LILITH HAJAWAHI KUWA MKE WA KWANZA WA ADAMU, MWAKILEMBE ANAIPOTOSHA BIBLIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 70

  • @BenerdoJames
    @BenerdoJames 6 дней назад +2

    Mwalimu Daniel upo sahihi... Mungu wa mbinguni atasimama na wewe

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 9 дней назад +1

    Hongera Daniel ,Mungu azidi kukupa maarifa ,ufahamu na hekima ya Roho Mtakatifu ,ubarikiwe sana.

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 7 дней назад +2

    Leo nimekuelewa Mch Daniel,hongera sana. Huyo jamaa alikuwa ana mafundisho mazuri hapo awali. Lakini amekengeuka na kufuata njia za huyo baba yake. Hawa mpango wao ni kuandika Biblia yao. Kuwa makini sana mtumishi,ibilisi yupo job. Wanajifanya wanajua kila jambo. Njaa ni mbaya,lakini ni mbaya sana ikikukuta kichwani kuna wasiwasi,utaenda njaa itakavyo. Muonee huruma,asipofanya hivyo atashughulikiwa na babaye. Leo nimefurahi kumkabili huyo jamaa. Ubarikiwe 🙏

  • @EmmanuelMsigwa-y6z
    @EmmanuelMsigwa-y6z 5 дней назад +1

    Mwalim wa Neno la Mungu yupi labda shetani

  • @EmmanuelMsigwa-y6z
    @EmmanuelMsigwa-y6z 5 дней назад +1

    Mwakilembe nikimsikia tu roho yangu inahuzunika na kukasirika vitu vingi sana anafundisha uongo

  • @TomAyodi
    @TomAyodi 9 дней назад +1

    Ubarikiwe mwalimu

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 8 дней назад

    Asante mwalimu Danieli namshukuru sana

  • @stevenmponzi8168
    @stevenmponzi8168 5 дней назад

    amna anachojua uyo

  • @mwenda8911
    @mwenda8911 9 дней назад +6

    Lilith ni mwanamke Kwa filamu Fulani ambayo ulikua ni maigizo tu

  • @bahatimwakipesile5864
    @bahatimwakipesile5864 6 дней назад

    MWL Daniel uko vizuri lakini ungemwacha kwanza achambue utujuze makosa yake

  • @ChristianityBasicchurch
    @ChristianityBasicchurch 8 дней назад

    Mwalimu agiza vyoda na vyipsi nitalipa kazi njema sana

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 6 дней назад

    Nimesabscrub kwa kuipenda kumjibu huyu mjinga imefika mahali tukiona namna ya vichwa vya habari vya mada zake mpa kuendelea kuzitazama zina kela hata usipomsikiliza kwa mtu aliejificha kwenye kivuli cha ukristo ni kaibilisi haka👹👹👹👹👹👹nilipoona mada alipoiweka nilifuta sikuskiliza nilijua tu kataongea utumbo.KWA MAMLAKA YA NENO LA MUNGU 👍👍👍👍

  • @emmanuelkinambi2506
    @emmanuelkinambi2506 9 дней назад +1

    Ni siku za mwishoni mwishoni hao wote ni waalimu wa uongo wa kipindi cha nyakati za mwisho wasubiri mungu atawapa ujira wao

  • @georgeasalla8542
    @georgeasalla8542 8 дней назад

    Mbona Isaya 34:14 haiendani na kichwa Cha habari?

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  8 дней назад

      @@georgeasalla8542 Soma hiyo katika biblia ya Kiebrania ambayo maana yake roho ya usiku.

  • @SharonAron-t1j
    @SharonAron-t1j 9 дней назад +2

    Daniel, hapa watakuja mjirani mana wametetewa huko huwa wakipata chansi kama hii utajuta

  • @PaschalKiteaKitea
    @PaschalKiteaKitea 8 дней назад

    Mwalim MUNGU akubaliki sana na akutie nguvu najua tunapambana na roho chafu zidanganyazo kutoka kwa shetani

  • @stevenmponzi8168
    @stevenmponzi8168 5 дней назад

    uyo ni mpotoshaji tena ameshapotosha mambo mengi muangalien sana tena anajiita mwalimu mwakilembe ,

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 9 дней назад

    Ni kweli wakiristu mko. Mbali Sana na ukweli hajakosea

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 9 дней назад

      Nawewe pambana na hayo majini Yako yaliyoko kichwani

    • @AllyNassor-de6ck
      @AllyNassor-de6ck 9 дней назад

      @robertphilip385 yako kwa mama yako alio kuzaa wacha ukweli use we nyie ni watoto wa paulo sio yesu Sasa mnaanza kuoana dume kwa dume jike kwa jike poleni Sana Sasa sijui wewe ushapata mume ndio lini

  • @CAPYBARA-r6w
    @CAPYBARA-r6w 9 дней назад

    Benson anaaoma mzee

  • @عائشهعائشه-م9ق
    @عائشهعائشه-م9ق 8 дней назад

    Nabiii jyoka Geodev amemtowa mwanae kafara

  • @PAULJOACKIM-f5o
    @PAULJOACKIM-f5o 9 дней назад

    AMINA MTUMISHI,

  • @AndersonNketa
    @AndersonNketa 3 дня назад

    Huyu anafundishwa na dojovik nabii wao mkuu

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 9 дней назад +2

    Mwalimu Danieli upo sahihi kabisa, Benson anatumia mawazo yake kujibu maswali na sio kama biblia inavyosema.

  • @SemaStudio-jn1yv
    @SemaStudio-jn1yv 9 дней назад +1

    Mwamba alijielezea vizuri kabisa. Biblia tunayotumia hakuna Habari za Lilith, kwa hiyo akili kumkichwa, uamini au usiamini ni wewe.

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 9 дней назад +5

    Nilikuwa nikimfuatilia zamani na nilikuwa nikimchukulia kama mwalimu bora, lakini nilipo zidi kumfuatilia nilibaini kuwa Issaya Benson ni mpotoshaji na mwalimu wa uongo ni mpagani kama wapagani wengine, hivyo nili unsubscribe chanel yake haraka sana nawala kwa sasa sitaki hata kumsikia😢.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 9 дней назад +1

      Asee huyo Isaya Mimi nilimsanukia mapema sana Yani nitapeli wa hatari kwanza ni mtetezi wa viongozi madictetor wa Dunia hi Sasa kwenyehili la Adamu ndo kaingia chaka lahatari

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 5 часов назад

    Hata usimwite mwalimu muite mpotoshaji maana anatumiwa na shetani sana kilipotosha neno anamtumikia shetani sahihi

  • @عائشهعائشه-م9ق
    @عائشهعائشه-م9ق 8 дней назад

    Huyo simwalimu kwenye kanisa layule jyoka nabi wakuzim

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 9 дней назад

    Kumbe wanajadili movie😂😂😂

  • @NduguEzekiel
    @NduguEzekiel 5 дней назад

    Hawa jamaa ni agent wa kuzimu pamoja na Geordavie ni genge moja...

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 9 дней назад

    Sababu amesema kutafsiriwa mara nyingi huyu Isaya anajua mambo mengi sana kuliko daniel mara 100

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 9 дней назад

      Nawewe pambana na Hilo li dini lako la shetani

    • @joshuaswai8203
      @joshuaswai8203 8 дней назад

      Wewe kaa kuzhoto huna hata poiti ya kusema Mw Danieli

  • @MirajiHemedi
    @MirajiHemedi День назад

    Katika kitabu kicho cha Adamu and Eve, shetani alitaka kumuua Adam akihofia kupokonywa kila kitu, siku moja shetani alimtupia Adam jiwe kubwa sana ,mungu akalifanya liwe na shimo lile jiwe likamfanika Adam kama alikuwa ndani ya shimo, huku shetani akidhani jiwe limempata lakini Adam akatoka.

  • @banyankirubusamarc1727
    @banyankirubusamarc1727 9 дней назад +3

    Daniel wewe uko sahihi, ili uwe sawa mno, mutafute umuombe mukutano wahoja ,umuulize maswali apo tafadhali. uongo ujulikane kama vile ndacha anafanya , ndacha ukiongea kitu akasikia hakikuwa sawa , anagutafuta mpaka mufanye mahojiano, fanya Ivyo sasa ndio vizuli.

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 9 дней назад

    Acha uongo wew kwani hutaki uislam ubaki ukweli

  • @Foodarmy2012
    @Foodarmy2012 9 дней назад +1

    Dhambi inaanza kuonekana Mwanzo sura 3.Mwanzo sura 1 ni uumbaji katika sura ya ramani .Sura ya pili ni uumbaji katika kukamilisha ule mpango uliyokuwa kwenye ramani

  • @PatrickNanyaro-s3c
    @PatrickNanyaro-s3c 9 дней назад

    Ametwaliwa,na aliumba

  • @adamsonkyando-l4i
    @adamsonkyando-l4i 2 дня назад

    Huyu mtu anafundisha vitu vya ajabu sana na visivyo na msingi ni mpotoshsji sana huyu anaajiita MwalimBenson,mara wakristo tunapaswa kuoa wake wengi,mala Bibilia imeharibika yani anachanganya sana

  • @lucasharison2441
    @lucasharison2441 7 дней назад

    Mimi niseme maswali kwe kitabu cha mwanzo ni zaidi ya mia mbili hivyo ubishi wenu akutapatikana mshidi mkae kwa kujipanga

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 8 дней назад

    Mbona isaya hana hata mstari anaoonyesha ni stori tu ya mdomoni

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 8 дней назад

    King Henry alikuwa shoga?au alikuwa hana mtoto wa kume?Isaya vp

  • @parismk7460
    @parismk7460 9 дней назад

    Hata pastor Tony aliwahi kusema Lilith ni mke wa adamu

    • @ERASTOSIMBEYE-d7u
      @ERASTOSIMBEYE-d7u 7 дней назад +1

      Pastor Tony ,naye hawezi badilisha ukweli , tutaamini kile biblia inasema tu, na sio mawazo ya watu.

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 9 дней назад +1

    Huyu mwakilembe anakuaga kama chizi mda mwingine , unatuletea story za udaku na za mtaani , anashindwa kuelewa biblia ndio Neno la mwisho na kila kitu ili tukikubali lazima tukipime kwenye maandiko ambayo ni biblia

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 8 дней назад

    Mwakilembe huwa ni mpotoshaji. Niliachana na hadithi zake kitambo. Hana vyanzo sahihi vya kupatia elimu yake. Lakini pia ni muumini wa nabii Joe Davie ambaye alisema siku Yesu akirudi gari yake itatumika kumwendesha Yesu.

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 9 дней назад

    hahahahah Mwankemwa noma sana,Lilith ni uongo ni tafasiri ya kale ya uongo katika Talmud hakuna katika biblia

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 9 дней назад

    Soma mwanzo 1: 26

  • @WityIbabila
    @WityIbabila 6 дней назад

    Naomba kuelewa kitu hii biblia ya vitabu 66 na yenye 72 je ni ipi sahihi. Kwanini kuna biblia aina 2 wakati kristo ni yule yule?

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  5 дней назад

      Ni kama ilivyo nyingine ina vitabu 27 na nyingine ina kitabu kimoja tu cha Injili. Zote ni Biblia.

  • @stevenmponzi8168
    @stevenmponzi8168 5 дней назад

    uyu kama muhamad hamana anachojua

  • @parismk7460
    @parismk7460 9 дней назад

    Yan tunahitaji walimu Kama Daniel wawepo wengi zaidi hawa walimu vijana wanaona wakristo ni wajinga wanatupotosha na sijui wamesomea wapi

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 9 дней назад

    Wakristo wote mnadanganyanatu hakuna mkweli Yani ukisha kua mkristo basi unatakiwa ujitambue kua wewe nimuongo maana hata bibilia yenyewe niuongo maana hakuna kitabu alichopewa na bii yoyote ambacho kinaitwa bibilia au bible maana Musa alipewa torati Daudi alipewa zaburi Issa au yesu alipewa ingiri Muhammad Alipewa koroan je bibilia alipewa nani??? Hilo ndio swali lakujiuliza jibu hakuna nabii alipewa kitabu kinachoitwa bibilia bibilia ni mjusanyiko wavitabu tofauti tofauti inamaana hata Leo ukichukia vitabu vya hesabu kingereza sayansi history jografia navingine ukaviunanisha pamoja tayali hiyo ni bibilia au bible nadio maana yake kubali kataa huo ndio ukweli nahapa utakuta Kuna wanao muunga mkono Benson mwakilembe na Kuna wengine wanamuunga mkono mwankema sasa hapo ndipo uongo unapoanzia na huu ndio ukristo kwaujula na ndio Imani ya ukristo maana bilauongu ukristo haujakamilika yesu mwenyewe haijui dini inayoitwa ukristo wala hakufundisha ukristo wala hakuacha kitabu kinachoitwa bibilia au bible ndio maana utashangaa Kuna baadhi ya wakristo wanaamini yesu nimungu na wengine wanaamini mungu niutatu yaani mungu baba mungumwana na mungu Roho na yesu mwenyewe hajawahi kujiita mungu mwana wala hajawahi kumfundusha mungu Roho bali alifundisha mungu mmojatu na hakuna mtume yoyote aliefundisha utatu 😂😂😂

    • @SharonAron-t1j
      @SharonAron-t1j 9 дней назад +1

      Duh! Umeandika sana hayo ni maoni yako sikupingi lakini hayo ni mapokeo yako hata sisi hatuna muda na kitabu chenu mana hatukiamini kama wewe unavyo sema kuhusu biblia na tunahaki ya kutoamini kitabu chenu 😂 hii ni hki ya kuchagua cha kuamini 😂 😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 9 дней назад +2

      Kwahiyo wewe unaemwabudu Allah Ambae sisi wenye akili tunamjua Allah ndo shetani mwenyewe unaona unaakili siyo

    • @BenerdoJames
      @BenerdoJames 6 дней назад

      Ww mbona n mjinga sana

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 9 дней назад +1

    Acha kukasirika wew Daniel huyu ni msomi kukuliko mbali