MATHNA{UKEWENZA}SEASON 2 SEHEMU YA KWANZA💕💘💓

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 456

  • @hawandosi2500
    @hawandosi2500 4 месяца назад +11

    uke wenza ni mzuri sana ikiwa ote 2 mtakua na nia moja .shida inakuja kila mtu akiwa anaitaji abakie pekeake unafki unakua mwingi.

  • @BatuliAdam-q1m
    @BatuliAdam-q1m 4 месяца назад +10

    Uke wenza ukitaka unoge lazima mume awe na upendo wa dhati kwa nyinyi wote wawili mm naupenda Uke wenza raha sana mashaallah

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 3 месяца назад +1

    Ukewenza nimuzuri wasikilizane wanapendana ❤😂raha ingelikuwa nivo wote dada mudogo wakuwa vizuri
    Mwanaume abafurayi

  • @BintyAli-x4s
    @BintyAli-x4s 3 месяца назад +3

    Haifai kuomba dua kuongeza neno in Shaa Allah

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 3 месяца назад +4

    Hakuna mapenzi yawatu wawili mmoja apendwa zaidi

  • @sadahajihaji797
    @sadahajihaji797 4 месяца назад +5

    Dah kama ukewenza ni pepo naona kabisa naikosa😮

  • @AsiaKinega-ge9bv
    @AsiaKinega-ge9bv 2 месяца назад +1

    Jamani ile ya kwanza na mke mwenzie kibonge imeishaje

  • @YasminKipanga
    @YasminKipanga 24 дня назад

    Uke wenza uone tu ivi kwenye movie na utabaki kua mzuri kwenye movie tuu😂😂

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 4 месяца назад +6

    Mmmh uke wenza unataka roho jamani 😂😂😂😂😂

  • @husunahamis1879
    @husunahamis1879 3 месяца назад +1

    Kupatwa kwa ukewenza wallah😂😂😂

  • @JauZaty
    @JauZaty 2 месяца назад +1

    Mashaa Allah ila Jaman stara itawale

  • @SaquinaMinrage-m4o
    @SaquinaMinrage-m4o 4 месяца назад +2

    Nimpenda sana bi mdogo Yuko vizuri sana ❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Asante jamn❤❤❤

  • @nassrasaggaf4003
    @nassrasaggaf4003 4 месяца назад +5

    Kweli kujistiri ni vizuri wadada zangu

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Je unahis tutafundisha ikiwa tutakuwa tunadanganya mudhui..Je mke mwenye kujistir nweza ingia chumbni na mumewe akavaa mjuba n nikab muda wa kulla

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 4 месяца назад

      ​@@BinMahsenmm naoan hamufundishi ila hakuna maisha watu ya ukewenza wanaoishi hvo kabisa na hakuna dini inayosema hvo wala hakuna maisha hyo.

  • @Mwaka-j9x
    @Mwaka-j9x 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂 Acha iv iv hata kwa muganga subutu mpo vzur ❤❤❤❤🎉

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      😂😂😂😂😂

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb 4 месяца назад +29

    Jamani wana wake tujisitiri

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад +2

      Inshallah tutafanya jitihada ya hilo

    • @UmyAbriya-wt4vb
      @UmyAbriya-wt4vb 4 месяца назад +1

      @@BinMahsen shukran

    • @amamiss22
      @amamiss22 4 месяца назад +1

      😢😢😢 kweli ivi vitu vibafaaa???😮😮😮

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      @amamiss22 haswaa

    • @nouraalharthy5509
      @nouraalharthy5509 4 месяца назад +3

      Mie hujiuliza sanaa au ustaa ni u chi?

  • @faudhiahassan7907
    @faudhiahassan7907 4 месяца назад +2

    Masha Allah na mimi nataka ukeweza jamani uwe na amani kama hivi lkn huu nao mwanzo ulikuwa na mtihani wallah

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Hswaa ila sijui huko tuendako

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 4 месяца назад

      Mh hmna hv ndugiangu mpk kiama kinasimama hakuna maisha ya wakewenza hv

  • @AnchaSaide-j6q
    @AnchaSaide-j6q 3 месяца назад

    Naupenda sana uke wenza wallah tunaopend Allah atufanyie wepec inshaalah

    • @StellaStella-z4e
      @StellaStella-z4e 3 месяца назад

      Inshaallah kwasote pia kama huajaolewa njoo

    • @hildagabriel1003
      @hildagabriel1003 3 месяца назад

      😂😂

    • @AsiaKinega-ge9bv
      @AsiaKinega-ge9bv 2 месяца назад

      😂😂😂 niachenii jamani mwanamke wa huku njoenii😅​@@StellaStella-z4e

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 2 месяца назад +3

    Mimi nataka kuwaoa hao wote wawili kisha tuone wataishi km walivoect

  • @AsmaSaidi-en7vu
    @AsmaSaidi-en7vu 4 месяца назад +3

    ❤mashaallah kuna cha kujifunza kikubwa kazi nzr san❤❤❤❤

  • @RawlyneCharles
    @RawlyneCharles 4 месяца назад +12

    Wanawake wote tungeish km ivi raha sana

  • @hilalhilal222
    @hilalhilal222 4 месяца назад +4

    Jmnii tuliisubr kitambo waoo❤💃💃

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      ❤❤❤Shukrani

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @Realme-xm3sh
    @Realme-xm3sh 4 месяца назад +2

    Uwo wendawazim mi siuwezi 😂😂😂mke mwenza kwang ajiandae tu ntamuendea kwawanganga mpaka akome😂😂uyo mme sas ajipange ntamlisha mpak mavi yambwa😂😂

  • @najmahmumamh-hk7rd
    @najmahmumamh-hk7rd 4 месяца назад +3

    Mashaallha kazi nzuri hadi twasikia wivu wengine❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AsiaMawela
    @AsiaMawela 3 месяца назад

    Mashaallah mm mwenyewe nitakua make mwenza

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 4 месяца назад +3

    Wow mashallah ❤❤❤nmeipenda san wallah

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Shukrani❤❤❤

  • @khamisimuya
    @khamisimuya 3 месяца назад

    Huyu mke wa pili ana moyo gan duh maan pend sana life style ya mwanamk wa pil

  • @IsmaiylMujaahid
    @IsmaiylMujaahid 3 месяца назад +1

    Mbona hawajaamka kusali kwanza na wao ni waislamu

  • @saadazubeiry8918
    @saadazubeiry8918 4 месяца назад +2

    Loooh!!
    Roho hio me Sina hongereni sana!

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Na kweli vyataka moyo

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 4 месяца назад +3

    Kweli mwanaume akitenda haki mtaenda sawa lkn pasiwe na fitna Kwa watu

  • @MwajumaKamguna
    @MwajumaKamguna 3 месяца назад

    Mashaallahh raahaa jamonii nimeipenda❤❤❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 4 месяца назад +1

    Masha Allah nakitanda munatandika ote 😂😂😂mukovizuri

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад +1

      Yaani utamu utamu

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 4 месяца назад +2

    Natakaa kua mke wa 3 jamani ama nita haribu😂😂😂😂😂 yani mimi sana sana nitakua naweka viungo tu kwenye maji ya kuoga ya mume wetu😂😂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂Subir yajayo yanafurahisha

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 4 месяца назад

      @@BinMahsen 😂😂😂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @christine7744
    @christine7744 4 месяца назад +3

    MashaAllah mwapendana wake wenza ila kwangu sitaki 😂😂😂😂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Mh sio vizuri hivyo

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 4 месяца назад +1

      Ww kam mm siutaki hat kuusikia u

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      @NewNew-ep5dq jamani sio vyema dinin inaruhusu lakin

    • @christine7744
      @christine7744 4 месяца назад +1

      @@BinMahsen ata kama wengine ni vitaka moyo jamani

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      @christine7744 😂😂😂😂

  • @maimuna9132
    @maimuna9132 4 месяца назад +1

    Bi mdogo mcheshi adi rahaaa😅😅😅😅😅

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 4 месяца назад +2

    Mungu akujariyee jamani natamani sana EP 2

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Tayari jamani ep 2

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @Farthun
    @Farthun 4 месяца назад +3

    Mashaallah nilisubiri sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Ndo ushafika karibu

    • @Farthun
      @Farthun 4 месяца назад

      @@BinMahsen Shukran sana 🫂🫂🫂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 3 месяца назад

      ​@@BinMahsenhhhhhh midijawah

  • @AishaJuma-zz2rj
    @AishaJuma-zz2rj 3 месяца назад +1

    Mashaallaah had rah

  • @SaumIdris
    @SaumIdris 4 месяца назад +2

    Mashnllanllah mashnllanllah natamaniiiii

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Inshallah allah atatakabal.Duwa

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 4 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana Big up sana 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @RaheemaOmani
    @RaheemaOmani 4 месяца назад +2

    Maashaallah kazi nzuri sana

  • @منيكينيا-و9ي
    @منيكينيا-و9ي 4 месяца назад +2

    Walah ingelikua ukwel iv,,,tuñgeend peponi wanawake walah ,,,ila sio dunia ya sai

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Dunia ngumu hii

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 4 месяца назад

      Pepo huipati kwa mambo hya tu mwanamke akijistiri akifunga akimtii mumewe peponi

  • @majidwazir1705
    @majidwazir1705 2 месяца назад

    Stara Jaman kuone Kana mabeg mwana mke hafai

  • @NaomiMakali
    @NaomiMakali 2 месяца назад +1

    Huo ni upuuzi sana

  • @SalliesSharif
    @SalliesSharif 3 месяца назад +1

    Kaz nzur kaka , upo vizur sana menejment ndio ya kutafuta

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 4 месяца назад +1

    MashaAllah kazi nxuri❤❤

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 2 месяца назад +1

    Subutuuh ati uke wenza 😅😅😅

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 3 месяца назад +1

    Ndio sheriya hiyo

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n 3 месяца назад +1

    hii nimeipenda jaman

  • @evesilayo740
    @evesilayo740 4 месяца назад +2

    Hadi raha jaman huyo mume sasa anavyepetiwa jqmqn!

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 4 месяца назад +1

    Congratulation brother kazi nzuri nimeipenda sana 🙏 🙏 ❤hadi raha😂😂

  • @irenehebuka3218
    @irenehebuka3218 3 месяца назад

    Ah uongo uongoo😂😂😂😅

  • @ShamimAbdul-tf3fw
    @ShamimAbdul-tf3fw 4 месяца назад +1

    Bi mkubwa uko vzr 🎉🎉🎉

  • @mesamesa3698
    @mesamesa3698 4 месяца назад +1

    Yaani mpaka nna wivu 😂😂😂 raha iliyoje

  • @lamuchidon7643
    @lamuchidon7643 3 месяца назад +1

    Hata peponi hurul aini watakua na wivu kiasi hawaezi kaa hv Kaif Hawa wetu 😅😅😅 nakataa

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r 4 месяца назад +1

    Mashaallah congratulations 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Afuwan shukran

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @IrankundaaliaIrankunda
    @IrankundaaliaIrankunda 4 месяца назад +1

    ❤❤nimewapenda

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      ❤❤❤😍👌

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 4 месяца назад +1

    Niliwamis sana jaman❤❤❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Yaani sisi ndo hatar ulikuwa wapi

  • @NajmaNassoro-sl2gq
    @NajmaNassoro-sl2gq 4 месяца назад +5

    Mashallah kazi nzuri lakin muzidishe stara kiukweli mi napenda ukewenza jamn natamn nikiolewa niwe na mke mwezangu ntapenda kweli allah anitakabalie amin

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Inshallah

    • @madamshifaa8503
      @madamshifaa8503 3 месяца назад +1

      Njoo uwe bi mdogo wangu uone kama utafurahia uke wenza😂😂

  • @asmaasuleiman8425
    @asmaasuleiman8425 3 месяца назад

    Sheria msumeno mmmm sisi wengine aaaaaa kw kweli inataka moyo wa ziada

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 4 месяца назад +2

    Duuuu mpaka nimeisahu

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 4 месяца назад +1

    Wote wapo vizuri

  • @madamshifaa8503
    @madamshifaa8503 3 месяца назад

    Duuuuh! Imeenda ndivyo aivyo, bi mkubwa wangu chibonge nakumis na mimba yako, halafu et huyu hana mimba😢😢😢😢 mmevipangaje jamn mbona mwatuvuruga

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 4 месяца назад +2

    Mashallah ukewenza

  • @hairatSaid
    @hairatSaid 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂mathna pambe yaninajiskia Kama ndomm apo😢

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  3 месяца назад

      😂😂😂💘💘

  • @Sakina1212-jp4yo
    @Sakina1212-jp4yo 4 месяца назад +2

    Jamani Mimi siwezi

  • @najmamwinyi2929
    @najmamwinyi2929 4 месяца назад +3

    Ujasiri huu natoa wapi mimi nawivu wangu huu😂

  • @LovelyChocolateBonbons-ok2ww
    @LovelyChocolateBonbons-ok2ww 4 месяца назад +1

    Kali sana jamani ❤❤❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Shukran

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @dorahpatrick6698
    @dorahpatrick6698 4 месяца назад +1

    Napitaaa kiukwel 😂😂😂💔🙌🙌 wapeke yangu ni kaburi tiuu

  • @RatpherAdam
    @RatpherAdam 4 месяца назад +1

    Mmmh subutuuu😂

  • @MaryamAdam-b9q
    @MaryamAdam-b9q 3 месяца назад +1

    Mmh hakunaga hiyo

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 3 месяца назад

    Amina❤

  • @KingBidula-p7d
    @KingBidula-p7d 4 месяца назад +1

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 3 месяца назад

    Nnaona hishma ndogo sana
    Hazina usnaarabu

  • @khamisimuya
    @khamisimuya 3 месяца назад

    Dah ukipata wake kama hawa unanepa wallah

  • @milsahamis
    @milsahamis 3 месяца назад +1

    Qpo kwenye taarifa ya ujauzito mmh mi nsingeweza

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s 4 месяца назад +3

    Hongeli cn natamn cn na mm kuwa hivo lkn mke mwezangu ni zaidi ya sumu mungu amsaidie abadilike

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Allahumma amin

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 4 месяца назад

      Allahuma amiiin lkn hpa wanaekti tu hakuna maisha hyo hta sku moja ypo mnaongea mnasalimiana tu lkn tena mtandike pamoja mshauriane vzr kwenye matendo ya ndoa umeona wap au umeskia wap.

    • @JazeeraRichard
      @JazeeraRichard 3 месяца назад

      Mm ndo balaaa matusiii ntapewa hatariii

  • @LilaAl-b3x
    @LilaAl-b3x 4 месяца назад +3

    Yule mke mkubwa mmzur mashallah nampenda sn yukowap mbona mumemchennji

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад +1

      Kulingan na sababu za majukum yake mapya imetulazimu kutoendelea nae na moja sababu kuchelewa kuileta season 2 mapema ni kutokana na yeye

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @saumuothman3588
    @saumuothman3588 3 месяца назад

    Mungu aninusuru na hayo maradhi 😂

  • @MaryamJuma-q3r
    @MaryamJuma-q3r 4 месяца назад +1

    Hahaha zamajanadume otee

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂mandalizi ya kazi

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Haswaaa

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @PilyMswaki
    @PilyMswaki 4 месяца назад +1

    Nzur maashaallaah

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Afuwan shukrN

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @bas2823
    @bas2823 2 месяца назад

    THIS MOVIES REMAIND ME MY UCLE"! WHO MARRIED 2 WIVES N THE WIVES ONLY STAY HOME COOKING CLEANING TAKE CARE OF HIM N THE HOME N THE KIDS"! NO"! ANY FREEDOMES OR HAPPINESS FOR THOSE 2 WIVES" HIM HE ENJOY HIS LIFE N GO OUT GO GARDENS GO TO VISITE PPL N FAMILY"! BUT WIVES ONLY STAY HOME ONLY. HE WAS SOCHOOL'S PRINCIPLE" N HE WAS VERY STRICKLY TO HIS WIVES N HIS KIDS N ALL OF THE FAMILY" IF HE WAS HUNGRY EVEN MID NIGHT THE WIVES WILL GO N COOK FOR HIM" N SAVED HIM OVER MID NIGHT" THE FOOD HE WANTS" 😴 "! WE WERE KIDS" THAT TIME"! WE JUST LOOK N WE CANT SAYS A WORD ABOUT IT"! ALLAH YERMAN HIM"! N HIS WIVES WU JAMIAN"! AMEEN🤲 IT WAS ONE WIFE PREGNET N THE OTHER ALSO PREGNET"! HE WAS TALL CUTE N HANDSOME"! ALSO STRONG 💪 N FULLY OF SHAKSIYA N VERY STRICKLY"! TO HIS FAMILY N ALL OF US"! ONE LOOK OF HIS EYES ONLY"! CANT MOVE ANY PLACE"! WE USED TO SCARED OF HIM N OUR FATHER TOO MUCH"! THESE TWO PARENTS OF US WERE LIKE THIS' OUR FATHER N OUR UNCLE BY OUR MOTHER SIDE"! BUT MY FATHER DOESNT EAT IN THE MID NIGHT ONLY HIM MY UNCLE AT HIS HOME"! HE WAS NICE N A JOCKS PERSON BUT WAS VERY STRICLKY IN RELEGIONS"! HE CAN YEKHTIM 40 JUZUU"! FOR 3 DAYS ONLY"! ALSO HE YEHFADH QUR'AAN 30 JUZUU GHAIB"! HE CAN READ IT"! 📚 "!

  • @RehemaMandai
    @RehemaMandai 3 месяца назад

    Wadigo hao chezea ww😅😅😅😅

  • @mozaally7643
    @mozaally7643 3 месяца назад

    Aaaa sikarne hii 😢

  • @zawadiabdallah8342
    @zawadiabdallah8342 4 месяца назад +4

    Uke mwenza kama huo jaman upo nimependa wallah had naingia wivu

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Jmm pole

    • @zawadiabdallah8342
      @zawadiabdallah8342 4 месяца назад

      @@BinMahsen ya tatu iko wap na huyo mama musimtie anaharibu mambo

    • @Mohammedyasia
      @Mohammedyasia 3 месяца назад

      Hata mm

    • @Mohammedyasia
      @Mohammedyasia 3 месяца назад

      Mashallah nitakuwa hv kwa mke mwenza mkubwa nakupenda sana ummy fahadi❤❤

    • @Mohammedyasia
      @Mohammedyasia 3 месяца назад

      Mashallah nitakuwa hv kwa mke mwenza mkubwa nakupenda sana ummy fahadi❤❤

  • @AidatAmadi
    @AidatAmadi 3 месяца назад

    Daah nzur San lkn shehe umeweka wanawake uchi unajua mwanamke anabidi ajisitiri

  • @manjimebakari1850
    @manjimebakari1850 4 месяца назад +1

    MashaAllah nzuri lkn sitaki ukewenza😂😂😂😂😂😂😂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Jamani kubali bwana

    • @manjimebakari1850
      @manjimebakari1850 4 месяца назад +1

      @@BinMahsen sitaki Mume mtarajiwa popote ulipo jua sitaki uke wenza🤣🤣🤣🤣

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      @manjimebakari1850 bwana usifabye hivy hutaki kusaidiwa zamu😜😜😜

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      @manjimebakari1850 bwana usifabye hivy hutaki kusaidiwa zamu😜😜😜

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @zabibuwazir2377
    @zabibuwazir2377 4 месяца назад +4

    Waongo,hakuna uke wenza uo ,na mume bwege ivo,kajambeni uko

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 3 месяца назад

      Na kweli wakajambe wasituchanganye😅😅😅

    • @AnnoyedMountainLandscape-kx1ft
      @AnnoyedMountainLandscape-kx1ft 3 месяца назад

      Upoo mm shuhuda baba angu kao wak 3 nawanapendana ataree nikwer hususa mume akiw anaupendo

  • @AsnathSalum
    @AsnathSalum 4 месяца назад +1

    Mimi siwezi jamani

  • @MariamuShabani-u9o
    @MariamuShabani-u9o 3 месяца назад

    Nimewapenda

  • @EuniceJ.Mathias
    @EuniceJ.Mathias 3 месяца назад

    Msituongopeee bhana

  • @idrisamodo4
    @idrisamodo4 4 месяца назад +1

    😅😅😅😅kuuratulain😊😊 Hao vivuruge

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Director wangu na dirrctor wa hii movie ya mathna naomba tuonane

  • @DeboraMozes
    @DeboraMozes 3 месяца назад

    Uo ujinga siuwez kabisa japo napenda kuishusha we

  • @ashurafundi2873
    @ashurafundi2873 3 месяца назад +1

    Moyo huo sina

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w 4 месяца назад +1

    Bi mdogo nami niwe mke mwenzio😂😂😂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад +1

      Kabisaa maan ni mpol hatar

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 4 месяца назад +2

    Mama mkwe kaharibu furaha bora msingemwambia bhana kanikera mm

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Yaani kazimakwa kupuliza kama mshumaa

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @JilalamSen
    @JilalamSen 3 месяца назад

    Mbona mumebadilisha msichana 😊

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 3 месяца назад

    Nangalia ad naon wivu walah 😂😂😂😂😂😂

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu 4 месяца назад +3

    Haya yapo kwenye movie tu 🤔 ila Raha sana 🥰

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      Yapo live kwako

    • @BinMahsen
      @BinMahsen  4 месяца назад

      HIVI USHAWAHI KUISHI NA SHEMEJI MWENYE GUBU HADI NYAMA JIKONI ANAEHESABU KAMA HUJAWAHI HEBU BOFYA LINK HAPO UJIBURUDISHE UKIWA UNASUBIRI MATHNA EP YA 3
      MUME WA DADA... EPISODE 1
      youtu.be/G43yqz4UJ

  • @RizikAly
    @RizikAly 2 месяца назад

    Sjaribu mchenzo huu