NI MARUFUKU WAISLAMU KUFUNDISHA UKRISTO NA WAKRISTO KUFUNDISHA UISLAMU MASHULENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 53

  • @AlnordGozonga-gw2sb
    @AlnordGozonga-gw2sb Месяц назад +5

    Hamuna lolote zote nyumba za mungu acheni kupotosha jamiii

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j Месяц назад +2

    Ni kweli kabisa unavosema

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 Месяц назад +3

    Hili ni sawa kabisa...Utakuta kwny mitandao wafuasi wa dini flani wanawatusi wadini flani na hata kwa majina tunayo huko tiktock...Mnayosema yako sawa😊

  • @alfredbee7967
    @alfredbee7967 Месяц назад +4

    Waziri mzalendo watanzania mnamkumbuka huyu mwamba sakata la sukari au gape Suger? Noma xana tuanahitaji watu wa aina hii cyo wale madalali wa hovyo

  • @saidsuleiman9018
    @saidsuleiman9018 Месяц назад +3

    Sasa na wanaojita wakiristo sasa wamefaulu kuendelea kuingiza agenda za za iman ktk jamii

    • @0diraWilson
      @0diraWilson Месяц назад

      Nani kawakataza kuhubiri Uislam?.Kazi yenu ni Kutukana Ukristo. Labda mnadhani ndio kuhubiri Uislam. Mnajiona mnaijua BIBLIA vizuri, kuliko WAKRISTO. sisi hatuna ugomvi nanyi WAISLAM kwani tuna Waislamu ni marafiki zetu tunakaa nao vizuri tu. Kila mtu na IMANI yake. Lakini utasikia MAKAFIRI hayo! Kama tutaamua kutumia LUGHA mnayo tumia ninyi mtaikubali?. Mnauliza maswali ya kijinga ambayo mnaona mna BUSARA sana,lakini hamjui chochote kile kuhusu BIBLIA. hebu fikiria ni nani atafanya BIASHARA ya hasara? Isiyo mpa FAIDA? sisi hatuna haja kusoma kirumi, lakini Ninyi mnasoma BIBLIA, kwanini, kwanini? Tuishi kwa Amani ndugu zetu WAISLAM

  • @sumbulan
    @sumbulan Месяц назад

    Kazi nzuri sana

  • @AliMahmoud-p7o
    @AliMahmoud-p7o Месяц назад +6

    Wakristo mmna tabia ya kukaahifu dini ya haki uislamu.pia kemeeni mpaka mnachana kitabu kitukufu Wala muisla hakuna hata mmoja aliyewahi kucha bibilia yenu

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x Месяц назад +2

      Dini yenu ya haki lkn siyo ya kweli

    • @KIZIMYAMOTOMussa
      @KIZIMYAMOTOMussa Месяц назад

      Ni washenzi kashfa na matusi kutumiya pesa kuwarubuni watu ndiyo zao

    • @samwa9496
      @samwa9496 Месяц назад

      ​@@ImaniTinda-h6xKila mtu muache na Imani yake

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 Месяц назад

      Nyani haoni kundule loooooo😂😂😂😂😂😂😂😂 ,Kuna watu Dunia hii wanaongoza kukashfu wengine kama ninyi?

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 Месяц назад +2

    Sijaelewa apo walimu watalipwa kama walimu wengine kwasabu wote niwalimu tunaomba Majibu yahalaka sana

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 Месяц назад

      Ndio watalipwa kama walimu wengine kikubwa tu ni kwamba uwe na ya dini na uwe unavyeti vya kuthibitisha elimu Yako na uwe na CV.
      Maana hata huku kwenye Taasisi yetu wanakuja wasomi kutoa semina juu ya huo mtaala ambao serikali imeanzisha.

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq Месяц назад +1

    Secondary tulikua tunaimba mapambio maziri mpaka wanafunzi wa kiislamu walikua wanaingia kusikiliza na kuimba

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda Месяц назад +1

    Walimu Dini waajiliwe kabisa kama walimu wamasomo mengine

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv Месяц назад +2

    Saw muislm afundishe waislm nawakristo pia. Huo uislamu unamadhehebu inakuaje hapo

    • @user13375
      @user13375 Месяц назад +2

      Hata ukristo madheheb kibao, 😮😮

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Месяц назад

      Wewe acha vitu vya kijinga madhehebu ndio nini katika uislamu ,je Mtume Muhammad s.a.w alikuwa dhehebu gani?. naomba nifahamishe tafadhali .

  • @AMwanjoka
    @AMwanjoka Месяц назад

    Kama Waislam wangehubiri "Ukristo" wa kwenye Quran yao. Pasingekuwa na shida yoyote
    Lakini wanapojipa uanazuoni kufundisha Ukristo wa Biblia kwa kutumia "Ukristo" wa Quran ndiyo shida kubwa
    Wangefubdisha kuhusu Isa Mwana wa Mariam pasipo kumhusha na Yesu sidhani kama kungekuwa na Mktisto mwenye shida na wao
    Lakini kumuita Yesu kuwa ndiye Isa ni kufudu kubwa sana na ni uchokozi ... Sifa za Yesu sio sifa za Isa

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k Месяц назад

    😢 yote hayo mungu mwenyewe tu hakuna jins 4:25

  • @elisantemasaki
    @elisantemasaki Месяц назад +1

    Upanga wa roho ambao Ni neno la Mungu linaweza kuzuia kukata dini vipande vipande??

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 Месяц назад

    Bado ijulikane kuwa dini katika Nchi yetu ni ya hiari ya mtu kuamini isiwekewe.masharti yanayovunja Katiba yetu. Nchi haina dini lakini raia wake wanazo dini mbalimbali. Tusijichangqnye vipindi vya dini viwepo na wanafunzi wajifunze dini zote ili wawe na hiari ya kufuata wanachokiamini sio kulazimishwa.

  • @elisantemasaki
    @elisantemasaki Месяц назад +2

    Kama ndani ya dini kuna mtu adui na Kweli ya Mungu ataambiwa na nani?

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 Месяц назад

    Na itakuwa vyema ikizingatiwa pia ikiwa mtu anasomesha Dini Yake basi asipotoshe maandiko na Kutusi Dino nyengine

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Месяц назад

    HAKUNA WATU WA DEBATE MPAKA KIELEWEKE SERIKALI HAINA DINI 😢😢😢😢

  • @samwa9496
    @samwa9496 Месяц назад

    Hivi vitabu vyote vinne vya M/Mungu mnataka kutupumbaza akili mbona ninyi mlivisoma vyote

  • @rashidkapile
    @rashidkapile Месяц назад

    Mlisema selikali haina dini sasa mnatuyumbisha?kwenye kuapishwa mnawaalika wazee wetu muisla&mkristo Mfikili kwanza

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Месяц назад

    Sio wazazi tu kutokuamini bali hata ktk haku za binadamu haifai asieamuni ktk dini kufundisha dini hiyo. Hapo mmezitendea haki dini.

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x Месяц назад +1

    Lazma dini ZOTE zifundishwe mtu ajue ukweli, lkn navojua mm watu wakifundishwa kuruan wote wataikimbia kuruan na kuitaka biblia

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Месяц назад +1

      Ww uaakili kweli? Nani ataukimbia ukweli na kuufata uongo lbda mvivu km ww usotaka kusoma

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x Месяц назад

      @Fear_Allah394 kuruan ad msomewe kweli zingine serikal ingefuta tu

    • @samwa9496
      @samwa9496 Месяц назад

      ​@@Fear_Allah394huwezi soma Quran kwa kuwa hutoiweza tuachie wenyewe tunaielewa

  • @SaidJuma-y9j
    @SaidJuma-y9j Месяц назад

    Asikilize nini? Hapaswi kusikiliza kitu kisichoendana na imani yake. Muislamu aachwe imani na itikadi yake tu.

  • @AndrewKisava
    @AndrewKisava Месяц назад

    Je? Debate ya mihadhara ya waislamu na wakristo itakuwaje ndugu zangu hebu muache mawanda mapana kwaajiri ya kuwahibiria watoto wa mama mdogo ndugu zangu

  • @AlnordGozonga-gw2sb
    @AlnordGozonga-gw2sb Месяц назад

    Munatafuta namuna ya kupiga heraenyie

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k Месяц назад +1

    Sijui mnaongea kitu hani uko.

  • @drmahwa8166
    @drmahwa8166 Месяц назад +1

    Kwani na ukristo ni dini?

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 Месяц назад

      Tukuulize wewe kwani wewe ni binadamu au nyani?

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib Месяц назад +1

    Huyo mufti wa bakwata hawezi kokosoa chochote hapo😅

    • @KimDadi
      @KimDadi Месяц назад +1

      Ye mwenyewe kibaraka wa serikali atasema nini sasa

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 Месяц назад

    Mbona pasi za dini hamzitaki vyuo vikuuu ?

  • @OmaryMasambiro
    @OmaryMasambiro Месяц назад +1

    Muft mwenyewe bakwata waislam wengine hatumo humo,bakwata ni chombo cha serikali na serikali haina dini.jiulize?

  • @christianfarouq3534
    @christianfarouq3534 Месяц назад

    Kama mtu anataka kujua dini ya Ukristo alafu nyie mnapanga mtu awe na dini hiyo hiyo hata kama inafundisha tofauti inakuwaje, Kumbukeni Nyie mnaokubaliana na jambo hilo ĺakukatazia watu wasijue ukweli wa dini nyingine nyie siyo Mungu aliyeumba. Mda wenu nanyi umefika wa kwenda kwenye Ziwa La Kiberiti someni Biblia vizuri ndiyo mtajua jambo mnalokubaliana ndilo linaenda kukamilisha mwisho wa dunia hesabuni miaka iliyobaki alafu someni Biblia ndiyo mtajua mda umeisha hapa duniani hamtatoboa nyie kwenye Mbingu ya wa kweli Baba wa Yesu Kristo

    • @mussaidd4509
      @mussaidd4509 Месяц назад

      Elewa somo ndugu.Kama mwanafunzi anataka kujifunza dini nyingine ataenda kwenye darasa la dini nyingine.Ila kwa darasa la imani husika litafundishwa na wenye imani husika.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Месяц назад

      Kwani wewe ni dini gani?

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Месяц назад

      Huo ukiristo ndio umekua dini ya kweli?

  • @elisantemasaki
    @elisantemasaki Месяц назад

    Kama mtoto anataka kusikia mtamkatalia asisikilize?

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 Месяц назад

    UJINGA TU YANI WATANZANIA AKILI NI MGANDO SANA

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k Месяц назад

    Mnaenda chaka nn? Na wewe unatikisa kichwa tu