Wanaouliza/watakaouliza Maswali Kaburini ni Malaika wa MwenyeziMungu. Malaika ni Viumbe wa MwenyeziMungu, hufanya Kazi ya Kumtumikia MwenyeziMungu. Unauliza Maswali ya Kijinga sana.hata Mtoto hawezi Kuuliza. Kwanza hujui Kazi ya Malaika na kama Unajuwa Kazi ya Malaika usingeuliza hayo. Kuulizwa Maswali ya Kaburini Haina Maana Allah hajui Matendo ya Waja/Viumbe wake (Wema na Waovu) wote. Kuulizwa Kaburi ni Miongoni mwa Vipimo/Kutihaniwa Mja aonwe atasema kweli/atasema Uwongo. Tunapomuombea/tunapo mtakia Rehma Mtume Muhammad hatumsemeshi Mtume Muhammad SAW Bali tunamsemesha/tunamwambia Allah . Biblia inasema Kifo/Mauti ni Mshahara WA Dhambi. Kwahiyo Wafu wa Wakristo wote (Yesu/Mungu wa Wakristo, Mitume na Manabii na Waumini wa Kikristo wote ni Wenye Dhambi, hata Wakibatizwa haziwaishi Dhambi zao) 🙌
@@BAYYINATDMTVAdhabu ya Maiti/Mfu huanzia inspotolewa Roho, Kaburini na Siku ya Hukmu/baada ya Hukmu na si Kaburini tu Bali Adhabu ya Maiti/Mfu Hutegemea na Matendo yake ya Duniani (Maovu/Maasi ya Mja) na si Vinginevyo na hata Malipo Mema/Kheir (Swawabu) Hutegemea na Mema alotenda Mja ktk Maisha ya Uhai wake wa Duniani. Kaburini ni Kituo Cha Kusubiri Kuhesabiwa Mema na Maovu ya Mja/Maisha (Uhai) wa Kusubiri Kufufuliwa na Kuhesabiwa (Kulipwa) kutokana na Mema na Maovu yetu Waja kwa Uhai wa Maisha ya Duniani Kaburi ni Eneo/Sehemu ya Kuhifadhiwa Mwili Mja Mfu/Maiti Kwa Popote Duniani atakapofia Mja/na Kuhifadhiwa au Kupotelea/Kuteketea au Kuteketezwa ndo huwa Kaburi lake Mja/Kiumbe. Mfano; iwe Kuhifadhiwa Ardhini, Kupotea/Kuzama ktk Maji (Bahari, Ziwa, nk) , Kuliwa na Mnyama/Mtudu, Kuzagaa Mwili Jangwani/Msituni nk. Na Popote utakafia Mwili wa Mtu huhesabika (hapo alipo) ndo Kaburi lake na si Lazima/mpaka awe amezikwa/amehifadhiwa Ardhini/Kaburini ktk Shimo Maalumu 🙌 Na Malipo ya Maiti/Mfu humjia (hulipwa) Kuanzia anapotolewa Roho Nadi atakapohifadhiwa/atakapo zikwa na Hadi Siku ya Kufufuliwa na Kulipwa. Hivyo Adhabu ya Kaburini/Adabu ya Maiti na Kheri zake/Mema yake huanza Mapema tu Kuanzia Mtu anapotolewa Roho. Kama Mwema utatolewa Roho Kwa Upole na kama Muasi utaipata na Kadhalka ktk Maisha ya Uhai wa Kaburini Kuna Malipo Mema na Mabaya/Adhabu . Na hayo ndo Mafundisho ya lmaan/Dini ya Kiislamu. WaAllahu Aalamu
Kuelekezwa/Kufundishwa (Kutamkishwa) Maiti/Mfu Kujibu Maswali ya Siku ya Kwanza ktk Maisha ya Kaburini Si lmaan ya Waislamu wote Bali ilikuwa ni Uzushi tu Wa ktk Baadhi ya Vitabu/Watu (Waislamu) 🙌 Laakin Kiukweli na Kifikra (haingii Akilini) eti umtamkishe/umfundishe Maiti/Mfu Majibu ya Maswali ya Kaburini Kwa Siku Moja/Muda mchacge tu (akiwa Kaburini tu) Wakti Muda wote wa Maisha yake ya Uhai wa Duniani hajasoma/hajawahi Kutamka na hajazingatia (alikuwa Muovu/alipuuza) ndo aje Kushuka/Kukariri Kwa Kufundishwa akiwa hapo Kaburini. Hayo Maswali na Majibu yake yanapaswa Kufundishwa na Kutakuwa/Kuyakariri na Kuyazimgatia (Kuyafanyia Kazi) kabla ya Kufa na hata Mwanafunzi wa Shule ni Ngumu Kumkaribisha Majibu akiwa ktk Chumba Cha Mtihani Wakti/kama hakuwahi Kusoma/hayajui hayo Maswali (alikuwa Mtoto haudhurii Darasani/alipuuza) 🙌 Kwanza hujawahi Kuwaona hao Malaika Wanaouliza Maswali ya Kaburi jinsi walivyo Maumbile yao na Wanavyotisha ndo utaweza Kuwaangalia na Kuwakabili Kuweza Kujibu Maswali yao ilhali Ulipuuza Maamrisho ya Allah/hukusoma na hukuwa Mwenye Kumuabudu Allah/Si Muislamu Muumini?!🙌
Kwani Matajiri Wote ni Waovu/Waasi hakuna Matajiri wamchao MwenyeziMungu. Kwanza Biblia ni Maneno ya Watunzi/Waandishi (Luka na WA Mfano wake -Luks 1 : 1) Ndo unataka tuamini Maneno ya Kuokoteza Mitaani?!🙌 Mitume na Manabii was Allah (Muhammad SAW na Watangulizi wake) na Malaika hawafanyi Maovu/Maasi kama ilivyo Kwa Watu/Binadam na Makini wa Kawaida tusiokuwa Mitume, Manabii na Malaika . Mitume, Manabii na wamewekewa Kinga na Allah hawamussi MwenyeziMungu/hawana Dhambi (Maasum) 🙌 Uislamu usiufananishe na Ukristo.🙌
Yohana 21:25. ni ushahidi wa kutosha..., pia kusema kwamba kuna injili nyegine hazikukubaliwa na wazee wa makanisa kwa kuwa hazikukidhi vigezo walivyoweka ni ushahidi tosha kwamba si kila ambalo halimo kwenye bibilia basi haliko.Waandishi wa bibilia ni kama waandishi wote wa tarehe, hawashushiwi wahyi wala hawavuvuliwi kama mnavyoaminishana, bali wanakusanya khabari kutoka vyanzo mbalimbali ikiwamo masimulizi ya midomo na maandishi ya kale, na hivi ndivyo ilivyo andikwa bibilia, Na ushahidi mkubwa ni kauli ya Luka mwenyewe Luka 1:1--, Kama mengi hayakuandikwa ndani ya bibilia ni wazi yaliandikwa kwengine na mengine yalibaki kuwa masimulizi ya kupokezana tu. Anapokuja Mtume wa Mwenye ezi Mungu akakusimulia mambo akayanasibisha na Yesu, Wewe-kama unaakili- Unapata wapi ujasiri wa kuyapinga kama sio ushupavu bila akili?
Tatizo lako huna elimu ya kiislam ndio mana unasoma ikisha unauliza maswali ikisha unajijibu mwenyewe hebu subiri Ustadh Shafi akiipata inshallah atakusomesha na utaelewa...wewe unajihisi unajuwa lkn hujuwi na hutaki kujuwa hiyo ni sifa ya mtu mjinga
Elewa/eleweni Maana/Tafsiri na Tafsida.. Tofautisha/tofautisheni Kumswalia (Kumtakia Rehma) na Kuswali/Kuabudu. Kiswahili Kimetohoa Maneno Mengi/Kama yote ni ya Kiarabu. Hivyo Msikariri Neno liwe na Maana/Tafsiri na Tafsida Muitakayo 🙌 Mtume Muhammad SAW aliswaliwa (alitakiwa Rehma na Allah) kabla hata ya Kuletwa Duniani.
Hii habari ya adhab ul kabr nilimsikia mtetezi mmoja alisema kuwa ni hadithi kutoka mapokeo ya kiyahudi (skumbuki aliponukuu) ambayo Aisha anasimulia kwamba wayahudi walimtisha Muhammad kwamba ukikojoa na mkojo ukagusa miguu yako ukizikwa utapata adhabu kali kaburini. Na Muhammad akawaamini na akaifanya hiyo hadithi isiyokuwa na mashiko (myth) kuwa fundisho la kiislamu😂
Unajichanganya Kwa Kuchanganya Kuhusu Nyumba ya Mtume na Msikiti. Soma/Someni Historia za Kweli na si Kupotosha tu Kwa Maslahi ya Dunia ni Kumlazimisha MwenyeziMungu awaingize Motoni Kwa Kusema Uwongo 🙌 Tuletee Bwana Abubakar aliye Uhama Ukristo. Ulisema Abubakar amerejea ktk Ukristo wake, mbona humleti tumsikie ?!
Waislamu wakati wa kufa Malaika wana wateremkia kuwapa tumaini wasiogope, soma aya hizi: Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Kisha wakanyooka sawa, hao huwateremkia Malaika wakawaambia: Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa. --haa meem sajdah 30 Na wanao amini utatu watapata adhabu: Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru. --al_maa'idah 73
@@BAYYINATDMTV Kuulizwa kaburini haimaanishi ni adhabu, Muislamu aliye pewa habari njema za kuingia peponi na Malaika wakati wa kukata Roho atapita stages zote kiusalama, kwenye maisha ya kaburi na wakati wa kufufuliwa siku ya Kiyama na wakati wa hesabu mpaka kuingia peponi, Malaika wa Mwenyezi Mungu wamekwisha mpa habari njema kama asiogope wala asihuzunike, kwa hio hapatwi na shida, yote ni usalama juu ya usalama
@@BAYYINATDMTV Kuulizwa kaburini haimaanishi ni adhabu, Muislamu aliye pewa habari njema za kuingia peponi na Malaika wakati wa kukata Roho atapita stages zote kiusalama.
Halafu wewe Danieli unaongeza maneno kutoka kinywa chako, hakuna hadithi ya Mtume inasema waislamu wote watapata adhabu ya kaburi, na hio hadithi ulio inukuu inaongea kuhusu kikundi Maalumu wasio jitakasa wakati wa kumaliza haja, na nyinyi Wakristo ni miongoni mwao kwa sababu nyinyi hamujitakasi na maji mkimaliza haja zenu kubwa na ndogo, mnajifuta na tissue tu, kwa hio najasa mnabaki nazo 24 hrs. Nyinyi pia ni umma wa Muhammad kwa sababu hizi ni zama au nyakati za Mtume Muhammad, kwa hio Sheria ya kiislamu pia inawahusu
Wazungu wakristo walipoingiza dini yao ukristo na wakapata wafuasi, kubwa walilolifanya ni kutunga uwongo juu ua uislaam na kuwalisha wakiwatisha wafuasi wao kwamba Qurani ni kitabu cha majini uislaam ni dini ya majini nk. Ikawa Mkristo hata akiona gazeti limeandikwa kiarabu aliogopa. Sasa-sijui nani alowang'ata sikio-wameona kumbe walifanywa wajinga miaka mingi, wanakurupa. wamekuwa "KIPOFU NA PUNDA" kila wanachokiona basi mbio..., utawasikia "Ooo waislaam haya waliyaficha, sisi twaysyos". Wasicho kijua-maskini-wao ndio walofichwa. Sasa hivi eti ndio wazinduka na kuona kuwa xmasi ni jumapili ni upagani. Ukweli ni kwamba Ukristo wote ni upagani wa warumi ulovishwa kanzu a Yesu tu.
OmariShuli: tukiichungua historia kwa uaminifu itatudhihirishia kwamba uislamu una asili ya upagani kuliko ukristo. Kama huujui ukweli huu basi ni bora ujifunze kwanza, na laiti ungeujua ukweli huu usingethubutu kuongea kuhusu ukristo kwa namna ulivyoongea!
Jesus na Muhammad aliewaumba ni mmoja.. na huyo mmoja mwenyewe hakuzaa wala hakuzaliwa hana baba wala mama na hana mshirika na wala usimfananishe na chochote na hata ukimfananisha hayuko hivyo.. mnakaa kulumbana lumbana vitabu hamvisomi kila kitu kiko dhahiri" Jesus said nimekuja kwa wana wa Israel tu! Lakini leo mijitu iko uku yombo dovya inamfata yesu inamuabudu yesu wakati Yesu used to pray for his God ellaha...". Staki comment back to my section soma tulia ujitafakari Peace out!
@@BAYYINATDMTVmwl Mwankemwa kuna tofauti kubwa kati ya kumuombea marehemu(kuiombea roho ya mtu aliyekufa) na kumswalia maiti. Waislamu hawamuombei marehemu bali wanamswalia maiti sababu wanaamini baada ya kumzika maiti roho yake huja tena kuungana na mwili na maiti anaadhibiwa kaburini. Sisi wakristo wakatoliki tunamuombea roho ya marehemu sababu roho yake imeacha mwili na iko mbele za Mungu. Unasema hii haipo kwenye biblia lakini ipo. Najua kuwa wewe ni msomi na unajua ukweli huu kuwa ipo kwenye biblia!
Kabla uja sema fikiri, uache jazba za chuki. Kwani nyinyi mtu akifa hamumuombei? Mwampeleka kanisani kufanya nini? mbona hamumvalishi suti tu nakumzika?
@@BAYYINATDMTV Maelezo ya Ukrsto kuhusu kitakacho tokea baada kifo hayajatosheleza. "Neno baada ya kufa tu hukumu" halijatosha kueleze yatakayofuata baada ya kifo. Ukweli ni kwamba hukumu ni baada ya watu kufufuliwa. Baada ya kufa kuna maisha ya kaburini, maisha ambayo bibilia haiyajui. Hayo ndio mambo ya Ghaybu unayotakiwa kuyaamini kama yalivyopokelewa kutoka kwa yeye Mjuvi wa siri, Mtume Muhammad s.a.w. Katuambia Mtume "Kaburi ni kituo cha mwanzo ktk vituo vya Akhera na kituo cha mwisho ktk vituo vya dunia yenye kufa" Na pia amesema "...Kaburi imma ni Bustani ktk Mabustani ya Peponi na imma ni Shimo ktk mashimo ya motoni. Na maswali kaburini wataulizwa wote watakaozikwa, isipokuwa ambao Allah mwenyewe amewachagua. Pia kuombeana ni mapenzi tuliyofundishwa na dini yetu tukufu kwani ni ibada. Mtume s.a.w. ametuambia: "Mtu anapomuombea ndugu yake muislamu basi kuna Malaika wanaoitikia " AAMIN"(na wanasema) na wewe Allah akupe mfano wa hayo" Si hivyo tu bali kuna Malaika khaswa ambao kazi yao ni kuwaombea waislaam qur-an 40:7-9. Huo ndio udugu wetu wa kiimani, kama ambavyo tumefudishwa kusaidiana kwa shida mbalimbali za hapa duniani-mahala ambapo ni pakupita tu- ndivyo hivyo hivyo tumefundishwa kusaidiana kwa shida za akhera. Kwani kwetu sisi waislaam tulivyofunzwa ni kuwa kupumzika kutapatikana baada ya HUKUMU. Na hiyo hukumu ni naada ya watu wote kufa kwa kupigwa baragumu la mwisho, kisha wakae miaka mingi kisha lipigwe baragumu la kufufuliwa kisha watu wakusanywe, wahesabiwe na huko ndio kuhukumiwa na baada ya hapo ndio makazi ya milele, Mtu akiwa mkazi wa milele Peponi basi naamshukuru Allah, au akiwa mkazi wa milele Motoni basi naailaamu nafsi yake, kwani uongofu umemjia. Danel Ukisema kuna hukumu maana yake kuna Mahakama na ukisimamishwa mahakamani basi utaulizwa maswali. Na pia unaweza ukaanza kuulizwa maswali ukiwa mahabusu. Uislaamu ni nidhamu ya maisha. Unayoyaona ktk mipango ya serikali asilimia kubwa ni kutoka mafundisho ya uislaam.
@@BAYYINATDMTVMtume s.a.w. ametuambia "...Kaburi ni kituo cha mwanzo kati ya vituo vya Akhera ni nikituo cha mwisho kati ya vituo vya dunia yenye kwisha, Mtu yakimuwia myepesi hapo kaburini basi yatakuwa myepesi yanayofuata baada yake, na yakimuwiya mazito basi yatakuwa mazito yatakayofuatia. Pia Mtume s.a.w ametuambia "...Kaburi imma litakuwa bustani za peponi na imma litakuwa miongoni mwa mashimo ya motoni.." Maswali ya kaburi yatamuhusu kila atakaekufa, azikwe asizikwe. kwani hayo ni maisha ya kiroho khaasswa. Kusema " Baada ya kifo Hukuumu" ni kufupisha mazungumzo, wala haipingi kuwako matukio kabla ya kufikia siku ya hukumu ambayo ndio hatua ya mwisho. Mwanaadamu akifa atakaa kaburini(BARZAKH) kwa miaka mingi,kisha litafuatia baragumu la kwanza la kumaliza maisha ya dunia, kisha-baada ya miaka-litfuatia la pili la kuwafufua viumbe na kukusanywa ktk uwanja wa kuhesabiwa ndio hukumu hiyo, na hilo nalo ni baada ya miaka mingi. NB: Watu ktk kila kipindi au kiala hatua watakuwa wapo walio ktk mateso kwa kadiri ya matendo yake maovu, na wapo watakaokuwa ktk Raha kwa kadiri ya matendo yao mema. Mambo haya ni ghaybu upokelewa kutoka kwa mitume na kuaminiwa. Na mimi ninayaqini hata Yesu aliyafafanua kama hivi au inayofanana na hivi, ispokua waandishi huenda waliyaacha kama anavyosema Yohana 21:25.au Wakubwa wa makanisa-kwa vigezo vyao-hawakuyajumlisha ktk maandiko matakatifu kama mnavyo sema wenyewe. Nimemsikia askofu fulani kwenye kipindi "EZRAEL KTK UNABII" akisema kwamba kuna habari nyingi za Yesu hazikuchukuliwa kwa sababu Yesu alikuwa hajaanza huduma, miongoni mwa alizozisema ni suala la Yesu kufinyanga udongo shikli la ndege kisha akampuliza akawa njiwa akaruka. Pia muhubiri mmoja wa chanel Kokoto kwenye kiatu, nilimsikia akisema kuna maelfu ya Injili za Yesu hazikukidhi vigezo vya wazee wa kanisa, nayeye pia alisema ziko baadhi ya aya za Qur-an zafanana na baadhi ya injili zilizokataliwa. Baada ya hayo tuambie wewe hivi Wakristo hamuwaombei Maiti wenu? Ile misa mtu anapokufa kule kanisani ni ya nini? na kule kaburini? na pale mnapokwenda kuzuru mwafanya nini? Kama mnayomfanyia maiti wenu yote hayana manufaa kwake basi yanini kupotezea watu wakati wao?
Almuradi na wewe uwe mwalimu, kwani uislam unafundishwa hivyo??? au unawafundisha wakristo wenzio naona hufahamiki unarusha tu , kwa usoomeshaji huo bora tafuta mwalimu akusomeshe usivamie vamie tu mambo..
Ni kweli, ameacha kujadili misingi ya imani akaingia kwenye mengine, msingi wa imani wa kwanza ni kumjua Mungu wa haki ni nani, Wakristo mpaka sasa wanabishana Mungu wa haki ni nani, Catholic wanasema Mungu ni mmoja lakini yuko kwenye nafsi tatu, Wasabato wanakataa
@@paulmushi2428Sasa nyinyi Wakristo mnadhania kama adhabu ya kaburi haiwahusu? Nyinyi pia mnaingia kwenye Sheria ya islamu kwa sababu hizi ni zama za Nabii Muhammad
Mwankema , Mungu wa Kweli ni Allah hujuwi tutakufundisha yule Yesu si Mungu kweli ni fake .
Mwankema .siku zote nakwambia Uislamu ulikuwepo kabla ya Prophet Muhamad hivi hopendi kujifunza
Acha uongo ni Uislamu gani ulikuwepo kabla ya Muhammad? Hujasoma Quran 6:14?
Wanaouliza/watakaouliza Maswali Kaburini ni Malaika wa MwenyeziMungu.
Malaika ni Viumbe wa MwenyeziMungu, hufanya Kazi ya Kumtumikia MwenyeziMungu.
Unauliza Maswali ya Kijinga sana.hata Mtoto hawezi Kuuliza.
Kwanza hujui Kazi ya Malaika na kama Unajuwa Kazi ya Malaika usingeuliza hayo.
Kuulizwa Maswali ya Kaburini Haina Maana Allah hajui Matendo ya Waja/Viumbe wake (Wema na Waovu) wote.
Kuulizwa Kaburi ni Miongoni mwa Vipimo/Kutihaniwa Mja aonwe atasema kweli/atasema Uwongo.
Tunapomuombea/tunapo mtakia Rehma Mtume Muhammad hatumsemeshi Mtume Muhammad SAW Bali tunamsemesha/tunamwambia Allah .
Biblia inasema Kifo/Mauti ni Mshahara WA Dhambi.
Kwahiyo Wafu wa Wakristo wote (Yesu/Mungu wa Wakristo, Mitume na Manabii na Waumini wa Kikristo wote ni Wenye Dhambi, hata Wakibatizwa haziwaishi Dhambi zao) 🙌
@@BAYYINATDMTVAdhabu ya Maiti/Mfu huanzia inspotolewa Roho, Kaburini na Siku ya Hukmu/baada ya Hukmu na si Kaburini tu Bali Adhabu ya Maiti/Mfu Hutegemea na Matendo yake ya Duniani (Maovu/Maasi ya Mja) na si Vinginevyo na hata Malipo Mema/Kheir (Swawabu) Hutegemea na Mema alotenda Mja ktk Maisha ya Uhai wake wa Duniani.
Kaburini ni Kituo Cha Kusubiri Kuhesabiwa Mema na Maovu ya Mja/Maisha (Uhai) wa Kusubiri Kufufuliwa na Kuhesabiwa (Kulipwa) kutokana na Mema na Maovu yetu Waja kwa Uhai wa Maisha ya Duniani
Kaburi ni Eneo/Sehemu ya Kuhifadhiwa Mwili Mja Mfu/Maiti Kwa Popote Duniani atakapofia Mja/na Kuhifadhiwa au Kupotelea/Kuteketea au Kuteketezwa ndo huwa Kaburi lake Mja/Kiumbe.
Mfano; iwe Kuhifadhiwa Ardhini, Kupotea/Kuzama ktk Maji (Bahari, Ziwa, nk) , Kuliwa na Mnyama/Mtudu, Kuzagaa Mwili Jangwani/Msituni nk.
Na Popote utakafia Mwili wa Mtu huhesabika (hapo alipo) ndo Kaburi lake na si Lazima/mpaka awe amezikwa/amehifadhiwa Ardhini/Kaburini ktk Shimo Maalumu 🙌
Na Malipo ya Maiti/Mfu humjia (hulipwa) Kuanzia anapotolewa Roho Nadi atakapohifadhiwa/atakapo zikwa na Hadi Siku ya Kufufuliwa na Kulipwa.
Hivyo Adhabu ya Kaburini/Adabu ya Maiti na Kheri zake/Mema yake huanza Mapema tu Kuanzia Mtu anapotolewa Roho.
Kama Mwema utatolewa Roho Kwa Upole na kama Muasi utaipata na Kadhalka ktk Maisha ya Uhai wa Kaburini Kuna Malipo Mema na Mabaya/Adhabu .
Na hayo ndo Mafundisho ya lmaan/Dini ya Kiislamu.
WaAllahu Aalamu
Kuelekezwa/Kufundishwa (Kutamkishwa) Maiti/Mfu Kujibu Maswali ya Siku ya Kwanza ktk Maisha ya Kaburini Si lmaan ya Waislamu wote Bali ilikuwa ni Uzushi tu Wa ktk Baadhi ya Vitabu/Watu (Waislamu) 🙌
Laakin Kiukweli na Kifikra (haingii Akilini) eti umtamkishe/umfundishe Maiti/Mfu Majibu ya Maswali ya Kaburini Kwa Siku Moja/Muda mchacge tu (akiwa Kaburini tu) Wakti Muda wote wa Maisha yake ya Uhai wa Duniani hajasoma/hajawahi Kutamka na hajazingatia (alikuwa Muovu/alipuuza) ndo aje Kushuka/Kukariri Kwa Kufundishwa akiwa hapo Kaburini.
Hayo Maswali na Majibu yake yanapaswa Kufundishwa na Kutakuwa/Kuyakariri na Kuyazimgatia (Kuyafanyia Kazi) kabla ya Kufa na hata Mwanafunzi wa Shule ni Ngumu Kumkaribisha Majibu akiwa ktk Chumba Cha Mtihani Wakti/kama hakuwahi Kusoma/hayajui hayo Maswali (alikuwa Mtoto haudhurii Darasani/alipuuza) 🙌
Kwanza hujawahi Kuwaona hao Malaika Wanaouliza Maswali ya Kaburi jinsi walivyo Maumbile yao na Wanavyotisha ndo utaweza Kuwaangalia na Kuwakabili Kuweza Kujibu Maswali yao ilhali Ulipuuza Maamrisho ya Allah/hukusoma na hukuwa Mwenye Kumuabudu Allah/Si Muislamu Muumini?!🙌
Kwani Matajiri Wote ni Waovu/Waasi hakuna Matajiri wamchao MwenyeziMungu.
Kwanza Biblia ni Maneno ya Watunzi/Waandishi (Luka na WA Mfano wake -Luks 1 : 1) Ndo unataka tuamini Maneno ya Kuokoteza Mitaani?!🙌
Mitume na Manabii was Allah (Muhammad SAW na Watangulizi wake) na Malaika hawafanyi Maovu/Maasi kama ilivyo Kwa Watu/Binadam na Makini wa Kawaida tusiokuwa Mitume, Manabii na Malaika .
Mitume, Manabii na wamewekewa Kinga na Allah hawamussi MwenyeziMungu/hawana Dhambi (Maasum) 🙌
Uislamu usiufananishe na Ukristo.🙌
Yohana 21:25. ni ushahidi wa kutosha..., pia kusema kwamba kuna injili nyegine hazikukubaliwa na wazee wa makanisa kwa kuwa hazikukidhi vigezo walivyoweka ni ushahidi tosha kwamba si kila ambalo halimo kwenye bibilia basi haliko.Waandishi wa bibilia ni kama waandishi wote wa tarehe, hawashushiwi wahyi wala hawavuvuliwi kama mnavyoaminishana, bali wanakusanya khabari kutoka vyanzo mbalimbali ikiwamo masimulizi ya midomo na maandishi ya kale, na hivi ndivyo ilivyo andikwa bibilia,
Na ushahidi mkubwa ni kauli ya Luka mwenyewe Luka 1:1--,
Kama mengi hayakuandikwa ndani ya bibilia ni wazi yaliandikwa kwengine na mengine yalibaki kuwa masimulizi ya kupokezana tu.
Anapokuja Mtume wa Mwenye ezi Mungu akakusimulia mambo akayanasibisha na Yesu, Wewe-kama unaakili- Unapata wapi ujasiri wa kuyapinga kama sio ushupavu bila akili?
Unamhusisha vipi mtume wa kiislamu ( dini yako) na Maandiko ya Biblia ?
@ Omary Shuli
Nitakufundisha Mwankema Surah Al Araf verse 59
Surah Al. Ankabut verse 16
Surah Al az Zukhuruf verse 46
Mie nafundisha kwa mandiko sio kwa yangu
Mwalim upo sahii ila waliokarrshwa dini hio hawatakuelewa
Mafundisho ya Kweli na Haki (yenye Nguvu) ni ya Uislamu tu .
📌Usituletee ya Ukristo/ya Helen White ktk Uislamu. 🙌
@@alhadajjmohammedsmith9042 hebu tuoneshe moja hilo la haki
Tatizo lako Mwankema hutaki kujifunza,hawa wote ni Prophet wakislamu ,Noah ,Nuh, Ibrahim , Abraham,Musa,Moses,Sleiman,Solomon,Issa, Jesus jumla ni 25
Acha uongo walisilimu lini wakati Uislamu umeanzishwa na Muhammad mwaka 610BK wakati huo hawa walikuwepo? Unataka kumdanganya nani?
Tatizo lako huna elimu ya kiislam ndio mana unasoma ikisha unauliza maswali ikisha unajijibu mwenyewe hebu subiri Ustadh Shafi akiipata inshallah atakusomesha na utaelewa...wewe unajihisi unajuwa lkn hujuwi na hutaki kujuwa hiyo ni sifa ya mtu mjinga
Huko Kuna elimu Gani na ilhali kiongozi alikua maamuma ,hata jina lake alikua hajui kuandika ,hujui alivyo mtu ndivyo walivyo rafiki zake?
Waislam jitafakarini, mda mnao
Mimi kinachonishangaza ni pale muhamad alipokufa aliswaliwa na mungu aitwe alah sasa kama alah ni mungu je? Alikua anamswalia kwa alah yupi tena?
Utata mtupu
Elewa/eleweni Maana/Tafsiri na Tafsida..
Tofautisha/tofautisheni Kumswalia (Kumtakia Rehma) na Kuswali/Kuabudu.
Kiswahili Kimetohoa Maneno Mengi/Kama yote ni ya Kiarabu.
Hivyo Msikariri Neno liwe na Maana/Tafsiri na Tafsida Muitakayo 🙌
Mtume Muhammad SAW aliswaliwa (alitakiwa Rehma na Allah) kabla hata ya Kuletwa Duniani.
@@alhadajjmohammedsmith9042 Sasa anamtakia rehema Kwa Mungu yupi? Jibu swali usilete kaujuaji na methali nyingi zakibunuasi panautata hapo sherh
Hii habari ya adhab ul kabr nilimsikia mtetezi mmoja alisema kuwa ni hadithi kutoka mapokeo ya kiyahudi (skumbuki aliponukuu) ambayo Aisha anasimulia kwamba wayahudi walimtisha Muhammad kwamba ukikojoa na mkojo ukagusa miguu yako ukizikwa utapata adhabu kali kaburini. Na Muhammad akawaamini na akaifanya hiyo hadithi isiyokuwa na mashiko (myth) kuwa fundisho la kiislamu😂
Kusema Yesu kashinda kifo-ilhali wamuita Mungu-ni kumdogosha.
vp ashindane na kifo wakati kakiumba?
Ujue kuwa maneno yako hayana mantiki.
Ila braza muddy ni bonge la msanii, mkojo umeleta kizaa zaa
Waulize Wasomi (Wataalamu wa Afya) wakueleze Sumu/Madhara yapatikanayo ktk Mkojo.
Ndomaana Waislamu tunatakiwa Kujikinga/Kuchukuwa Tahadhal na Mkojo.
Unajichanganya Kwa Kuchanganya Kuhusu Nyumba ya Mtume na Msikiti.
Soma/Someni Historia za Kweli na si Kupotosha tu Kwa Maslahi ya Dunia ni Kumlazimisha MwenyeziMungu awaingize Motoni Kwa Kusema Uwongo 🙌
Tuletee Bwana Abubakar aliye Uhama Ukristo.
Ulisema Abubakar amerejea ktk Ukristo wake, mbona humleti tumsikie ?!
Waislamu wakati wa kufa Malaika wana wateremkia kuwapa tumaini wasiogope, soma aya hizi: Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Kisha wakanyooka sawa, hao huwateremkia Malaika wakawaambia: Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa. --haa meem sajdah 30 Na wanao amini utatu watapata adhabu: Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru. --al_maa'idah 73
Hao kaburini wanaulizwa maswali au hawaulizwi?
@@BAYYINATDMTV Kuulizwa kaburini haimaanishi ni adhabu, Muislamu aliye pewa habari njema za kuingia peponi na Malaika wakati wa kukata Roho atapita stages zote kiusalama, kwenye maisha ya kaburi na wakati wa kufufuliwa siku ya Kiyama na wakati wa hesabu mpaka kuingia peponi, Malaika wa Mwenyezi Mungu wamekwisha mpa habari njema kama asiogope wala asihuzunike, kwa hio hapatwi na shida, yote ni usalama juu ya usalama
@@BAYYINATDMTV Kuulizwa kaburini haimaanishi ni adhabu, Muislamu aliye pewa habari njema za kuingia peponi na Malaika wakati wa kukata Roho atapita stages zote kiusalama.
Halafu wewe Danieli unaongeza maneno kutoka kinywa chako, hakuna hadithi ya Mtume inasema waislamu wote watapata adhabu ya kaburi, na hio hadithi ulio inukuu inaongea kuhusu kikundi Maalumu wasio jitakasa wakati wa kumaliza haja, na nyinyi Wakristo ni miongoni mwao kwa sababu nyinyi hamujitakasi na maji mkimaliza haja zenu kubwa na ndogo, mnajifuta na tissue tu, kwa hio najasa mnabaki nazo 24 hrs. Nyinyi pia ni umma wa Muhammad kwa sababu hizi ni zama au nyakati za Mtume Muhammad, kwa hio Sheria ya kiislamu pia inawahusu
@@alyaqdhan5206 Wanaulizwa maswali au haulizwi?
Wazungu wakristo walipoingiza dini yao ukristo na wakapata wafuasi, kubwa walilolifanya ni kutunga uwongo juu ua uislaam na kuwalisha wakiwatisha wafuasi wao kwamba Qurani ni kitabu cha majini uislaam ni dini ya majini nk. Ikawa Mkristo hata akiona gazeti limeandikwa kiarabu aliogopa.
Sasa-sijui nani alowang'ata sikio-wameona kumbe walifanywa wajinga miaka mingi, wanakurupa. wamekuwa "KIPOFU NA PUNDA" kila wanachokiona basi mbio..., utawasikia "Ooo waislaam haya waliyaficha, sisi twaysyos".
Wasicho kijua-maskini-wao ndio walofichwa.
Sasa hivi eti ndio wazinduka na kuona kuwa xmasi ni jumapili ni upagani.
Ukweli ni kwamba Ukristo wote ni upagani wa warumi ulovishwa kanzu a Yesu tu.
OmariShuli: tukiichungua historia kwa uaminifu itatudhihirishia kwamba uislamu una asili ya upagani kuliko ukristo. Kama huujui ukweli huu basi ni bora ujifunze kwanza, na laiti ungeujua ukweli huu usingethubutu kuongea kuhusu ukristo kwa namna ulivyoongea!
Jesus na Muhammad aliewaumba ni mmoja.. na huyo mmoja mwenyewe hakuzaa wala hakuzaliwa hana baba wala mama na hana mshirika na wala usimfananishe na chochote na hata ukimfananisha hayuko hivyo.. mnakaa kulumbana lumbana vitabu hamvisomi kila kitu kiko dhahiri" Jesus said nimekuja kwa wana wa Israel tu! Lakini leo mijitu iko uku yombo dovya inamfata yesu inamuabudu yesu wakati Yesu used to pray for his God ellaha...". Staki comment back to my section soma tulia ujitafakari Peace out!
Hutaki ukanushwe ulichokitoa hata kama hakiko sahihi? Huo ni uoga na kutojiamini na kutokuwa mkweli.
@@BAYYINATDMTVmwl Mwankemwa kuna tofauti kubwa kati ya kumuombea marehemu(kuiombea roho ya mtu aliyekufa) na kumswalia maiti. Waislamu hawamuombei marehemu bali wanamswalia maiti sababu wanaamini baada ya kumzika maiti roho yake huja tena kuungana na mwili na maiti anaadhibiwa kaburini. Sisi wakristo wakatoliki tunamuombea roho ya marehemu sababu roho yake imeacha mwili na iko mbele za Mungu. Unasema hii haipo kwenye biblia lakini ipo. Najua kuwa wewe ni msomi na unajua ukweli huu kuwa ipo kwenye biblia!
Kabla uja sema fikiri, uache jazba za chuki.
Kwani nyinyi mtu akifa hamumuombei? Mwampeleka kanisani kufanya nini? mbona hamumvalishi suti tu nakumzika?
@@OmariShuli mbona unaiacha hoja ya msingi iliyojadiliwa hapa? Hayo maswali 3 anaulizwa Muislamu gani? Aliyekuwa anaswali kila siku au Muislamu mgeni?
@@BAYYINATDMTV Maelezo ya Ukrsto kuhusu kitakacho tokea baada kifo hayajatosheleza.
"Neno baada ya kufa tu hukumu" halijatosha kueleze yatakayofuata baada ya kifo.
Ukweli ni kwamba hukumu ni baada ya watu kufufuliwa.
Baada ya kufa kuna maisha ya kaburini, maisha ambayo bibilia haiyajui.
Hayo ndio mambo ya Ghaybu unayotakiwa kuyaamini kama yalivyopokelewa kutoka kwa yeye Mjuvi wa siri, Mtume Muhammad s.a.w.
Katuambia Mtume "Kaburi ni kituo cha mwanzo ktk vituo vya Akhera na kituo cha mwisho ktk vituo vya dunia yenye kufa"
Na pia amesema "...Kaburi imma ni Bustani ktk Mabustani ya Peponi na imma ni Shimo ktk mashimo ya motoni.
Na maswali kaburini wataulizwa wote watakaozikwa, isipokuwa ambao Allah mwenyewe amewachagua.
Pia kuombeana ni mapenzi tuliyofundishwa na dini yetu tukufu kwani ni ibada.
Mtume s.a.w. ametuambia: "Mtu anapomuombea ndugu yake muislamu basi kuna Malaika wanaoitikia " AAMIN"(na wanasema) na wewe Allah akupe mfano wa hayo"
Si hivyo tu bali kuna Malaika khaswa ambao kazi yao ni kuwaombea waislaam qur-an 40:7-9. Huo ndio udugu wetu wa kiimani, kama ambavyo tumefudishwa kusaidiana kwa shida mbalimbali za hapa duniani-mahala ambapo ni pakupita tu- ndivyo hivyo hivyo tumefundishwa kusaidiana kwa shida za akhera.
Kwani kwetu sisi waislaam tulivyofunzwa ni kuwa kupumzika kutapatikana baada ya HUKUMU.
Na hiyo hukumu ni naada ya watu wote kufa kwa kupigwa baragumu la mwisho, kisha wakae miaka mingi kisha lipigwe baragumu la kufufuliwa kisha watu wakusanywe, wahesabiwe na huko ndio kuhukumiwa na baada ya hapo ndio makazi ya milele, Mtu akiwa mkazi wa milele Peponi basi naamshukuru Allah, au akiwa mkazi wa milele Motoni basi naailaamu nafsi yake, kwani uongofu umemjia.
Danel Ukisema kuna hukumu maana yake kuna Mahakama na ukisimamishwa mahakamani basi utaulizwa maswali. Na pia unaweza ukaanza kuulizwa maswali ukiwa mahabusu.
Uislaamu ni nidhamu ya maisha. Unayoyaona ktk mipango ya serikali asilimia kubwa ni kutoka mafundisho ya uislaam.
@@BAYYINATDMTVmwalimu hawajamaa kuwaelewesha ni kazi sana wameshapofushwa na mungu wao aitwae Alaah kawarundikia majini vichwani
@@BAYYINATDMTVMtume s.a.w. ametuambia "...Kaburi ni kituo cha mwanzo kati ya vituo vya Akhera ni nikituo cha mwisho kati ya vituo vya dunia yenye kwisha, Mtu yakimuwia myepesi hapo kaburini basi yatakuwa myepesi yanayofuata baada yake, na yakimuwiya mazito basi yatakuwa mazito yatakayofuatia.
Pia Mtume s.a.w ametuambia "...Kaburi imma litakuwa bustani za peponi na imma litakuwa miongoni mwa mashimo ya motoni.."
Maswali ya kaburi yatamuhusu kila atakaekufa, azikwe asizikwe. kwani hayo ni maisha ya kiroho khaasswa.
Kusema " Baada ya kifo Hukuumu" ni kufupisha mazungumzo, wala haipingi kuwako matukio kabla ya kufikia siku ya hukumu ambayo ndio hatua ya mwisho.
Mwanaadamu akifa atakaa kaburini(BARZAKH) kwa miaka mingi,kisha litafuatia baragumu la kwanza la kumaliza maisha ya dunia, kisha-baada ya miaka-litfuatia la pili la kuwafufua viumbe na kukusanywa ktk uwanja wa kuhesabiwa ndio hukumu hiyo, na hilo nalo ni baada ya miaka mingi.
NB: Watu ktk kila kipindi au kiala hatua watakuwa wapo walio ktk mateso kwa kadiri ya matendo yake maovu, na wapo watakaokuwa ktk Raha kwa kadiri ya matendo yao mema.
Mambo haya ni ghaybu upokelewa kutoka kwa mitume na kuaminiwa.
Na mimi ninayaqini hata Yesu aliyafafanua kama hivi au inayofanana na hivi, ispokua waandishi huenda waliyaacha kama anavyosema Yohana 21:25.au Wakubwa wa makanisa-kwa vigezo vyao-hawakuyajumlisha ktk maandiko matakatifu kama mnavyo sema wenyewe.
Nimemsikia askofu fulani kwenye kipindi "EZRAEL KTK UNABII" akisema kwamba kuna habari nyingi za Yesu hazikuchukuliwa kwa sababu Yesu alikuwa hajaanza huduma, miongoni mwa alizozisema ni suala la Yesu kufinyanga udongo shikli la ndege kisha akampuliza akawa njiwa akaruka.
Pia muhubiri mmoja wa chanel Kokoto kwenye kiatu, nilimsikia akisema kuna maelfu ya Injili za Yesu hazikukidhi vigezo vya wazee wa kanisa, nayeye pia alisema ziko baadhi ya aya za Qur-an zafanana na baadhi ya injili zilizokataliwa.
Baada ya hayo tuambie wewe hivi Wakristo hamuwaombei Maiti wenu?
Ile misa mtu anapokufa kule kanisani ni ya nini? na kule kaburini? na pale mnapokwenda kuzuru mwafanya nini?
Kama mnayomfanyia maiti wenu yote hayana manufaa kwake basi yanini kupotezea watu wakati wao?
Almuradi na wewe uwe mwalimu, kwani uislam unafundishwa hivyo??? au unawafundisha wakristo wenzio naona hufahamiki unarusha tu , kwa usoomeshaji huo bora tafuta mwalimu akusomeshe usivamie vamie tu mambo..
Subiri malungu ya munkari na Nunkari😅😅😅
@@paulmushi2428 Wewe ukifa na imani ya Utatu ni Motoni
@@alyaqdhan5206kakundanganya nani
Mbona povu?
Ukafiri kitu kibaya sana yaani wewe umekaa kupinga tu sasa hilo nalo jambo la kujadili? Ujinga mtupu
Ni kweli, ameacha kujadili misingi ya imani akaingia kwenye mengine, msingi wa imani wa kwanza ni kumjua Mungu wa haki ni nani, Wakristo mpaka sasa wanabishana Mungu wa haki ni nani, Catholic wanasema Mungu ni mmoja lakini yuko kwenye nafsi tatu, Wasabato wanakataa
Funguka akili la sivyo utakutana na malungu ya Munkari na Nunkari
@@paulmushi2428Sasa nyinyi Wakristo mnadhania kama adhabu ya kaburi haiwahusu? Nyinyi pia mnaingia kwenye Sheria ya islamu kwa sababu hizi ni zama za Nabii Muhammad
@@alyaqdhan5206 ndio wanavojidanganya ivo
@@paulmushi2428 wewe unafikiri Pepo ya mjomba wako ukaingie kirahisi kama unavoingia baa?