Dj Seven Worldwide x Kayumba - Nampenda (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 269

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh Месяц назад

    Tunaoendelea kuvumilia huku tunateswa na watoto wa mama mkwe zipo wapi likes zetu

  • @LoyaPaulo
    @LoyaPaulo 2 месяца назад +2

    Anajua nampenda, bado nasubilia🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @NellyWaKidato
    @NellyWaKidato Год назад +7

    Kifupi ni kwamba Kayumba saivi Ni Level Tofauti Na vile Tulivyodhania Like nyingi kwake

  • @LoyaPaulo
    @LoyaPaulo 2 месяца назад +2

    Nyimbo kalii saana

  • @benardmwinga4436
    @benardmwinga4436 Год назад +5

    Duuh huyu bwana niwamoto ....sijui kanijuaje nayapitia haya... big shout-out to kayumba✨

  • @chicha64
    @chicha64 Год назад +70

    Kama KWELI unakubali hii ngoma nipe like zangu

  • @hassanaryselemani5032
    @hassanaryselemani5032 Год назад +2

    Seven gonga like kwa best dj Never happened in this Tanzania

  • @dishangib
    @dishangib Год назад +3

    Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️

  • @frankymagatory1338
    @frankymagatory1338 Год назад +4

    Kayumba saut ya kuimbia unayoo nakukubali sana lakn ...management yako haijajua namna ya kuki bland aiseee....unazidiwa na mario daah ...anyway😍😍😍 good music 🎧🎧🎧

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 Год назад +4

    Nyimbo nzuli hakika ndio ukubwa w bss nyimbo nivina

  • @livingstonking9818
    @livingstonking9818 Год назад +3

    Kayumba unyamwezi mwingi saluti kwako❤❤❤❤💯💯🎥🎥🎥🎥

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 Год назад +2

    Nampenda 🔥🔥🔥💪

  • @jobkofficial1591
    @jobkofficial1591 Год назад +3

    I've travelled from tiktok to RUclips to enjoy this banger!

  • @enginierthalion-kid4998
    @enginierthalion-kid4998 День назад

    Walai nyimbo nzuri sana. Mngeika kwa channel ya KAYUMBA OG ingechukua views mingi tu!... Leo ndio naktana nayo na iko 1yr ago

  • @castromendozaofficial2485
    @castromendozaofficial2485 Год назад +2

    Kayumba isn't pregnant but he always delivers ❤️💥🔥🔥🔥🔥🎼 Banger!!💯❤️💥🔥🔥

  • @Mapiano-k6f
    @Mapiano-k6f Год назад +4

    Kama vile huu wimbo ame niimbia mimi, I wish wanikubalie nifanye remix nao ni eleze hisia zangu, wenda nafsiyangu itatulia

  • @madiwarongomba6
    @madiwarongomba6 Год назад +4

    Nitashangaa kama kweli unamkubali kayumba na dj seven halafu utilities yutube ya madiwa rongomba

  • @emmanuelsaidike6687
    @emmanuelsaidike6687 Год назад +3

    Huyu kayumba huyu na aogopwe💪💥💪💪💥💥💥

  • @ddmb5gmwandandila979
    @ddmb5gmwandandila979 Год назад +3

    Nipeni like zangu

  • @Jkone891
    @Jkone891 Год назад +4

    Kayumba amemfanana chimano wa Sautisol 😂🔨

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 Год назад +4

    Kayumba is one of good artist in tz 👌

  • @elialigoha9468
    @elialigoha9468 Год назад +4

    Unyama ni mwingi

  • @amisitangofort5225
    @amisitangofort5225 Год назад +4

    Big up my brother

  • @josephinemwavu8954
    @josephinemwavu8954 Год назад +3

    Is kayumba and Barnaba brothers, they are taking bongo music to the next level ❤❤❤❤

  • @deogangfamily921
    @deogangfamily921 Год назад +3

    Nisha ikubali mwotooo sana

  • @amanmgisha2406
    @amanmgisha2406 Год назад +2

    Ooooh sweet yammiiiiiii music mpka Kwa moyoooo 🪗🎹🥁🎸

  • @assumanirosha
    @assumanirosha Год назад +3

    Nakubali sana brother dj seven

  • @makutampesa-
    @makutampesa- Год назад +1

    Kayumba unauwa ujawayi niangusha mpesa kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @HofiguirmussahofiguirMussahofi
    @HofiguirmussahofiguirMussahofi 13 дней назад

    Nanpenda sana força meu irmã cm músuca

  • @Among601
    @Among601 15 дней назад

    Nashindwa mbona Wimbo Nzuri hivi haijafika milions views

    • @enginierthalion-kid4998
      @enginierthalion-kid4998 День назад

      Channel. Ingewekwa kwa channel ya kayumba ingefika. Mm kwanza leo ndio naiona

  • @samuelmwangome7163
    @samuelmwangome7163 Год назад +3

    B boy ameuwa Sana hii beat

  • @wardaidd8990
    @wardaidd8990 3 месяца назад +1

    Naupenda sana ❤❤❤❤

  • @issah4582
    @issah4582 Год назад +2

    Ngoma kali sana hii Kayumba unajua kaka🙏🙏

  • @evancrjoseph8319
    @evancrjoseph8319 Год назад +2

    Unanyama Sana hunaga Kaz mbovu na hujawah kukosea kaka nakubal sana

  • @wemmaxclassic
    @wemmaxclassic Год назад +2

    A big salute to you brothers 💕 more than expected 🌹🌹,trustie of success 🔥🔥🔥

  • @bastarbillionaire1311
    @bastarbillionaire1311 Год назад +3

    kayumba hajaanguka toka amejipata anabalaa 2 love to my boy

  • @christbm5462
    @christbm5462 Год назад +3

    Big fan of tha talented boy kayumba

  • @gunmussa9166
    @gunmussa9166 Год назад +2

    Ngoma kalii🎶🎵🎶🎵🎶🎧🎤🎤🎵🎶

  • @juliusmusyoki78
    @juliusmusyoki78 Год назад +3

    Hii naikubali sana Kayumba

  • @allybonaya1228
    @allybonaya1228 Год назад +3

    Wazii!big up I will continue following

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 Год назад +1

    Is dj seven world wide 🎶🎶🎶🎶💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @MussahMbughi-gm3ep
    @MussahMbughi-gm3ep Год назад +3

    More fire song keep up kayumba

  • @janenicas
    @janenicas Год назад +1

    Siwez kueleza vila napenda nyimbo za huyu Kayumba . ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @JUMAAli-d5y
    @JUMAAli-d5y Месяц назад

    Brother unajua

  • @Zuberymavoko
    @Zuberymavoko Год назад +2

    Angekaa harmonize humu ingekua hatariii

  • @ONJAHWorldwide
    @ONJAHWorldwide Год назад +1

    Kali sana ,I pray siku moja nije fanya kazi nawewe mzee

  • @akimdollarmusic6304
    @akimdollarmusic6304 Год назад +3

    Alafu Sisi wote Tunge mpenda Kayumba Kwa Percentage moja tu
    Already on my My Status
    I love you Kayumba

  • @SalumuMandonga-dv2vy
    @SalumuMandonga-dv2vy Год назад +2

    Namkubali san kayumba

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 Год назад +3

    Nikubali 🇰🇪

  • @AaronKatumba-wp6xu
    @AaronKatumba-wp6xu Год назад +1

    Kayymba ata awaimbie kuku mimi talkubalitu 👍👍😝😝

  • @ShokoaMjape-kx8zx
    @ShokoaMjape-kx8zx Год назад +2

    Good boys kazi zenu Mungu alibariki

  • @Ciphalee
    @Ciphalee Год назад +2

    WALETEEE BABAAA

  • @EdghaMoses-js8lj
    @EdghaMoses-js8lj 11 месяцев назад +1

    Kayumba fundi kweli kweli

  • @tonnyolayo1144
    @tonnyolayo1144 Год назад +1

    Vipi kayumbe aingie konde gang

  • @odajackson6817
    @odajackson6817 Год назад +2

    B boy on the beat,,,hatari sana uyu mwamba

  • @allymdoe734
    @allymdoe734 Год назад +2

    Tumpe maua yake ⚘⚘⚘⚘

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Год назад +1

    Kayumba umetish🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯

  • @maduhuayubu8378
    @maduhuayubu8378 Год назад +2

    Kali sanaaaaaaaaaa

  • @armandoleonardo6966
    @armandoleonardo6966 Год назад +3

    Sou fã da voz do menina kayumba

  • @fatmahmed5647
    @fatmahmed5647 Год назад +1

    Hap saw kaka upo vzr ❤

  • @ibrahkenya5580
    @ibrahkenya5580 Год назад

    Kayumba Unazidi kung'aa Africa Mashariki Kwa Kazi Nzuri Kaza Mwanangu Kenya Tuko nyuma Yako 🇰🇪🇹🇿

  • @NuruMoses-vi6kn
    @NuruMoses-vi6kn Год назад +1

    All the way from tiktok❤this song is mwaaaaaaaa❤❤

  • @مونيكمونيك-ع1غ
    @مونيكمونيك-ع1غ Год назад +2

    Nzuri

  • @Movietanzania
    @Movietanzania Год назад

    Sanamu la directoryuzzo lijengwe posta

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire Год назад +2

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @papykatoziking2395
    @papykatoziking2395 Год назад

    Seven kwanini Ngoma Kali azipati viewers ingekuwa uyo diamond ao wengine ingekuwa bala

  • @anjelaniseleman4780
    @anjelaniseleman4780 Год назад +2

    Unajua bwana kilakona

  • @jjkinara6576
    @jjkinara6576 Год назад +2

    Mwamba ni balaaaa

  • @DaloveBazuka
    @DaloveBazuka Год назад +1

    eu ate nao sei porque que Kayumba nao ta sendo dado credito que ele merece ele e um talento sem comparacao

  • @zackymusic3749
    @zackymusic3749 Год назад

    Yuzzo apewe ulinzi 🔥🙌🙌🙌

  • @OppoMalipo
    @OppoMalipo Год назад +1

    Picha kali saaana my brother❤❤❤

  • @plamedipascal9298
    @plamedipascal9298 Год назад +1

    From 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩big up💪💪💪💪💪

  • @twahilimauridi4274
    @twahilimauridi4274 Год назад

    Ngoma kali sana 💥💥@dj seven

  • @barakadanford4836
    @barakadanford4836 Год назад

    Kayumba angekuwa WCB angelikuwa mtu hatari sana kwenye industry ya mziki wa Bongo na kimataifa zaidi. He's so talented.

  • @JoyceHussen-mx4td
    @JoyceHussen-mx4td Год назад +2

    Kayumba ni moto wa kuotea mbali

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Год назад +2

    Ngoma kali mno

  • @Rayjones9662
    @Rayjones9662 Год назад +1

    Kubwa na nusu...hayumbi kayumba💪🔥

  • @kaphunzamtenzi204
    @kaphunzamtenzi204 Год назад +1

    Wagwan kaka kayumba💪💪aminia G

  • @adamluwali409
    @adamluwali409 Год назад +1

    Konde gang beats 💯💯

  • @edgarmjanja4318
    @edgarmjanja4318 Год назад +2

    Maxhabiki tendeeni haki hii nyimbo bwana

  • @lutherkingchampion684
    @lutherkingchampion684 Год назад +1

    Akajikuta mwana mieleka kayumba🤣

  • @MrMkapwa
    @MrMkapwa Год назад

    Huyu jamaa ni anajua sana sana sana sema tatzo nyota

  • @wizonqao839
    @wizonqao839 Год назад +1

    Jiniii

  • @harrisonhamisi9971
    @harrisonhamisi9971 Год назад +2

    Nice one 🔥🔥

  • @akhousesolutionsltd9433
    @akhousesolutionsltd9433 Год назад +1

    Ngoma poa sanaaaaaaaa ❤️❤️

  • @mbalaleshalif8892
    @mbalaleshalif8892 Год назад +1

    Bad sjajua Kaz ya uyo dj seven kwenye hiyo nyimbo

    • @annachales9623
      @annachales9623 Год назад

      Umejiuliza kama mm 🤣🤣🤣🤣

    • @kidatokassim7616
      @kidatokassim7616 Год назад

      It's a business yy ndio alilipa kayumba akamuuzia wimbo

  • @igiranezablaise4399
    @igiranezablaise4399 Год назад +1

    Daah kayumba fundi kwakwel

  • @BahatiMkama-ew8fj
    @BahatiMkama-ew8fj Год назад +1

    Uko vizur hakuna ulipokosea

  • @THOMASNYAGIROTV
    @THOMASNYAGIROTV Год назад

    From Kenya we love you Kayumba but toa rasta inakukaa mbaya bro

  • @dollarz9
    @dollarz9 Год назад +1

    Kayumbaa

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 Год назад +1

    Wewe uko VIZURI BONGE LA LOVE SONG KIBOKO

  • @Movietanzania
    @Movietanzania Год назад

    Ama upewe udaktari wa heshima

  • @Rimmonboygrand
    @Rimmonboygrand Год назад +1

    Moto bro 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @TiffahAlex-fv2eu
    @TiffahAlex-fv2eu Год назад +1

    Hii nymb so pow iko vzr kwakwel

  • @Djdrizzly
    @Djdrizzly Год назад +1

    fiiiiiiire
    haaatare

  • @petergitonga7497
    @petergitonga7497 Год назад +1

    Moto sana.....keep up guys

  • @Mediator-ct7yj
    @Mediator-ct7yj Год назад +1

    Baria

  • @sylevestermwendwa2491
    @sylevestermwendwa2491 Год назад +1

    where the hell this banger has been❤❤❤❤all theeese days

  • @RogersNyakundi-yt5fq
    @RogersNyakundi-yt5fq Год назад

    Iko sawa kazi fiti sana🎉

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Год назад +1

    Kayumba wewe 👌👌🇰🇪