UNAPOSUSA NDOA UNASUSA URITHI WA WATOTO WAKO : PASTOR TONY KAPOLA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Msimu Huu wa 2023 Tumepewa Nguvu Zaidi na @dstvtanzania @vodacomtanzania @cocacola_kwanza Pamoja na @y9microfinance
    Ukumbi huu umepambwa na @sadas_choice_events
    #MwanamkeWaShoka2023 #ChukuaCode : #Wanyooosheee

Комментарии • 204

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +5

    Naona watoto wangu wakiwa juui kiriho na kimwili pia in Jesus name

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 Год назад +32

    Huyu pastor is every genius and blessed

    • @jorammsemakweli3116
      @jorammsemakweli3116 Год назад +1

      Tatizo Mch Kapora hauko huru ni mtumwa wawazugu sisi sote tumesoma na tunajua lugha hiyo lakini unashindwa kupambnua unawafundisha watu wa taifa gani wewe ni mtanzania unawafundisha watanzania tuna lugha ya Taifa kiswahili wewe unachanganya kama si mtumwa ninani alafu unasema umewekwa huru

  • @upendoamani8164
    @upendoamani8164 Год назад +9

    Ndani yako kuna mamlaka
    Asikiae hii sauti hii na apone kwa jina la Yesu Kristo 🙏🏽

  • @aledesiomushi875
    @aledesiomushi875 Год назад +14

    Umebarikiwa ili ubariki wengine pastor Mungu WA mbinguni anikumbuke na mimi

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Год назад +12

    Maneno yako yameniingia sana Asante Pastor Mungu aendelee kukubariki

  • @aminajuma8629
    @aminajuma8629 Год назад +8

    Pastor Asante kwa somo zuri sana hta ambao hatujafanikiwa kufika tumejifunza mengi sana Mungu ni mwema sana na akubariki sanaaa

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Год назад +52

    Straight forwad mimi mwenyewe nilishafikiwa na hayo nilivyomwambia mama mimi naachana naye kani cheat mama alicheka kwa nguvu yuko huna kamkeka hapo tandika ombea ndoa yako ombea mume wako kila unampoamka unapoenda kazini mume anavyoondoka mwambie ngoja nikuombee hata maneno matatu anapoenda nje kila akitaka kufanya upuuzi anakumbuka maombi ya mkewe anaacha.leo hii tuna miaka 25 kwenye ndoa sina stress

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 Год назад +3

      Waow hongera sana 25 sio midogo ...umetutia moyo tulio na miaka michache kwenye ndoa

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 Год назад

      @@gracekenan4665 asante mpenzi atakayekuja kukuambia ndoa haina changamoto ni muongo huyo sio kaka yako huyo sio mtu mliolelewa pamoja.kazaliwa huko umezaliwa huko mmekutana kujaribu kuoanisha tabia zenu.kinachotakiwa katika miaka saba ya ndoa ni wewe kumsoma mumeo na mume kumsoma mke then mkubaliane hizi tabia zinanikwaza na yeye aseme tabia ambazo hazipendi then muanze tabia mlizozijenga ninyi sio mlizotoka nazo makwenu.kwani tumelelewa tofauti kilicho ndio kwako kwa mwingine sio.nikupe mfano sisi kwetu hata kama una marafiki unataka waje wikend as long as uko kwenye himaya ya wazazi unatakiwa uwataalifu marafiki zangu watakuja mama yako atauliza umejiandaa utawapikia nini mnajadiri.upande wa mume wangu wakishua yeye kwao walikuwa hawana hicho, kakutana nawashikaji twende kwetu wanakuja pale chakula hamna mama hajali kwani anajua mtoto wake ana hela ataagiza chakula watakula na washikaji then basi.tulivyooana akazileta hizo tabia kwangu.mmekaa mnakuta anarudi na marafiki mimi tumbo linaunguluma mama yangu hatujapika hatuna vinywaji jamani nakasirika ,hivi kwanini asingeniambia jamani maana marafiki zake ni mashemeji zako. unataka waje wale wafurahi.akifika yeye tu anamtuma dada nenda dukani fata soda,chipsi kuku mimi moyoni nawaza hawa mashemeji siwatajua sijui kupika kumbe mimi sikuwa na taarifa.nikavumilia tabia zake nikashindwa nikakaa naye alichonijibu Mungu wangu samahani kumbe nilikuwa nakosea mimi nikadhani labda hutaki wageni niko hapana nachokasirika kushitukiza watu wamekuja tuna agiza chakula badala ya kuwapikia. yuko kuanzia leo sitarudia mke wangu sisi kwetu tulikuwa tukifanya hivi.sasa unaweza jifunza ni mambo mangapi tunahukumiana bila kujua why yanafanyika hivi.mazungumzo ni muhimu kwenye ndoa siku yenye furaha uliza maswali yako ukiwa huna hasira mtaelewana ukimpandishia moli sahau

    • @evalynedenis
      @evalynedenis Год назад +2

      Mungu ambariki Mama wetu kwa hekima zake❤

    • @marystanleymarystanley1702
      @marystanleymarystanley1702 Год назад +2

      umenitia nguvu my love

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 Год назад +5

      Safi dada mimi mwanzo niliona kazi nilipokua na mtoto mdg wa1 kidg niondoke ila Mungu tu leo miaka 12 watoto 3 ahsante Mungu dada uko sawa umeniongezea ngv nyingine zaidi 🙏

  • @jacklinesamson1175
    @jacklinesamson1175 Год назад +10

    Hekima kubwa sana hii,mwenye sikio na asikie🔥

  • @callennyanchwamokaya4572
    @callennyanchwamokaya4572 13 дней назад

    Powerful word great revelation av been blessed. MOG pray for me and my family

  • @leonardoautomotivegarage9452
    @leonardoautomotivegarage9452 Год назад +20

    Penye neno la Mungu pana Mungu pokeeni neema hii wadada, Mungu awape mwanzo mpya amen

  • @KibibiMtuhi-xg8ju
    @KibibiMtuhi-xg8ju Год назад +1

    Huu ujumbe umenibariki leo na umekuja kwa wakati sahihi 2 Feb 2024 ❤❤❤

  • @emmanuelcharleschitete4879
    @emmanuelcharleschitete4879 Год назад +7

    Powerful word from the powerful man of God

  • @tumainimwaijonga5407
    @tumainimwaijonga5407 Год назад +1

    Mtumishi nimebarikiwa sana nilikuwa nimekata tamaa. Na ndoa yangu inabidi nipambane kwa maombi

  • @tainamsemwa2865
    @tainamsemwa2865 Год назад +4

    Amina isiyokuwa na mwisho mtumishi barikiwa

  • @osilojackson-oj8dk
    @osilojackson-oj8dk Год назад

    Mchungaji kumanisha nimefaidika na maubiri wako no way to explain but ubarikiwe kabisa am augandan in Dubai with ma Kenyan wife in Uganda with two children your message has totally changed my life i can not explain

  • @nancymuturi629
    @nancymuturi629 Год назад +4

    Sure sure pastor point taken wazaidia wa mama waaawaa Na kila mama anaye kushikiliza apate kuponyua live is spiritual

  • @FelixMjen-fx4lx
    @FelixMjen-fx4lx Год назад +3

    My lord bless u pastor be blessed at all

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +1

    Ni kweli neno la MUNGU ni taa,,,nimeelewa , MUNGU tusaidie kwenye ndoa yangu,,,, barikiwa mtumishi ,,,nachukua baraka za neno

  • @osilojackson-oj8dk
    @osilojackson-oj8dk Год назад +1

    Na kenye nimesahao niko mchungaji but due to some situations at home i have hired ma self to serve some Iranians in working car body kits na i need your prayers n some more business ideas basing on what I heard from you

  • @asnathmwaipopo6877
    @asnathmwaipopo6877 Год назад

    Sikuwepo. Ila kwa neema ya MUNGU now nimejiongamanisha kupitia haya mafundisho na maombi kupitia hii ibada NAPOKEA kila kitu cha BARAKA alichotamka MTUMISH huyu🙏🙌🙌❤️

  • @NeemaKimaro
    @NeemaKimaro Год назад +3

    barikiwa sana pastor nimepokea jambo kubwa sana

  • @fatumarashidi5182
    @fatumarashidi5182 Год назад +2

    Wallah pastor nimepokea uponyaji

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Год назад +1

    Hapo upo sahihi kumuombea au ruombeane mmoja anapokosea , Mungu akubariki mchungaji

  • @joshuabartonpolelaab4985
    @joshuabartonpolelaab4985 Год назад +8

    Anaongea Kama mtu MWENYE Amri 😢😢😢 Glory to God
    Am happy of having this man in our Generation

  • @RoseJaphason
    @RoseJaphason Год назад

    ASANTE mungu akutunze sana nimejifunza umegusa maisha yangu kwa shemu kubwa san

  • @agnessbulegu996
    @agnessbulegu996 Год назад +1

    Alaye, anakula Hadi afya, umoja,AMANI furaha.. Unajua nini kaka Kapona,, you're blessed.

  • @tawocatv9940
    @tawocatv9940 Год назад +4

    Your amazing ! Mungu ametupa wewe tupone kwa Kweli

  • @ZainabuRajabu-m3p
    @ZainabuRajabu-m3p Год назад

    Ameeen sana hakika umenivusha mahali fulani Mungu azid kukutia nguvu uzidi kutuinua🙏

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 Год назад +2

    Pastor ubarikiwe Sana kwa ujumbe ushauri wangu hio display hapo kama Iko kanisani isidisplay hayo matangazo itumike kumtangaza Mungu na sio Vodacom na matangazo ya nywele
    Hayo tunayapata huku duniani

    • @missieflavie
      @missieflavie Год назад

      Hapo sio kanisani ni mkusanyiko wa wanawake mbalimbali watokao katika dini tofauti na sio mahubiri tuu yalikuwepo katika ratiba.

    • @barakastephano481
      @barakastephano481 Год назад

      Sio kanisani kaka apo alialikwa tu

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 3 месяца назад

    Glory to JESUS barikiwa Pastor

  • @nancymuturi629
    @nancymuturi629 Год назад +4

    🙏🙏🙏🙏🙏Ooooh yes amenena mwenyewe huyu Mungu in Jesus name

  • @lulusufian9455
    @lulusufian9455 Год назад +4

    Amina baba MUNGU akutunze mtumishi barikiwa Sana babaangu

  • @rosesanga6163
    @rosesanga6163 Год назад +1

    Pastor wangu oyeee

  • @beatricefuraha6471
    @beatricefuraha6471 Год назад +1

    Mungu akubariki mtumishi 🙏

  • @yasintacharles3594
    @yasintacharles3594 Год назад +2

    Amina sana pastor i got it very clear

  • @UpendoMnzava-kr3nk
    @UpendoMnzava-kr3nk Год назад

    Mtumis nakushukuru kwa elimuyako mungu akupe maaisha marefu ilituzidi kujifunz

  • @marthamlowe7928
    @marthamlowe7928 Год назад +3

    Umesikika kwa saut kubwa pastor 🥰🥰🙏

  • @sekitauniquedesigns8813
    @sekitauniquedesigns8813 Год назад +5

    Barikiwa Pastor Tony!

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 Год назад +2

    Asante Mungu Baba. Asante Yesu Kristo Amina.

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 Год назад +5

    Hallelujah hallelujah 🔥🔥🙏🇰🇪

  • @gladysramadhan4008
    @gladysramadhan4008 Год назад +4

    Hallelujah Hallelujah bwana Yesu ameeeen

  • @sumaiyabakary2692
    @sumaiyabakary2692 Год назад +5

    Ni maneno makubwa sana

  • @DeoKapimpiti-fm7sk
    @DeoKapimpiti-fm7sk Год назад

    God bless you paster🙏

  • @Hollinie
    @Hollinie 10 месяцев назад

    Nmekuelewa sna mchungaji remain blessed 🙏

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 Год назад +2

    Amen mtumishi wa MUNGU

  • @patrickdebe8416
    @patrickdebe8416 Год назад

    Asante sana mtumishi wa Mungu.

  • @Tawis-y9c
    @Tawis-y9c Год назад +1

    Ni kweli mchungaji ubarikiwe sana

  • @damianandrew3074
    @damianandrew3074 Год назад

    Mchungaji Hilo bango na tangazo nyuma yako pastor linawatoa watu kwenye uwepo wa mungu

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 11 месяцев назад +1

    Chukueni namba ya huyu mchungaji mmpe pesa apeleke ujumbe africa nzima ana kitu cha kuongea na waafrica

  • @rhodanangoma7386
    @rhodanangoma7386 Год назад +3

    Mungu atusaidie kwa kweli

  • @Tawis-y9c
    @Tawis-y9c Год назад

    Ameni mtumishi wa mungu mungu akubarki sana

  • @AwaziBange-yo1wq
    @AwaziBange-yo1wq Год назад +2

    Paster Tony unajua sana

  • @daudichija2800
    @daudichija2800 Год назад +5

    blessed pastor i appreciate. you

  • @dahliamapunda8256
    @dahliamapunda8256 Год назад +2

    Amina. Daddy Nitafanya hivyo 🙏

  • @KilihonaNdaki
    @KilihonaNdaki 8 месяцев назад

    Mungu mwema nimefuniliwa sana

  • @israelchacha6424
    @israelchacha6424 Год назад

    Mungu anibariki na mke

  • @GlauryHaule
    @GlauryHaule 4 месяца назад

    Yaaani hapo kwenye kupaaa tu na watoto ndipo nimelia ninapaa na watoto wangu wawili mpaka ufaransa Bwana amenitendea makubwa sana

  • @RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
    @RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny 11 месяцев назад

    God bless you more than you are.

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 Год назад +1

    Thanks mtumishi

  • @lightsamweli8296
    @lightsamweli8296 Год назад

    Stay blessed my spiritual father

  • @EmmyMwaipopo
    @EmmyMwaipopo 8 месяцев назад

    Amina na pokea. Uzima kwajina la yesu

  • @BigirimanaJoly-ec3rj
    @BigirimanaJoly-ec3rj Год назад

    Mungu akuvike nguvu mchungaji

  • @Mjeshi215
    @Mjeshi215 Год назад

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @flokirui2742
    @flokirui2742 Год назад

    I like your teachinyg Pastor... Ubarikiiwe sana as you blessed other people with the word of God...

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 Год назад +5

    Yesu tusaidie

  • @selegioelias9076
    @selegioelias9076 Год назад +3

    Wallah tena ??? pastor

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 Год назад +1

    Amen day🙏🙌

  • @JanethNgambeki
    @JanethNgambeki 8 месяцев назад

    Mungu asante kwa kunifundisha

  • @anandepallangyo4177
    @anandepallangyo4177 5 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉 pastor Tony

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 Год назад +2

    Alhamdulilah 🙏

  • @RehemaMwingira-jc1pz
    @RehemaMwingira-jc1pz Год назад

    Nimebarikiwa sana sana

  • @SisteKayombo-up5cy
    @SisteKayombo-up5cy Год назад

    Wow marvelous

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 Год назад +3

    Amen dady🙏🙏

  • @sararasmamwamapupa3577
    @sararasmamwamapupa3577 Год назад

    Amina mtumishi wa Bwana

  • @natusmanumbu8885
    @natusmanumbu8885 6 месяцев назад

    Barikiwa kwa mahubiri ila matangazo yanaharibu

  • @jojotanzan609
    @jojotanzan609 Год назад +2

    Barikiwa mtumishi

  • @josephinemapuga3515
    @josephinemapuga3515 Год назад

    Asante Yesu kwa mafunuo haya kupitia mtumishi na mchungaji Kapola

    • @gracenkembo8318
      @gracenkembo8318 Год назад

      Mtu wa Mungu kapola nakupenda sana mafundisho yako ni dawa ya mioyo yetu

  • @dahliamapunda8256
    @dahliamapunda8256 Год назад +2

    Napokea....Amina

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад

    I need a spiritual power of God 🎉

  • @anordalfred
    @anordalfred Год назад

    Wewe tena! barikiwa sana

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Год назад +4

    Hiyo ndoa wanazosusa labda hazina kumuuingiza Mungu,au kunawachopitia labda inatakiwa ujue,ni kweli unasusa urithi zingine hazifuati maneno ya Mungu ,hazitaki mabadiliko sasa wasisuse,wamchao Mungu watadumu ktk ndoa

  • @bukuruphilibert8658
    @bukuruphilibert8658 Год назад

    Uko vzr pastor kapola

  • @emmanuelikitomari1212
    @emmanuelikitomari1212 Год назад +1

    Mungu akubariki sana baba

  • @manirakizamireille8337
    @manirakizamireille8337 Год назад

    Asante mucungaji

  • @NelsonFute
    @NelsonFute 16 часов назад

    Wanawake mpoooooooo

  • @Tawis-y9c
    @Tawis-y9c Год назад

    Tuombe sana na ss ambao tupo mbali na ichi yetu

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Год назад

    Amina ktk kitabu hicho cha Marko

  • @lovenesslukas5360
    @lovenesslukas5360 Год назад +2

    Dady Amen 🙏🙏🙏

  • @gasperurassa6440
    @gasperurassa6440 Год назад +1

    Amen Amen Amen Amen Amen

  • @hdhdhdhdhdh3264
    @hdhdhdhdhdh3264 Год назад

    Amina🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @pilikafuku5468
    @pilikafuku5468 Год назад +2

    Amen mtumishi

  • @ShidaKazungu-tp8ld
    @ShidaKazungu-tp8ld 8 месяцев назад

    Ameni pastor jamani

  • @fatumarashidi5182
    @fatumarashidi5182 Год назад +1

    Dada Dina kitchen ta mwakani mlete Tena pastor jamn tunajifunza

  • @joynnko5186
    @joynnko5186 Год назад

    Amen!

  • @belinadeusdedit3993
    @belinadeusdedit3993 Год назад

    Amina ,tuponywe

  • @godwinagustava5634
    @godwinagustava5634 Год назад

    Tunasaidiwa na Bwana

  • @RusyJackson
    @RusyJackson 4 месяца назад

    🙏🔥🔥

  • @PrinceBONNEANNÉE
    @PrinceBONNEANNÉE 11 месяцев назад

    😢mungu akubariki Niko congolai

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 3 месяца назад

    Umenikonga nyoyo kwa hili somo

  • @MwashiLugesha-w6n
    @MwashiLugesha-w6n 11 месяцев назад

    Pastor unasauti ya mamlaka ubarikiwe san