JINSI YA KUPIKA VITUMBUA VYA SH.100 VYA BIASHARA RAHISI SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 26

  • @NayratDarwesh
    @NayratDarwesh 6 месяцев назад +4

    Mashallah mashallah mwalim salanga mwenyezi mungu akupe kila la kheri

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  6 месяцев назад +1

      ahsante sana Mungu akusimamie sana

  • @Jokha1Jokha
    @Jokha1Jokha Месяц назад

    Mashaallah samahani mchele unaroweka au,?

  • @mwanakombokitandula7261
    @mwanakombokitandula7261 5 месяцев назад +1

    Hongera sana mwl. Mw mungu bariki kazi yako inshaallah

  • @meowzna
    @meowzna 2 месяца назад

    Asante 👏

  • @HairatLeonard
    @HairatLeonard 6 дней назад +1

    Mwalim nimeelewa nataka nijarib na mimi

  • @MarthaMussa-r5u
    @MarthaMussa-r5u 3 дня назад

    Mbona haujaacha uumuke kwaza

  • @LatifaMchome
    @LatifaMchome 2 месяца назад +2

    Mwalimu unga unaumua muda gan?

  • @selengesimon1108
    @selengesimon1108 5 месяцев назад +1

    L'entrepreneuriat est un Emploi, la vie dans votre téléphone. Seulement mais très efficace.

  • @myneschunya925
    @myneschunya925 4 месяца назад +2

    Samahani mwalim Salanga maji ni ya baridi au uvuguvugu

  • @urbanpoultry6201
    @urbanpoultry6201 2 месяца назад +1

    Samahani ,unga hii yenye unaogesea Kwa unga ya mchele ,ni unga ya ngano ama niya mahindi?

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  2 месяца назад +1

      unga w amahindi

    • @urbanpoultry6201
      @urbanpoultry6201 2 месяца назад

      @@mwalimusalanga sawa Asante

    • @urbanpoultry6201
      @urbanpoultry6201 2 месяца назад

      Morning,ni baking Gani inafanya half cake (kangumu)ipasuke ni baking soda ama ni baking powder? sababu nilipika unga kilo Moja nanikatumia baking powder lakini haikupasuka.shida nini ?

    • @urbanpoultry6201
      @urbanpoultry6201 2 месяца назад

      Ama tafathali nitumie ingredients za pkt of 2kgs of ngano , sababu Sina kazi nataka kuanza kupika kangumu or (half cake soon)

  • @evermashombo3010
    @evermashombo3010 3 месяца назад +1

    Hujaumua mwalimu?

  • @floramushi5580
    @floramushi5580 3 месяца назад +1

    Nimeelewa na nimependa nipo kwenye madarsa yako mengii darasa la ubuyu wa Zanzibar

  • @MercyKauga
    @MercyKauga 3 месяца назад

    Mwalimu Sasa hauja umuwa unga Ina wezekama umepika moja kwa moja