LIVE- Rais John Magufuli Akihutubia Wananchi wa Kilosa Morogoro

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 июн 2020
  • #JPM #KISARAWE #MAJI #MRADI

Комментарии • 8

  • @ommaja7915
    @ommaja7915 4 года назад

    Shukran sana baba mtetezi wa wanyonge

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 года назад

    Nimefurah sana president for tanzania 👏👏👏mungu ibarik tanzania mungu mbarik raisi wetu ...tunaitaka kilosa yetu iwe mpya jamn .....njia mbovu sana ....yani mtu ukitaka kwenda home unajifikilia ..makolongo mengi mno.

  • @brightonshakila6406
    @brightonshakila6406 4 года назад

    Kazi kweli kweli

  • @ommaja7915
    @ommaja7915 4 года назад

    Baba tunaomba utusaidi sana

  • @ommaja7915
    @ommaja7915 4 года назад

    Uyu kaka kasema ukweli ndio huu wanamchini wa kimamba ilonga tunateseka sana na wafugaji

  • @ommaja7915
    @ommaja7915 4 года назад

    Kweli kabisa wakulima tunadharauliwa sana magu kwasababu wafugaji wanawaonga pesa tunauliwa sana na wamasaya na ukipeleka kesi selikalini wanaongwa pesa kesi inaisha na shamba unapokonywa

  • @mlengaobed9362
    @mlengaobed9362 4 года назад

    Aiseee😁😁😁,namuona mtetezi wa wanyonge

  • @brightonshakila6406
    @brightonshakila6406 4 года назад

    Afadhali umemsamehe maskini