#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 39

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Месяц назад +1

    Hongera Mwalimu Daniel, kwa kendelea kuwanyoosha hawa wasabato wa siku. Huyu mkongomani hajielewi kabisa, hata siyo saizi yako. Huyu hata mimi ningemtosha tu, amempotezea muda Mwalimu.

  • @MagrethAndrea-x7o
    @MagrethAndrea-x7o Месяц назад

    Ubarikiwe mwalimu danieli

  • @MagrethAndrea-x7o
    @MagrethAndrea-x7o Месяц назад

    Haleluya

  • @AnafBanda
    @AnafBanda Месяц назад

    Ni

  • @petersonnyamweru
    @petersonnyamweru Месяц назад

    Piga spana mwl DANIEL

  • @WillBat-gc9ex
    @WillBat-gc9ex Месяц назад

    Daniel ana hoja za maandiko na hana hasira hivo ndo uongeaj wake harafu wakristo tunafahamishana safar yetu ni moja tu njia ya kristo na sio sabato tena

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 Месяц назад

    Mwankemwa wanyooshe hao

  • @ahadimalamso4155
    @ahadimalamso4155 Месяц назад +1

    Mkongo hajui kuwa anaongea na muhuni wa Kariakoo

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 Месяц назад

      Kwani kariakoo wanaijua biblia? Kusema ukweli wasabato safari hii mmepatikana vilivyo.

    • @WillBat-gc9ex
      @WillBat-gc9ex Месяц назад

      Ubarikiwe​@@venancemwanya4212

    • @DaimonMwapelele-g1d
      @DaimonMwapelele-g1d 28 дней назад

      ​@@venancemwanya4212kweli Daniel mhun wa kariakoo antetea uovu na shetan wake anamtumikia kwan amri za MUNGU ziko kumi MUNGU ameagiza ziandikwe moyon upendo wetu kwa MUNGU ni kushika amri zake zote sio kushika Tisa au nane zote kum yohana 14:15,23 1yohana 5:3

  • @RaamaNyigo
    @RaamaNyigo Месяц назад +1

    Ubalikiwe mkongo man,lakini kwa huyu mzee, Kwanzaa anahasila, alafu kukubali kwamba hayupo sahihi awezi ,kwasababu Anaona atapoteza wale wanao muamini.huo ndio uchaguzi wake,anatafuta vichaka visivyo mficha.kwanza hiyo mathayo imekumaliza, yeremia 31;31 imekuuwa, sheria aliyo iweka mioyoni mwetu ,niipi?

  • @Eliasmasatu2951
    @Eliasmasatu2951 Месяц назад

    Daniel mwakemwa umebobea katika elimu ya biblia ,wafundishe wanaoelewa sabato kwa mazoea

  • @OmariShuli
    @OmariShuli Месяц назад

    Danel, usiseme mambo usoyajua.
    Siku kwa waarabu na uislaam uanza jamaapili uishilia jumaamosi. Mbona jamaako chaka alijua hilo?Labda uliyosikia wewe ni maneno ya mitaani.
    Pia nikifuatilia midahalo yenu, naonahoja za kupinga uwepo wa sabato hazina mashiko.
    Agano la sabato limetajwa kuwa la milele ktk maeneo mingi, tena kwa maandiko ya waziwazi,, lkn hakuna andiko hata moja la wazi lililoivunja sabato.
    Dalili unazozitoa za hazina mashiko;
    1-Hosea 2:11; hakuna katazo hapo. hapo kuna onyo tu kwa wanaofanya maovu, wanatahadharishwa isije ikawapata adhabu ambayo itawafanya washindwe ni kutekeleza sabato na kushereheka sikukuu zao nk.
    2-Yesu baada ya huko kunakoitwa kufufuka,bibilia inasema alijitokeza mara tatu, na baadae anatoweka bila ya kujuzwa anako kwenda, kwa maana hiyo hakuwa na maishaya kukaa muda mrefu na wanafunzi wake.
    Na kutosimuliwa kuhusu wanafunzi kutotekeleza sabato si dalili ya kuvunjwa kwa sabato. Pengine wana historia ndio ambao hawakuandika tu.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Месяц назад

      @@OmariShuli Hujui unachokiandika hapa. Yaani watu wadai ipo inaendelea wakati Biblia inasema ilifutwa? Kama ipo Yesu Bwana wa Sabato mbona Alipofufuka hakuitukuza tena wala Wanafunzi wake?

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh Месяц назад

      kbs ata shuleni tumefunzwa kwamba siku ya kwanza ya week ni sunday!

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh Месяц назад

      ​@BAYYINATDMTV kama ww si mtu wa siku ao sheria geuzeni basi kwenda sunday afu anzeni kwenda monday,mzee ivi ww shida yako nini aswa?

    • @OmariShuli
      @OmariShuli Месяц назад

      ​@@BAYYINATDMTV Mimi najua ninachoandika, bali inaelekea wewe ndo hujaelewa maandiko ya bibilia.
      Labda ni kuulize, bibilia inasema Yesu alijitokeza kwa wanafunzi wake mara tatu.
      Alijitokeza kutokea wapi?
      Ni wazi yesu hakuwa akiishi miongoni mwa wanafunzi wake, kwa maana hiyo hata huko aliko kua hakujulikani wala alichokua akikifanya huko hakijulikani.
      Pia nimekwambia hosea 2:11 haionyeshi kufuta sabato kabisa, isome kuanzia 1, kisha endelea 12 nk utaelewa, na ninayakini waelewa bali hutaki kukiri tu.

    • @OmariShuli
      @OmariShuli Месяц назад

      ​@@BAYYINATDMTV pia nimekuuliza , yale maandiko yanayosema Agano ni la milele inamaana gani? milele ina mwisho?

  • @ahadimalamso4155
    @ahadimalamso4155 Месяц назад +1

    Daniel wewe ni mjinga tu. Ni mjinga kwa kuwa hujui tofauti ya dini ya Kiyahidi na Waadventista Wasabato. Kajifunze na uwe mnyenyekevu.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Месяц назад

      @@ahadimalamso4155 hapo ndiyo umetufundisha tofauti ya dini ya Kiyahudi na Waadventista Wasabato?

    • @liberatusmboje8332
      @liberatusmboje8332 Месяц назад

      Awe mnyenyekevu Kwa nani Sasa?unyenyekevu ni kusema kweli ya kristo Kwa ujasiri

  • @RaamaNyigo
    @RaamaNyigo Месяц назад +1

    Wewe mzee ungejalibu kuwa mnyenyekevu ujifunze vizuri bibilia ,huijui, unaposoma torati,unajua ni Sabato tu ,alafu ni mtu uliyejipangatu kushindana na Sabato.

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 Месяц назад +1

      Ashindane na sabato ili iwe nini. Sabato sio Mungu. Nyie mmeifanya sabato kama vile ni Mungu.

    • @RaamaNyigo
      @RaamaNyigo Месяц назад

      @venancemwanya4212 kwani shetani anashindana na Mungu ili I've nini?

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 Месяц назад

      Kwa hiyo Sabato ni shetani?

    • @RaamaNyigo
      @RaamaNyigo Месяц назад

      @venancemwanya4212 uelewe wewe, Mungu alisema usizini ukizini umempinga Mungu na ndiye aliyesema uikumbuke Sabato,usipoikumbuka, jaza mwenyewe

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Месяц назад +1

      @@RaamaNyigo najazia. Wana wa Israel waliambiwa ikumbuke siku ya Sabato ili wasije wakatoka nje kwenda kuokota mana ambayo kwa siku ya Sabato mana haikushushwa( Kut 16:23)

  • @ahadimalamso4155
    @ahadimalamso4155 Месяц назад

    Alipoambiwa ataje amri 10 za Mungu, Daniel kakimbia. Makanisa yao hayafundishi amri 10, kwahiyo utakuta kwa umri alionao Daniel hawezi kuzitaja amri 10 za Mungu, "shame shame"

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Месяц назад

      Kwenye Agano Jipya Yesu katupa amri mbili na nimezisoma kwenye Yohana 13:34. Nyinyi Wasabato hamlitaki neno MPYA mnataka muendelee na amri 10 za kwenye mawe kwenye Agano la Kale. Hilo ndilo tatizo lenu mnampinga hata Yesu kama walivyofanya Wayahudi, mnatofauti gani nao?

    • @DaimonMwapelele-g1d
      @DaimonMwapelele-g1d 28 дней назад

      ​@@BAYYINATDMTVbas Kama wewe hufundish amri kum wafundishe waumin wake wazin waibe watoe kafala wayasujudie na Sanam amri mpya haiondoi amri kum Wala yesu hakuna kuondoa wewe ninan unaeondoa

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh Месяц назад

    Daniel ivi ww unajiona kujuwa biblia sana ao unajiona kuzaliwa na biblia?kitu kama ujuwi acha ufunzwe usijifanye kujuwa sana ipo siku utaona ahibu mzee na kwambia ww kazi ubishi tu ali ujuwi lolote ww!

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Месяц назад

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh ndiyo umeishia hapo tu? Huna zaidi? Ahsante kushiriki

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh Месяц назад

      @BAYYINATDMTV nyinyi nima agents wa shetani!

  • @MagrethAndrea-x7o
    @MagrethAndrea-x7o Месяц назад

    Haleluya