NDOA SI UTUMWA 💕💘SEHEMU YA 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 225

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 месяца назад +16

    Duh nyumba hi hailiki wala hakulaliki ngumu kwenda mbele😂😂 ❤ na wapenda Sana 🇰🇪

  • @marthaayuma7065
    @marthaayuma7065 2 месяца назад +7

    We mkaka.shukuru Sana .sio Mimi .ningekufunza lesson.

  • @Ally-c8b
    @Ally-c8b 2 месяца назад +8

    Jamani alokuwa hajui gubu ndo hili kazi kweli kuishi nao

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 2 месяца назад +6

    Mwanaume wa hivi hata kitandani atakua anakubaka kila siku 😂😂 hata hisia nae huna

  • @KhadijaKhamisi-t1f
    @KhadijaKhamisi-t1f 2 месяца назад +4

    Mmh wanaume baadhiyao mjifunze wenye mke Kama huyo akisema basikwako jua Hadi kwawengine atachukua Muda kumpenda MTU mwingine inauma uisike hivi hivi,😢😢😢

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 2 месяца назад +5

    Wallahi mchezo mzuri sana tunawapenda from uk 🇬🇧

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад +1

      ❤❤❤🙏🙏

  • @MariaFransis-g6l
    @MariaFransis-g6l 2 месяца назад +10

    Kwakweli kama ndo hivi ndowa shikamoo🙌🙌

    • @amidabukuru
      @amidabukuru 2 месяца назад +1

      Ndio kunawatu wanaishi hivo kwenye ndoa na kunawenye hawakubali huo utumwa mimi wa kwanza siwezi kuishi na mwanamme wa hivo namuacha

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 2 месяца назад +1

      Sio zote mwaya usiogope kuingia ndoa rahaa lakini uwe na mume muelewa

    • @AzizaMohamedy
      @AzizaMohamedy 2 месяца назад

      Wanawake tunatakiwa uvumilivu, tuwe na subra, km huyu dada, iposiku mwanaume wako ataijua thamani yako na kutambua makosa yake, na amani ikapatikana, pambana mdogo wangu, mume mzuri ni wamwenzio,

  • @BatuliAdam-q1m
    @BatuliAdam-q1m 2 месяца назад +3

    Nimewah kazi mzuri hakika tunalia😢 naomba muendelezo usichelewe

  • @MRS-g2m
    @MRS-g2m 2 месяца назад +5

    Duuuh mnaogopesha wengine ila mashaallah inamafunzo mazuri

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 2 месяца назад +2

      Tena waogopesha sana kama safari yasaudi

    • @AsiaFujo-mb8jz
      @AsiaFujo-mb8jz 2 месяца назад +1

      @@MalkaNinik nimecheka kwa sauti ety km safari ya saudi 🤣🤣🤣

  • @JoanMakyara
    @JoanMakyara 2 месяца назад +1

    Hapana jamani kama ndoa ni ivi bora hata tusiolewee looo ndoa shikamoo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @WahidaAme
      @WahidaAme 2 месяца назад

      Pole sn engekuwa Mimi ningekuwa nishajua Moja

    • @WahidaAme
      @WahidaAme 2 месяца назад

      Huyu mwanaume muuwaji km

  • @GladysKalu-r6t
    @GladysKalu-r6t 2 месяца назад +5

    Mungu akuajalie na maisha marefu ww na uzao wako milele Amina.

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 2 месяца назад

      Yaani hapana kwakweli bora kubaki makwetu

    • @amidabukuru
      @amidabukuru 2 месяца назад

      Uyo mwanamke ni mvumilivu mimi apo sikai laaa

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 2 месяца назад

      Muhim subra ty ndug

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 2 месяца назад +2

    Subhanallah uyo so mume nigume gume Jmn simateso ayo

  • @ShakilaAyoub
    @ShakilaAyoub 2 месяца назад +1

    Nmpenda sana huyu dada mie ❤🎉🎉👋🇧🇮

  • @ZuhuraKifunda-v4p
    @ZuhuraKifunda-v4p Месяц назад

    Bora nikae bila mume tegeza ukashindwa wauya

  • @MariaFransis-g6l
    @MariaFransis-g6l 2 месяца назад +23

    Kwakweli kama kunawanawake wavumilivu katika ndowa zao kama huyu mmmmh mm binafsi siwez

    • @Mohammedyasia
      @Mohammedyasia 2 месяца назад +1

      Hahaha mm ndio kbsaaa siwez vumilia pasipo vumilika

    • @RaimamomedSaidi-wz1yu
      @RaimamomedSaidi-wz1yu 2 месяца назад

      Saiz hawapo tena hao wanatuonesha mambo yawazazi wetu walivopitia yashapitwa nawakat hayo saiz hakuna anayeweza kumgusa mtoto wa mtu subutu,wanawake wenyewe wa2000 mchezo nini

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 месяца назад +2

      Kama ni mimi namvizia kalala nampiga chuma cha kichwa halafu twakutana police

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      @shamzone388 mhhhh da sham hatwar hiyoo

    • @RaimamomedSaidi-wz1yu
      @RaimamomedSaidi-wz1yu 2 месяца назад +1

      @@shamzone388 kkkk 😂 kwani hurudi kwenu umeuwa? Maisha ya njaa nibora kuliko shibe isona aman kwako.

  • @Farthun
    @Farthun 2 месяца назад +3

    Wow Shukran sana kwa Muendelezo 😍😍😍😍

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Asnte jaman sijachelewa si ndio

    • @Farthun
      @Farthun 2 месяца назад

      @@BinMahsen eeeee Shukran sana

  • @Mariam-k2e
    @Mariam-k2e Месяц назад

    Mbona huyu kaka kama anafanya kweli kweli 😢😂😂

  • @FaridaIbrahim-t1z
    @FaridaIbrahim-t1z 2 месяца назад +5

    Mwanaume kama huyu ndoa ntaisikilizia kwenye taarifa ya habar au kwenye movie 🎥 kama hiv wallah 😂🤣

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 2 месяца назад +2

      Ni haramu mtu kusema kauli mbaya unajua uliwaxalo ndilo Allah analokufanyia ndoa ni ibada si kila mwanaume mbaya wapo wazuri waliojaliwa utu na ubinadamu sivizuri kabisa tena na wallah ww uogopi lakini mm niliolewa na nimepitia changamoto mbalimbali ambazo unazojua ww lakini ivi niko karibuni ntaolewa tena sijitabilii mabaya na ninamuomba Allah awe mume mwema

    • @AsiaFujo-mb8jz
      @AsiaFujo-mb8jz 2 месяца назад +2

      Nikuomba mungu 2 a2jalie wanaume walio n kheri n cc kwsbb ndoa n moja wapo Kati ya ibada

    • @AidatAmadi
      @AidatAmadi 2 месяца назад

      ​@@AminaKassim-ni9wdkweli atami ni ivyo

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 2 месяца назад +1

      @@AsiaFujo-mb8jz wallah vile ndugu ilo ndilo jambo kubwa sana lakumuomba Allah akika Allah ni mjuzi wakila kitu

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 2 месяца назад +1

      Nimtian ila usikate tama bad wem wap sio wot wabaya

  • @HappyBamboo-wm4ep
    @HappyBamboo-wm4ep Месяц назад +1

    Ama kweli kazi😢

  • @qatarabcde8228
    @qatarabcde8228 Месяц назад

    Duuu ndoa ndoano....alafu kuhusu umri ata sio shida ni tabia ya mtu mbaya na roho chafu wangapi wanaolewa wadogo na maisha fresh tu..huyu ningemtilia msahalaa akaendesha kila siku akose nguvu zakunipiga😂

  • @RehemaJuma-rl5ry
    @RehemaJuma-rl5ry 2 месяца назад +2

    Mashaallah kwet pogwe jaman jongeren

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 2 месяца назад +1

    😂😂😅😂😅😂😅sasa hii ndoa ndoano 😅😂et naenda kuangalia mpira ila usilale paka nitakapo rudi gasia ya mume hii sasa 🤣🤣🤣 mimnawezap kwamfano

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania Месяц назад

      Akitoka unakuwa na furaha akirudi tuu mtihan 😂😂😂

  • @TatuAbassAlbajrey
    @TatuAbassAlbajrey 14 дней назад +1

    Hakujuwi kwao uyo mie siishi na mbwa

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 28 дней назад

    Bora kuishi na mume masikini mwenye kukutuliza moyo wako kuliko kuolewa na tajiri hasidi mmh

  • @FatumaBakari-c3l
    @FatumaBakari-c3l 2 месяца назад

    Ndoa kma hii m siombi ata talaka n movie on polepole warabun sanaaaa😂😂😂😂😂😂 stki using mm siwez uvumilivu

  • @MarymuMungwe
    @MarymuMungwe 2 месяца назад

    😂😂alfajiri mapema nachomoza kama jua😂😂

  • @ahmadiallyGombati-t6n
    @ahmadiallyGombati-t6n 17 дней назад

    Mariamu James anautajiri gani kabwera tyuu naniubwa tyuu kama ubwa wengine ovyooooo

  • @ahmadiallyGombati-t6n
    @ahmadiallyGombati-t6n 17 дней назад

    Fara tuuuuuuu 😅😅😅😅😅

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂yani naceka kama mazuri he uyo mwanaume kiboko yani haeleweki hata kidogo😢

  • @TatuAlly-e2s
    @TatuAlly-e2s Месяц назад

    kama ndoa ni hivi nikuomba mungu kwa kweli mmmh maana zaidi ya maumivu

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 2 месяца назад

    Hilo bao lamaana aise 😂😂😂kwanini humpigi mumeo pia akakoma ujahil wake kwako

  • @umaima1178
    @umaima1178 2 месяца назад

    Mume kama huyu. Kumpa sumu tuu 😂😂😂

  • @hadijawara1403
    @hadijawara1403 2 месяца назад +2

    Shikamooo ndoa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NuruHalaku
    @NuruHalaku Месяц назад +1

    Nuru Kutoka Kenya ndowa yataka
    Uvumilivu sikuzote

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 месяца назад

    Samwaleko 🤣 ndoa hio ama karaha 😢usitoe mimba bora talaka kuliko kuuwa 😢

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 2 месяца назад

    Ni mtihani kwakweli alafu wanawake tunazalilika sana ata kama mume sitajiri nikiburi tu nazarau ila ndo mitihani hatuna chakufanya waname bwana mh wacha t ndo safar za maisha

  • @KidoaSammy
    @KidoaSammy 2 месяца назад

    Tunapaswa kusikiza wazazi wetu ....bibie kula chuma hicho sasa 😅😅😅😅😅

  • @Mohammedyasia
    @Mohammedyasia 2 месяца назад

    Yaan huyu mwanaume hana subira better libustiwe hahaha jmn 😂😂😂😂 kwakwel hana huyo ni kibamia

  • @FatmaHassan-g2g
    @FatmaHassan-g2g 2 месяца назад

    Kama haya ndo.maisha yandoa aaaa kazi ipo😂😂😂😂

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 Месяц назад

    Wanawake mnatskiwa mkazane hakuna kudhalilika kwa mwanaume kwani heshima wote ni sawa

  • @RayaAbdi-u7f
    @RayaAbdi-u7f 22 дня назад

    Jamani huyu baba hana akili kwakweli 😢

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 2 месяца назад

    We nawe pia wajitakia ushajua mumeo yuko na gubu kama lote ushafungua mlango pakimbie we wa fungua wa muekea sura lako hapo watarajia nn kama sio mabanzi😂😂😂

  • @ElizabethWanyama-j3g
    @ElizabethWanyama-j3g Месяц назад

    Sema kufumilia,siwesi hayo kabisa

  • @KhadijazabronMwajombe
    @KhadijazabronMwajombe 2 месяца назад

    Ili janaune jinga sana😂😂😂😂

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 2 месяца назад

    Kwa stairi hii Mimi ningekusanya vyangu breki ya kwanza kwa mshenga namalizia kwa shehe a wachunguja inatengemea dhehebu gani ili kila mtu atafute uelekeo maana mapenzi ya dhati wara uruma hakuna tusije kuuwana Bure asila za uvumilivu zikifunguka uwa mbaya

  • @fatumamkuzi8051
    @fatumamkuzi8051 2 месяца назад

    Uvumilivu huu sina kkkkkk😂😂😂

  • @SaidhijaSalum
    @SaidhijaSalum 2 месяца назад

    Move nzr imetulia lkn kwa ubora wa hii nyumba bas hiki kitanda Cha kulalia mkibadilishe

  • @AishaNasra
    @AishaNasra 2 месяца назад

    Ndoa uvumilivu ila kama ni haya mmi sitoweza kupigwa ovyo duuu😢😢😢😢

  • @DeborhaMwambopo
    @DeborhaMwambopo 2 месяца назад

    Mm uyo ila ndoa zinasili kubwa Sana kunawaume wagubu jamani had kelo mm siwezi kuvumiliya hatakama nampenda

  • @hanaphMsagati
    @hanaphMsagati 2 месяца назад

    Mmh kwa staily hii hakun mwanamke atakaye weza kuvumilia mwanaume wa dizain hii duuh noma

  • @moonGirl-t1i
    @moonGirl-t1i 2 месяца назад

    Weeeeeh kama ndoa iko hivo heli nikae umaskini na wanaume 🤔🤔🤔🤔🤔

  • @CatherineSanga-jx6nz
    @CatherineSanga-jx6nz 7 дней назад +1

    😢😢😢khaaa

  • @kuruthumshaban460
    @kuruthumshaban460 2 месяца назад +1

    Mmmh kuna yakuvumilia Ila sio haya utaitia talaka mchana kweupe

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 2 месяца назад

    Ukipata mwanaume anakwambia ety hayupo tiari kulea mtoto,ety ukatowe mimba Duh kwangu sio siri heri nikarundi kwetu ndio iishe,nikale sima na chuvi kwetu nikilea mimba yangu maswala ya kutowa hapana aise😢😢😢

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 2 месяца назад

    Daaah 😢😢😢😢😢uchungu san matajir bhana

  • @RayaAbdi-u7f
    @RayaAbdi-u7f 22 дня назад

    Jamani ndoa ni uvumilivu sana

  • @MoniraAbuu
    @MoniraAbuu Месяц назад

    Mm uwo muda sina

  • @FatumaMuhamedi-qv6lv
    @FatumaMuhamedi-qv6lv 2 месяца назад

    C uende kwenu huna wazazi Kwan Kwa ndoa gan nimeboreka cna

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 2 месяца назад +1

    Hicho kibao ungempiga mumeo ningekuona wa maaana

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 2 месяца назад +2

    Kwa hiyo hii movei inatufundisha wanawake kuvumilia ndoa za mateso au nini maana sidhani kama kuna uvumilivu waaaina hii alooh mm siwezi,,,,wewe mwanaume mimi nakuua tena kwa sumu ya panya shemzi kabisaaaaaa

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      Asiyesikia la mkuu......

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 2 месяца назад +1

      @@BinMahsen huvunjika guu,,,,kweli mama alimwambia haya acha kimlambe

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      @@esterkimalio8846 sas nahisi ushajua eliku ya hii muvi ni ipi

    • @AidatAmadi
      @AidatAmadi 2 месяца назад

      Haaah Yan we umenifulahisha

    • @FatimaOman-wb8tn
      @FatimaOman-wb8tn 2 месяца назад

      Hii movi mm kuelew kwng inamansha mijanaume kam hii iko dunian kazi nkutesa wenzao2 me nkupiga nkifimb cha chapt ch kichwa kish😂😂😂

  • @ndayizeyeconsolatte
    @ndayizeyeconsolatte 2 месяца назад

    Na mimi ujumba bwangu burikuwa ivo arakini ivi bayi bayi from America 🇺🇸 Tennessee Nashville

  • @katanaajonathan6987
    @katanaajonathan6987 Месяц назад

    huyo jamaa ni Fala tu wakawaida hajui kuakti

  • @GraceMusa-i8x
    @GraceMusa-i8x 2 месяца назад

    Yaani kama ni shida za kwetu ndio sifanye nipitie haya wacha tukae nazo

  • @JamilaMsafiri
    @JamilaMsafiri Месяц назад

    Wapo wanaojielewa san n wanahurum

  • @ZainabuKessy-v6r
    @ZainabuKessy-v6r 2 месяца назад

    Mmh hapana kwakweli huyu asipoingia pepon mmh kunakitu kakikosea jmn

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 2 месяца назад +8

    Shikamoo ndoa 🙌🙌🙌🙌

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад +3

      😂😂😂😂😂Marhab mtarajiwa wa ndoa

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 2 месяца назад +2

      @@BinMahsen weee siji huko ng'oo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад +1

      @@aishafrancis7714 haya kwann jamni

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 2 месяца назад +2

      @@BinMahsen niliolewa yakanikuta hayo nilijuta mume anagubu kama fuko la rambo.

    • @AsiaFujo-mb8jz
      @AsiaFujo-mb8jz 2 месяца назад +2

      Marahaba mwanamwali 😂😂😂

  • @Kaaniadam
    @Kaaniadam Месяц назад

    Nikweli wapo tunapitia kama haya munadushauli tufanyenini

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl 2 месяца назад

    Mmh Uyo mwanaume balaa😂😂

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 2 месяца назад

    Minaweza ila pk uje uachike umepata plesha ugonjwa wamoyo

  • @YasminYasmin-vj5ih
    @YasminYasmin-vj5ih 2 месяца назад

    Bora kuishi single lol huu utumwa siuwezi siku ntakuwa jela

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 2 месяца назад

    Dada mzuri but mme ni hatari tupu kama mzimu

  • @NaifinMohamed
    @NaifinMohamed 2 месяца назад

    Huyu angenioa mm tu ningemuonyesha sho yakivita akajutavkutesa wanawake maisha yake yote😂😂😂😂

    • @YasmeenKhalifa-zq1zk
      @YasmeenKhalifa-zq1zk 2 месяца назад

      😂😂😂

    • @Tanganyika-w5p
      @Tanganyika-w5p 2 месяца назад

      Wanawake mnatutesa sana siku hizi...
      Si bora useme tu alafu nijitahidi kubadilika..
      Msitutese aisee

  • @ChidyMbuya
    @ChidyMbuya 2 месяца назад

    Ayo makofi kisa kuchelew kufungua mlango tuko weng atary

  • @فيصلالبادي-ح1غ
    @فيصلالبادي-ح1غ 2 месяца назад +1

    Mm vile nilivyonahasira huyo mwanaume ningesubili alale ningemkata hizo kolodani zake

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  2 месяца назад

      😂😂😂😂

    • @ImaeImae-p3v
      @ImaeImae-p3v 2 месяца назад

      😅😅😅😅😅

    • @ImaeImae-p3v
      @ImaeImae-p3v 2 месяца назад

      Mm ningemumwagia maji ya moto😂

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 2 месяца назад

    Kwn jmn hana ufunguo wake mbona ana shida hvyo

  • @ShakilaAyoub
    @ShakilaAyoub 2 месяца назад

    Jamani hapana kweli nisematuu iyi movie 😡 natamani nimfate uyo mwanaume amejiona simba ntakuja nikusaidie tumfumewu sawasawa

  • @JannatKuraishi
    @JannatKuraishi Месяц назад

    Wapo waume hawana huruma wala mapenzi kwa wake zao kama huyo baba

  • @ChimammyMummy
    @ChimammyMummy 2 месяца назад +3

    🤣🤣🤣🤣wee ngekua mm hapo naenda kulalaa na shemegi maana shemegi n mzurii

    • @Tanganyika-w5p
      @Tanganyika-w5p 2 месяца назад +1

      Wewe utatuua!!!
      Si bora uniambie nibadlike tu..
      Aiseee nakuomba usifanye hivyo..

    • @ChimammyMummy
      @ChimammyMummy 2 месяца назад +1

      ​@@Tanganyika-w5paah subutu uambiwe ubadilike Kwan huon unafanya vibayaa mm naenda Kwa shemegi nanikampee vzr 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Tanganyika-w5p
      @Tanganyika-w5p 2 месяца назад +1

      @@ChimammyMummy dada eeeh vitu vingine vinazungumzika. Hapo ukifanya hivyo wengine hatuwezi kuvumilia utatuua kabisa..
      Ninakuomba ufanye kila linalowezekana ila nakuomba usifanye hivyo..Lipiza kisasii ila aisee isiwe hiyo jamanii...Wewe ubaki kuwa wangu tu

    • @ChimammyMummy
      @ChimammyMummy 2 месяца назад +1

      @@Tanganyika-w5p ok nshakuelewa

  • @rizikibendawa5540
    @rizikibendawa5540 2 месяца назад

    Kama ndoa iko ivi ak kheri nibak tu mwenyewe mana doooo sikwl

  • @RayaAbdi-u7f
    @RayaAbdi-u7f 22 дня назад

    Jamani huyu baba hana akili

  • @ZaynabHassan-t5f
    @ZaynabHassan-t5f 2 месяца назад

    Mume kama wew ungenipata mie ningekunyoosha

  • @kichunababy-t8z
    @kichunababy-t8z 2 месяца назад

    😢 ak ndoa simama nishuke

  • @ismailabdalla7953
    @ismailabdalla7953 2 месяца назад

    Hakuna mwanamume kama huu nimpumbavu sana

  • @GhGg-mc4qq
    @GhGg-mc4qq Месяц назад

    Duu km ni mm ningekuwa nishaondoka mda san

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 2 месяца назад

    Mam tukifund watot wet, tusisahau kuwaeleza kuw kwao hawajafukuzwa inauma san, ila wazaz ,walez, makugwi mnachangia tunyanyaswe watot wenu ,kuwen makin wakt wa ufundaj ,tupen mipak ya ndoa.

  • @hanaphMsagati
    @hanaphMsagati 2 месяца назад

    Kuna gubu na manyanyaso hay yame pitiliza

  • @KhadijazabronMwajombe
    @KhadijazabronMwajombe 2 месяца назад

    Uyu mwanaume angeingia kwenye mikono yangu Walah ningemunyonga usiku nakiwa amelala

  • @leilahabdi7669
    @leilahabdi7669 2 месяца назад

    Narcissist ni viumbe ambao hawana hisia kabisa...

  • @AminaKidare
    @AminaKidare 2 месяца назад

    kuna mambo ya kuvumilia lakin sy kwa mume huyu kaaah

  • @SuleimanKombo-oy9wz
    @SuleimanKombo-oy9wz 2 месяца назад

    Mume kama huyu borakukosa maishayakoyote

  • @AshaTozili
    @AshaTozili 2 месяца назад

    Ni ndoa ila maji yakinizid unga ningemnyoosha huyu asingeamini na mwili wake mkubwa nyooooooo

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 месяца назад +1

    Hapo hapo na mimba ukambebeya haya dubiri

  • @FatmaJ-v7f
    @FatmaJ-v7f 2 месяца назад

    Kam hutak mtot ya nn kuoa mtot , ungeoa bib aliyekuzid umri ili usizae

  • @StephineNabbry
    @StephineNabbry Месяц назад

    Ata mm siwez

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v 2 месяца назад

    Next plz

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 29 дней назад

    Sasa dada nawewe usimsahau na mumewako kwenye chakula

  • @SophyClement-fu4ec
    @SophyClement-fu4ec 2 месяца назад

    Narudi kwetu hata sijaua aunimuue kabisa Hana maana

  • @MariaFransis-g6l
    @MariaFransis-g6l 2 месяца назад +1

    Huy mwanaume hapana

  • @AdijaallyAdijaally
    @AdijaallyAdijaally Месяц назад

    Sio kwa ndoa hii jamani

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 28 дней назад

    Hio ndio ndowana