#BREAKING

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 131

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 10 дней назад +2

    Mwalim daniel umeeleweka vizuri ninachotaka kusema waislam hawajamtuma aseme uongo nafikiri anakuskia nafikiri niwajibuwake kuthibitisha hilo❤

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 8 дней назад

      Kama msingesshabikia uongo wake mngebakia safi uongo wake usingewahusu. Lakini sasa mnaaibika kwa sababu ya kushabikia na kufanya matangazo😅 kwa hiyo waislamu hamchomoki hapo

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v 10 дней назад +5

    Awe mchungaji asiwe mchungaji mradi ameacha upagani na akaja kwenye dini ya haki sisi tumempokea milono miwili mbona mchungaji kessy alisimu na kuonyesha vilema feki mnaotengeneza makanisani mbona hamseni na amesema kwenye ajaona andiko yesu anasema ukristo ni dini ya mungu au andiko yesu aliingia kanisani,kama nyinyi wakweli toeni hilo andiko sio mnatoa povu

    • @Rashid-vm1fk
      @Rashid-vm1fk 10 дней назад +1

      Pole sana subili siku ukifa hujamwamini YESU KRISTO ndipo utakapojua kuwa ulikuwa unamwabudu shetani

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 10 дней назад

      Waislamu ndio pagan tena makafiri mnasujudia jiwe Jeusi mkiangalia pale macca bul sheet

    • @UswegeJohn-ov3ym
      @UswegeJohn-ov3ym 9 дней назад

      ​@@Rashid-vm1fkmada ya leo umeielewa lakini?

    • @ShabaniRashidi-d2v
      @ShabaniRashidi-d2v 9 дней назад

      @JohnOuya-w7j shida yenu makanisani mnafichwa maandiko na vitabu,mitume wote wa mungu waliingia kwenye masinagogi (msikiti)na mahekalu,walisujudu,walirukuu,walinyanyua mikono juu (uislam)jiwe jeusi atulisujudii pale ni arkaba kuna chemchem ya ajabu toka enzi ya nabii Ibrahim apajawai kauka,na mitume wote walifanya ibada pale ,kama mtu analibusu ni mapenzi yake,sasa onyesha andiko wapi yesu aliingia kanisani au alisema ukristo ni dini ya mungu??matendo 11.26 ukristo na kanisa ulianzia antiokia uturuki apo yesu alishaondoka,tena kwenye maelezo ya aya hiyo inasema ukristo ni upagani walioanzisha waroma wa antiokia "hiyo ni biblia yenu nenda kasome ,Acha kudanganywa na wachungaji hao ukweli wanaujua ila wanatetea maslahi yao

    • @kolisonkolison3681
      @kolisonkolison3681 9 дней назад

      IMEKUPASA KURUDI SHULENI TENA NA KUMPOKEA YESU KUWA BWANA ANA MWOKOZI WA MAISHA YAKO:
      Iko hivi Waebrania 12:2 iko wazi kwamba sisi tunamtazama Yesu aliyeanzisha imani hii, je ninyi waislamu mnamtazama YESU katika lipi ambalo mnaliiga?....Kuitwa "mkristo" au mwamini katika Mungu ni jina tu linaloonesha njia gani unapita.....lakini hoja ya MSINGI ni unaamini NINI?_kupitia nini?_kwa fundisho lipi na kutoka kitabu gani?....hapa ndipo penye shida kubwa na ujinga unazaliwa hapa usipokuwa makini!.....
      2.Hoja ya pili: Yesu aliingia kanisani?..... Ukweli ni kwamba kipindi hicho na hata sasa kwa sehemu nyumba za za ibada za wayahudi ni hema za kukutania au hekalu au "synagogue"-msikiti wa WAYAHUDI.....Kwa taarifa yako neno msikiti halitoa haki ya Yesu kuwa muislamu hata KIDOGO!_Kwa sababu ALICHOFUNDISHA YESU kwa wayahudi wala hakihusiani na waislamu.....nitakupa mfano mdogo tu: YESU KAWAAMBIA WAYAHUDI WENZAKE KUWA AKIONDOKA ATAKUJA ROHO MTAKATIFU NAYE ATAKUWA NDANI YAO AKIWAFUNDISHA MAMBO MBALIMBALI KUMHUSU MUNGU, je ndani ya msikiti mnajifunza na kumuamini Roho mtakatifu?_jibu rahisi "HAPANA". SASA UTAONA KWAMBA JENGO KAMA TAFSIRI YA MSIKITI HALIHUSIANI NA FUNDISHO LA KWELI LA YESU ALIYETAKA KUWAGEUZA WAYAHUDI WENZIE ILI WAMFUATE YEYE KATIKA USAHIHI WAKE KAMA BIBILIA INAVYOTAKA......ndio maana wayahudi walimkataa, hii ina maanisha hakuendana na mafundisho ya kiyahudi na alitaka waache baadhi ya TAMADUNI mbovu ambazo nyinyi waislamu mpaka leo mnazo mnazifanya
      (Mathayo 15:1-7).....
      LEO HII HATA UKIBADILI MSIKITI UWE KANISA NA KANISA LIWE MSIKITI_ Kitakachotofautisha muislamu na Mkristo sio jengo wanalotumia kufanyia ibada ila "FUNDISHO".... Yaani mna katika nini!????????? KUNA KUAMINI UBATILI(Mauti) NA KUNA KUAMINI HAKI(uzima).....
      15 Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya;
      Kumbukumbu la Torati 30:15

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 9 дней назад +1

    WAISLAM NI WASANII SANA KUZIDI CHUO CHA KAOLE!!!
    DANIEL WEWE NI THE BRIGHTEST SERVANT OF GOD! UNA ELIMU,BUSARA NA HEKIMA ZA KUTOSHA SANA!!
    YOU WILL REMAIN MY ROLE MODEL FOREVER!!!

    • @Mariam-ke4og
      @Mariam-ke4og 8 дней назад

      USANII WA WAISLAM NI NINI? MBONA HUELEWEKI SIDO NDIYO TILIMWITA

    • @FikiriSalumu-jj5zi
      @FikiriSalumu-jj5zi 4 дня назад

      Mchungaji Daniel punguza jaziba.
      Kumbuka taarifa anazozisema Dr. Sule ni maneno yaliyotokana na kinywa chake yule Abubakari kwamba yeye mwenyewe alisema mchungaji sasa tatizo liko wapi? Na kama amesema uongo basi mfungulieni mashitaka ili sheria ichukue nafasi yake na kama vyeti atslavionyesha huko.

  • @AndréAkonkwa7
    @AndréAkonkwa7 10 дней назад

    Ubarikie sana mwalimu wangu

  • @elizabethraphael-z9f
    @elizabethraphael-z9f 9 дней назад +1

    Shida uislamu umekua kama matangazo ya kubeti dini isiyo jiamin

  • @Ramadhansaid-nt8tn
    @Ramadhansaid-nt8tn 4 дня назад

    mtapata shida sana wakristo hii ndiyo haki😊

  • @MiziziMti
    @MiziziMti 10 дней назад

    Ubarikiwe sana mtumishi Mwankemwa

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 9 дней назад +1

    Sule nitapeli anauza majini🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪wadanganye wakenya dini nyingine, Uongo nisuna🤣🤣🤣🤣

  • @HadijaKulewa
    @HadijaKulewa 4 дня назад +1

    Ukweli uñawauma

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 10 дней назад

    Uko sahihi kabisa mwakemwa mungu akubariki

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 10 дней назад +2

    Siku zote nasema Mwl Daniel unawapenda sana waislam ila hawataki upendo wako siku moja watakukumbuka wakiwa jehanam

    • @zuberkasim7150
      @zuberkasim7150 10 дней назад +1

      Sisi waislam tutamkumbuka danieli kwalipi unafikiri sisi waislam tumempokea muhammadi kwabahatimbaya tumamsoma ktk vitabu nakujiridhisha kua ndie alietabiriwa na taurat na injili❤❤❤

    • @ynecawashem
      @ynecawashem 10 дней назад

      Kwanini msimuite Dominic

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 10 дней назад +3

    Waislam wanapenda uongo maana kwao ni suna ndiyo maana wanashangilia kwa mtu mpotevu

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 10 дней назад

      Mbona unajidanganya kuna uongo kuliko mnaodanganywa makanisani kuuziwa papai kwamamilioni mkaabiwa linatoka mbinguni

    • @Mariam-ke4og
      @Mariam-ke4og 9 дней назад

      Wakristo ni waongo na mtadanganywa hadi mwisho wa dunia

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 9 дней назад

      Sule ameingia kwenye dili la kitapeli

    • @YvetteIrakoze-eu6ww
      @YvetteIrakoze-eu6ww 9 дней назад

      Nanyiye mafuta yaupako mnayo🤣🤣🤣🤣bila uwongo uwislam awunogi

    • @khamisijumamkoka9106
      @khamisijumamkoka9106 9 дней назад

      MAFUTA YA PIDIDI

  • @FadhiliMakasi-g5m
    @FadhiliMakasi-g5m 9 дней назад

    Mtabatashida sana wakiristo

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 10 дней назад +1

    Dr Sule usiharibu heshima ya Dr

  • @NEEMASWEDI
    @NEEMASWEDI 2 дня назад

    Wewe Dominic rudi kwa YESU kiristo kumenoga uku. Maana YESU ndio njia ya kwenda mbinguni.

  • @Ramadhansaid-nt8tn
    @Ramadhansaid-nt8tn 4 дня назад

    aaaah! wakristo mnamvua uchungaji baada ya kusilim acheni wivu

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 9 дней назад

    Great

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 9 дней назад

    MCH.Daniel, Sule ni mhuni Wala SI muislam wa kweli

  • @FadhiliMakasi-g5m
    @FadhiliMakasi-g5m 9 дней назад

    Mzee waupako nae hamsemi. Alisema kweli mzee waupako

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 10 дней назад +1

    Uislam sio dini ya Mungu ni dini ya Shetwan lengo la kuanzishwa uislamu ni kuenzi mila na taratibu za kiarabu kuvaa hijab, kanzu, kutumia lugha ya kiarabu katika ibada NK.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 10 дней назад

      Dini ya Uzushi Soma Biblia;
      ✍️ Matendo ya Mitume 11: 25...
      ✍️Luka 1 : 1
      Luka Kaokoteza ya Mitaani (Pasi na Ridhaa ya Mungu/Yesu Wenu) na Mnaamini Kwa Ujinga wenu Wakristo 🙌🤫🙆
      Hivi iweje Waandishi wa Biblia Wamsemee Mungu?
      Kwanini ktk Bibli hasemi Mungu badala yake husema Mathayo, Methew, Luka nk/Waandishi tu ! 🙌
      Je, akionyesha hizo Video Mtaamini na Kusilimu/Kuwa Waislamu (Mtauwacha Ukafiri/Ushirikina wenu) au mtaendelea Kupinga tu?

  • @AdinaniNdyengu
    @AdinaniNdyengu 10 дней назад

    Inaonyesha Mwankemwa una chuki na doctor Sule na Uislam tunakuambia Dominic yupo acha kuwakosea waislam eti tukuamini wewe na kanisa lako , kwasasa Dominic niwetu kama ni tapeli hamkusema wakati mukonae munasema leo baada kusilimu?

  • @triuneapologeticsevangelis5912
    @triuneapologeticsevangelis5912 9 дней назад

    😂😂😂😂😂wamepata embe dodooo...inanikumbusha nyimbo ya embe dodo limelala mchangani😅

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 дней назад +1

    Kwani Sulle ana hadhi gani? Ya kufuga majini? Yeye mwenyewe tapeli tu na hana hata aibu😂😂😂

  • @habibumadege8187
    @habibumadege8187 7 дней назад

    wagalatia hii imewaumasana na yawezekana kweli huyumtu ni mchungaji, mbona wengine wa kawaida wakisilimu hamtoi povu?

  • @Ciciczi
    @Ciciczi 10 дней назад +1

    Kweli wakristo hii story imewagusa sana 😂😂😂😂

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 10 дней назад

      Sana tu 🙌
      Maana anatowa/atatowa Siri za Uovu wao Ufanywao Makanisani nk Kwa Jina la Yesu, Ukristo na Bibilia
      😂😂😂
      Kama hawanashida na Mtu Kusilimu Si wamwache/wakae Kimya tu.

    • @MaimunaMhina
      @MaimunaMhina 10 дней назад

      Tens imewaumiza sana

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 8 дней назад

      ​@@alhadajjmohammedsmith9042mna unafiki nyie waislamu. Akae kimya asiseme sasa nyie mbona mlimpokea na mkafanya matangazo hamkukaa kimya?

  • @morrisabdon7881
    @morrisabdon7881 10 дней назад

    ukweli hakuna uwezekano wa mchungaji au padri "wa kweli " kuuacha ukristu" ila waumini tokana na uelewa mdogo wa imani zao ni rahisi kubadi.

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 3 дня назад

    Waisilamu wasanii tu dini yenyewe yauwongo muhadi tapeli alisambaza uislamu kwa upanga acheni uwongo

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 9 дней назад

    Sule,we kipaji chako ni kufuga majini,mambo ya uchungaji huyawezi!!!

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 10 дней назад +2

    Mwankemwa achana nao hawa -- " wasemapo uongo husema uongo wa baba yao,maana yeye ni mwongo na ni baba wa uongo -- asemapo uongo husema yaliyo yake mwenyewe..."

    • @JohnBenedict123
      @JohnBenedict123 10 дней назад

      Umesema vizuri mtumishi. Lakini analolifanya mwalimu aisee Lina maana sanaaa.
      Kwa taarifa yako uongo wowote anaoutunga shetani usipovunjwa na kuwekwa wazi huwa kuna watu wengi wajinga wanauamini, na wengine wanafikia kuacha Imani kabisaa
      Yaani Iko hivi... UONGO WOWOTE ANAOUTUNGA SHETANI NI LAZIMA UZIBWE MDOMO, kwa sababu ya kuokoa Roho za watoto wachanga kiroho. Na ndicho anachofanya mwalimu Daniel

  • @omarbillyomar3042
    @omarbillyomar3042 10 дней назад

    Mwalimu ata kama mm si mjuzi,Huyo bwana alisema nyumba za Ibada ni mbili Yani sinagogi na misikiti je Hekalu ni nn kwa wajibu wake na je,yesu ni wapi aliingia kwa masjid

  • @MohamedHaji-s4e
    @MohamedHaji-s4e 10 дней назад

    Wewe Wacha kusema uongo wewe umeumia na wenzio sisi waisslam hatuhusiki kama yeye kasema uongo kwenu almuhimu ameacha ukiristo sisi hatupasi kuuliza muhimu mtu aache ukafiri tu wewe utaumwa mpaka utakufa ukiristo sio dini ndugu yangu utake usitake watakuja kuslim wengi tu

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 10 дней назад

    Kama Sule anaambiwa juu ya mchungaji feki na yeye anang'ang'ania kumkumbatia basi ujuwe kuna Sindicate kati yake na mchungaji feki, kuna kitu kinasukwa ili kilete faida kati yao. "UPIGAJI"

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 6 дней назад

    KUNA ULE USEMI USEMAO. MTU MZIMA UKIVULIWA NGUO HUNA BUDI KUCHUTAMA. SASA HAPA SHEKHE WANGU DR. SULE HUNA KWENYE HILI SUALA HUNA BUDI KUCHUTAMA.

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 10 дней назад

    Uislamu unaenea kwa uwongo na upanga

  • @HadijaKulewa
    @HadijaKulewa 4 дня назад

    Kutoka kwake nyinyi mepungukiwananini

  • @stephenkikoti9223
    @stephenkikoti9223 10 дней назад

    Huyo dominiki ni tàpeli ,Biblia haijui. Kama alikuwa mchungaji alikuwa chini ya askofu nani? Jimbo Gani? .

  • @triuneapologeticsevangelis5912
    @triuneapologeticsevangelis5912 9 дней назад

    Sule c doctor,huyu ni tapeli wa kawaida,muongo,mganga wa kienyeji wa kawaida😂

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 9 дней назад

    Eti kala sumu kweli sule nitapeli

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 10 дней назад

    Kwavile ameingia ktk Uislamu mnamvua Uchungaji laakin alipokuwa akiwachunga Kindoo wa Bwana Kanisani (Kumuasi Mungu kupitia Ukristo, Biblia na Yesu) mnaona sawa tu.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 дней назад +2

      Hoja yetu ni lini aliwahi kuwa Mchungaji? Hiyo ndiyo hoja yetu. Tujibuni.

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 10 дней назад +1

      Uchungaji haupatikani kama urafiki wa fb. Ukristo hupati uongozi kwa fb au youtube.

    • @triuneapologeticsevangelis5912
      @triuneapologeticsevangelis5912 9 дней назад

      😂😂alikua mchungaji wa kanisa Gani, acheni kukuru-kakara za uislamu😊

  • @MichaelVicent-w8h
    @MichaelVicent-w8h 9 дней назад

    WAISLAM WAELELEWA TAMBUEN ,,UYO NI MUHANGAIKAJI ANATAFUTA PA KUTOBOLEA MAISHA,,AMEONA MWENZAKE ,KESSI KATOBOLEA KWA WAISLAM,,ANADHAN NA YEYE ATAKUWA IVO KUWEN MAKIN NATAMBUA WAISLAM,,NA,,WAKLISTO WA SASA WAMEAMKA SANA KUTOZIKUBALI IZO ZIDANGANYAZO

  • @AdinaniNdyengu
    @AdinaniNdyengu 10 дней назад

    Wewe Mwankemwa hicho Cheti mukamdai Dominik na sio Docter Sule mbona unamuandama Doctor Sule na Dominic yupo? Yeye ameripoti kwetu ni Mchungaji acha kuwaparamia Mashekhe

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y 10 дней назад

    Wamezoea uongo nawajua hawa tatizo ni Baba yao.. Wamemwacha Mungu wa kweli wapo kujifariji katika madhalimu...

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 10 дней назад

      Msikie Miongoni mwa Waongo (alowaandikia Biblia Kwa Kuokoteza ya Mitaani na Kujiandikia tu na Kuongopa eti hayo alookoteza Mitaani ni Maneno ya Mungu) 🙌
      Soma Biblia
      ✍️Luka 1 : 1

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 10 дней назад

    Tumpeleke MAHAKAMANI ili alete vielelezo hivyo ili aache kuchafua KANISA la MUNGU

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 9 дней назад

    Sasa kaludi ukristo Tena🤣🤣🤣

  • @feizalmas
    @feizalmas 10 дней назад

    Dah mnaumia sana wakiristo juu ya huyu dominic. Sasa jiandaeni na ronaldo anasilimu mda si mrefu.

    • @alisonikihedu9614
      @alisonikihedu9614 9 дней назад

      Chaajabu nikipi hapo kama mtu ameamua kwenda jehanam mwenyew

    • @elizabethraphael-z9f
      @elizabethraphael-z9f 9 дней назад

      Kwani Ronald nani kwetu sisi wakristo mjitahidi na mke wake akipata mashetani mumtoe na siyo kuwaita Tena wakristo

  • @FadhiliMakasi-g5m
    @FadhiliMakasi-g5m 9 дней назад

    Kwani mchungaji sijina tu

  • @MaimunaMhina
    @MaimunaMhina 10 дней назад

    mbona imewachoma sana hiyo

  • @JohnNjuyuwi-c2t
    @JohnNjuyuwi-c2t 10 дней назад

    Huyo mchungaji feki arushe mahubiri yake tuyaone mtandaoni pia kanisa gani alitumika na alisimikwa na askofu gani na wa dhehebu gani

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 10 дней назад

    Katika watu ambao nimeufunga mjadala wake ni dominiki tu, maandiko tu anayataja kwa vitabu sio sura wala msitali, kiboko yao Sasa ambae hata waisilam walishangaa ni kusema muhamadi ni roho mtu kafa kaoa kaishi pangoni hafu kiumbe hicho kukiita roho niupumbavu ndugu zangu waikiisilam, okokeni waisilam, sijamuelewa sana.

  • @FadhiliMakasi-g5m
    @FadhiliMakasi-g5m 9 дней назад

    Sule kasema kweli nyie mnateseka

  • @MankaTansaniya
    @MankaTansaniya 10 дней назад

    Wapo waislamu waliookoka sasa lakini hawakuwahi kuongopa kwamba walipotoka walikuwa mashehe,maimamu..huu ulikuwa ni mpango ili kufedhehesha upande mwingine..ila njia ya muongo ni fupi, ukweli umejulikana

  • @husseinothman1257
    @husseinothman1257 10 дней назад

    Wewe mwankemwa acha usanii na chuki binafsi

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u 10 дней назад

    Mpwedwa Daniel achana naye uyo mchungaji feki mwenye masikio na amesikia si wameshupasa shingo zao acha waende moton

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 10 дней назад

    Sule mwongo sana Mimi nilifatilia akifundisha Historia ya Taifa la Israel na Palestine nikajua kuwa Hakiri yasule Zero.

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 10 дней назад

    Haaaaa Sure Bwana anyway now days sitaki maneno Coz baada ya kujua Usilamu bila Uwongo Aupo kwa kidogo ninanvyo endelea kusikiliza Elimu ya Hii Dini Naogoba sana walivyo professional wa Kupanga Uongo.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 10 дней назад

      Soma Luka 1 : 1
      Utamjuwa Muongo (Luka) kaokoteza ya Mitaani akajiandikia na Kuwaambia hayo ni Maneno ya Mungu na Mnaamini Kwa Ujinga wenu 🙌🤫

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 8 дней назад

      ​@@alhadajjmohammedsmith9042wewe Alhaji mpumbavu kweli. Luka aliokoteza mitaani na Muhammad alikipata wapi hicho kitabu chenu? Mbona huko kwenye Kur ani kuna habari iliyonakiliwa kutoka kwenye injili aliyoiandika Luka?? Halafu mnadanganyana eti Kur ani iliteremshwa na malaika kutoka mbinguni na mnaamini. Huyo mungu gani anateremsha vitabu kwa watu ambavyo amekopi kutoka mambo ambayo watu walishayaandika? Ninyi mazuzu kwelikweli😂

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 10 дней назад +1

    Umepata pgo chukia utakavyochukia alikuwa ni mchungaji

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 10 дней назад

    Tapeli amekutana na tapeli mwenzake na sule kama alikutumia basi wewe sule rusha tuamini kama kweli ni kidume

  • @abdulrahmankhamis4099
    @abdulrahmankhamis4099 10 дней назад

    Kwann unaweka alam ya mwezi juu ya kitabu kinachponekana kama quran, dini ya kiisalam haitumii symbols ondoa huo mwezi. Acha upoteshaji

  • @DawdyMzingula
    @DawdyMzingula 9 дней назад

    ahahah ila we jamaa ni mpumbavu sana 😅 sa unaongea Nini hapo

  • @abdaboking1463
    @abdaboking1463 10 дней назад

    Nyinyi makafiri munachuki tu nyoyoni mwenu. Mukiona mtu anasilimu munajawa na chuki.

    • @Stewart-l6t
      @Stewart-l6t 10 дней назад

      Hakuna anayekua na chuki na mtu kuhamia dini nyingine lakini kinachohitajika ni kuongeza ukweli

    • @OdiloMwemezi
      @OdiloMwemezi 10 дней назад +1

      Alafu Kuna watu na hukia mtu kuhama dini kama nyie pindi mwisilamu akiwa Makristo?mnawapiga lisasi

    • @roberttagaya9098
      @roberttagaya9098 6 дней назад

      Simple like that huyo Dominic si aonyeshe tu hicho cheti cha uchungaji kama anacho ili kuondoa huu ukinzani ulio jitokeza. Sasa mbona hakitoi kama kweli anacho hicho cheti cha uchungaji.

  • @FadhiliMakasi-g5m
    @FadhiliMakasi-g5m 9 дней назад

    Mbona nyie mnaupaka matope uislamu sinagogi ni Msikiti

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 8 дней назад

    Huyu sule ni dokta kwa usomi au ni dokta wa mitishamba?

  • @MuhamediHaruna
    @MuhamediHaruna 9 дней назад

    Kusilim kwa uyu mchungaji mbona mme changanyikiwa saana kweli mmepata pigo tulien dawa iwaingie

    • @GSELgodoni
      @GSELgodoni 6 дней назад

      Asharudi ndugu yangu.

    • @roberttagaya9098
      @roberttagaya9098 6 дней назад

      Kwahiyo na wewe umerizika na huu utapeli unaofanywa na shekhe wenu Suleman?

  • @FadhiliMakasi-g5m
    @FadhiliMakasi-g5m 9 дней назад

    Mbona nyie mnaupaka matope uislamu

  • @castoraphael7172
    @castoraphael7172 10 дней назад

    huyo dominic aseme tu kanisa lake lilikuwa wapi?kama ni kweli waumin wake wajitokeze wathibitishe

  • @AllyMsafiri-kw2ne
    @AllyMsafiri-kw2ne 10 дней назад

    Kama dominic hanamaana yoyote kuwakwake muislamu ninyi kina danieli mnahangaika nini hili limiwavuruga kudadeki mpaka mkome

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 дней назад

      @@AllyMsafiri-kw2ne Tujibie wewe Dominic alikuwa ni mchungaji wa Kanisa gani? La wapi?

    • @roberttagaya9098
      @roberttagaya9098 6 дней назад

      Tatizo lenu nyinyi wengi ni mambumbu wa akili na ufahamu. Ndio mana mnatumika sana kwenye kufanya mambo ya kijinga eti mnafia dini yenu.

  • @Muniro_Mnyoro
    @Muniro_Mnyoro 9 дней назад

    Sasa ww unataka video..kwan inakuhusu nn na yy amexha amua kuslim achen kufatilia maisha ya watu kila mmoja ana haki ya kufata anachokiamini

  • @GideonLangat-j2v
    @GideonLangat-j2v 10 дней назад

    Dominic karogwa Na wachawi wa kislamu

  • @karabhageganyanza
    @karabhageganyanza 10 дней назад

    Wachungaji huwa wanapewa vyeti tumwombe aonyeshe vyeti kama hana basi ni mtapeli

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 10 дней назад

      Tuonyeshe Vyeti vya Zumaridi, Nabii Kiboko wa Wachawi nk wa Mfano wake.
      Kwani Kupata hivyo Vyeti ndo Uhalali wa Kukufuru?!👇
      Abubakar amekimbia Ukristo Kwa Upuuzi huu nk WA mfano wake 👇
      ruclips.net/video/UI8j_EdULZI/видео.htmlsi=As_n5Wy1JLhJH90b

  • @karabhageganyanza
    @karabhageganyanza 10 дней назад

    Haaa sule huyu! Inamaana mtu akibadili dini hua wanamnyang'anya pesa? Kwann ahamie dini awe na uhitaji? Huyu Dominik nimpigaji kaenda kutafuta maisha huko

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 10 дней назад

    Ni barua zenu hizo mnatengeneza

  • @FadhiliMakasi-g5m
    @FadhiliMakasi-g5m 9 дней назад

    Mbona umalizii video unaonesha kipande

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 10 дней назад

    Sule ni mganga wa kienyeji tu

  • @pascalvirgilio7208
    @pascalvirgilio7208 10 дней назад

    Sule muongo sana kiboko yako shafii wewe😂

  • @karabhageganyanza
    @karabhageganyanza 10 дней назад

    Sule nae tapeli

  • @triuneapologeticsevangelis5912
    @triuneapologeticsevangelis5912 9 дней назад

    😂😂

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 10 дней назад

    Mwankemwa achana na hawa watu wajinga. Hao ni wajinga jinga tuu.

  • @pazi8207
    @pazi8207 10 дней назад

    Hahaha

  • @ynecawashem
    @ynecawashem 10 дней назад

    Inaonekana mnamkubali Dominic si ndio