pastor ndacha vs ust muhamad and QASSIM DEBATE IN BUSIA KENYA/ MADA YESU HAKUSULUBIWA. 3

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 22

  • @ericthairu6886
    @ericthairu6886 Год назад +3

    Ndacha ni moto 🎉🎉

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 Год назад +2

    MashaAllah hakika hii ilikuwa tamu sana

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 3 года назад

    Subbanaallh Aki walimu wa kikristo wanandanganya waziwazi. Wameshindwa na kufundisha sasa ni kuaribu mafundisho Subbanaallh. Maustadh wetu Allah awalipe kheri na uvumilivu kufundisha mukiwa na wao walimu wa kikristo. ALLAH awajaze subra Inshallah

  • @UwezoBwitonde-dc3nc
    @UwezoBwitonde-dc3nc 2 месяца назад

    Tuwafundishe waeslamu

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Год назад

    SAFI SANA MASHALLAH MASHALLAH ❤️🤲🤲🤲

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 3 года назад +2

    Mashallah Maustadh wetu Yarit na Qasim nawapenda kwa ajili ya Allah. Elimu Mashallah ujumbe umefika Mashallah

    • @BURHANKENYA
      @BURHANKENYA  3 года назад +1

      ALLAH akupenda kwa vile ulivyo tupenda dadayetu

  • @andikadirali9738
    @andikadirali9738 11 месяцев назад

    MashaAllah

  • @caringtonbarasa4501
    @caringtonbarasa4501 Год назад

    Stefano aliuwawa kwa kuwakemea wayahudi kwanini walimuua kristo na kukata manabii waliotangulia.waislamu mnapenda kugombana bure someni maandiko na kucheza na maandiko

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 2 года назад +1

    Mashallah anaitwa Shekh Muhamed na Kassim Allah awalipe kher kwa mafundisho nzuri lazima Ndacha ataelewa yeye na huyu Murtad wake.

    • @BURHANKENYA
      @BURHANKENYA  2 года назад

      Shukran

    • @jamesjulius3013
      @jamesjulius3013 Год назад

      😂😂😂😂 umeangalia video vizuri au ulikuwa unasinzia ndugu? 😂😂😂 aisee hao Masheikh wakaite walimuzao kwanza ....sababu wamefanikiwa kufanya waislamu kwenye huo mkutano kucheka😂😂😂

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад

    Mashaallah ukweli utabak kua ukweli tu

  • @sosdododo5653
    @sosdododo5653 3 года назад

    Lahaula walaquata ila bilah hawa hawanyoki hata kwa mboko,jamani wakristo someni vzri muelewe kabla wakti kuwapita mutakuja juta,shukuruni munapata ujumbe mzri

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 3 года назад +1

    Nani kaazima Ndacha kanzu oversize?🤣

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 Месяц назад

    ALAAAA… KUMBE YESU ALIKUFA KWA AMRI YA ALLAH… KWAHIVYO YESU MUNGU WAKE NI ALLAH 😂😂😂😂😂NDACHA UJANJA MWINGI NI UJINGA

  • @sultanhilarious8893
    @sultanhilarious8893 Год назад

    Muritadi mkora wa sadaka

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 Год назад +1

    Ndacha ni kiboko

    • @BURHANKENYA
      @BURHANKENYA  Год назад

      Atakuwa kenge na mamba akitaka sio kiboko tu