......na uangamizwe milele na milele .mbinu na njoa zako twazijia ....wenye hekima tu ila wabumbafu watasema ety mtakatifu cjui nani awombee .ni kweli maandiko yanavyosema uko duniani na ako na mamlaka makubwa anayemkufuru Mungu kwa jina la mtakatifu na anasema anaweza kusamahe dhambi .na watu wa ulimwengu ambao majina yao hayapo katika kitabu cha uzima watamsujudu mtu huyo😢😢😢😢
@@manyamabenedictor1795 akusamehe pia kwa kutokujua ....juu sio makosa y'ako n umeipenda dini Sana kuliko kujijengea msimamo wako na biblia y'ako unangoja kusomewa na viongozi wa dini lako ulidhani yesu anashuka kulichukia dhehebu ama dini fulani pole ?
Wew naye uncle Jonauh sijui ni wa wapi! Yaani unajiona wew ndo Malaika mkuu, na kwamba wew unamjua Mungu na watu wengine woote hawamjui ispokuwa wew🤔! Unakufuru kwa kuwadharau wengine na kuwakebehi mitume wake. Ndiyo maana Kagame kaweka sheria za kulazimisha kila anayetaka kuanzisha kanisa walau awe na shahada ya theolojia maana uelewa wenu naona ni shida. Ulishawahi kuona au kusikia wao wakiwakebehi ninyi? Au wew ndiye Yesu unayehukumu wadhambi? Shame on you.
@@unclejonah7350 Sasa wew unayejisomea na huelewi kitu chochote, si afadhali anayesomewa na kuelewa? Sasa wew unajua nin ktk biblia tofauti na kejeli? Ungelikuwa unajua hata kitu kidogo tu, ujuzi au ujuvi huo ungelijionyesha ktk hekima! Au wew mungu wako anakaa ktk madharau na kebehi kwa wengine?
@@samsonfulgence5553 huyu sio mtume wa Mungu sababu anajiita yesu na yesu sio binadamu najua hilo huwezi elewa sababu umeshajizoesha kuwa elimu ya vitabu na shahada ndouelewa wa biblia ..........hapo tu yaonyesha u have a low self esteem so ua urguments are based on how u love ua dini ....nothing in ua mind is based in the bible
Wasabato ni wafuasi wa wayahudi walimwua Yesu mnadondosha mate usiku na mchana kulipinga Kanisa Katoliki lkn mbona hamfikii hata robo ya Wakatoliki mmelaaniwa ninyi
Mt.Yohani Paulo wa LL hautasahaulika Tanzania. Utuombee Kwa Mungu Na Mama Bikira Maria. Nchi yetu Iendelee kuwa Na Amani. Amina.
Nampenda Sana huyu Baba, Asanteni jugo media kutukumbusha furaha hii. Nilikuwa darasa la nne tulisikiliza misa yake kwenye radio tukiwa misa yetu ya kipindi cha dini. Padre Edwin apumzike kwa amani, Mtakatifu Yohane Paulo wa pili utuombee. Nimefurahi Sana
Saint John Paul II Pray for us sinners
Tulipata baraka ya pekee asantè sana Mh,Ally Hassan ,kwa kutuletea Kiongozi mkubwa sana sana duniani Mungu akubariki Amina.
Hakika tulipata baraka sana ktk nchi yetu kutembelewa na kiongozi mkubwa kabisa kabisa duniani,ulimwengu wote ulikuwa ukifuatilia ujio wake,ni Mtakatifu hasa,alikuwa na nguvu za ajabu alipita karibu yangu mwili wangu ulitokwa na jasho ghafla,pumzika kwa amani Baba Mtakatifu Yohane Paul wa Pili.
Ilikuwa baraka na shangwe kubwa hapa kwetu Tanzania!asante Yesu!❤
Ziara iliyotukuka ya mtakatifu yohane Paulo wa Pili. Hongera mzee Ali Hassan kwa kumleta nchini
Asante Mungu kuanzisha Kanisa moja, Takatifu, Katoliki, la Mitume.
Mzee Mwinyi alichokifanya kumpokea kiongozi wa mkuu wa wakatoliki duniani ni ukomavu wa uongozi na imani yake. Aombewe maisha mzee wetu na viongozi wetu wa sasa wapate cha kujifunza.
Kabisa Mzee mwinyi nilimkubal
Ni nchi ya Tanzania tu ndo Alitembea kwa AMANI,Kuliko nchi zote Alizotembelea,MWENYEZI MUNGU AMLEHEMU PAPA J,II 🙏🙏🙏
Ilikuwa baraka na shangwe kubwa hapa Tanzania!thanks God!
Mungu asante. Nchi yetu ilitembelewa na Mtakatifu tuliyeishi naye. Mtakatifu Baba Mtakatifu John Paulo wa pili utuonbee. Nchi yetu imebarikiwa sana kwa makuu haya. Nimefurahi sana Kwa kumbukumbu hii. Asante kwa waliyotuletea hii.
Asante kwa wewe uliyoirusha
Ilikuwa ni baraka kuu daima Kwa Tanzania, wajibu wetu kuenzi historia ya nchi yetu,kulilinda kanisa katoriki wengi wanapotosha Imani ya kweli.
"Mungu ibariki Tanzania na watu wake"
Dah... Kifo bhana, hakika aridhi inameza kwa kweli asilimia zaidi ya 80% walioko hapo wako katika nyumba zao za milele. (wako kwenye mashimo ya makaburi.)😢😢😢😢😢
Vile vitenge nilikuwa navyo. Kalibu mgeni wetu tanzania
SAINT JOHN PAUL PRAY FOR UNITY IN EAC.AMEN
Mungu atukuzwe. So nice
Mtakatifu Yohane Paulo II Utuombee. Ilikuwa Baraka kubwa kwetu.
Naunganisha nawe
Mt. John Paul wa pili utuombee
Mungu aendelee kukubariki mzee wetu Ally Hassan Mwinyi! Kiongozi halisi uliewapeleka watu wako kwa Mungu na sio kwenye dini! Hakika umebarikiwa
Good memory, thank you Jugo media, be Blessed
Mt baba John Paul wa pili,utuombee,endelea kuombea amani ya Tanzania!
Mh.mzee wetu Hassan Mwinyi utawala wako.ulokuwa wa baraka sana. Ulimkaribisha Mtf wa.karne yetu ukala nae na mazungumzo naye. Bahati iliyoje?
Ubarikiwe Mh. Ali Hasan Mwinyi kwa kumpokea St.John Paulo nchini ktk utawala wako
Tanzania taifa la kuigwa .kiongozi mwisalamu mgeni mkatoliki.
Yes alikuwepo.
Oh so nice St John Paul pray for us , Rugambwa pray for us
we jipeleke kwa Mungu ...uombewe nn kwani Mungu atakusikia kwa niaba y'ako .......a u tired u can't go to God by ua self or u think this pop has the front seat in heaven 🤔🤔
The way he picked up those small children kwa miguu ya polisi. Amazing
Hii ni baraka Kwa wtanzania Kwa nyakati zote Mt yahane 2 utuombee
Atakumbukwa sana sana hapa tz enzi hizo nasoma darasa la nne 4
Kumbe teckonolojia ya picha ilikua ya rangi kwa wenzetu ,rest in pop yohann &bishop rugambwa
Nilikuwa Mnovisi mwaka was kwanza, tulikuwa tunasikiliza redio tulijawa na furaha isiyopimika.
Hivi unabii unasemaje .. juu ya mtu mwenye cheo na mamlaka ya upapa... Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
Tunakuombea wewe uweze kujijua
@@MkatolikiDaimaTv Amina Ubarikiwe
JOHN PAUL II PRAY FOR US
Ujio wa Papa yohane Paulo wa pili
Ilikuwa bahati ya pekee na sidhani kama itakuja kurudia tena kwa mwenendo tulionao sasa hivi nchi yetu imezungukwa na shetani kila kona
MUNGU ATUKUZWE MILELE 🌎
Papa paul wa pili prayers for us
Daaa, watu mnapekua, mpaka hii clip mnayo?, hongereni!.
Papa mwenye historia ya kipekee
Nimemuona Hayati Askofu Amedeus Msarakie
He was amazing man
Mungu bariki tanzania
Can we get a part two of this
MT YOHANE 2 UTUOMBEE
Ni huyu mtakatifu john paul wa 2 aliyefika Tanzania utuombee ss na Taifa letu.
Nakumbuka hili tukio hapo Kurasini
Mambo ya miaka ya 1990
Baba mtakatifu utuombee
Mapokez yalikuwa hafifu san hat jukwaa halikujengwa ona upepo unavowasumbua
Kwa mwaka tisin hiyo ni babkubwa
Ndiyo maana tunabarikiwa Tanzania.Tunamshukuru sans Mungu kwa kutupa tunu tuliyopata mwaka 1990. Baba huyo sasa ni Mtakatufu. Mungu alitupendelea sana. Asante Mungu.
Mkanda wa ujio wa Papa ulipotea ndani kwetu
Uwo mwaka nilikuwa na umri wa mwezi mmoja tu tangu nizaliwe
John Paul
MATHATO 15:8-13
Kama nimemuona Anna Makinda?
JP 2
Pope
Hiyo Park iko wapi?
Hii ya lini 🤔
1990
@@JugoMedia Na HAPO NDO TULIPOBALIKIWA TAIFA LA TANZANIA
Ujazaliwa...
@@sumayasumaya6455 😄😃😀😛😛😜
Siku nyingi tangu tar 1 / 9 / 1990 ujio wa papa tanzania
HANA BARAKOA 👏👏🙏🙏🙏
Hiyo sio LEO,
Enzi hizo hakuna ,it was Corona,free country,
Hahaha barakoa Tena? Mwaka 1990 mwaka ambao hata marehemu mwl. Nyerere alimvulia kofia mzee Mwinyi kwa uthubutu aliouonyesha wa kumleta nchini.
Mwaka 1990
shetani ushindwe kwa jina la Yesu ......na uangamizwe milele na milele .mbinu na njoa zako twazijia ....wenye hekima tu ila wabumbafu watasema ety mtakatifu cjui nani awombee .ni kweli maandiko yanavyosema uko duniani na ako na mamlaka makubwa anayemkufuru Mungu kwa jina la mtakatifu na anasema anaweza kusamahe dhambi .na watu wa ulimwengu ambao majina yao hayapo katika kitabu cha uzima watamsujudu mtu huyo😢😢😢😢
Wewe wajiona mwenye hekima ,MUNGU akusamehe kwa maana haujui usemalo.
@@manyamabenedictor1795 akusamehe pia kwa kutokujua ....juu sio makosa y'ako n umeipenda dini Sana kuliko kujijengea msimamo wako na biblia y'ako unangoja kusomewa na viongozi wa dini lako ulidhani yesu anashuka kulichukia dhehebu ama dini fulani pole ?
Wew naye uncle Jonauh sijui ni wa wapi! Yaani unajiona wew ndo Malaika mkuu, na kwamba wew unamjua Mungu na watu wengine woote hawamjui ispokuwa wew🤔! Unakufuru kwa kuwadharau wengine na kuwakebehi mitume wake. Ndiyo maana Kagame kaweka sheria za kulazimisha kila anayetaka kuanzisha kanisa walau awe na shahada ya theolojia maana uelewa wenu naona ni shida. Ulishawahi kuona au kusikia wao wakiwakebehi ninyi? Au wew ndiye Yesu unayehukumu wadhambi? Shame on you.
@@unclejonah7350 Sasa wew unayejisomea na huelewi kitu chochote, si afadhali anayesomewa na kuelewa? Sasa wew unajua nin ktk biblia tofauti na kejeli? Ungelikuwa unajua hata kitu kidogo tu, ujuzi au ujuvi huo ungelijionyesha ktk hekima! Au wew mungu wako anakaa ktk madharau na kebehi kwa wengine?
@@samsonfulgence5553 huyu sio mtume wa Mungu sababu anajiita yesu na yesu sio binadamu najua hilo huwezi elewa sababu umeshajizoesha kuwa elimu ya vitabu na shahada ndouelewa wa biblia ..........hapo tu yaonyesha u have a low self esteem so ua urguments are based on how u love ua dini ....nothing in ua mind is based in the bible
Pope yohone Paulo wa pili utuombee nikiona hizi picha zako huwa nalia
Hivi, naomba kueleweshwa; kwani Papa anapigiwa saluti na yeye sio kiongozi wa nchi? Ni kiongozi wa dini
Vatican City inatambulika kama nchi,na papa ndiye kiongozi wa hiyo nchi
Na ina kiti cha kudumu UN...
Utuombee
Mnyama kwenye aridhi ya tz ufunuo 13
Mnyama wewe...
Wasabato ni wafuasi wa wayahudi walimwua Yesu mnadondosha mate usiku na mchana kulipinga Kanisa Katoliki lkn mbona hamfikii hata robo ya Wakatoliki mmelaaniwa ninyi
Usabato umejaa fitina,kutukana makanisa mengine pamoja na uzushi na uongo uongo tu.