Nilikuw naisubir kwa hamu jamn tunaomba msikae sana maana naipenda sana hii muvi mimi huwa sio mpenzi wa muvi za kiswahili lkn hii movi nimeiyelewa sana zaid ya sana nawapenda sana ❤❤❤❤
Wakwanza hapa jamani kutokea 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 msininyime like zenu atake isoma hii comment na kulike mungu amfungulie milongo ya mbaraka next year sikukuu jema kwa kila mmoja🎉🎉🎉
Aki inahuzunisha sanaaaa Sasa kama mama mzazi anakufanyia unyama ivi duuuuu 😭😭😭😭ila inshallah Omar apone twamiss tabasam lake na furaha akiwa na wake zake❤❤❤❤❤❤❤❤
Asalam aleikum warhamatullah wabatakatuh wadau wenzangu jumaa Mubarak wote kwa jumla.. Hongereni sana kwa kazi nzuri mwenyezi mungu awajaalie sana mke mdogo na mkumbwa mwenyezi mungu awape subra Ila mitihan jaman
Naomba nitajie hiyo jela mwanamke anaeruhusiwa kukaa na ushungi akiwa mahabusu nina vocha yako moja mbili kumbuka sisi tunatoa elimu kwan kislam imekaa sawa mama mkwe kumuua mjukuu wake mbona hilo hulioni kipaumbele nape.Da kukosolewa lakin kwa tija na si kwa hisia binafsi za moyo vip mbona odo anakucha ndefu za bandia hujaziona ninyi ninyi tukitunga filam jini tukamvisha tshirt ya chama cha ccm mnapiga kelele kuwa bongo muv tunazingua
Ya Allah jaza imani ktk mabint hawa 2 m2 na mke mwenake uwapambanie mume wao apone Ya Rabb 😢😢😢😢😢 wote walio na myoyo km yahawa wake wenza wanakiti chao peponi inshallah,,,, YA RABB NIJALIE IMAN NA MOYO KM WA HAWA MABINTI WAWILI ALLAHUMA AMIN INSHALLAH ❤❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
Daa leyla umenifunza kitu kwakweli ntumai nitaingia kwenye ndoa n nitaipambania ndoa yangu😢huyu mama Mungu atamfedhesha pmj n mdogo wake 😢hyu dada anaeishi n daa leyla ni afande ila daa leyla hajui naomba Mungu mtie moyo huo huo wakuwasaidia😢
Police kuwena na huruma na msikimbilie kuchukua Sheria kabla hamjajua chanzo ni nn? Pia muangalie condition, mtu ana mgonjwa nyie mwamtia ndani. Mbona msimchukue na mgonjwa mkaja kumuhudumia?
Mambo 🔥🔥🔥 eee mwenyezi Mungu wajaalie wote wanaoangalia moves hii waingie mwaka 2025
Amin 🤲 ❤
Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen yaraabiiilaalamini
Amin thumma Amin kwasote 🥰🥰
Leyla mcheza karate mzuri sana nimempenda ghafra
Nilikuw naisubir kwa hamu jamn tunaomba msikae sana maana naipenda sana hii muvi mimi huwa sio mpenzi wa muvi za kiswahili lkn hii movi nimeiyelewa sana zaid ya sana nawapenda sana ❤❤❤❤
Inshallah ntafanya hivyo
Nitafurah sana
Mashaa,Allah movie mzuri sana inamafuzo ila inaumiza sana inanifanya nalia tu wallah😭😭😭😭😭😭😭
Yn mm kila naliat jmn
Wakwanza hapa jamani kutokea 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 msininyime like zenu atake isoma hii comment na kulike mungu amfungulie milongo ya mbaraka next year sikukuu jema kwa kila mmoja🎉🎉🎉
Allahumma amin na kwako pia
Leo nimkua wapili naombeni like zangu
Allahumma amiin yarabi nakwako pia
@MwanalimaMwalimu-c4m true 👍
Tupo wake wenza mimi pia na mwenzangu Alhmdulilh
Jaman Dah! Hii move kali Hatarr ijayo iwahi ❤❤❤❤❤❤❤❤
Naumia Kwa ajili ya mume ila Leyla ahsante Moja tu mtu chini
Naumia kwa ajili ya mume
Nilikua nalia ila daa leilah kanifanya nicheke kwakumtega mama mdogo nakuanguka chini😅😅😢 poleni daa leilah na daa faimah nawapenda sana
Mm pia nikiolewa nitampenda mme wangu kwa hali yoyote ile inshaallah Amiin
Aki inahuzunisha sanaaaa Sasa kama mama mzazi anakufanyia unyama ivi duuuuu 😭😭😭😭ila inshallah Omar apone twamiss tabasam lake na furaha akiwa na wake zake❤❤❤❤❤❤❤❤
Asalam aleikum warhamatullah wabatakatuh wadau wenzangu jumaa Mubarak wote kwa jumla.. Hongereni sana kwa kazi nzuri mwenyezi mungu awajaalie sana mke mdogo na mkumbwa mwenyezi mungu awape subra Ila mitihan jaman
Mashaallah kazi nzuri inafundisha ❤❤
Jmn mbn jela wanawake wanakaa na shungi zao jmn hpo kipengele cha kutoa ushungi jmn 😢😢 kwa mwanamke wa Kiislamu haijaakaa sawa pls hili liweken saw
Watu wengi wanatumia shungi kujitia kitanzi ndo huwa wanavuliwa
Kweli apo wamekosea kidogo
Naomba nitajie hiyo jela mwanamke anaeruhusiwa kukaa na ushungi akiwa mahabusu nina vocha yako moja mbili kumbuka sisi tunatoa elimu kwan kislam imekaa sawa mama mkwe kumuua mjukuu wake mbona hilo hulioni kipaumbele nape.Da kukosolewa lakin kwa tija na si kwa hisia binafsi za moyo vip mbona odo anakucha ndefu za bandia hujaziona ninyi ninyi tukitunga filam jini tukamvisha tshirt ya chama cha ccm mnapiga kelele kuwa bongo muv tunazingua
Hakuna jera ya hvyo kaka,ukiingia jera watoa hyo shungi waiingia kichwa wazi
@HawaIssa-u4z asante kwa kunisaidia maana kuna vitu vyengine ni ngumu kuelezea
Laly kiboko weee umenifananish sana❤❤❤❤
Nampenda xn mke mdogo ❤❤❤
wakwe kwisha yenu habari😂 mission done ❤❤❤🎉🎉🎉
Mke mkubwa nakupenda San 😂😂😂 hio msichana hahahaha nikija tz nakutafta nikupe zawad❤❤❤❤
Hongera zenu jamani kazi nzuri nawapenda sana😘😘😘😘😘
Kazi nzuri sana yenye mafunzo Mungu awabariki jamani ❤❤❤❤
M nampenda leyla jamanai aah😂😂😂❤❤😊
Shukrani San Kw muendelezo Allah atunusuru na maswahibu 😢😢 kama haya mama mzaz ndio wanafanya haya😢😢
Leyla Allah azidi kukulinda I love you habibty ❤❤❤
Ulimi mwingi n nguvu Huna 😂😂😂❤❤❤❤ inshallah mume atakuwa sawa dadangu
Jamani naipenda hii move nimeifatilia toka naanza😍😍 mtoe haraka haraka vipande hivyo
Inshllah
Mbona nalia mm 😭😭😭 wanawake sisi mashetwani
Mkemdogo haay❤❤❤nampenda bure
Jamani inafundisha sana
Mke mndongo nakupenda bule ❤❤❤
Kazi nzuri sana na inafundisha hakika. Mungu awatie nguvu na azidishe maarifa kwa mwandishi , Afya na furaha kwenu nyote ili mzidi kutuelimisha.
Dah wallah naapa wewe ndo mtu wa kwanza kumpa sifa mwandishi wa hii story kiukwel nimemuonesha comment yako kafurahi sana na anakushukur sana
@BinMahsen anastahili maua yake, na bila kusahau nyote kwa ujumla wenu mnafanya kazi nzuri sana.
Yaani leyla na dadako nawapenda mnatuelimisha kwa kweli japo kua mwaniliza kweli nawapenda sana🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤ nawapenda 🎉 kz nzuri
Mmh mashaallah nimeipenda❤❤❤❤
ay mambooo me ndio napenda piga na huy mama ak mkwe
move imekaa vizuri sana imejaa mafunzo
Hii nasheed inayoimba kwenye hii movie naipataje walai nimeipenda mno mix movie mambo ni fire 🔥🎉❤❤
Kuna.Link niliituma ya group letu la wasap ukiingia humo ukaniambia kuwa una ubitaj wa hiyo nasheed nakutumia
Astaghfirullah mama uzae mwanao apate mtihan umfanyie hivy daah mbna nalia mm😭ila asante mke mdg kww kuninyooshea watu ❤
Ya Allah jaza imani ktk mabint hawa 2 m2 na mke mwenake uwapambanie mume wao apone Ya Rabb 😢😢😢😢😢 wote walio na myoyo km yahawa wake wenza wanakiti chao peponi inshallah,,,, YA RABB NIJALIE IMAN NA MOYO KM WA HAWA MABINTI WAWILI ALLAHUMA AMIN INSHALLAH ❤❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
Wallah hili neno nimekua wakwanza laniumiza kwani mwapata faida gani 😂😂😂😂😂
Jamani Leo mmeniliza 😢😢😢kwakweli mama atapatalaana uyu mwanao anapatashida wakezake munguatawalipa
Mam pambee huyuu ananikosha mwana wa kimjiiii😂😂😂😂
Mashaallah nzur jamn ilaa mwacheleweaha kutoka jamn
pole sana leyla na mumeo ila nmefrahi ulivompiga huyo mjinga
😭😭😭mwenye zimungu awafanyiye wepesi
Muwe mnawaisha basi jamani kaz nzuri
Kazi iko poa sana tumefulahia na huzuni pia
Kwakweli kamahuna moyohu wezia ngalia mmetisha saluti
Msiba mkubwa huyu mama utadhan so mtoto wake inaumiza sana kwa kweli😢😢
Daa leyla umenifunza kitu kwakweli ntumai nitaingia kwenye ndoa n nitaipambania ndoa yangu😢huyu mama Mungu atamfedhesha pmj n mdogo wake 😢hyu dada anaeishi n daa leyla ni afande ila daa leyla hajui naomba Mungu mtie moyo huo huo wakuwasaidia😢
Amiiin
Nakupenda bure Leyla mdogo wangu, mm najua omari hapo kwako kapata mke na nusu. Usawa mwanache
Police kuwena na huruma na msikimbilie kuchukua Sheria kabla hamjajua chanzo ni nn? Pia muangalie condition, mtu ana mgonjwa nyie mwamtia ndani. Mbona msimchukue na mgonjwa mkaja kumuhudumia?
Hongereni sana munaweza Mara dufu, lakini musicheleww kutuletea muendelezo
Hongern sana bin hahsin film
Nashukulu mungu kwakuiona leo
Amin inshalah
Asalamualaiku warahmmatullah wabarakatu jamani movie tamu nyengine kwa haraka plz
Hongeren kaz nzur
Polen sna wake jmn yataisha
Poleni sana dada zangu 😢😢😢
Mbn kimya sanaa
Kazi nzur,❤❤❤❤
Mama mukwe pambe😂😂😂😂😂kwaiyo umefukuza mwanao kisa mu enjoy kwanyumba isiyokuwa yenu munakera bala
Kitakuramba mama ww😂😂
Bc sehemu ya 12 iharakishwe kdg tunaomba duh leila umeupiga mwing ww na dada yk🎉
Ndimi ndefu na kumbe hamjiwezi😂😂😂
Movie nzur sana
Pole jamn san
Pole jamn
Daa! inatia huruma kwa kwel had machozi yanatoka😭😭
Jamani mafunzo hatari mashaallah lakini musiicheleweshe wapenzi 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mungu tunaye muomba halali wala hacnzii nikwel kabisa
Mwachelewa sana hadi twasahau
Kwakweli wakwezinu wanafanyiya unyonge wana fakunza wanafunga wa napega mumewenu
Kwakweli Subira
Mungu nawakutegemeya
Ayo nimafunzo
Muvi nzuri sana mnajua kuniliza
Mke mdogo unaupendo wa kweli kwa mumeo
Nimeliaaaa
Najikuta nalia mm jamani😢😢😢
Ingekuwa uke wenza wote upo hivi kikwely mumewangu ningekurusu ukatoe ela wee naenza jikaanga namafuta yangu aku😂😂😂😂
Wala.usijaribu nyumba yako utakuja iona chungu
Safi sana sheila
Uyu simwanae kwl 😢
mnachelewa sana sasa adi 2025 😂😂
Kesho
@@BinMahsen InshAllah!!!
Jamani mmi leo wa pili nipen maua yangu🎉
🌹🌹🌹🌹
Like zanini jamani
Leyla next time usikubali kukaa kichwa wazi Allah atusamehe sote
Kama story itamktaka akae kichwa wazinitambidi akae kwakuwa tupo kwenye kuelisha so itabidi uvumilie inshallah
Ina maana unatangaza vita na Muumba
Mashaallah lkn hii kila nikiangalia si kulia jaman
Da leyla indelea kujisimamia na kuipambania ndoa yako
Nimechelewa sana ila ndio naagalia sai lazima nijukumike kiasi
hongern mmeweza
Nikibahatika kuolewa mke wa pili nitakua kama da leilah na nitampenda sana mke mkubwa kama ndugu yangu
Kwn uyu mama akwenda leba 😢
😢😢😢😢
Akina lelaha jamani mwaniliza , yaraab tusitiri na mavyaa kaa hawa kwa kweli wanaroho za kikatili
Dah! Move yenu nzuri sana ila mmekosea tu mlivyokaa vichwa wazi jaman haimpendez ALLAH
Pia.HaimpenDez allah mzaz kumuua mjukuu wake na.Kumfukuza mwanae ila humu ss tunaigiza ili kufundisha hivy kuna vitu lazim vifanane na uhalisia
Waziri wa maovo is typing and delate 😅😅😅
🤣🤣🤣bimdogo mpole ila mtata😅😅 wacharaze hao
Hawa mabinti mlipowaruhusu wavae stara walipendezaaa.
Kuwatoa hijabu wamekaa vibayaaa 😢
Sisi hatujawatoa hijab ila funzo tunaowapa ndo limewatoa hijab hakun mtu anengia jel na.Hijab hivy yalupasa ujue tupo kweny elimu
Ongelen kwa kutoongezea dakika
Mbona mnatucheleweshea utamu jmn
Haki hii move imeniumiza Hadi nimetoa machozi ya hurumaa sijawahi ona mzazi kama huyu mama
Dd afande nimekuelewa na upelelezi wako
Jamani Leo Mimi wa kwanza nipeni mauwa yangu
Assalam Alykum wapenzi nshafika nami jamani
❤❤❤❤❤
Karib
Naumia kama vile n mimi
Duuuuuh....hatari 🥹
Msticheleweshe muendelezo
Wee dada police mpelelez fanya kit kwa hao wake wakimbie nyumba na waino chung ili wenyewe wapate kukaa
Kumbe wajijua kua ni shetani 😂😂😂