MASWALI MBALI MBALI KUHUSU SABATO, UTATU MTAKATIFU, UNABII NA UUNGU WA YESU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 10

  • @JosephPaul-l8h
    @JosephPaul-l8h День назад +1

    Barikiwa sana Mtumishi. Umefanikiwa kuielewa neema ya Kristo Yesu Katika agano jipya,wasabato hawaielewi neema yakristo,neema ya agano jipya inatuweka wazi kuwa pumziko letu sisi wakristo sikatika siku Bali nikatika YESU KRISTO,kuing'ang'ania siku ndiyo pumziko nikumpinga Kristo ambaye ndiye Uhalisia naukweli wa neno sabato.Mathayo.11:29-30. songambele Mwalimu

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 День назад

    Shekhe Mwankema unanionea bure ila mimi sikusema Ustadhi Mbogo ndie aliesema kuwa wewe na yeye mnamdahalo lakini hukuhudhiria au uliogopa makombora ya kislamu

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  День назад

      Mdahalo wa lini ambao sikuhudhuria?

  • @JastinJonas-u1r
    @JastinJonas-u1r 2 дня назад

    Tuko pamoja mwarimu ,,baazi ya wasabato wanasema ware warioko israeri siyo waisraeri.

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 День назад

    Shekhe Daniel ilikuwa siku Jumatatu hata video ipo akihojiwa Simulizi umeogopa

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  День назад

      Siyo kweli hatukupanga siku tulikuwa katika kupanga mdahalo uwe lini na wapi?

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 День назад +1

    Mwalimu, waebrania 4:9 mbona inajieleza vizuri? Inasema imesalia Raha ya sabato.yaani,siku hiyo ya sabato kulikuwa na Raha yake,watu walipata kupumzika na kustarehe Kama ilivyokuwa imeelekezwa.ndo kusema kulikuwa na hiyo siku halafu na Raha ya siku hiyo.kwa maana hiyo sabato siku haipo ila imebakia Raha yake yaani pumziko.kwa hiyo pumziko lipo na tunalipata katika kristo baada ya kutua mizigo yetu kwake.pumziko lile la agano la kale ni la kimwili yaani tupumzike baada ya kazi za siku Saba,lakini la agano jipya ni la kiroho,mizigo tuliyonayo,mahangaiko n.k tunapata amani yake Kwa kuwa wanafunzi wa kristo,Kwa hiyo pumziko ni Kwa kristo,ndo hiyo Raha iliyosalia.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  День назад

      Hiyo Waebrania 4:9 ni sabato ya siku ya Saba au ni pumziko lisilohusika na siku?

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 2 дня назад

    Kazi yako kukimbia wahubiri wakislamu unajifanya unaumwa kumbe umemkimbia mb

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  День назад

      Wewe mbona kila wakati unapenda kuandika mambo ya uongo? Hukumsikia Mhadhiri wenu Mwaipopo akitangaza kuahirishwa kwa mdahalo huo? Punguza ujinga. Hata kukaa kimya ni hekima