Wakristo tunaye Yesu Kristo. Huyu ndiye yote katika yote. Hatujitaji kusumbuka juu ya vitu visivyookoa roho zetu. Sanduku hilo kama lipo kweli halina sehemu kwa sasa katika wokovu wetu. Yesu atosha. Wala Yesu hajawahi kuongelea juu ya hilo sanduku. Lilikuwa ni mfano tu wa mambo yatakayokuja, yaani Kristo. Tukiwa na Yesu Kristo tumepata vyote!!!
Yeremia 3: 16 Kisha itakuwa, mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo, asema Bwana, siku zile hawatasema tena, SANDUKU la AGANO la BWANA; wala HALITAINGIA MOYONI; wala HAWATALIKUMBUKA, wala HAWATALIZURU, wala HAYATAFANYIKA hayo tena.
😂😂😂😂 amakweli dawa ilingia ipaswavyo.... wakoloni waliweza na kuifanya kazi yao vizuri.... Ukweli ni kwamba kama ww ni m-bantu... Basi wewe ni Taifa la Yuda yaani Muizraeli halisi Sasa kama wewe mwenyewe muhusika hujui lilipo basi mwizi wako atakuwa anajua lilipo
ili mjue Mungu yupo ndo hapo. Ombi langu ni hili Mungu aendelee kushikilia tuu lisionekanr maana likionekana wanadam watafanya mageuzi ya Amri za Mungu na kupotosha Umma ya wanadamu.
Revelation 11:19 [19]And the temple of God was opened in heaven, and there was seen in his temple the ark of his testament: and there were lightnings, and voices, and thunderings, and an earthquake, and great hail. Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.
Jamal April kinara mkuu wa stori za kweli Africa nzima, twakupenda mkuu
Jamal nilikuwa nakusubiri kwaham sana story zako uwa zinanikosha, mdamwingi unakuwa kimia sana kwamda mrefu, hatujuwi kwanini
❤❤❤ amina❤
Saduku ra agano ripo mbinguni patakatifu pa mbinguni soma ufunuo was yohana
Wakristo tunaye Yesu Kristo. Huyu ndiye yote katika yote. Hatujitaji kusumbuka juu ya vitu visivyookoa roho zetu. Sanduku hilo kama lipo kweli halina sehemu kwa sasa katika wokovu wetu. Yesu atosha. Wala Yesu hajawahi kuongelea juu ya hilo sanduku. Lilikuwa ni mfano tu wa mambo yatakayokuja, yaani Kristo.
Tukiwa na Yesu Kristo tumepata vyote!!!
❤❤❤ amina
Yeremia 3: 16 Kisha itakuwa, mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo, asema Bwana, siku zile hawatasema tena, SANDUKU la AGANO la BWANA; wala HALITAINGIA MOYONI; wala HAWATALIKUMBUKA, wala HAWATALIZURU, wala HAYATAFANYIKA hayo tena.
❤❤❤❤i love this
Asante ujumbe, 🚶 kwako mtumishi mungu
Kizazi Cha king Solomon kilichopo miaka ya Leo,kitusaidia kulipata sanduku la agano,Siri wanaijui
😂😂😂😂
amakweli dawa ilingia ipaswavyo....
wakoloni waliweza na kuifanya kazi yao vizuri....
Ukweli ni kwamba kama ww ni m-bantu...
Basi wewe ni Taifa la Yuda yaani Muizraeli halisi
Sasa kama wewe mwenyewe muhusika hujui lilipo basi mwizi wako atakuwa anajua lilipo
ili mjue Mungu yupo ndo hapo.
Ombi langu ni hili Mungu aendelee kushikilia tuu lisionekanr maana likionekana wanadam watafanya mageuzi ya Amri za Mungu na kupotosha Umma ya wanadamu.
2:17
Sandugu la Agano lipo Mashariki ya DRC ,ukipenda KUJUWA mengi KUHUSU SANDUGU LA AGANO NIONE KWA UPEKE
We want to download mate😢😢😢😢😢😢
Boya
Yeremia nabii alitoa unabii kuwa mambo ya sanduku hilo yangekoma ma hata waisraeli hawatauliza liko wapi.
Ameen Ameen ❤❤
Revelation 11:19
[19]And the temple of God was opened in heaven, and there was seen in his temple the ark of his testament: and there were lightnings, and voices, and thunderings, and an earthquake, and great hail.
Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.
Mungu wetu ni mkubwa
God above everything
Professor jamwar mustafa ningependa usimulie story ya mount everest
Sio, nebukarneza,, ni Nebukadreza., alikua na utawala wa chuma.
Kwani alukaba nnn?
AMINA MNO
Kwani sikuhizi kizazi cha solomona kina existé😊
Eeeeeeeh 😂😂😂
Jmn kwan the story book inakua saa ngp Azam tv
Friday 3:00pm
Hii kitu iko Ethiopia Axum
We have the Bible why are you still searching
Hii kitu iko Mt Kenya bro .... Leo history imekuweka nje .... Wakikiyu kenya ndio real Hebrews... If you know you know
Je tupee story kuhusu river inayoendelea kupotea upande wa Iraq,uaphrate river
❤❤❤ amina❤
❤❤❤ amina❤
❤❤❤ amina❤