Just wow. Fr. Kanja brought you once to st. Paul's University of Nairobi Chapel for the student's mass. You are a very good preacher father. Do you remember? You told us that people like roses though they got thorns!
Mom yangu without knowing swahili always said usikaee kaa asiyo fikili...alafu,,,"'niwasiikiiaa,,,iiiii mami nindasikia,,,she never allowed laziness so is our God...lets pray for strenght to be bussy with the responisibilities given
Nafuatilia mafundisho yako yote. Mungu aendelee kukubariki
Ohh asante Padri nakukubali, mnoo nakukumbuka ulifungisha ndoa yangu Songea Bomba mbli, ulinifundisha maneno mazuri, magumu mpka leo ynanisaidia, barikiwa mno mtumishi wa Mungu.
Ukijaribu kuangalia waumini na kile anacho hubiri...Utaona kabisa Huyu Padre anahubiria Dunia sio waumini hao tu... I'm so grateful to be Catholic
Mim sio muumin wa cathol lakini huyu mtumishi anafundisha aisee ananibariki
Na ana hubiri kwa namna ya tofauti sn na Ma Padre wengine,ana namna ya pekee kabisa,ana nifanya nianze kuzoea RC,maana nlianza kupamiss KKT
Kweri hiyo ni kali sana
Hii Channel ni Muhimu sana. Padre asante kwa kuhubiria wengi mtandaon. Mungu akubariki sana. Hao wakristu wako wanabaraka sana.!
Good life and blessings 🙌 Father. More life
Assnte
Mungu akubariki sana na nimeenjoy sana siku ya leo
Ujumbe mzuri sana
Ahsante sana father Jana umetujenga sana wana makoka .Mungu akupe afya njema uzidi kutujenga
Asante Fr kwa mahubiri yako hatuna shaka tuna chapa kazi Mungu awe nasi Amina
Maubili mazuri sana pia tunatakiwa kutulia na kutafakari mafundisho yake ili yalete matokeo sahii ili ujumbe uwafikie wengi kwa vitendo
Barikiwa baba ,Mungu akutumie zaidi
Hongeraa fr kweli umeendaa shulee
Hatuchoki kukusikiliza baba. Mungu akubariki sana
Barikiwa Padre mafundisho yenye hekima.Asante.
Asante baba kwa maubiri mazuri
Ubarikiwe father
Nimekuelewa Sana pandri mungu akutunze injili ifike Kwa watu wote
Amen 🙏🙏barikiwa fr.kwa mafundisho poa
Nyanyua mikono juu kwa mafundisho haha sema Asante mungu
Powerful service God blesses this father
Hongera Fr.
Baba amebarikiwa
Father unanibariki Sana na kunifundisha.. mung akutunze na neno litawale. Amen
Nakupenda sana baba paroko kwa mafundisho yako
Unahubiri vizuri sana barikiwa father
God is good all the time
Nimependa Sana mahubili yako baba
Asente Sana baba kwa mafundisho ya hekima kwangu
Ahsante sana kwa hii ibada.
Amen ni mebarikiwa natoka DRCi kongo
Very true ,,You are wright Padre be blessed ,🙏🙏🙏
Good logos
Barikiwa sana padre Kamughisha
Kutofanya lolote ni kosa. Asante na Amina
Asante kwa mahubiri Fr.
Baba unanifurahisha Sana,u r very talented thanks to God kwa kipaji hicho....unahubiri kwa mifano inafurahisha sana
Nakuelewa sn padri wangu Mungu akupe maisha marefu uendelee kutuinjilisha Ameen
Barikiwa mtumishi wa mungu
Mungu
Barikiwa sana fr kamugisha
Ujumbe mazuri
Good preaching,,good word...
Thank you fr
Amina
Just wow. Fr. Kanja brought you once to st. Paul's University of Nairobi Chapel for the student's mass. You are a very good preacher father. Do you remember? You told us that people like roses though they got thorns!
Fr kamugisha nashukuru saaana
Hiyo ni kweli kabisaaa
Kwa kukusikiliza kwangu nimebarikiwa
Asante Fr.
Jaribu ushindwe lakini usishindwe kujaribu nabarikiwa na ujumbe wako
Mom yangu without knowing swahili always said usikaee kaa asiyo fikili...alafu,,,"'niwasiikiiaa,,,iiiii mami nindasikia,,,she never allowed laziness so is our God...lets pray for strenght to be bussy with the responisibilities given
Padri mahubiri yako yana mafunzo mazuri
Barikiwa
Asante kwa ujumbe mzuri
Genius
Somo zuli kweli asante baba padre
Very good
Thank you Father 🙏
E😅
I like
Asant baba paroko
Ni kweli tupu
Baba paroko umenifungua akili yangu
Nikwel kabisa mm pia muhanga wakusema kesho ipo
Ahsante Fr
True padre
Hasila mbaayaa saana...
Amen
Fr.uko vizur,Kuna kitu umebadilisha ktk akili yangu japo nipo katika wakati mgumu.naomba namba yako,ninyenda kufumola naiwe... barikiwa fr.
🙏🙏🙏
Nimechota hekima ya kutosha kabisa kwa mafundisho haya
ni kweli kutokufanya chochote ni kosa , talanta yako toa na wengine waitumie
Kukosa!!shughulika,,,wajibiika,,,omission,,,commission....
Kutofanya lolote ni kosa
nikosa kutofanya lolote
Hivi nyie mapadri mmekuwa vichaa mbona mmepoteza maadili ya dini mnajiweka sana mitandaoni huu upumbavu umetoka wapi acheni kuzalilisha kanisa
Imekuwaje tenaa
Kama ungejua umuhimu wa injili mtandaoni kwa sisi tuishio ughaibuni ambako hakuna kanisa usinge kaa na kulaumu
Barikiwa sana fri kamugisha
Namshangaa sana huyu anaye sema kwann wanajiweka mtandaoni sasa haya mafundisho tungeyapata wapi kama siyo mtandaoni
Ndugu yangu kanisa unalolijua wewe lawezekana lilishapotea zamani saana
Huku ndio kutakatifuza malimwengu na kutumia teknolojia kuinjilisha baada ya watu kutumia mitandao kupotosha
Amina
Asente Sana baba kwa mafundisho ya hekima kwangu
I like