Makala nduguyangu zungumza kama mwenye kujijua,leo umerudi hapo unajisahau,Au nawe unawafurahisha wa kwako pia nchi hii ni ya watanzania sio ya chama ambacho ni kundi la wachache,msimpotoshe Rais kwa maslahi yenu mlio pembeni tu kwakuwa siku ya mwisho atalaumiwa yeye .
Cyo chadem tu vyam vyot vya siasa vinataka tume huru isipokuw nyie ccm,hivi nyie ni wapuuzi eee,ngojeni tusipowaweza sisi mungu atawaweza tu mbn magufuli aliwezwa pumbavu zenu ccm makala huna point hapo kwnd zako mbele huko
Tatizo nyie makenge wa kijani hamuaminiki wanafki wanafki ckuzote na waongo waongo na hiyo riform mnayo ikataa au mnapo kataa kutowa uhuru wa uchaguzi huwa mnaogopa nni ikiwa kweli mmefanya kila kitu mnacho amini ni bora katika nchi? Mmejenga mashule zahanati barabara kwahiyo mnashindwa nni kuweka chaguzi huru kwa kuamini sera zenu?
HAKUNA UCHAGUZI Huru na Haki Ndani ya NCHI na Lini kumekuwa na UCHAGUZI Huru na Haki Tangu Uhuru na CHAGUZI ZIMEJAA NGUVU VURUGU UBABE NA KUWAPITISHA WA KIJANI PEEKEE
Tume hiyo huru unayo isema iko wapi makala? Mbona ccm tunaogopa uchaguzi ulio huru na wa haki? Pili tusidanganyane ,chadema ndiye mpinzani wa kweli wa ccm. Na kama hakuna polisi na mabunduki yao, ushindani ni wa 50/50 ccm Vs chadema. Huu ndiyo ukweli.
Haya ndio mawazo aliyokuwanayo hata Gadafi wa Libiya akadhani Walibiya bado ni mazuzu wanaweza wakaendelea kutawalika kidikteta kisha mambo yakamharibikia vibaya, CCM oneni mbali.
Halafu nie ccm mtakuja kutuletea Vita watu walishawachoka Bado tu mnatumia ubabe mtatufanya siku moja tuwe kama wakimbiz wakati tumezoea Aman kisa uroho wa madaraka
Hiki chama dah!!!, kwa majibu haya kwa cheo ulicho nacho mtapoteza imani kwa wanao wapigia kura, jibuni hoja kw majibu sahihi ambayo ukimweleza mtu mwenye akili timamu anakuelewa, kunamapungufu mengi katika chaguzi zetu, unajua watu walikua hawaendi kujiandikisha wkiona haina maana kwenda kuchagua kwasababu watu wanakua na matokeo yao, na ilizihirika kw baadhi ya viongozi wa chama kauli za kuvunja moyo wapiga kura kama kauli kadhaa za nape na yule mkuu wa wilaya kama sikose, msaidieni mama kujibu hoja vizuri bado tunaimani na mamaetu dr alie kuja kuiponya nchi, mana ni msikivu sana kuna reform hazija fanyika kaeni vyama vyote mfanye makubaliano na muadhimie kitu kimoja, baada hpo muapelekee tume ya uchaguzi ili yafanyiwe kazi
Ccm ni wapumbavu kwl,alafu makala na ccm wajue kwmb hatuwakubali kbx tunataka tume huru,na msipotupa mungu awaamulie kam alivoamua kwa dikteta magufuli
Chadema mmetuonesha waTanzania kwamba uchaguzi unapaswa kua wa wazi na sio uchaguzi wa siri eti piga kura uondoke ila waTanzania tunatabu sana unamchagua mtu unaondoka anae tangaza mshindi anakuwa yule anae taka ashinde uchaguzi je atamtangaza nani mshindi?
HILO NI SWALA LA WA-TANZANIA SIO LA VYAMA VYA SIASA ACHENI KUTUVURUGA. KWA NINI KILA CHAGUZI KUNA MALALAMIKO YA WIZI WA KURA NA KUWA NA VITUKO VINGI KWENYE VITUO , NA KUTUMIKA NGUVU KUBWA. KUMBUKENI , WA-TANZANIA TUNATAKA AMANI.
hatukuelewi mzee ulieshiba pesa za walipa kodi amabao ni sisi tunataka katiba mpya tume huru sio hizo engua engua huyo sio mbowe huyo ni lissu kwahio hadanganyiki anataka aone vitendo sio maneno
Huyu kijani anatuchukuliaje sisi wananchi napata hasira sana uchaguzi uwe huru na haki na katiba mpya basi hicho ndo tuna kitaka wenye nchi tusitishane hii nchi yetu sote sio ya chama kimoja tu kama ambavyo ccm wanavyo jilazimisha.
Sikilizaneni jamani msitupeleke kubaya hawa Genz wakihamasishwa wanahamasika bila sababu. watanzania wakielezwa ukweli kwa mifano wataelewa mfano; Kuna chaguzi tatu hapa hazikuwa nzuri na watu wote wanajua. Tupadilike jamani
Nyie ccm mwaka huu andaeni majeshi tu na sisi wananchi tunaungana na wapinzani mana nyie mmejifanya kama hii nchi ni yakwenu peke yenu mwaka huu tutwangane tu ili adabu ipatikane mana tumechoka na zuruma zenu Nakama mnazani na Lissu nae atawaogopa subilieni mda ufike muone tutakavyopelekeana moto yani mwaka huu sijuwi tu
Wakati ccm lazima wakubali kubadilika uchaguzi wa kibabe umepitwa na wakati tunataka uchaguzi wa huru,wazi na wahaki chama au mtu ashinde kwa sifa sera zake.@@tumainikibona5252
😂😂😂😂😂 duh! Haina haja ya kuangalia comedy kwa Sasa!🙌🏿
Huyu mzee wa ccm haoni aibu kuzungumza maneno yakijinga hivyo
Hakuna hilo mzee makalla coz janja njanja nyingi tumeziona kwenye serikali za mitaa
Wala Lissu hawaambii CCM. Kwani nyie ndo serikali
Anaiambia serikali.
Dah! Madhara ya kushiba dhuluma ndo haya. Ipo siku.....
Yaani hili lizee hiyo nafasi haliwezi makala unasema safali hii kutakuwa na tume huru ya ukweli?mmm inamaana tume iliyopo Sasa sio ya ukweli???
Mbivu na mbichi kujulikana mwaka huu jah bless
Cdm inajua kuwatoa mapovu aisse😂😂
Aaa kumbe safari hii kunatume huru ya uchaguzi vp kuhusu chaguzi zilizopita,haufai kuwa kiongozi.
Ila kuna chama kina viongozi pointless 🤔😅😅
Makala kavimba mwisho hatapasuka
Soma alama za nyakati mungu ameshawakataa damu Zina Lia Kwa mungu
Wananchi tunataka Tume huru. Uchaguzi
We hela unayo au ndo kiburi cha kodi za wananchi
Makala nduguyangu zungumza kama mwenye kujijua,leo umerudi hapo unajisahau,Au nawe unawafurahisha wa kwako pia nchi hii ni ya watanzania sio ya chama ambacho ni kundi la wachache,msimpotoshe Rais kwa maslahi yenu mlio pembeni tu kwakuwa siku ya mwisho atalaumiwa yeye .
Ila mm najua lisuuu akianza ya jukwaani watamwelewa😂😂😂
Kiongz mjinga kbsa Hana hoja yyte anaongea utumbo na jezi yake ya ccm
Hahahaaaaaa hii ni hatali
Ndivyo mlivyo CCM lakini tem hii mtajua hamjui
Yani ujinga wa watu wa ccm umenifanya ata kuichukia rangi ya kijani. Mtu umevaa na mawani halafu unaongea ujinga hivyo
Kumbe hakumuelewa Lissu.Kichwa kibovu
Viburi vya wanasiasa unaweza hisi wana mikataba na Mungu ya kuishi.
Nchi sio yenu, Tume huru wateule wa nani
Mlevi huyo
Mbona Samia amepita bila kupingwa ndani ya chama?
Wow mpuuzi tukutane kwenye kura
Mhe. Makalla jaribu kuongea hoja(facts) bhasi, kwani nasisi tukisema unaongea kuwafurahisha wajumbe wako, je tutakosea??.
Endeleeni na huo ujinga ila Siku zenu zinahesabika,,,Wananchi msieende kupiga kura,ni kupoteza muda tu
Hivi hawa wanaopiga makofi ni wakina nani
Ccm hatuoni mnachokifanya zaid ya vimdomo tu na wizi, safari tutawang'oa hata kwa kutumia nguvu zetu, msituletee mambo ya kishamba nyie
kwani lissu ameongea na mbwa? yeye amemtarget mfuga mbwa
Tume huru feki itaweza kufanya uchaguzi huru kweri je wagombea hawataeguliwa kweri shida inaazia hapo
Wewe amosi ni ovyo Sana ndiyo maana jpm alikukataa
..unajb ww ni tume ya uchaguzi au ww ni Mh.Raisi?
Cyo chadem tu vyam vyot vya siasa vinataka tume huru isipokuw nyie ccm,hivi nyie ni wapuuzi eee,ngojeni tusipowaweza sisi mungu atawaweza tu mbn magufuli aliwezwa pumbavu zenu ccm makala huna point hapo kwnd zako mbele huko
Tomeichoka ccm kwakwel
Hana hela anataka haki, kwa nn mtumie mabilioni?
"Tutakuwa na Tume huru ya uchaguzi safari hii" wameanza kukiri ukweli
Bunge linaongwa na nani?
NATAMAN LISU AANZE KUUWASHA MOTO🔥🔥🔥🔥
Ataungua mwenyewe
Hicho ndo chama kikubwa kaka maoni siyo ya kupiuza kaa na watu sikiliza maoni usiongee kwa kugulahisha wa chache
No reform no election.Aluta continua
Tatizo nyie makenge wa kijani hamuaminiki wanafki wanafki ckuzote na waongo waongo na hiyo riform mnayo ikataa au mnapo kataa kutowa uhuru wa uchaguzi huwa mnaogopa nni ikiwa kweli mmefanya kila kitu mnacho amini ni bora katika nchi? Mmejenga mashule zahanati barabara kwahiyo mnashindwa nni kuweka chaguzi huru kwa kuamini sera zenu?
Makala wewe ni mkunduu
Wew ni choko
@@kassimualli1755Choko ni mama yako alieshindwa kukulea vizuri ukajua upi ujinga upi welevu mbwa koko wewe
Kabisa choko yeye mwenyewe akagongwe na ccm@@aidankakulu398
HAKUNA UCHAGUZI Huru na Haki Ndani ya NCHI na Lini kumekuwa na UCHAGUZI Huru na Haki Tangu Uhuru na CHAGUZI ZIMEJAA NGUVU VURUGU UBABE NA KUWAPITISHA WA KIJANI PEEKEE
Ufala ni Mwingi sana hii Nchi,
Tume hiyo huru unayo isema iko wapi makala?
Mbona ccm tunaogopa uchaguzi ulio huru na wa haki?
Pili tusidanganyane ,chadema ndiye mpinzani wa kweli wa ccm.
Na kama hakuna polisi na mabunduki yao, ushindani ni wa 50/50 ccm Vs chadema. Huu ndiyo ukweli.
Ww mbona atukuelrwi mzee
Sasa unakuta mkulugenzi mtumishi wa uma unastukia unamuona amevaa jez ya chama halafu huku unasema msimiz wa kula atasimamia kweli
Kwann ayakuepo
Nchi ya ajabu wajinga wanaongoza wenye akili
No reform, no election. Otherwise tutaona kama safari hii
Tutawapaa tu hela😂
Katiba mpya munaogopa kwann
Mbona lifom kwanza Kwa kiswahili ni Nini lifom lakujaza 😂😂😂
😅🤣😂shenzi kabisa
@flavianajohn5250 🤣🤣🤭
Kwani pesa za uchaguzi zinatolewa kwenye mfuko wa mtu we bwege kweli
Wezi wa kula nyie watu
Haya ndio mawazo aliyokuwanayo hata Gadafi wa Libiya akadhani Walibiya bado ni mazuzu wanaweza wakaendelea kutawalika kidikteta kisha mambo yakamharibikia vibaya, CCM oneni mbali.
Halafu nie ccm mtakuja kutuletea Vita watu walishawachoka Bado tu mnatumia ubabe mtatufanya siku moja tuwe kama wakimbiz wakati tumezoea Aman kisa uroho wa madaraka
Wew ndo umewachoka usiseme watu jisemee wew mwenyewe
Hiyo evance,nafikiri ni wale wa 2000
Mnaogopa kwann
Haya ndo madhara ya kujiamini kulitiliza afu kichwani empty!
Kweli kabsa
Hiki chama dah!!!, kwa majibu haya kwa cheo ulicho nacho mtapoteza imani kwa wanao wapigia kura, jibuni hoja kw majibu sahihi ambayo ukimweleza mtu mwenye akili timamu anakuelewa, kunamapungufu mengi katika chaguzi zetu, unajua watu walikua hawaendi kujiandikisha wkiona haina maana kwenda kuchagua kwasababu watu wanakua na matokeo yao, na ilizihirika kw baadhi ya viongozi wa chama kauli za kuvunja moyo wapiga kura kama kauli kadhaa za nape na yule mkuu wa wilaya kama sikose, msaidieni mama kujibu hoja vizuri bado tunaimani na mamaetu dr alie kuja kuiponya nchi, mana ni msikivu sana kuna reform hazija fanyika kaeni vyama vyote mfanye makubaliano na muadhimie kitu kimoja, baada hpo muapelekee tume ya uchaguzi ili yafanyiwe kazi
Ni ufisadi tu CCM
Huyu kichwa kina mavi
Makalla huna akili na uwezo wako mdogo uchaguzi wa serikali za mitaa tumeona tamisemi na usalama mlivyofanya wizi wa kura hii sio nchi yenu
👏👏
CCM haina ishu hatuipend
Wewe unasema kama nani sasa
Mzee tunakuamini ,tunakuheshimu ,naamini unaelewa maana ya no Reform no Election ,
Lissu atawanyoshaa tuuu nabado
Hamna hofu ya mungu
Ccm ni wapumbavu kwl,alafu makala na ccm wajue kwmb hatuwakubali kbx tunataka tume huru,na msipotupa mungu awaamulie kam alivoamua kwa dikteta magufuli
Mmezoea wiz hakuna time Hulu tz
Pumbavu tu na Miwani yake kama kipofu
😂😂😂
Ukiwaona ni kama watu!
Chadema mmetuonesha waTanzania kwamba uchaguzi unapaswa kua wa wazi na sio uchaguzi wa siri eti piga kura uondoke ila waTanzania tunatabu sana unamchagua mtu unaondoka anae tangaza mshindi anakuwa yule anae taka ashinde uchaguzi je atamtangaza nani mshindi?
CCM AKIR MINGI KUWAONDOA MADARAKAN SIO LEO WALA KESHO 😮😮😮
@@exaverysimon1064
Yasiyowezekana KWA wanadamu KWA MUNGU yanawezekana.
HILO NI SWALA LA WA-TANZANIA SIO LA VYAMA VYA SIASA ACHENI KUTUVURUGA. KWA NINI KILA CHAGUZI KUNA MALALAMIKO YA WIZI WA KURA NA KUWA NA VITUKO VINGI KWENYE VITUO , NA KUTUMIKA NGUVU KUBWA. KUMBUKENI , WA-TANZANIA TUNATAKA AMANI.
hatukuelewi mzee ulieshiba pesa za walipa kodi amabao ni sisi tunataka katiba mpya tume huru sio hizo engua engua huyo sio mbowe huyo ni lissu kwahio hadanganyiki anataka aone vitendo sio maneno
Tume huru mbovu ya wezi badilishe mfumo mpiya muone
Sasa wewe una wasiwasi gani Mheshimiwa?
Yan mtu anaongea km ana akili et anasema akukuwa na tume huru sasa iv ndo itakueepo kwann aikuepo atuna iman na nyie tena t
Na ukisema hawana fedha unamaanisha wananchi hatuna fedha ni kweli tutachanga guvu zetu kudai katiba mpya
Tuanze na rasimu ya warioba
Wezi wamebaaa.chezea.lisu.wewe
NO REFORM NO ELECTION.
LISU WAKABE KOOO HAPOHAPO.
Insha Allah ccm haitaanguka kamwe
TUTAKUWA NA TUME HURU MARA HII, KUMBE MIAKA YOTE HAIKUWEPO! CHAMA HICHO KIMOJA NI CHAMA KIKUU CHA UPINZANI SIO SWALA DOGO
We makala ni mpumbavu kwl,kwnd zako huko tunataka tume huru,mdomo kam unataka kutapika
Huyu kijani anatuchukuliaje sisi wananchi napata hasira sana uchaguzi uwe huru na haki na katiba mpya basi hicho ndo tuna kitaka wenye nchi tusitishane hii nchi yetu sote sio ya chama kimoja tu kama ambavyo ccm wanavyo jilazimisha.
Baba zima halina........
Amenenoma maana anakula keki ya Taifa huku wananchi mlo wa tabu
Hovyo kabisaa
No election bila tume huru
Bunge lenyewe Halina hadhi hata kwa kifupi Msie mtaka Sasa Kaja. Jipangeni CCM
makala wewe mpumbavu tu😅😅😅
👍
Sikilizaneni jamani msitupeleke kubaya hawa Genz wakihamasishwa wanahamasika bila sababu. watanzania wakielezwa ukweli kwa mifano wataelewa mfano;
Kuna chaguzi tatu hapa hazikuwa nzuri na watu wote wanajua. Tupadilike jamani
Subirini muone, mwaka huu mtalala mmevaa viatu
Bado kidogo tu, huu mwaka sijui,ila mtaijua Gen Z,wa Tz.yaani tumechoka kula mle nyie nawasanii, mjiandae tu. Tunaye mwamba hapindishagi maneno.
Et tutakuwa na tume huru safari hii kwaiyo anatuaminisha kwamba aikuepo si ndio kwamba saiv ndo itakuepo watanzania shitukeni awasio watu wakuaamini
Nyie ccm mwaka huu andaeni majeshi tu na sisi wananchi tunaungana na wapinzani mana nyie mmejifanya kama hii nchi ni yakwenu peke yenu mwaka huu tutwangane tu ili adabu ipatikane mana tumechoka na zuruma zenu
Nakama mnazani na Lissu nae atawaogopa subilieni mda ufike muone tutakavyopelekeana moto yani mwaka huu sijuwi tu
😂😂😂😂😂
WAMEANZA KUHAHA.
NGOJA AWANYOSHE NA WANMFAHAMU VIZURI LISU.
Wameanza kulala na viatu lissu atawahenyeshaa na tupo pamoja na lissu tumechokaaa
Wakati ccm lazima wakubali kubadilika uchaguzi wa kibabe umepitwa na wakati tunataka uchaguzi wa huru,wazi na wahaki chama au mtu ashinde kwa sifa sera zake.@@tumainikibona5252
@@tumainikibona5252
Naam.
Maana wameshaona KAZI IPO.
Na mioyo ya watanzania wengi,INAENDA kwa lisu
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤭