SIMBA JEURI FULL MOVIE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 56

  • @TonyMkongo
    @TonyMkongo  3 года назад +8

    Follow my Instagram account 👇
    instagram.com/tonymkongo?

  • @msasucomeback3445
    @msasucomeback3445 2 года назад

    Kazi zuri sana natamani ninge fanya kazi nanyi

  • @ZakaYonsa
    @ZakaYonsa 11 месяцев назад

    🎉🎉🎉 Mungu awafanikishe

  • @AlekiiMzuqah
    @AlekiiMzuqah 3 года назад +1

    nakubali sana washikaji.....maigekhan nakuchekie mwan mbeya ..........kazi nzuri................nifuatilie pia

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 2 года назад

    Yaani uyu Usalama atofautiani na Kiongozi wangu ivyo ivyo izi kazi ngumu sana yaani huna Amani kabisaa

  • @JaphethKalakile-gy3wo
    @JaphethKalakile-gy3wo Год назад

    Hongera ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @emeldamalesi2591
    @emeldamalesi2591 2 года назад

    Kazi nzuri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ywydhhd7941
    @ywydhhd7941 3 года назад

    Hongereni ila move haiko kweny uhalisia, Mungu mwema ipo siku mtafnya vizrii zaidi,

  • @fedrickkredy7365
    @fedrickkredy7365 3 года назад

    Unaweza damiel

  • @raslena1957
    @raslena1957 3 года назад +2

    Imeweza kaka 💪💪💪

  • @nuruheartaman3466
    @nuruheartaman3466 3 года назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥 movie nzur sana

  • @kevinsitati3582
    @kevinsitati3582 3 года назад

    Wadau hii movie imeweza mbaya keep it up guys

  • @fatmaqhta8528
    @fatmaqhta8528 3 года назад +2

    Good job 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @machishonyela1636
    @machishonyela1636 3 месяца назад

    Kazi nzuli ila boss wa serikali tena hajanyosha nguo

  • @ellyboy9623
    @ellyboy9623 3 года назад

    Aiseeeee nakubali sana jamaa angu bonge

  • @ayubusauli994
    @ayubusauli994 3 года назад

    Ma bro kazi tumeipenda Ila Kuna makosa machacht tuu hamkuzingatia Kama iyo seni ya utekaji wa uyo dada anko d umezingua upo na bunduki rakin ulikua nyumba Sasa sjaelewa Apo director aliwaz ponge kwenu kazi nzur

  • @thebillionaire7776
    @thebillionaire7776 3 года назад +1

    Very nice movie wazee 💪🏾💪🏾🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Mungu awajalie na awazidishie ujuzi na mafanikio🤲🏽 ila naomba next time fight scene zianze mapema kidogo kwenye movie

  • @cideboy1301
    @cideboy1301 3 года назад

    Polece mwenyewe anavaa kipuli heren hata hapendez

  • @ZakariahakimuZakariahakimu
    @ZakariahakimuZakariahakimu 10 месяцев назад

    ❤🎉I need you like a heart needs a beat.🎉❤

  • @johnadm6822
    @johnadm6822 3 года назад

    Dame umetixha kak

  • @ayubusauli994
    @ayubusauli994 3 года назад

    Tatiz leo mnapokuja kuja kuboa mkila ela ya part1 bas mnalizika part2 inaendag na maji then ceni ya mbunduki haiko sawa ushikaj wenyewe hujui embu kueni serious kwenye bunduki jaman arf Chaka lenyewe mmezingua mposehem ya wazi kabisa Chaka gan Kuna sauti za watot jaman

  • @uncle_d_tz
    @uncle_d_tz 3 года назад

    Saruti sana kwa wadau wote

  • @tigergilyofficial
    @tigergilyofficial 3 года назад

    Dondokasha kaka its looks to be fire🔥🔥🔥🔥

  • @eastzuuzuu7050
    @eastzuuzuu7050 2 года назад

    Maadui wote wa4 kapambana nao dame huyo choko kapotea

  • @eastzuuzuu7050
    @eastzuuzuu7050 2 года назад

    Naona hio movie yote kaicheza dame huyo mwenye taaluma kaenda wapi?

  • @Sanjar-y3c
    @Sanjar-y3c 2 года назад

    sasa askar gan mkewe anatishiwa yeye ajali ovyo acheni kusifia kitu hakipo sawa kwenye kosa tukosoe

  • @aminaamina-xj6qs
    @aminaamina-xj6qs 3 года назад

    🔥🔥🔥🔥 muendelez please 🙏

  • @marakajohn9306
    @marakajohn9306 3 года назад

    Hello

  • @mobbzm577
    @mobbzm577 3 года назад

    Naisubiri kwa hamu

  • @karatuboyarusha2731
    @karatuboyarusha2731 3 года назад +1

    Kweny bunduki mmedanganga Sana adi aibu🙄

  • @mothamyahaya7710
    @mothamyahaya7710 3 года назад

    Dame nakukubar

  • @lutatwadennis254
    @lutatwadennis254 3 года назад

    Movie safi ila natumai kuna Simba Jeuri sehemu ya pili maana kimalizio hakijaniridhisha. Hatujui Mweusi aliuliwa au ni vipi alichangia kumwokoa mke wake.

  • @juliusamon7805
    @juliusamon7805 3 года назад

    Mzee wa taaluma hahaha

  • @uhurutv6751
    @uhurutv6751 3 года назад

    Mzee wa taalumaa mbna simuonii akizichapaaa

  • @McamerounSalum-nd2ku
    @McamerounSalum-nd2ku Год назад

    It seem that is their first time to sit

  • @Sanjar-y3c
    @Sanjar-y3c 2 года назад

    sasa kwann geti linakua waz la nyumba

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 3 года назад

    Nice

  • @maulidubaya
    @maulidubaya 3 года назад

    Action kal san

  • @ayubusauli994
    @ayubusauli994 3 года назад

    Mmhh jaman afisa wa police kaweka Eleni jaman

  • @Sanjar-y3c
    @Sanjar-y3c 2 года назад

    mlango unakua waz tu ovyo

  • @Sanjar-y3c
    @Sanjar-y3c 2 года назад

    storry ovyo mm najua watu waliofanya kaz watu makini ila storry ovyo alafu huyu alioetk kama askar ndio ovyo hajui hata kidgo

  • @uhurutv6751
    @uhurutv6751 3 года назад

    Afsa anazinguaaa hajanyoosha hata shati kuweni sirious

  • @Dajjbwoy
    @Dajjbwoy 3 года назад

    Great

  • @budoboy3359
    @budoboy3359 3 года назад

    Moto

  • @McamerounSalum-nd2ku
    @McamerounSalum-nd2ku Год назад

    A

  • @ndelemulejackson8419
    @ndelemulejackson8419 3 года назад

    Pul up gyz nakubl kaz zen

  • @suleimankatana3909
    @suleimankatana3909 3 года назад

    Movie tam san

  • @mothamyahaya7710
    @mothamyahaya7710 3 года назад

    NAWAKUBALI saana ila kwenye bunduki jaman mukiwa munatakiwa kutumia bunduki jalibuni kutafuta watu waliopitia jeshi lolote ata mgambo au JKT maana akuna bunduki aishikwi kwenye magazini na haiwi nyepesi kiasiiko

  • @abdullahmanalex2306
    @abdullahmanalex2306 3 года назад

    Nyampala mbona hatuion

  • @generallylee1166
    @generallylee1166 3 года назад

    Nice movie

  • @sotiibrahim7084
    @sotiibrahim7084 3 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥🔥💥🔥💥🔥💥🔥💥🔥🔥🔥

  • @abdulchumbi8342
    @abdulchumbi8342 3 года назад

    Muendelezo sas

  • @McamerounSalum-nd2ku
    @McamerounSalum-nd2ku Год назад

    It seem that is their first time to sit

  • @mothamyahaya7710
    @mothamyahaya7710 3 года назад

    NAWAKUBALI saana ila kwenye bunduki jaman mukiwa munatakiwa kutumia bunduki jalibuni kutafuta watu waliopitia jeshi lolote ata mgambo au JKT maana akuna bunduki aishikwi kwenye magazini na haiwi nyepesi kiasiiko