WE UNAUZA AU NDARO STEVE MWEUSI UMESEMAJE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024
  • КиноКино

Комментарии • 283

  • @ArshanaEsthy
    @ArshanaEsthy Месяц назад +27

    kila mtu wa kwanza😂😂 mimi wa mwisho mtanipa nini ili tupate ela😂😂😂

  • @arnold_victor
    @arnold_victor Месяц назад +16

    Steve,ndaro,madevu😂 kali ya mwaka aisee noma 😀...weka ,weka,weka....😀lipieni muondoke aisee🎉

  • @damawangoni
    @damawangoni Месяц назад +30

    Kazi nzuri Steve ndaro and your gang kma wakubali hivi vichwa gonga like tukosonga

  • @Shadia544
    @Shadia544 Месяц назад +101

    Wakwanza leo naomba LIKE zangu 10 😂😂😂Ila ndaro na steve jamaniii 😂😂😂

  • @NiterekaPacifuture-d4g
    @NiterekaPacifuture-d4g Месяц назад +38

    Wa kwanza kutoka Burundi ebu naomba likes zote hapa za Burundi! Steve na ndaro❤️

  • @collinsodera6010
    @collinsodera6010 Месяц назад +26

    Machizi wangu hawa... watching live from kakamega kenya

    • @Newtone-tb9lf
      @Newtone-tb9lf Месяц назад +1

      Pia Mimi nko kakamega lurambi uko side gani bro 😂

    • @collinsodera6010
      @collinsodera6010 Месяц назад +1

      @Newtone-tb9lf bukura

    • @Ronicakeddy_254.
      @Ronicakeddy_254. Месяц назад

      Aki wewe Collins siajabu tulikuwa class moja kumbe tuko hapa sote tena 😂😂😂😂😂😂😂😂unakumbuka nikikuuzia simu bonoko pale form 3 inaya😂😂😂😂

    • @collinsodera6010
      @collinsodera6010 Месяц назад +1

      @Ronicakeddy_254. 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FineBoy-D
    @FineBoy-D Месяц назад +17

    Wa kwanzaeeeeee kutoka nyarugusu kambini 😅

  • @-Freddy_fota.4
    @-Freddy_fota.4 Месяц назад +8

    ❤❤❤ From KOLWEZI Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад +1

      Like man nimekupeya like mimi

  • @Dully-p6c
    @Dully-p6c Месяц назад +12

    Mandev anajua sana kucheza serious. 🎉

    • @PierJmKakule-j9w
      @PierJmKakule-j9w Месяц назад

      ko unataka kusema stev bado

    • @Dully-p6c
      @Dully-p6c Месяц назад

      @PierJmKakule-j9w . Hapana Stiv anacheza commed pia ndaro nawako vzur. Hata madev kwey usilias anacheza vizur pia

  • @amirinestory
    @amirinestory Месяц назад +25

    wanaokubali ndaro na steve ni zaid ya mpoki na joti enzi hizo gonga like tujuane👊

  • @Didaahsaid005
    @Didaahsaid005 Месяц назад +11

    Happybirth day
    Madevu🎉🎉🎉🎉

  • @FatmaKambanga
    @FatmaKambanga Месяц назад +9

    Leo Nimewah wa Kwanza Anaemkuba Stev na Ndalo Tujuane Apa✌️✌️✌️

  • @Dr.MahChisindani
    @Dr.MahChisindani Месяц назад +5

    Nairobi Kenya kama kawaida shabiki wa Ndaro na steve mweusi❤

  • @Keyjop
    @Keyjop Месяц назад +6

    Yesu awatunze jmn maana you guys ❤

  • @FestusKoech-u2l
    @FestusKoech-u2l Месяц назад +5

    Hakuna mkenya huku alike comment yangu😅

  • @damagemweusi
    @damagemweusi Месяц назад +9

    Kama unamkubali Ndaro na stevemweusi gonga like hapa

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад +3

      Nipe like man Mimi nimekupeya like😂

  • @AcizaJustin-u7d
    @AcizaJustin-u7d Месяц назад +3

    Steve, wewe ni wangu jamaniiii.... Que Dieu te bénisse

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад +2

      Nipe like man mimi nimekupeya😂

  • @DoriceOgutu
    @DoriceOgutu Месяц назад +1

    😂😂😂am happie kwa ajili yenu jaman mnatengeneza sku yangu sana nawapendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @ShaafrPmafukwe
    @ShaafrPmafukwe Месяц назад +6

    Wakwanza nipeni maua yangu ❤❤❤

  • @AgijumaAlumbe
    @AgijumaAlumbe Месяц назад +2

    Steve na kubali kazi yako sanna😂😂😂😂🎉

  • @FrederickKwena
    @FrederickKwena Месяц назад +2

    Steve na ndaro mko sawa kabisa, ata mm nataka nkwe kama nyinyi mm naitwa FK MUONGO CHENGO NAOMBA SUBSCRIBER

  • @christianmwami8323
    @christianmwami8323 10 дней назад

    Hii moja kali kabisa, ndo tabiya za wauza parfum hizi 😂😂😂😂😂

  • @ReyzDon
    @ReyzDon Месяц назад +2

    Sema stive Bhana Ni kituko kweli

  • @damagemweusi
    @damagemweusi Месяц назад +5

    Wanaompenda Ndaro na stevemweusi angusha like yako hapa

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula Месяц назад +2

      Nipitie pia

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад +1

      Nipeni like man mimi nimekupeya like

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад

      ​@@Phoebenafulanawewe nipitiye

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula Месяц назад

      @Kib-jsanley Already done 👍

  • @MariaWakinnah
    @MariaWakinnah Месяц назад

    Ila steve bwana et mtu akuite katika hali inayoita jmn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @cuthbertfanuel288
    @cuthbertfanuel288 Месяц назад +1

    Nilipanga nioe mwakani ,lakini nimeamua nisogeze mbele nipishe uchaguzi kwanza😀

  • @PatoChinkuOfficial
    @PatoChinkuOfficial Месяц назад

    Kumbe hizi jamaa zina tambua Bien 🇰🇪🔥🔥🔥😂

  • @DutwengeTwishime
    @DutwengeTwishime Месяц назад +8

    Nakubari sana nakazi zentu

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula Месяц назад +1

      Nipitie pia

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад

      Nimekupeya like man na we we nipeye

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад

      ​@@Phoebenafulanimekupeya like na wewe nipeye

  • @SelemanTweve-sv3kx
    @SelemanTweve-sv3kx Месяц назад +1

    Na mm wa kwanza kutokaa MAKETE ----IVILIKINGE nipenii liked zangu😂

  • @eugenemr2542
    @eugenemr2542 Месяц назад +1

    Extra pressure baby when you wine and pause,,, who heard ndaro singing our own

  • @lamranpets
    @lamranpets Месяц назад +4

    kama kweli ulikuwa umeisubiri ya Leo angusha like yako hapa

  • @MenauruKipuyo
    @MenauruKipuyo Месяц назад +1

    Safi sana wacheshi kama umewakubali basi gonga like nyingi bila kufikiria😂😂😂😂😂

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k 14 дней назад

    Unaharufu ya tofauti , eeeh . Makubwa haya😂😂

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Месяц назад +3

    😂😂😂 sana2 wamawengee

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад

      Nipe like kaka Mimi nimekupeya like😂

  • @EnelyJohn
    @EnelyJohn Месяц назад

    😂😂😂ila steve 🙌eti pumua tuone mdomo😅😅😅jmn

  • @NancyNanjala-p5w
    @NancyNanjala-p5w Месяц назад +3

    Mmmmh wee mmbo ni moto humu ndani😅😅

  • @AliNamanjoinho
    @AliNamanjoinho Месяц назад +3

    Hamna wanunuzi apa😂😂😂😂😂😂

  • @Casmirors
    @Casmirors Месяц назад

    Hahah🎉steve na ndaro nihatar ety sabuni ya mbunju 😂😅😂😅😂

  • @tato8979
    @tato8979 Месяц назад

    Nyie watu wawili mungu awape maisha marefu pamoja na mm😂😂

  • @Shineboy797
    @Shineboy797 Месяц назад +2

    Any burundian here😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Ginga-ub7cs
    @Ginga-ub7cs Месяц назад +2

    Waha wenzangu mko wapi mbona siwaoni humu😂😂😂

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад +1

      Nipeni like man 😂mimi nimekupeya like

  • @OscarOkran-m4c
    @OscarOkran-m4c Месяц назад +4

    Pafym yangu pendwa Bellagio naiona Kwa Ndalo🎉

    • @naseebjoseph5330
      @naseebjoseph5330 Месяц назад +1

      Hamna perfume hapo zote body spray za 6000 hadi 10000

    • @OscarOkran-m4c
      @OscarOkran-m4c Месяц назад

      @naseebjoseph5330 😂😂

  • @SalomeSalome-pr8zt
    @SalomeSalome-pr8zt Месяц назад +3

    Steve napenda venye unaact walai unaniundiaga siku sana

  • @givenrichard8094
    @givenrichard8094 Месяц назад +1

    Ukwanza....haya na mi mnipe izo like nione inavokuwaga 😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @Nestoemanuel
    @Nestoemanuel Месяц назад +1

    Bellagio Og kwa mbali wanangu 😂😂😂

  • @MwitaMarwa-s6u
    @MwitaMarwa-s6u Месяц назад +1

    yaani steve video zako hata utumii akili nyingi😂😂😂
    alafu tuna angalia

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY Месяц назад +1

      Nipeni like mimi nimekupeya like man😂

  • @LailatAbdullah-w9d
    @LailatAbdullah-w9d Месяц назад +3

    Umejua kututangazia viwanja

  • @DebabaGicyeri
    @DebabaGicyeri Месяц назад +3

    Big congratulations m boys

  • @musaambonisye6046
    @musaambonisye6046 Месяц назад

    Weka weka weka weka😂😂😂😂😂

  • @AbdulKarim-eg5gy
    @AbdulKarim-eg5gy Месяц назад +2

    Kaka ndaro na Steve mweusi burundi tuna follow.

  • @sadikihalfani
    @sadikihalfani Месяц назад

    Awa wapumbav san ujue munaweza kunyongwa 😅😅😅😅😂😂

  • @maryamathman4370
    @maryamathman4370 Месяц назад

    Mnatisha madogo wawili mungu awaweke

  • @AkiliYosia
    @AkiliYosia 27 дней назад

    Congo tupo 🇨🇩🙋‍♂️🫵tunawafata

  • @owenvevo411
    @owenvevo411 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂 Steve na Ndaro nyie wehu

  • @jofreyevansantony2770
    @jofreyevansantony2770 Месяц назад

    😂😂😂😂 daah... wa kwanza atawesa akawa wa mwisho... stevu

  • @EmanuellVictoria
    @EmanuellVictoria Месяц назад

    😂😂ndaroooo stevee

  • @EskideBishow
    @EskideBishow Месяц назад

    😂😂😂😂😂 Ndaro Ety Ntakuwasha Mkofi Kwny Upara

  • @ElickySamwely
    @ElickySamwely Месяц назад +2

    Aaah naona Leo ndaro kaazimw suti

  • @justineokari2002
    @justineokari2002 Месяц назад

    😂😂😂Kali saana

  • @AminaAmina-w1e1p
    @AminaAmina-w1e1p Месяц назад

    Hawatumii nguvu kuchekesha😂😂

  • @joachimlugo9974
    @joachimlugo9974 Месяц назад

    Kwan steve paka useme umesikiaaa😂😂

  • @E_mwafrica-dc2zm
    @E_mwafrica-dc2zm Месяц назад

    Dada kashndwa kukaza kacheka 😂😂😂

  • @NicolasNicolas-m7v
    @NicolasNicolas-m7v 17 дней назад

    Namiyangalia Niko uku Zambia nyiye nimajama

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Месяц назад

    Nimekuwa wa kwanza ila Steve😂😂😂

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 Месяц назад +1

    Vichaa wamekutana😅😅😅

  • @DanielShomunda
    @DanielShomunda Месяц назад +1

    Hapo sawa 👏👏👏

  • @ShaidaJuma-v9b
    @ShaidaJuma-v9b Месяц назад

    Ahsanten sana❤

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 Месяц назад

    Weka
    Weka tu😂😂😂😂😂

  • @ZphaNiaa
    @ZphaNiaa Месяц назад +1

    Napenda. ❤

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo Месяц назад

    😅😂😂😂duuu kuna macizii

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili Месяц назад +3

    ❤❤❤

  • @gabrielmnangala7822
    @gabrielmnangala7822 Месяц назад

    Ila Ndaro😂😂😂😂

  • @MonicaNicodem
    @MonicaNicodem Месяц назад

    Kunasku mtapigwa nyie 😅😢😅

  • @yohanandila8386
    @yohanandila8386 Месяц назад

    Hawa jamaa ni washenzi😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @TheresiaGeorge-y9o
    @TheresiaGeorge-y9o Месяц назад

    Steve ni chizi😅😅😅

  • @RoseMmbone-e8m
    @RoseMmbone-e8m Месяц назад

    Ule mandevu n mhandsam kimoyomoyo 🤣🤣🤣🤣

  • @FideleShukuru-l2h
    @FideleShukuru-l2h Месяц назад

    Ako St Mimi kwamaj8na n'ai two Dogo fidèle DRC nakubedasana VP Dogo sele hajambo umusalimi ye ako ❤❤❤❤❤😂🎉

  • @Nipashe1
    @Nipashe1 Месяц назад +4

    STEVE SASA UKIANZA KUPOST VIDIO FUPI FUPI NTAKUTAFUTA NIKUFANYE KIPIDIDY😅😅

  • @SHADRACKTVSHADRACKTV
    @SHADRACKTVSHADRACKTV Месяц назад

    Imba tusikie , pressure 😅😅😅😅

  • @husseinchande2741
    @husseinchande2741 Месяц назад

    😂😂😂😂😂tumeuza aikua laisi

  • @JoaquinAdolphe
    @JoaquinAdolphe Месяц назад +1

    Wakwanza naomba like natokey Burundi

  • @StephenPeter-in6yz
    @StephenPeter-in6yz Месяц назад +1

    Namm Leo na comet jomn😂

  • @PierJmKakule-j9w
    @PierJmKakule-j9w Месяц назад

    nani mwingine piya ame shangaa nguo ya stev ku moneya ndaro😄

  • @RajabuBakari-w6g
    @RajabuBakari-w6g Месяц назад +1

    Steve nyie hamna akili mara mnatoa muvi ya Dala Dala xa xixi tuxhike wapi waxenge nyue

  • @muneneoliver7576
    @muneneoliver7576 Месяц назад

    Ndaro na wee ni kama ni mkenya ju hiyo kichwa ngumu bana ......ukuje nikutembeze KAYOLE au GITHURAI 45

  • @joe_l-n3o
    @joe_l-n3o Месяц назад

    Kenya well represented 😂

  • @geraldngangawangari863
    @geraldngangawangari863 Месяц назад

    😂😂😂😂😂hiii kali

  • @SlickOfficial.
    @SlickOfficial. Месяц назад +2

    Steven nakubali sana

  • @fubufilmskaliua
    @fubufilmskaliua Месяц назад +1

    ❤unyama❤❤❤❤❤❤❤

  • @ErlingHaaland-i1u
    @ErlingHaaland-i1u Месяц назад +1

    Wamwisho leo naomba likes 10 ila Steve na ndaro ❤❤❤❤

  • @PineTree-n9y
    @PineTree-n9y Месяц назад

    Nimecheka kama nimepata demu mpya leo😊😊😊

  • @DaniRavi
    @DaniRavi Месяц назад

    😂mwehu ndaro😂

  • @galluskomba1
    @galluskomba1 Месяц назад +1

    Nawakubali sana wanangu hasa Ndaro. ila kwakujenga na kama hamtoichukulia vibaya, kwa video zijazo tunaomba director au camera man aje na uhalisia katika shots. Huenda mmetumia camera moja, hakuna ubaya lakini apo kuanzia dakika ya kwanza sekunde ya 7 na kuendelea, inaposikika sauti ya Ndaro au Steve wakiwa Off screen Uyo muuzaji anaonekana kama anafanya unrealistic actions ambazo kwa ubaya zaidi zimejirudia zaidi ya mara mbili ikimaanisha kua clip moja imekua copied and pested zaidi ya mara moja. Much love

  • @MrRamaFrederick
    @MrRamaFrederick Месяц назад

    Mr Rama ❤❤❤

  • @MeshackBenjamin-h4b
    @MeshackBenjamin-h4b Месяц назад

    Ila seteve jamn 😂😂😂😂😂

  • @daneetassh
    @daneetassh Месяц назад

    Extra pressure 😂

  • @E_mwafrica-dc2zm
    @E_mwafrica-dc2zm Месяц назад

    Sio harufu hiii dadeq walah

  • @MubiriziMoussa-e6c
    @MubiriziMoussa-e6c Месяц назад

    Aisee wabongo mko wakorofi duuuh Sio Kwa hali iyo

  • @manajr9155
    @manajr9155 Месяц назад

    Police wamnuse kitu gani 😂

  • @KIB-JSANLEY
    @KIB-JSANLEY Месяц назад +1

    😂😂😂😂stive aujasoma