@abdab8466 Kama viongozii mwaeza propose kwa dolla na taifa kuekea wazazii wetu hizo tent wafanye kazii bro viongozii wetu wamelala sio kuteteana sio kwa vijana sio kwa mamaaa wetuu..
@@HassanMusyoka-gn8qp wajuaje wanafanyia communities nyengine,wanachimba visima vya maji,fikiria ukichimba kisima badala ya kuwapa watu tent ,familia ngapi zitasiadika na maji,
HII NI MATUMIZII MABAYA KWA HELA NA MAMLAKA WANGEWEZAA KUFUNGULIA MAMAMAA KAZII SIO UJAMAAA HUU
Sioni kama ni matumizi mabaya,bila Shaka hio majority ni sponsorship ya dola