NDOA SI UTUMWA💕💘SEHEMU YA 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024
  • Leyla anakubali anakubali kuolewa na Hassan mwenye umri mkubwa ili aweze pata pesa za kukidhi kununua dawa za maradhi yanayomsumbua mama yake na pia aweze kulipia ada ya mdogo wake.Mwisho wa yote anajikuta akiangukia katika manyanyaso na utumwa wa ndoa toka kwa Hassan.NDOA SI UTUMWA

Комментарии • 306

  • @ShamimuRashidi-c5q
    @ShamimuRashidi-c5q 2 месяца назад +4

    Ila iziii ndoa jamn sina cha kusema zaidi kumuomba mungu atuondolee changamoto majumban mwetu

  • @NassorAlly-y9w
    @NassorAlly-y9w 2 месяца назад +4

    😢pole san dada by the way kazi nzur san Mungu atuhifadhi atujaalie tuishi na wake wetu kwa wema na upendo na kusaidiana ❤❤ good job nimeipenda san hii tamthilia Ina mafunzo mengi aziara umeplay part nzuri sna na bimdada Sandra mashaallah nimeipenda jmn tamthilia mupo vzuri sana

  • @Farthun
    @Farthun 2 месяца назад +35

    Huyu mwanaume kheee 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔 halfu maisha yanayo pelekea haya yote ni ugumu wa maisha tunayo pitia tukiwa wadogo unaona kabsa bora niolewe huenda vitu vikabadilika lkin kinacho kuja kutokea ndo hichi sasa mungu atunusuru kwenye mdoa kama hizi Inshaallah

  • @NassorAlly-y9w
    @NassorAlly-y9w 2 месяца назад +2

    Nimempnda mama ana misemo mizuri sana kwa wanawe na wosia mzuri sana kwa watoto wake Mungu atujaalie tupate mzazi mfano wa huyu mama hapa kweny hii tamthilia

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 2 месяца назад +7

    Ndoa zinamitihani sana unaweza kujuta kila siku, mungu atusimamie tu ❤

    • @France-v1x
      @France-v1x Месяц назад

      Sana Yan ten siku nyingn unaamka unsema nisepe Yan nikimbie ila hasir ikiisha bas tunaomb mungu2

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 2 месяца назад +3

    Mashaa Allah asante mama kwafaida ya ungo mchele chuya chenga jiwe napumba

  • @Farthun
    @Farthun 2 месяца назад +5

    Ayeeee Hamjambo jamni ndo kufika nilikuwa biz lakin nimefika sasa Asante kwa tamthilia yetu mpya acha tuzidi kujifunza Inshaallah all the best term bin mahsen film 🫂🫂🫂🫂🫂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Allahuma amin ila pia tunakushukuru kwa kutusuport allah akupe ruzuku

    • @Farthun
      @Farthun 2 месяца назад

      @@BinMahsen Amiin inshaallah kwetu sote 🤲🤲🤲

  • @Safiya_said
    @Safiya_said 11 дней назад +1

    Allah atupte subra wanawake kwenye ndoa 🤲maana hii n mafunzo ila kuna baadhi ya wanawake wanapitia haya…

  • @cristaproduction7033
    @cristaproduction7033 2 месяца назад +4

    mmmmh Huyo Mwwnaume mwenzangu👐👐👐👐👐👐🤝🏃🏃🏃 kama ndoa ndio hiyo waolewe tu

  • @FaridaIbrahim-t1z
    @FaridaIbrahim-t1z 2 месяца назад +7

    Uwwwiiiiiii mama mkwe wa kwenye mathina tena Leo ndo mama ake bi dada 😂😂

    • @aishaHussein-cx4ho
      @aishaHussein-cx4ho 2 месяца назад +3

      😂😂😂😂😂😂shosti kazi yko nikuangalia movie sio kuniaibisha😂😂😂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад +1

      Tena ndo kawa mstaarab hatar

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂

  • @Claudinenzigire
    @Claudinenzigire 2 месяца назад +1

    Pole Sana Dada Yangu Jipe Moyo Mungu YUPO NAWEWE

  • @JannatKuraishi
    @JannatKuraishi 2 месяца назад +1

    Sante mama kwa mafunzo yako ,busara na hekima zako nakupenda sana

  • @IrfanVuai
    @IrfanVuai 2 месяца назад +7

    Laitan km mm ndo mwanamke ndoa km hiyo mm siwez namkimbia haraka sana

  • @FaizaKabibi-tb2dj
    @FaizaKabibi-tb2dj 2 месяца назад +3

    Mdada mzuri anakubali kuishi Na jambazi sura mbaya roho mbaya kheee

  • @FatumaImran-n8k
    @FatumaImran-n8k 2 месяца назад +2

    Movie nzuri ina mafunzo mengi ❤❤

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 2 месяца назад +2

    Uwiiiii hizi ndio ndoa ety ,juu ya umasikini hadi Mamangu kutusiwa ,wacheni nikae kwetu nizunguke na vikazi vyangu nikilea jamii yangu kwa jasho langu laamani,kupingwa tu 😢😢furaha aaaaaah

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 2 месяца назад +2

    Ndio nimewasili...mashaAllahkazi nzuri ila inasikitisha sanaa😢😢😢

  • @mudysuguru6267
    @mudysuguru6267 2 месяца назад +2

    😂😂😂😂 nimeipenda kinoma yani jamaa kauwa Binti nae kauwa kinoma safi sana

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Suguru daktari wangu soon ntakuona huku

    • @fatmaathumani7116
      @fatmaathumani7116 2 месяца назад

      Nilikua natafuta comment yako suguru😂😂😂 mana najua alipo mdoe wewe hukosekani 😂

  • @KizaNahano
    @KizaNahano Месяц назад

    Jaman uhuyu mubaba analoho kama yamama kalobo wanamufahamu tujuwan ila mama mutsalabu kbs biti wake anamupa mazito tujifunze kwake kbx❤❤mala ceng jiw..hhh jaman

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 2 месяца назад +2

    Loh janadume kama hili la nini nalitilia sumu tu lifie mbali loh movie nzuri tunawapenda from uk 🇬🇧

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 2 месяца назад +1

      Hujambo Mahra? 🇬🇧

  • @radhiajuma5243
    @radhiajuma5243 2 месяца назад +10

    Majumba yetu yanaficha mengi😢😢na wengi tunapitia haya kwenye ndoa zetu ..Yarraby wape subra wanawake wote waliomo kweny ndoa

    • @MarimSali
      @MarimSali 2 месяца назад

      Amin thuma amina

    • @dhahabo2451
      @dhahabo2451 2 месяца назад +1

      Ameen 😢

    • @MariamJuma-f7l
      @MariamJuma-f7l 2 месяца назад

      Nais naelekea kushindwa. Alaf sion pakuongelea jmn.. Ya Alllah help me. Sipigwi ila najiona kabisa kama nimekurupuka..

    • @JannatKuraishi
      @JannatKuraishi 2 месяца назад

      Amiin

    • @NasraSalim-w4l
      @NasraSalim-w4l Месяц назад

      ​@@MariamJuma-f7l yani wanaume wa hivyoo wanakunyanyasa kisaikologia mwisho wasiku unakufa tu ghafla Akyamungu tena mm mpaka Leo Nina ugonjwa wa moyo na presha ya kushuka kwasababu Yao....

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 2 месяца назад +1

    Is ths a movie or a true story,itso real, touching n emotional,siwezi endelea kui watch,yasononesha mno,nko kenya

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 2 месяца назад +1

    Dah bunyumba bwa kabeji n'a kinono ekaaaaaaa😮😮😮😮😮

  • @ZainabAli-wg9bi
    @ZainabAli-wg9bi 2 месяца назад +2

    Ya Allah tu hifadh na mitihani ya ndoa

  • @AlicedamariaKas
    @AlicedamariaKas 2 месяца назад +5

    Jamani asante kwa ni hiii hali ndiyo ambayo nina yo yapitia kwa sasa .ila apa nime jifinza kitu😅😅😅

  • @mejumaakoja5050
    @mejumaakoja5050 2 месяца назад +2

    Weeee huyu mwanaume amenishinda tabia na amepata mke mwenye heshima maskin😢😢😢pole daa leila,hawa matajiri uwa wana shida kwenye ndoa zao wana masimango sana,eeeeeee mungu tujalie sisi maskin tuwe na kipato yaraby

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Allahumma amin

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania Месяц назад

      Masikin na masikin mwenzie hawa matajiri wengi wana masimango mno.

  • @AnnoyedMountainLandscape-kx1ft
    @AnnoyedMountainLandscape-kx1ft 2 месяца назад +5

    2lopitia hya maisha tunajua asee

  • @Khairath-c3x
    @Khairath-c3x 2 месяца назад +8

    Jmn huy mwaume alilazimixhw amuoe huy mwanamke 😢😢😢😢😢😢

  • @FadhiliRajabu-u1q
    @FadhiliRajabu-u1q 2 месяца назад +3

    Jaman uyu mwanaume kanishinda mimi tu angeniacha atakama kwetu nina shida mbwa uyooo

  • @Mwanaisha-ks7kw
    @Mwanaisha-ks7kw 19 дней назад +1

    Yarabbi nihifadhi n uniepush n mme bahil

  • @aishashayoshayo7485
    @aishashayoshayo7485 24 дня назад

    Hata sijaimaliza kuiangaliaa najiona kabisaa nsingengoja ata usiku ufike mimi ndukiiiiii😂😂

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 месяца назад +1

    Msinioe ushauri eti niolewe 😢😢huyu mwanamume jamani hii ni ndoa ama ndoana😢😢😢

  • @PriscaMhenga-q2z
    @PriscaMhenga-q2z 2 месяца назад +3

    Ni herii jelaa 😢ila sio kwa hii ndoaa😮 jamaniiii

    • @dhahabo2451
      @dhahabo2451 2 месяца назад

      Aki tena😢😢 imagine mara zingine hata unaongopa kuolewa jameni

  • @khadijamohamedkibabi3625
    @khadijamohamedkibabi3625 2 месяца назад +4

    Ndoa km hii sina Subra nayo aiseeee

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania Месяц назад

      Hamna subra kwa ndoa ya hivi hata uwe umeshika dini.

  • @RehemaSalim-m8s
    @RehemaSalim-m8s 2 месяца назад +1

    Wanaume niwapuuzi sana hii storia kama ya kwangu kabisa😢😢😢😢😢

  • @Farthun
    @Farthun 2 месяца назад +4

    Mama asante kwa mafunzo yako

  • @MzeeMwana
    @MzeeMwana Месяц назад

    Amenikera sana wallahy dah!!!

  • @AsmaSaidi-en7vu
    @AsmaSaidi-en7vu 2 месяца назад +9

    duh hii ni bonge ya stori imenikumbusha mbali sana nilikuwa na ishi jamani wanaume wa juwazidi umri siyo wazuri niliteseka kama huyu dada😢😢😢

    • @MajumaMusa
      @MajumaMusa 2 месяца назад

      Duu pope sana habiti 😢😢😢😢😢🎉❤❤

    • @MarimSali
      @MarimSali 2 месяца назад

      Pole sana

    • @JannatKuraishi
      @JannatKuraishi 2 месяца назад

      Pole Sana

    • @NasraSalim-w4l
      @NasraSalim-w4l Месяц назад

      Pole my dear some like me yooh but now I thank God nimeomba taraka yangu

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt Месяц назад

    Dada mzuri kapata dowa hakupata ndowa

  • @FaizaKabibi-tb2dj
    @FaizaKabibi-tb2dj 2 месяца назад +1

    Daaah mm naondoka siku Hio Hio wee Kwan nilizaliwa yeye

  • @irinemmasy8387
    @irinemmasy8387 2 месяца назад

    Duh!! uvumilivu ungenishinda Mungu atusaidie sana

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Месяц назад

    Daa hii Kali na haileweshi

  • @NeemaPanga-b3l
    @NeemaPanga-b3l Месяц назад

    Pole yetu wa mam mim tofaut sipigwi ila duh!

  • @ZawadiKarisa-z5h
    @ZawadiKarisa-z5h Месяц назад

    Aaaaaaaaaa kumbe wanaume wanapenda wanawake kama wako kwao but wakiingia kwa ndoa ni ugomvi punguzeni wanaume jamani

  • @MaryamAbdallah-r7m
    @MaryamAbdallah-r7m 2 месяца назад +3

    Yarrab naomba niepushie mume waaina hii nimejikuta nalia daaah 😭😭😭

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Pole sana ila huko mbele ndo utalia zaid maana ni hatari

    • @RaimamomedSaidi-wz1yu
      @RaimamomedSaidi-wz1yu 2 месяца назад

      @@BinMahsen aka kumbe?!!! Basi tutamlaani huyo shemeg yetu km alivolaanika mama mkwe mathna 😅😅😅hatar.alizowea mume wakumzoga hapa kakipata,lakin achunge sana mume km huyo mana dada angu hapo namuaminia sana akija akiamka pamekucha.

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад +1

      @RaimamomedSaidi-wz1yu mh tusubir tuone

  • @MarystellaNasambu
    @MarystellaNasambu Месяц назад +1

    Aki Duniani Kuna mambo pole dada kwa hayo yanayokukuta 😢😢😢😢😢 lakini huyo sio mume ni shetani mkubwa tena ni ibilisi huyooooo

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 2 месяца назад +3

    😂😂😂😂 nyumbani kutamu hii ndoa ama Mateso jaman khaa mume ana gubu huyo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад +1

      Yaani hatar mpaka roho yauma

    • @AsiaFujo-mb8jz
      @AsiaFujo-mb8jz 2 месяца назад +1

      @@sadahamad6158 mwenzangu km ndoa bado wasema mume hy n mm subiri ndoa yenyewe xx 🤣🤣🤣

    • @sadahamad6158
      @sadahamad6158 2 месяца назад

      @@AsiaFujo-mb8jz 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @NasraSalim-w4l
    @NasraSalim-w4l Месяц назад

    Jamani mm mwenzenu niliomba taraka mwenyewe...nilishindwa ..ndani ya miaka minne 4...yani atamtu akikusalimia tu nikosa 😅😅 kiboko...unaweza ukamuona mwanamme mtumzima ukajua yuko sawa kumbe umri wa bure kichwani amnazo..taraka yenyewe kutoa mbinde mpaka msumbuane looh puuh...mm mwenzenu nimekoma 😅

  • @FaridaIbrahim-t1z
    @FaridaIbrahim-t1z 2 месяца назад

    Duh mwanaume kama huyu hapana jaman maaaaaaaamaaaaaaaa 🙆 hadi nyanya 🤭🤭 heeeee jaman

  • @juweraabilahi
    @juweraabilahi 18 дней назад +1

    Mhhhhhhhhhhhh ila ndoa

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 2 месяца назад +1

    Huyu mwanaume 😢😢😢😢ningekuwa mim ningekuwa nisha muwacha mataan mda sana 🤣🤣 mwanaume wahivi sibembelezi tunazikwenda ngumi, teke, navenye ninajua karate siananikoma 😂😂😂😂😂😅😅😅

    • @rosemarymathias4938
      @rosemarymathias4938 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 2 месяца назад

      @@rosemarymathias4938 yani weachatu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Tecla-x6l
    @Tecla-x6l Месяц назад

    Duuuuuu ndoa ni geleza la wanawake

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 месяца назад +2

    He amakweli ndoa zinamengi kwastaili iyi weee apo mi sitoboi yani hakumuowa kwa mapnzi bali kamuowa amutese sasa sijuwi anakisasi gani nae😢😢😢

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      😂😂😂😂😂

  • @rojamohd1844
    @rojamohd1844 2 месяца назад +3

    Yani mma nimependa mafunzo yako

  • @ConsolathaMwasi-j5m
    @ConsolathaMwasi-j5m 2 месяца назад

    Wanawake hudum Sana ktk Hali hy ya ndoa lkn ikitokea ukaish nae kwa ku show love hujiona yy na kufanya upumbav mwingi, mwendo n ule ule

  • @ElosyKinyua-tg1ti
    @ElosyKinyua-tg1ti Месяц назад

    😢😢hii ni ndoa ama ndoano nijikute mm

  • @FaridaMakupa
    @FaridaMakupa 2 месяца назад +1

    Duuh kheri ugali tembele kwenye Amanda kuliko ugali nyala vitamin. Ondoka bi dada mbona we mrembo utapa tu.

  • @ZainabuMustafa-f6w
    @ZainabuMustafa-f6w 2 месяца назад +5

    Anajua mpka anakela yan mashaallah

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Afuwan shukrani kwa niaba yake

  • @GladysKalu-r6t
    @GladysKalu-r6t 2 месяца назад +2

    Hakuna kitu nachukia kama mume wangu kunitusia mamangu mzazi ikiwa nimekukosea nitusi mm kwa sababu unanijua inn and out sio mzazi wangu.

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 2 месяца назад +3

    Na kumbe wajijua kama ummbwa tena yule wakuzurura majalalani aso kwao, upole ukizidi ni ujinga hata kama ndoa, ww si mtu mzima ni mtu mbovu. Heri Sima dagaa kuliko wali nyama. Kwa kipigo hiki nakudhalilishwa hivi bado niko na tamaa ya atabadilika...

  • @Sauda-s6s
    @Sauda-s6s Месяц назад

    Daaah umasikin bhn

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 месяца назад +1

    🇰🇪Mume huyu hata usimshikiye mimba mna wag itamwaika Bure heri kule mliko kuwa wake WA Tatu 😂 yule mume a likuwa maridhiya ila huyu duh

  • @EditaMalaki
    @EditaMalaki Месяц назад

    Pole dada angu huyo atakuu.achana.nae

  • @MaimunaMazuri
    @MaimunaMazuri 2 месяца назад +1

    Nasoma coment 😂😂

  • @maskiniHanamshirika
    @maskiniHanamshirika 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂Kasuku mwambie mumeo nimemtukana mku wake

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂Niseme anidunde aku

  • @AsiaFujo-mb8jz
    @AsiaFujo-mb8jz 2 месяца назад +4

    Wa kwanza nmekuja hp kwsbb ya hy dada aliekua mke wa pili mathna ❤❤❤❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад +1

      Ooogh mashallah asante sana kwa kum suport kwani yeye si lolote bila ya uwepo wenu

    • @BahatiMateru-us7zt
      @BahatiMateru-us7zt 2 месяца назад +1

      Ndio mwenye hi account kwanza yupo vzur hongera zake

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 2 месяца назад +2

    Huyu si mume huyu hitla akaaaaa

    • @LutfiaRashid
      @LutfiaRashid 2 месяца назад

      Na wallah wapo wanaume wa aina hii in real life

  • @saadazubeiry8918
    @saadazubeiry8918 2 месяца назад

    Hivi ni kweli Kuna waume km hivi? Siamini mm!
    Hali hii haivumiliki ati, Mm zamani nilishaondoka look!!

    • @GladGift-n4z
      @GladGift-n4z 2 месяца назад

      Na kama yupo wa hivi huyu unamvizia tu akilala usingiz unamtia upofu wa macho jeuli yake inaishia hapo.

  • @muhudharimohamed
    @muhudharimohamed 2 месяца назад +2

    hapa wanaelemisha watazamaji tu!

  • @MariamZulfath-uz3yu
    @MariamZulfath-uz3yu 2 месяца назад

    Uyu mwanaume nishetani,khee na mchukiya

  • @FgfRt-t6j
    @FgfRt-t6j Месяц назад

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦JAMANI NAONAAA MAKUBWAAA AFU SANAAAA NDOWA KAMA IYI MBOLAA NIKIMBIYEEE 😢😢😢😢 KIUKWELI NASIKIYA ULUMA MBONA BWANA HUYU MUKALIIII😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @MohamediSadick
    @MohamediSadick 2 месяца назад +1

    🤣🤣🤣driiiiiiiiiiiiiipa.ukali wamwanaume siokizuizi cha kuacha kupigiwa.

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Mzee wa kasukuuuuu umemponza mwenzioo

  • @MzeeMwana
    @MzeeMwana Месяц назад

    Huyu jamaa amenisinya sna

  • @AishaKiyaka
    @AishaKiyaka 2 месяца назад

    Uyo mwanaume Hana kazi

  • @NasraSalim-w4l
    @NasraSalim-w4l Месяц назад

    Yani huyoo mwanaume alivyo kama mtaraka wangu ila
    Alhamdulilah....tumeachana kwa piece tu
    Wanaroho mbaya haoo....jamani wanaume wa hivyoo wapo wanajifanya wana wivu kumbe wao ndio washenzi akyamungu tena.

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 2 месяца назад

    Akiamungu uyu mwanaume waivi nimeishi näe sitoshau😭

  • @hanaphMsagati
    @hanaphMsagati 2 месяца назад

    Kazi nzur sn 😊

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r 2 месяца назад

    Huyu mume jmn mbn watukera aky mbn kipingo kimekuwa cha mbwa ,akikuchoka mrudishe kwao hado hajaua huyo😢😢😢😢😢

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 2 месяца назад

    Next plzz ya 2

  • @MstaarabuTv
    @MstaarabuTv 2 месяца назад

    Oya weeee mzigo wamoto hatari🔥🔥🔥🔥

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      💪💪💪💥💥💥 Ni moto

  • @MzeeMwana
    @MzeeMwana Месяц назад

    Huyu jamaa nimshamba sana

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 2 месяца назад +1

    Nikkangaliaga move zenu nafajirika sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Assnte san mpendwa nashukuru mno

  • @KidoaSammy
    @KidoaSammy 2 месяца назад +1

    Ila huyu mwanamme 😢duuh ata kama movie mpaka najihisi vibaya Ana maneno makali mno

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Yani wee acha tuu

    • @KidoaSammy
      @KidoaSammy 2 месяца назад

      @@BinMahsen utapigwa wewe endelea kuchekacheka na mashem huyo bwana balaaa

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 2 месяца назад +2

    Daaah mola atusame san tunaoolewa wadogo 😢😢😢😢n maisha tu hayo ila amezid pumbavu zake amenikera wallahe

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 2 месяца назад

    Yaan daa km alivyokua juma vilevile

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 2 месяца назад

    Dah we fala unatreat mwanamke vibaya sana😢

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana 2 месяца назад

    Asant sana hongera

  • @RehemaJuma-rl5ry
    @RehemaJuma-rl5ry 2 месяца назад +1

    Jaman mbona kwetu pogwe tanga mashaallah

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Upo sahihi pongwe hiyo sanawari

  • @saidiyasini9301
    @saidiyasini9301 2 месяца назад

    Eeeh sio poa mume ana gubu mwisho wa dunia

  • @munajuma5497
    @munajuma5497 2 месяца назад +1

    Wanaume wenye Tabia km hiz muwache ,wanawake musiwafanye watumwa wenuuu jamani

  • @mojelydah1521
    @mojelydah1521 2 месяца назад

    Me cwezi vumilia kwa kweli,ne nakuwa mzuri kwa mtu mzuri kwangu

  • @EliadaRichard
    @EliadaRichard 2 месяца назад

    Mwanaume mjinga wewe nyau mwenyewe pumbav sana

  • @AbdulmalikJussa
    @AbdulmalikJussa Месяц назад

    Dah huyu mwanaime mkorofi mino

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Месяц назад

    Hii ndoana sio ndoa😢😢😢kila siku ngumi

  • @RoqaiIbrahim
    @RoqaiIbrahim 2 месяца назад +1

    Jaman nampend sana huyu Dada

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Anakupenda pia jaman

  • @MWANSITI
    @MWANSITI Месяц назад

    Mh! Kama ndoa ni hii basi bora nikae nyumbani

  • @Tanganyika-w5p
    @Tanganyika-w5p 2 месяца назад

    Huyu mdada mzurii sana

  • @matihassanmwachigutu-hq7ei
    @matihassanmwachigutu-hq7ei 2 месяца назад

    Huyu mwanamme hana hata jema moja kila kitu ugomvi dooh

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 месяца назад +2

    Mpumbavu hulekei nahuyo sura yakooo bwege wwewe ungeniowa mie ungekoma wanaume kamanyie nakutakeni

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 2 месяца назад

    mwanamume huyu atak sumu Kali