Na mimi nitajibiwa hakika ,Asante saana Baba Padre napenda Mafundisho yako na wewe usiikose Mbingu kwa kujitoa kwako kuhubiri ili watu waokoke ,Naamini Unakohubiri Waumini wataacha pombe na Wampokee Roho mtakatifu ili Waje Wauone Ufalme Wa Mbinguni
" nimesoma kwenye shule ya kikatoliki sikuwahi kujua kama pombe ni ruhusa ,miaka yote juzi nikiwa safarini siti moja na padri nikawa namuuliza maswali akaniambia kwa wakatoliki pombe ni ruhusa kunywa akaniambia mimi ni padri lakini nakunywa pombe lakini sio muda wa ibada
" hakika nilishangaa sana padre kuniambia kunywa pombe sio dhambi nikamuuliza kwhyo kwa mkatoliki kunywa pombe sio dhambi na kumiliki baa sio dhambi. Padre Kamugisha umepewa neema ya kufundisha sana MUNGU akubariki
Since I bumped into your teaching always Feeling encouraged from Kenya
Asante Sana padri.Endelea kupiga injili.ndivyo inavyotakiwa.siyo Jumapili kwa Jumapili.tena kwa SAA.Asante kwa neno.
Mungu akubariki dct Kamgisha
Nabarıkıwa sana mtumıshı na mafundısho yako.
Mungu akubarıkı sana sana.
Baba Mungu amubariki kwa mafundisho Yako mazuri unaendelea kutubariki
Tyk baba, mungu azidi kufungulia ufunuo ili utuelimishe zaidi
Asante Kasisi
Amina Baba
Amina baba padre
Baba kamgisha asante kwa utume wako.
Thanks alot Father....
Na mimi nitajibiwa hakika ,Asante saana Baba Padre napenda Mafundisho yako na wewe usiikose Mbingu kwa kujitoa kwako kuhubiri ili watu waokoke ,Naamini Unakohubiri Waumini wataacha pombe na Wampokee Roho mtakatifu ili Waje Wauone Ufalme Wa Mbinguni
" nimesoma kwenye shule ya kikatoliki sikuwahi kujua kama pombe ni ruhusa ,miaka yote juzi nikiwa safarini siti moja na padri nikawa namuuliza maswali akaniambia kwa wakatoliki pombe ni ruhusa kunywa akaniambia mimi ni padri lakini nakunywa pombe lakini sio muda wa ibada
" hakika nilishangaa sana padre kuniambia kunywa pombe sio dhambi nikamuuliza kwhyo kwa mkatoliki kunywa pombe sio dhambi na kumiliki baa sio dhambi. Padre Kamugisha umepewa neema ya kufundisha sana MUNGU akubariki
Ubarikiwe baba
Amina mtumishi Bwana Yesu akutie nguvu
Ameeen mtumish wa bwana
Tyk baba, tunamshukuru Mungu ndani ya kanisa kuwa na mtumishi Kama wewe unayetuelimisha,unayetufundisha masomo mbalimbali.
Nimejifunza kitu..kumbe Mungu is not limited by SPACE!!
Baba
Tumsifu yesu kristor
Amina Amina