Familia zaidi ya 40 zaachwa bila makao Bamburi, Mombasa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 июл 2024
  • Familia zaidi ya arobaini zimeachwa bila makao huko bamburi seven star kaunti ya mombasa baada ya nyumba zao kubomolewa usiku wa manane chini ya ulinzi wa polisi licha ya suala hilo kuwa mahakamani. Waathiriwa wanadai licha ya kutumia taasisi za serikali kutafuta haki, mabwenyenye wameendelea kutumia magenge ya wahuni kubomoa makazi yao na kupora mali.

Комментарии • 56

  • @mwinyijuma2686
    @mwinyijuma2686 13 дней назад +3

    Hawa sio wenyeji Bali ni wavamizi tuu.

  • @omurogaro6768
    @omurogaro6768 13 дней назад +3

    Waizi wa viwanja kama hauna karatasii ondoka kwa watu acheni kupenda vya bure

  • @andrewagwenge6597
    @andrewagwenge6597 13 дней назад +3

    Hehe this woman saying amekaa hapo 20years na hizo vitu wamejenga 1 month ago .Na huyu reporter wa citizen should get facts right ,unaona hataki kuonesha the rest of the field .

  • @user-bf7ph3dc5o
    @user-bf7ph3dc5o 13 дней назад +3

    Km mmedhulumu watu ondokeni kwa amani , km hamjadhulumu mtu na mko na vibali vya hio aradhi serikali itamtetea bila shaka

  • @bornlychula7043
    @bornlychula7043 13 дней назад +6

    Acheni kugrab shamba za wenyewe period

    • @BMboss108
      @BMboss108 13 дней назад +1

      Hapo sasa..uwa ni squatters wana vamia.shamba za watu

    • @sturbbornvideoz8547
      @sturbbornvideoz8547 13 дней назад +1

      Acha ufala kuma ww, why should they not come afternoon?

    • @DavisrubiroKariuki
      @DavisrubiroKariuki 12 дней назад +1

      Hii ni grabbed land wamekua wakifukuzwa kutoka kitambo but hawaskii

  • @YusufMwalimu-nu4no
    @YusufMwalimu-nu4no 11 дней назад +1

    FRANSIS MTALAKI UKIHOJI HAWA WAULIZE KAMA WANA KARATASI HAIWEZEKANI WATU MIA WARITHI SHAMBA MOJA KWA NI NDUGU WA DAMU WOOTE
    WATOE MOTHER TITLE KUONYESHA WAMEGAANYIWA AM WAMENUNUA

  • @user-yc4fe3qt4q
    @user-yc4fe3qt4q 13 дней назад +8

    Kenya hii mnyonge hana haki mungu ndie hakimu mkuu😢

    • @user-nw5cl1jz8h
      @user-nw5cl1jz8h 13 дней назад +1

      Hawa wakipata shamba lako wazi wanaingia na kuzipiga bei, tunawajuwa, grabbers hawa

    • @jmansule7884
      @jmansule7884 13 дней назад

      Nawajua hawa ni ma grabas

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 13 дней назад +2

    Hii kenya kweli mimi hata sijui kuwa linaelekea

  • @abdulazizkilai7285
    @abdulazizkilai7285 13 дней назад

    Tumeishi hapo miaka hamsini hata Babu zetu walizikwa hapa😂😂😂😂

  • @user-nw5cl1jz8h
    @user-nw5cl1jz8h 13 дней назад +1

    Hapa ni utange, next to pastor lai church, walivamia hii shamba last month,

  • @achibelatotolakijaka4687
    @achibelatotolakijaka4687 13 дней назад +2

    Halafu hamtaki maandamano itabidi wakenya mujiunge this is very bad

  • @athmanhamza4898
    @athmanhamza4898 13 дней назад +1

    Ardhi sio yenu mwafanya nini hapo???

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 13 дней назад +1

    Sasa saa hii tajiri ya kiliya anasikizwa lakini maskini yeye hana haki yoyote haya kiongozi mliyemchagua huyo zakayo anaharibu kila kitu

  • @douglaskhakamemindoti3455
    @douglaskhakamemindoti3455 13 дней назад +1

    I thought DP was clear that Night Eviction was stopped

  • @YusufMwalimu-nu4no
    @YusufMwalimu-nu4no 12 дней назад

    Mkihoji wanyika kama Hawa wauluzeni kama wanakaratasi ni waongo wagiriama Kila maali wao wanavamia wakidai ni kwao hata sisi wamevamia shamba yetu na maneno ni hayo hayo

  • @rispaamollo7056
    @rispaamollo7056 13 дней назад

    Tuombe Mungu atuondolee hii serikali ya RUTO. Wanasiasa wananyakua mashamba.

  • @timothyonyango9
    @timothyonyango9 13 дней назад +1

    Why at night honestly. The responsible person should be in custody by now but since he or she has bribed the government no justice for the poor.

  • @mwikalijosephine5178
    @mwikalijosephine5178 13 дней назад +1

    People taking advantage over others , Kenya is loosing control

  • @AnkoLolo-mv5bk
    @AnkoLolo-mv5bk 13 дней назад +1

    Serikali gani na hamuitambui wakenya

  • @hanhans3276
    @hanhans3276 2 дня назад

    Uongo tu..

  • @brendaakinyi7774
    @brendaakinyi7774 10 дней назад

    Usikuwe ni solai estate maana nitakufa tu lol

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 13 дней назад +1

    Musha uza shamba zenu sasa mwarudi mwataka kukaa kwa mabavu.

  • @user-nx7jd3cf1m
    @user-nx7jd3cf1m 13 дней назад

    SUB HAANALLAH.

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 13 дней назад

    Wallah this is not fair alafu tukiandamana other kenyans mnalalamika bure kabsa

  • @NasraOfficial-zi5oz
    @NasraOfficial-zi5oz 13 дней назад +2

    Ruto ndie mwenye kusighn tena ndio awatete😢😢

  • @DavisrubiroKariuki
    @DavisrubiroKariuki 12 дней назад

    Hawa ni squatters wamekua wakifukuzwa kutoka kitambo.wamegrab shamba za watu sana

  • @kassimabdilatif1802
    @kassimabdilatif1802 13 дней назад +1

    Hawa ni professional squatters. 20yrs ago hilo eneo lilikua having Nyumba yeyote. Hizi sehemu zilikuwa mashamba ya watu. Hakuna mgirisma ama mijikenda ambae asili yake Ni Bamburi ama Mombasa kwa ujumla. Wanajieka kwenye mashamba ya wenyewe half Wanadai ni ya babu zao wakitegemea eventually watagawanyiwa hizo ardhi. Baadae wanauza halafu Wanaenda kuwa squatters Shamba nyengine. Hii ndio mchezo wanacheza. There is no history of mijikenda living within what was the 10 mile strip of the east African coast ruled by the Sultan of Zanzibar. The only people owning land within the 10 mile strip were Swahilis and Arabs. Mijikenda had their own lands. Watu waangalie historia. Hawa mijikenda squatters wasidsnganye watu!
    No body should sympathize with them .Uongo kabisa !

    • @user-gp5wx1ev9f
      @user-gp5wx1ev9f 12 дней назад

      This is not true, the sultan of Zanzibar alipofika Mombasa alimfukuza jamii moja ya kichonyi in Nyali aliyeitwa Nyale. There after they changed the area and called Nyali Estate. So to say hakuna wamijikenda who used to live and stay in Bamburi hii ni story ya uwongo kabisa. The Arabs come to fight the mijikendas and bajunis and the Swahilis in the coastal cities of Zanzibar. Pemba. Mombasa. Malindi and Lamu, who lived peaceful and in harmony to each other. So Babu usimtenge Mijikenda na mswahili this language is not good and it can bring chaos. Ya nini kuchochea uhaswma usiokuwepo. Tumia ligha yako vizuri Babu na zaidi issue ya kubomolewa hawa watu usiku sio nzuri na wala sio kisheria hata kama hao ni wavamizi. Kuna mahakama na Kuna vitengo vya usalama, ni Sheria gani police atumike na usiku kusimamia ubomoaji. Na hii ndio tunasema as Gen Z, Ruto must go with his Cabinet period. Hata wakiwa na makosa, hawa watu haikustahili hata mbele za macho ya kibinadamu wavunjiwe usiku. Mbali na mbele za Mungu. This time Gen Z hatutakaa mpaka katiba iwe inafatwa kisheria. Atakekoaei katiba anasalimiwa

    • @kassimabdilatif1802
      @kassimabdilatif1802 11 дней назад

      @@user-gp5wx1ev9f
      The Arabs did not come to fight the local people. They were invited by the Swahili to help them fight the Portuguese. Most of the land at that time belonged to Swahilis other areas were just unclaimed. If you happen to notice Beach road in nyali just recently (1990) got demarcated and subdivided by the government. As recently as early 70s most of the land in Bamburi kisauni, utange belonged to swahili people having inherited them from their ancestors. Even Ronald Ngala in his book acknowledge the precence of Swahilis at the shores of East Africa when mijikenda migrated to the coastal areas. I agree their might have been pockets of some individual mijikenda families here and there but the main inhabitants along the shores 10 mile strip were Swahilis and later Arabs. Most Swahilis and Arabs regarded this areas as farmlands. So if Nyali was taken by the arabs how come even old Nyali was regarded as government land and nobody had title claims on it. I personally know a lot of swahili families who owned land around Kongowea and Mkomani. Those days all areas outside the main Island were just trees and bushes.

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 13 дней назад

    Maskini mungu ndio atake mtosha

  • @hawaqinky8600
    @hawaqinky8600 13 дней назад

    Hapa ni ugatuzi ama?

  • @YusufMwalimu-nu4no
    @YusufMwalimu-nu4no 11 дней назад

    Habri zi kinafki acheni @citizentv fuatilieni ukweli waizi hao

  • @YusufMwalimu-nu4no
    @YusufMwalimu-nu4no 12 дней назад +1

    Mtalaki ulikuja hadi shambani kwetu uka report habari za uongo na hukuwai kujua mwenye shamba haswaa maana ulipewa hadi jina la babangu na hao wanyika nkadhani utafanya utafiti zaidi kumbe ukaishia hapo na leo umerudi tena na hao hao mashoga
    NIWAVAMIZI WA MASHAMBA HAO

  • @fatumaadam7970
    @fatumaadam7970 13 дней назад

    Tuwatembele

  • @achibelatotolakijaka4687
    @achibelatotolakijaka4687 13 дней назад +1

    Ni Ruto miaka yake ikiisha ni basi wakenya wanatumia sana

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 13 дней назад +1

    Wengi wanajuta kupimgia raisi kijana kura

    • @raiyaaaraiyaa6054
      @raiyaaaraiyaa6054 13 дней назад

      Hivi wakiambiwa vijana watoke Ruto atatoka 😂😂😂😂 picha pia ya kushinda kuangalia

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 13 дней назад

      @@raiyaaaraiyaa6054 elewa nilicho maanisha usikurupuke kucomments mulimkata Raila mukaona huyo ndio anaweza

  • @alphonceokoth6381
    @alphonceokoth6381 13 дней назад +1

    These people complaining are just organised land grubbers pretending to be squatters

    • @abdulazizkilai7285
      @abdulazizkilai7285 13 дней назад

      Wakisha grab Kisha wanauza wanaondoka na ku grab kwengine ...😂😂😂

  • @bossej1212
    @bossej1212 13 дней назад +4

    Wacheni ufala. Nyinyi ni grabbers. Mumegrab hii shamba juzi tu hata mwezi haujaisha. Hapo mnalaumu serikali bure. Grabbers nyinyi. Hiyo no tabia yenyu. Serikali msitete hawa watu wamegrab hii shamba tukiona hata mwezi haujaisha. Badala yake kamata wote weka ndani. Hawa ndio baadhi wanaletea serikali jina mbaya

    • @bornlychula7043
      @bornlychula7043 13 дней назад

      Kabisaa

    • @salimhassan3369
      @salimhassan3369 13 дней назад +1

      Kumamako na mamako kumamake na mamake mamako kumamake wewe una roho waongea ni si unge nyamaza ao ni binadam atakama Kuna sehemu wakosea Kuna njia zakufata

    • @sturbbornvideoz8547
      @sturbbornvideoz8547 13 дней назад

      So wavunje usiku??

    • @YusufMwalimu-nu4no
      @YusufMwalimu-nu4no 12 дней назад

      Wagiriama ni wavamizi hata kwetu waliingia wakidai si ni WA tZ tulipigana nao sana Hadi tukahama mtaa na tupo na karatasi zote stahiki maan shamba hatukununua bali tulirithi kwa wa zee wetu wao Wadai ni kwao na hawana karatasi
      Acha kutetea wanyika hawajielewi Kila siku wasema tu wamekaa miaka mingi hapo tu na kumbe walivamia Jana wakajenga vibanda tuuu​@@salimhassan3369

    • @YusufMwalimu-nu4no
      @YusufMwalimu-nu4no 12 дней назад

      Wagiriama ni wavamizi hata kwetu waliingia wakidai si ni WA tZ tulipigana nao sana Hadi tukahama mtaa na tupo na karatasi zote stahiki maan shamba hatukununua bali tulirithi kwa wa zee wetu wao Wadai ni kwao na hawana karatasi
      Acha kutetea wanyika hawajielewi Kila siku wasema tu wamekaa miaka mingi hapo tu na kumbe walivamia Jana wakajenga vibanda tuuu​@@salimhassan3369

  • @alphonceokoth6381
    @alphonceokoth6381 13 дней назад

    These are organised land grubbers

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 13 дней назад

    Tuchaguen hasila. Hasila ajua shida za wananchi mtoto wa masikin. Ndio hio Sasa na bado mtalia Sana hakuna siku shetan atakua na huruma. Ruto ni shetan hawezi wahurumia