BIN MAHSEN FILM
BIN MAHSEN FILM
  • Видео 69
  • Просмотров 2 589 197
MATHNA{UKEWENZA}SEHEMU YA 12
MATHNA{UKEWENZA}SEHEMU YA 12
Просмотров: 18 341

Видео

MATHNA{UKEWENZA}SEHEMU YA 12
Просмотров 25 тыс.День назад
HUSDA NA TAMAA YA MAMA MZAZI YA KUTAKA KUMILIKI MALI INAMPELEKEA KUSAMBARATISHA FURAHA YA FAMILIA YA MWANAE OMAR NA WAKE ZAKE FAYMAH NA LEYLA NA KUAMUA KUMUUA MJUKUU WAKE NA KUSABABISHA UGONJWA WA KIUHARUSI KWA MWANAE ILI TU AMILIKI MALI.LAKINI PIA KESI YA MAUAJI KUMBAMBIKIZIA MKWEWE. NA MWISHO KUMFUKUZA MKWE MDOGO PAMOJA NA MWANAE WA KUMZAA.
MATHNA{UKEWENZA}SEHEMU YA 11
Просмотров 26 тыс.День назад
MATHNA{UKEWENZA}SEHEMU YA 11
MATHNA {UKEWENZA}SEHEMU YA 10
Просмотров 30 тыс.21 день назад
MATHNA {UKEWENZA}SEHEMU YA 10
MATHNA{UKEWENZA]SEHEMU YA 9
Просмотров 27 тыс.21 день назад
MATHNA{UKEWENZA]SEHEMU YA 9
MATHNA {UKEWENZA}SEHEMU YA 8
Просмотров 35 тыс.21 день назад
MATHNA {UKEWENZA}SEHEMU YA 8
MATHNA{UKEWENZA} full movie
Просмотров 123 тыс.Месяц назад
MATHNA{UKEWENZA} full movie
NDOA SI UTUMWA FINAL
Просмотров 38 тыс.Месяц назад
NDOA SI UTUMWA FINAL
NDOA SI UTUMWA💘💕 SEHEMU YA 4
Просмотров 42 тыс.Месяц назад
Leyla anakubali anakubali kuolewa na Hassan mwenye umri mkubwa ili aweze pata pesa za kukidhi kununua dawa za maradhi yanayomsumbua mama yake na pia aweze kulipia ada ya mdogo wake.Mwisho wa yote anajikuta akiangukia katika manyanyaso na utumwa wa ndoa toka kwa Hassan.NDOA SI UTUMWA
NDOA SI UTUMWA 💕💘SEHEMU YA 3
Просмотров 53 тыс.2 месяца назад
Leyla anakubali anakubali kuolewa na Hassan mwenye umri mkubwa ili aweze pata pesa za kukidhi kununua dawa za maradhi yanayomsumbua mama yake na pia aweze kulipia ada ya mdogo wake.Mwisho wa yote anajikuta akiangukia katika manyanyaso na utumwa wa ndoa toka kwa Hassan.NDOA SI UTUMWA
NDOA SI UTUMWA 💕💘SEHEMU YA 2
Просмотров 51 тыс.2 месяца назад
Leyla anakubali anakubali kuolewa na Hassan mwenye umri mkubwa ili aweze pata pesa za kukidhi kununua dawa za maradhi yanayomsumbua mama yake na pia aweze kulipia ada ya mdogo wake.Mwisho wa yote anajikuta akiangukia katika manyanyaso na utumwa wa ndoa toka kwa Hassan.NDOA SI UTUMWA
NDOA SI UTUMWA💕💘SEHEMU YA 1
Просмотров 102 тыс.2 месяца назад
Leyla anakubali anakubali kuolewa na Hassan mwenye umri mkubwa ili aweze pata pesa za kukidhi kununua dawa za maradhi yanayomsumbua mama yake na pia aweze kulipia ada ya mdogo wake.Mwisho wa yote anajikuta akiangukia katika manyanyaso na utumwa wa ndoa toka kwa Hassan.NDOA SI UTUMWA
MATHNA[UKEWENZA]..SEHEMU YA SABA
Просмотров 39 тыс.2 месяца назад
MATHNA[UKEWENZA]..SEHEMU YA SABA
MATHNA{UKEWENZA}💕💘..SEHEMU YA SITA
Просмотров 40 тыс.2 месяца назад
MATHNA{UKEWENZA}💕💘..SEHEMU YA SITA
MATHNA{UKEWENZA}..SEHEMU YA TANO
Просмотров 40 тыс.3 месяца назад
FITINA ZA MAMA MKWE ZAPELEKEA UGOMVI KWA WAKE WA MTOTO WAKE NA KUFANYA NDOA KUWA CHUNGU..
MATHNA{UKEWENZA}SEASON 2💘SEHEMU YA 4
Просмотров 68 тыс.3 месяца назад
MATHNA{UKEWENZA}SEASON 2💘SEHEMU YA 4
MATHNA[UKEWENZA}SEASON 2. SEHEMU YA TATU💘💓
Просмотров 51 тыс.3 месяца назад
MATHNA[UKEWENZA}SEASON 2. SEHEMU YA TATU💘💓
MATHNA{UKEWENZA}SEHEMU YA PILI
Просмотров 50 тыс.4 месяца назад
MATHNA{UKEWENZA}SEHEMU YA PILI
MATHNA{UKEWENZA}SEASON 2 SEHEMU YA KWANZA💕💘💓
Просмотров 91 тыс.4 месяца назад
MATHNA{UKEWENZA}SEASON 2 SEHEMU YA KWANZA💕💘💓
MUME WA DADA final epsoid
Просмотров 1,5 тыс.4 месяца назад
MUME WA DADA final epsoid
MUME WA DADA..EPSOID YA 3
Просмотров 3,6 тыс.5 месяцев назад
MUME WA DADA..EPSOID YA 3
MUME WA DADA.... EPSOID 2
Просмотров 9 тыс.6 месяцев назад
MUME WA DADA.... EPSOID 2
MUME WA DADA... EPISODE 1
Просмотров 30 тыс.6 месяцев назад
MUME WA DADA... EPISODE 1
GUBU LA NDUGU WA MUME FINAL EP
Просмотров 12 тыс.6 месяцев назад
GUBU LA NDUGU WA MUME FINAL EP
GUBU LA NDUGU WA MUME..Ep 4
Просмотров 8 тыс.7 месяцев назад
GUBU LA NDUGU WA MUME..Ep 4
GUBU LA NDUGU WA MUME EPSOID 3
Просмотров 8 тыс.7 месяцев назад
GUBU LA NDUGU WA MUME EPSOID 3
GUBU LA NDUGU WA MUME...EPSOD 2
Просмотров 12 тыс.7 месяцев назад
GUBU LA NDUGU WA MUME...EPSOD 2
GUBU LA NDUGU WA MUME ..EPSOD 1
Просмотров 11 тыс.7 месяцев назад
GUBU LA NDUGU WA MUME ..EPSOD 1
NDOA SI UTUMWA.....
Просмотров 7 тыс.8 месяцев назад
NDOA SI UTUMWA.....
FISTULA....FINAL EPSOID
Просмотров 1,7 тыс.9 месяцев назад
FISTULA....FINAL EPSOID

Комментарии

  • @BinMahsen
    @BinMahsen 17 часов назад

    ASSALAM ALEYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKAT..NDUGU ZANGU MASHABIKI HUSUSAN WALE NDUGU ZANGU KATIKA IMANI..KUMEKUWA NA TABIA YA KUWASEMA VIBAYA WASANII WANGU KWA KUSEMA WANACHEZA UCHI KUTOKANA NA KUNA MUDA KUWA VICHWA WAZI HUSUSANI KWE SINI YA POLISI LAKIN PIA SINI YA CHUMBANI HUKU WAKIWA WANASAHAU KUWA MIMI NIPO KWENYE KUFUNDISHA UMMA JUU YA MAIDHA YA KUISHI NA MKE MWENZIO NA HATA KUPOKEA BAADHI YA MESEJI ZA KADHIA HALI INAYOPELEKEA KUKATISHA TAMAA KWA WASANII WANOCHEZA..HALI HII INATUUMIZA SANAA.NAOMBA NIWATOLEE MFANO WA FILAMU YA THE MESENGER AMBAYO IMECHEZWA KWA DHUMUNI LA KUELEZEA MAISHA Y MTUME WETU MUHAMMAD S.A.W. PAMOJA NA JINSI GANI DINI YA KI ISLAM IMEENEZWA NA KWA UPANDE WA MAYAHUDI KUNA SINI WALIKUWA WANAWAKE WAKICHEZA NGOMA.SWALI LANGU JE KATI TA MATHNA HII NA ILE YA THE MESENGER IPI INA MANTIK KUBWA KATIKA DINI?AU NDUGU ZANGU TUACHE KUTOA ELIMU YA SANAA MAANA MATHNA YA KWANZA IMETUFANYA TUMKOSE MKE MKUBWA KULINGANA NA COMMENT ZENU.TAFADHALI TAMBUENI HAY SIO MAISHA HALISI YA HAWA WASANII PUNGUZENI KUWA ATACK TAFDHALI.SHUKRANI KWA SUPORY YAKO

  • @HusseinNabahani-l2w
    @HusseinNabahani-l2w 17 часов назад

    Mbona nakupanga ukojoe wanya😮😮😮😮

  • @AmourIssa-q4d
    @AmourIssa-q4d 17 часов назад

    Mam mkwe umetish

  • @HassanMshamu-p2d
    @HassanMshamu-p2d 18 часов назад

    Sana

  • @HassanMshamu-p2d
    @HassanMshamu-p2d 18 часов назад

    Kwel

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 18 часов назад

    Kijana wasameh ndugu zako mitihani ni kawaida na kusameheana ni amri ya allah na inamalipo makubwa msamaha

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 18 часов назад

    Ant pole kwa kumuhudumia mumeo mbaka kupona hayo ndio mapenzi ya kweli allah akuzidishie imani

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 18 часов назад

    Afande kazi nzuri sana

  • @MealiiChimetse
    @MealiiChimetse 18 часов назад

    😂😂😂😂😂😂😂nyie wake wenza mnipe hizo roho zene🤣🤣🏃🏃🏃,,mana duh 😂🙄

  • @BihusiIddi
    @BihusiIddi 18 часов назад

    Asante san leyla

  • @BiashaAllawy
    @BiashaAllawy 19 часов назад

    Leylah mbona umeaga mapema hivi

  • @HassanMshamu-p2d
    @HassanMshamu-p2d 21 час назад

    Kiukweli tumpe sifa mwanamke mwezetu❤❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 22 часа назад

    Jamani musitufanyiye ivo leylz asife jamani move haitanoga tena😢

  • @HassanMshamu-p2d
    @HassanMshamu-p2d 22 часа назад

    Jamani inauma

  • @HassanMshamu-p2d
    @HassanMshamu-p2d 22 часа назад

    Inasikitisa san😭😭

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 23 часа назад

    Iyi move mi imefikiya kuniliza kiukweli😢

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 23 часа назад

    Mama mukwe pambe😂😂😂😂😂kwaiyo umefukuza mwanao kisa mu enjoy kwanyumba isiyokuwa yenu munakera bala

  • @AsmaAbdallah-v3i
    @AsmaAbdallah-v3i 23 часа назад

    Huu ukewenza au uchafu🫤

  • @RumaidhatyMbaruku
    @RumaidhatyMbaruku День назад

    Mmmhhhh mbona kama mmearib hiv naota au

  • @RumaidhatyMbaruku
    @RumaidhatyMbaruku День назад

    Shikamoo mpelelz

  • @RukiaMaulid-h4v
    @RukiaMaulid-h4v День назад

    ❤❤❤❤❤❤ Allah akulipe kwa Kaz nzuri mashaallah

  • @FatmaNassor-rw6jl
    @FatmaNassor-rw6jl День назад

    Mm nataka hii qaswisa ya huzuni ntaipataje

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide День назад

    Jaman mzazi mwenye kuyafanya haya yote kwa mtoto wake alomzaa hukumu ya kislam unatakiwa bado umuheshim na kumpenda mzazi huyo?mtihan ila itabak kuwa mama tu daima ❤tuishini kwa wema wazazi wawil kwani ndio mlango wakuenda peponi 😢hata awe mchawi mtukane mpige ili arudie kwa mola wake 😂nasio kukanana ktk dunia wakat akhera hesabu zinatungoja kila tulioyafanya kwasiri au zahir kamera orjino inachukua kila kitu haibakishi wala haishi betri walakuzima chaji.

  • @islamrashid5451
    @islamrashid5451 День назад

    Daaaah layla

  • @HassanLastman-hh9sw
    @HassanLastman-hh9sw День назад

    Uyo mke was tatu anaroho mbya hadi sura

  • @BukharyMuslim
    @BukharyMuslim День назад

    Hatakama naweza kwamume mwenyekuweza c waume wote.wengine mafisadi tu.

  • @BukharyMuslim
    @BukharyMuslim День назад

    Sitaki hashuo zao mie .

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 День назад

    Santaaa❤❤❤uke mwenzaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @MwanaMosha
    @MwanaMosha День назад

    Waooo mm nimejifunz sana mwendelezo tunaomba

  • @Ayshaperah
    @Ayshaperah День назад

    Mama mkweeee mkund* kabisaaaa

  • @NurdeenHassan-j1w
    @NurdeenHassan-j1w День назад

    Pepo kwa kuongeza wake bila huadirifu....

  • @AishaNasra
    @AishaNasra День назад

    Jamani furaha imerudi Kwa familia Tena Leila ndo ivo😢😢😢😢😢 kazi nzuri sanaaa

  • @RizikiAliAmeir
    @RizikiAliAmeir День назад

    Mtu wa 81 ila sijachelewa sana naomba like zangu😅😅😅

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide День назад

    Muendelezo wapendwa😂🎉🎉🎉

  • @Mwanamisi-q2v
    @Mwanamisi-q2v День назад

    What kimewatamba hataree hatimae mazuri yanaonekana 😂😂😂😂

  • @soulaimanaBacari
    @soulaimanaBacari День назад

    Assalamu Alekum warahtatullahi wabarkatuh Mimi natafuta mke wa 2 kama hivo insha Allah kama yuko mke ambae Atakubali mke mwenza Mimi Niko hapa shukran

    • @BinMahsen
      @BinMahsen День назад

      Leyla hajaolewa vipi niongee nae

  • @soulaimanaBacari
    @soulaimanaBacari День назад

    Mimi natafuta mke wa 2 kama hivo insha Allah kama yuko mke ambae Atakubali mke mwenza Mimi Niko hapa shukran

  • @soulaimanaBacari
    @soulaimanaBacari День назад

    Masha Allah ndoa njema ya Baraka ❤❤❤

  • @soulaimanaBacari
    @soulaimanaBacari День назад

    Hiyu ni sharia ya mungu kua muadilifu

  • @LatifaMuddy
    @LatifaMuddy День назад

    ❤❤❤

  • @hassnakhamis3489
    @hassnakhamis3489 День назад

    Ngoja nipite hivi haya sio mambo yangu 😢

  • @LovelyChocolateBonbons-ok2ww
    @LovelyChocolateBonbons-ok2ww День назад

    😢😢😢😢😢

  • @ishimwemediatrice846
    @ishimwemediatrice846 День назад

    Leyla akiondoka movie tunaikimbia labda arudi akiwa mzimu❤❤❤❤

  • @haroldnjau7679
    @haroldnjau7679 День назад

    Munachelewa sana kutoa miendelezo

  • @HalimaosmanSalma
    @HalimaosmanSalma День назад

    Kupata mke mwwnza atakae kupenda ni mtihani,Ila mi sioni shida muhimu nimjue mke mwezangu

  • @makiaselemani4335
    @makiaselemani4335 День назад

    Muk vizur wak wez

  • @Fatema-n8x
    @Fatema-n8x День назад

    🤲🤲👌🏻🤝❤👏🫡🫡❤❤

  • @Fatema-n8x
    @Fatema-n8x День назад

    😂❤😂❤😂❤😂❤😂💯❣️💯❣️💝💯

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki День назад

    Munapunja dakika mwewanawake ndo muenda kuzuwa mala kwanini mulimurudisha apo mmeona sasa😢

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki День назад

    Haya watoto wameyataka wenyewe simmemufata haya sasa yajayo muyapokeye namikono miwili