Asante sana Munira. Ningeomba utuelezee vizuri hivi viungo maanake kiswahili cha Mombasa kimenipiga chenga kidogo. Hongera na nita subscribe ndio nisome zaidi.
Hi.. Could you please add subtitles to your videos.. It would be of great help to those who don't understand Swahili and would like to follow ur recipes... ..thank you..
Looks delicious!👍🏽🙏🏽 I understood all except for the masala ingredients😫 please anyone.. . I c others had same problem but no answer...well I'm still hoping 🙂
Mdalasini- cinnamon Iliki- cardamom, though she use dit in the ginger garlic paste Karafuu- cloves Pilipili manga- black peppercorns Bizari or jeera- cumin
naomba nifahamishe jinsi ya kuufanya mchele usimame wima kama msumari bila ya kuuvuruga wakati pilau ikishamaliza tafadhali na pia je unapokaanga vitunguu moto uwe wa juu ama wa chini?
Ili mchele uwe Kama msumari usiujaze maji mengi, na Kama maji yamekauka na unaskia mchele haujaiva basii nyunyiza maji kido na mafuta kidogo kisha ufunike na chuma chamoto. But always it depends with the kind of rice you use.
Absolutely brings back memories of family ,weddings, birthdays always pilau aroma different cultures .one pilau.thankyou.
Masha Allah Pilau nzuri Sana👌 na juice ya, Pasion
MaashaAllah, looks yummy, I have to try it out., thanks for sharing.
Inshaallah
Wawooo ameizing
Asante sana kweli ni pilou nzuri sanaa allah akuzidishie kila la kheir...sister
Bado utufundishe kupika hio pilipili na kachumbari... I just love how you are so natural...
Love love love all the way from Mombasa kenya
Nakupenda pia
Maashalah shukran nimejifunza.
Thank you for a wonderful recipe. Pillao is one of the popular dishes of E Africa. Thumbs up.
I tried this and it came out perfectly 👌
Thanks....this is just awesome....everything in detail.... Am trying this today
Masha Allah thanks Sis, najifunza sometimes nipate mpumzisha wife angalau..
Haha yahyaaaaaaa
Yahya Al-madfa.
Good work. Ahsante sana.
Asante Dada kwakudufundisha Na gupenda urituereza vizuri sana
Nakupenda pia
Wow I like this
😋😋😋😋 yummy food...simple and easy to understand
That reminds me of my childhood in mombasa,thanks
patrick lll
patrick formert d
I've tried it today turned out AMAZING😋😋sheesh👌
Happy for you😘
Asante,nimepta mbinu ingne kusaga swaumu na tangaz n iriki
New subie. MashaAllah Yapendeza sana. Pilau ya kwangu lakini viazi vizima lazima kiasi 🌹
Thanks so much Munira be blessed this is a must try
Irene Muthoni welcome dear
Irene Muthoni don't forget to share😊
Irene Muthoni pilu tam sana hiy
Inakaa tamu Sana.....ntilie.
Aslm Alkm,
Natizama kutoka Sweden. Pilau safi sana. Mimi pia hutumia tende na wali. Natamani ningelikuwa huko.
Mungu akuweke na akupe umri mrefu.
Ameen, ukija huku nitafute
Thank you.. God bless you.. 😘
Napenda mapishi yako mama pia kuongea mtu anaelewa kabisa
Mashallah mnzurii
Naomba picha yaivo viugo please nice food 💕❣️🌹
Thanks munira I cooked for my hubby using your recipe it was so delicious we enjoyed
My pleasure
Mashalh mouthwatery
mashAllah siz Allah Akubariki
Shukran
nice but can i put milk in pilao
Milk nooooo, but u can put coconut
🇲🇿🇲🇿 wow i love this!
Mashallallah its straight forward. Thnx my dear
Oooh Maskini kwetu!👍🏾
Mashallah nimeipenda ngoja nipike na mi shukran lazizi
Hii ni poa
Wow! So sweety. Nice
Asante sana Munira. Ningeomba utuelezee vizuri hivi viungo maanake kiswahili cha Mombasa kimenipiga chenga kidogo. Hongera na nita subscribe ndio nisome zaidi.
Shiro Maina
Viungo vya pilau
1. Iliki - Cardamon
2.Pilipili Manga - black peppercorns
3. Mdalasini - cinnamon sticks
4.karafuu- cloves
5.Jeera- cumin seeds
Thanks dear
Hi.. Could you please add subtitles to your videos.. It would be of great help to those who don't understand Swahili and would like to follow ur recipes... ..thank you..
Okay
Iko pouwa sana na pia nimejifunza mbinu ingine ya kujifunza kupika Pilau......... Pia ningependa sana kuona recipe ya kupika biriani
Mama hodari kwa mapishi nimependa pilau yako
how much onion goes in?
how do you make the kachumbari
Looks delicious!👍🏽🙏🏽 I understood all except for the masala ingredients😫 please anyone.. .
I c others had same problem but no answer...well I'm still hoping 🙂
Mdalasini- cinnamon
Iliki- cardamom, though she use dit in the ginger garlic paste
Karafuu- cloves
Pilipili manga- black peppercorns
Bizari or jeera- cumin
Thanks
So kwa hivo vitunguu
Nimeangalia jina tu nikajua sio makosa yako utamu wa pilau na biriani ni vitunguu
Can you post ingredients in English please
Hongera sana
Pilau nzuri mashallah. Upishi wa vileja please
hilo rojo la ndizi mamii limeenda shule,hongera!
I love it I will try it today.
Ukiroweka mchele walainika hayo maji si mengi?
I am watching you from North Dakota delicious 😋 food
Nzr sanaaaa👌
Nimependa dear shukuran sn kipenz uko very good
Nimependa ila tangawizi sio kiungo kizur kwny pilau
Yummy 😋😋
Io chuma cha chapati juu kinasaidia nini dear? Alafu ingesaidia km ungeandika recipe, asante
Nikama kupika na makaa ya moto juu
Dada what do you mean about jira in English in first of video
Cumin
Thanks
❤❤❤❤❤
Yummy
Asalam Aleikum new subscriber can show us how to make pilipili ya kukaanga
I will sis inshaallah, thankd for subscribing
LET ME COOK MINE KNOW ASANTE SANA 🇰🇪🇨🇿😊
Awesome
dada ivyo viungo vingine ungelivisaga ndiyo fraîche, na hiyo mdalasini yapashwa kugeuza rangi, wali unageuka chocolat 👍👌...
Kila mtu na mapishi yake
Asante sana my
Dada viungo vingine translate kwa kizungu wengine ni wabara... Speaking for myself
Ok, kama kuna kitu hujui plz uliza tu tutasaidiana
Iliki ndio nini na English
Iliki ni cardamon
Yeye kazungumza kiswahili kweni wewe mbara hujuwi kiswahili...sijaona chochote kigumu....mie pia mbara na nimefahamu kila kitu...
Darasini na karafuu ni nini?
Looks yummy !!..can you please list the ingredients (esp. the spices)in English if possible. Thanks
Mdalasini = cinnamon sticks
Bizari nyembamba = cumin
Pilipilimanga= black pepper
Iliki = cardamon
✔
@@maryannchao6628 thank you
Mbona hukuweka viazi mbatata
Yum..Show us how to make the sauce
I will dear, new video coming soon
Next time week ya maka ju. Ina pendeza
Ooh yes, nimeonesha njia rahisi tu
😋😋
Yes sister it's been a while since the last video I love watching you
Am back now n I will be uploading soon
Maa shaa Allah nice one
English please
Tnx for uploading sister ..l will this today
Mamake naomba unieleze vipimo ya viungo tafadhali
Unaweka kiasi unachopenda na inategemea na wali wako lakini usijaze sana
na ndizi washukaaa vizuri
Daaa siamini baada kuangalia tayari nshajua kupika pilau...
Sasa Dada wali maharage sijui kupika nakuomba unifundishe hata kwa kulipia nitalipa
Thank you gal, am gonna try this tomorrow
RECIPE PLEASE
Big up 👍 👍 be blessed always
Naja na ndizi zangu nimependa pilau yako usinikose🤣🤙
mapishi akili hufundishwi ila nimependa lkn😅
Masha Allah
Pongezi kwa mapishi munira
Good teachings
Ilikuwa cjui kupika wali kwa gesi na kupambia ila nishajifunzà
Poa sanaa
Thanks alot 🍇🍇🍇🍇🍇🍇 nimependa Sana
naomba nifahamishe jinsi ya kuufanya mchele usimame wima kama msumari bila ya kuuvuruga wakati pilau ikishamaliza tafadhali na pia je unapokaanga vitunguu moto uwe wa juu ama wa chini?
Ili mchele uwe Kama msumari usiujaze maji mengi, na Kama maji yamekauka na unaskia mchele haujaiva basii nyunyiza maji kido na mafuta kidogo kisha ufunike na chuma chamoto. But always it depends with the kind of rice you use.
MASHA Allah
Good
MASHAALLAH
Nzuri sana pilau yako
Wow so sweet
Mummy mbona umenyamaza sana vipi twangoja bado mapya mapya maa InshaAllah
kuna umuhimu gani mchele kuloweka. mi hua naogopa wali utavunjika unapoloweka
unaondoa starch ambayo hua inafanya mchele kushikana.
Ukitaka mchele wako usipondeke wakati unaroeka tia kijoko cha chunvi utatoka mmjo mmjo
Ukutumia nyanya au si lazima
Pilau ya mombasa huwa bila nyanya
Well-done
.mhongera
MaashaaAllah
Mashallah
Yummy😍😍😍
Weeee na pilipili jamani washukaaaa makiniiii
Very nice and simple pilau. Rai ya kufunikia chuma cha chapati kimoto nzuri. Sio kila mtu ana oven. Mie hutia na mbatata. Vizuri kwa tende 👍
Shira ndo kitu gani please
cummin seed
Thanks,
Cummin seeds