Mchungaji ndacha aoneshwa kivubi alipo lemewa na hoja za waisilamu bySheikh Qasim and Muhammad Yarit

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 88

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 года назад +2

    Allah Akbar

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Год назад +1

    Mashallah 🤲🤲

  • @issaally7928
    @issaally7928 2 года назад +3

    Mashallah namshukuru Allah kwakuniongoza katika njia ya haki

  • @sosdododo5653
    @sosdododo5653 3 года назад +2

    Mashaallah mungu awazidishie ilmu muwafundishe hao wachungaji wanaopoteza makondo walopotea
    Ndio wakaitwa makondo walopotea yani waziwazi ameamka nakuanza kurukaruka badala yqkujibu swali dogo tu ameshindwa kwajili yanini ameshindwa kujibu nahuyo nipasta wanemuamini kweli ameshindwa kujibu kwa ajili hakuna jawabu lahilo swali kabisa hupati hakuna kitu ukristo nijina lakubandika tu

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 года назад +4

    Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers

  • @abdur-rahmanmuhammad2898
    @abdur-rahmanmuhammad2898 4 года назад +4

    As-salaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh
    Masha Allah kwa mafundisho mazuri Leo ndacha amethiirisha uogo wao

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 4 года назад +6

    MashaAllah
    Shukran Jazakallahu kheir

  • @ericthairu6886
    @ericthairu6886 Год назад

    Mwalimu ndacha mwenyewe

  • @carlosletema9914
    @carlosletema9914 2 года назад

    Ndacha mwenyezi mungu akubariki sana Sana ja shukuru🤣😂🙏🙏 am happy for defending yourself according to scriptures

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 2 года назад +2

    Huyu ndacha noma mkaidi sanaa limesoma Sana linajua uislam ndo din ya kwel lakin njaa inamtesaa acha tamaa silimu ww

  • @abdinasiralimohamed9806
    @abdinasiralimohamed9806 3 года назад +2

    Mashallah

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 года назад +6

    Mashaallah yaan waislamu woote wana akili ya kuzaliwa 👏🏻

  • @athumansaumu1680
    @athumansaumu1680 4 года назад +4

    Maashallah

  • @salmaissa9793
    @salmaissa9793 4 года назад +4

    Mashaallah

  • @oman7710
    @oman7710 3 года назад +2

    Unaulizwa vingine wajibu vingine

  • @kabarezephanie3573
    @kabarezephanie3573 3 года назад

    Yesu Cristo asifiwe , yesu ndie mungu kbsa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 года назад +1

      Kwani Mungu ni myahudi tena ana mama

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 3 года назад +2

      na pia huyo mungu ana mama mzazi na alitahiriwa. subhaanallah

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 года назад

      Wapi kajiita mm ni mungu

    • @mose5839
      @mose5839 2 года назад

      Kwa hiyo alipigwa akasulubiwa alafu akazikwa

    • @husseindiaby5097
      @husseindiaby5097 Год назад

      Pole sana

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 2 года назад +1

    Taqbeer

  • @johniemarsha281
    @johniemarsha281 3 года назад

    Mimi ni mkristo nko na Imani yangu ya kikristo na siwezi bishana na muislam .kila mtu na Imani yake.

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 2 года назад +5

    Yaani huyu ndacha kazi yake kubwa ni kutafta WAFUASI.

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 3 года назад +2

    Tunaomba hii clip wekeni Full, msiweke nusu.

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 года назад +1

    Transformer namkubali kidume cha Allah takbir 💪💪❤❤❤❤🤲🤲🤲🤣🤣🤣

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 2 года назад +1

    Ndiyo maana nilislim ujanja ujanja mwing sn kwenye ukristo

  • @zulfahassanruphutsu7106
    @zulfahassanruphutsu7106 2 года назад +3

    We pasta ndacha humalizi Aya .....paka mwisho...Yako ni sarakasi tu...

  • @sadhalsulami2935
    @sadhalsulami2935 3 года назад +2

    ❤️❤️🤲🤲🤲😂😂😂

  • @farhiaaliabdillahi3276
    @farhiaaliabdillahi3276 2 года назад +1

    Ndacha hicho kicheko chako mwisho ni kusaga meno

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 года назад +2

    Kwanini asitowe kwenye Bibilia?😉

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 2 года назад

    Ndacha,hauna UJANJA mbele ya ANWAE,YUSSUF,SAIDI,MOHAMMED,IBRAHIM na wengineo.UWONGO WAKO UMEPATIKANA.HATA "WAKIRISITU" Wenzako wamejua WEWE NI MUONGO.

  • @zulfahassanruphutsu7106
    @zulfahassanruphutsu7106 2 года назад

    Uliskia wapi...

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 года назад +3

    Mwashali waulizwayo wanajibu mengine wasiyo ulizwa tena hayo wanayo jibu niongo mtupu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 года назад

      Hawa Allah awaongoze wakristo wengi wako kwa giza

    • @johniemarsha281
      @johniemarsha281 3 года назад

      @@salimdaawah123 shikilia Imani yako kila mtu na Imani yake

    • @shibe5160
      @shibe5160 3 года назад

      @@salimdaawah123 amiin🤲🤲

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 3 года назад

      @@salimdaawah123 Muhamad mwenyewe amesema hajui siku ya kiama atafanywaje na nyie ndio mnamtegemea awafikishe kwa Mungu kwa kufuata Dini yake aloanzisha sasa ni nani yupo Gizani? Wanao fuata Biblia kitabu cha Manabii na Mitume wa Mungu wa Zamani au Quran kitabu cha Mtume Muhamad alicho anzishia Uislam?

  • @gobanamohammed2957
    @gobanamohammed2957 3 года назад +1

    Hapa ni wapi?

  • @111dudi
    @111dudi 2 года назад +2

    Kubishana na Ndacha ni kupeteza wakati. Kama kawaida yake hasomi aya au hadithi yote, anaishia njiani pale anapoona patamuwezesha kudanganya watu. Kwa kifupi ni muongo

  • @basilejuma
    @basilejuma 11 месяцев назад

    Ndacha alizima kina mazinge na Dr sulle,hao wengine hakuna kitu kwake, wanaogopa ndacha ka moto

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад

      Kafiri nani atamwogopa

    • @basilejuma
      @basilejuma 11 месяцев назад

      @@salimdaawah123 aliwa garagaza Hadi mtwapa, muislam nani au yupi atasimama mbele ya ndacha

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад

      @@basilejuma hivi ndacha ni bwanako because unamsifu sana

    • @basilejuma
      @basilejuma 11 месяцев назад

      @@salimdaawah123 ukweli lazima uambiwe

  • @AAA-zu1vy
    @AAA-zu1vy Год назад

    Ndach hakn muhadhara wak anasem ukwl ni uong tuuu nakubadilish manen tuuuu

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 года назад +1

    Ndacha muongo mkubwa ww cjui unadanganya ili iweje

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Год назад

    😅😅 Anatoa kwa Quran badala ya bibilia

  • @danielernest8588
    @danielernest8588 3 года назад

    KAMA MUHAMMAD ALIFANIKIWA KUMSILIMISHA SHETANI!!
    BASI UISLAM NI USHETANI HATA HUYO ALLAH NDIE IBILISI MWENYEWE

    • @abedinegoraphael4774
      @abedinegoraphael4774 3 года назад

      Hahahaha wajukuu wa ibilisi

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 года назад

      pole sana. Unamtukana mola wako

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 года назад

      Allah kwa Bibilia katabiwa sehemu 2 Zefania 3:9) Zakaria 14:9) mtakwenda kuchomwa

    • @abedinegoraphael4774
      @abedinegoraphael4774 3 года назад

      Iabda ala za mziki sio huyo mungu wako

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 года назад

      @@abedinegoraphael4774 Tatizo lenu mmepandikizwa na kuaminishwa ujinga. Kuna tofauti ya Allah na Ala. Allah bila shada haitamkwi Allah bali Ala. Ndo italeta maana nyingine. Zefania 3:9) Allah the True God.

  • @muhammadmusa2391
    @muhammadmusa2391 3 года назад +1

    Watu... wa vitabu... watu wa musa... children of israel... not... christian.... pastor... ndacha.... watu hao ni wale wa musa

  • @stanleychisasa4343
    @stanleychisasa4343 Год назад

    U like to debate with NDACHA bcz he speaks the truth and behind those debate there is something u Muslims u hide,u don’t want people to know the true about Muhamad

  • @OmnayfAldosaru
    @OmnayfAldosaru 3 года назад +4

    Mashallah

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 года назад +3

    Masha Allah

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 4 года назад +4

    MashaAllah