DOTTO MAGARI:AWASHA MOTO KWA JUMA LOKOLE/AMVUA NGUO/SIO RIZIKI KALEFT/MANARA KAMNUNULIA GARI ZAYLISA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 223

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats Год назад +20

    Big up mtangazaji anaweza speed ya doto angekua mwengine angeuliza maswali matano tu hapo ila jamaa anamaswali juu ya swali😂😂😂

    • @adalishaibu4433
      @adalishaibu4433 9 месяцев назад

      Wewe kuma usitukane makabila ya watu

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila 3 месяца назад

    Lokoma Tv huyu mwamba mlomtuma kufanya interview na Dotto MAGARI jamaa anajua sna,yuko vzur anajua anachokifnya!,DOTTOOOO ❤❤❤

  • @jmc2196
    @jmc2196 Год назад +8

    Hela ina mambo mengiii kabisa genius doto 🤝

  • @monicemedia4078
    @monicemedia4078 Год назад +5

    Big up brother Dotto wabongo wanapenda uchimvi

  • @WeckEmmah
    @WeckEmmah 5 месяцев назад +1

    Lokomo tv bring dotto twice per week we miss him here in Europa

  • @zubedamwinazi413
    @zubedamwinazi413 5 месяцев назад +1

    Nakukubali sana mtani wangu Karibu Mwanza

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 Год назад +9

    This guy is natural 😂😂😂

  • @RamaKaraoke
    @RamaKaraoke Год назад +15

    Napenda sana anavyo mpromote mama wa kizi mkazi😂😂😂

  • @RazakiMmalinda-rl3ej
    @RazakiMmalinda-rl3ej 11 месяцев назад +3

    Presenter umetisha xn 🙌🙌🙌

  • @kelvinnjawike1808
    @kelvinnjawike1808 Год назад +2

    Dah Huyu jamaaa kwa kuongea balaaa😂😂😂😂😂😂

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 Год назад +11

    Huyu jamaa kashaweza kuwashushq ba levo na mwijaku kwa sasa 😂😂😂 Influencaaa wa kizimkazi huyoo🤣🤣

  • @innocenthaule6556
    @innocenthaule6556 Год назад +4

    Mtangazaji Kawa chawa

  • @SaidPandu-n6j
    @SaidPandu-n6j 2 месяца назад

    Tunakupenda Sanaa Zanzibar

  • @stephenmasha8623
    @stephenmasha8623 Год назад +23

    ila huyu boy mtangazaji ni zaidi ya hao wanao jitapa na media kubwa maswali mazuri sana na ako free 👊

  • @florenceaminamartin.aminab9460
    @florenceaminamartin.aminab9460 9 месяцев назад +1

    Dotto 💯

  • @wangitv
    @wangitv 9 месяцев назад +2

    The best Host with dotto keto

    • @wangitv
      @wangitv 9 месяцев назад

      Dotto we Love you from Europe

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Год назад +2

    Mtangazaji yuko vizuri

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 Год назад +12

    Huyu mwandishi ana maswali mazuri😂😂

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 10 месяцев назад

    I like u Doto love from Sweden

  • @NeymarJunior-m3h
    @NeymarJunior-m3h Год назад +4

    Dotto umenifurahisha kuongea ukweli 😂😂😂😂😂😂

  • @CHRISTOPHERSEMITI
    @CHRISTOPHERSEMITI Год назад +4

    😂😂😂😂😂 huwezi kumshinda Dotto magari aiseh😊

  • @JoseEmanuel-ug3lo
    @JoseEmanuel-ug3lo 5 месяцев назад

    Nakubali mzaii

  • @RaiyanLesijir
    @RaiyanLesijir 10 месяцев назад

    ❤❤ nkukbali dotto

  • @filskischannel9737
    @filskischannel9737 Год назад +10

    This guy is the best, na ndomaana hakosi viewers kibao, influensaaaa😂😂😂

  • @HappyHema-co1tn
    @HappyHema-co1tn Год назад +2

    Ila Dotto 🙌😂😂😂😂

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Год назад +13

    Akili ni nywele na Dotto ana zake🔥🔥💪

  • @khalilyjuma813
    @khalilyjuma813 Год назад

    Wewe ni noma

  • @justinswati8225
    @justinswati8225 Год назад +1

    Dotto weee swaiba angu nimekuelewaa sana kaka

  • @WeckEmmah
    @WeckEmmah 5 месяцев назад +1

    Mtangazaji tuletee dotto magari

  • @Bakaribaruti
    @Bakaribaruti 9 месяцев назад

    Mi nakukubali sana kaka doto pale pakijanja sana wale waluokuja kukuchunguza ni mafala tu

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 11 месяцев назад

    Doto magari unatisha kaka ,alafu kitu kimoja huwa nakufrahia brother,,wewe huwa unaongea vitu true...huna chuki na mtu unasema vitu kweli kabisa..@ mo money mo problem... hehehe,nishakua fun wako kutoka @ Kenya...all the Best doto ,.✌️✌️💪💪

  • @omendavicent7731
    @omendavicent7731 Год назад +2

    😂😂😂😂😂,hapo penye saa 12 ushaamka kama unauza chai 😂😂😂😂.

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 Год назад +1

    😂😂😂😂wallah huyu dotto sijawahi kumuelewa mm naona anaongea sana tu........

  • @JacklineNamundengozi
    @JacklineNamundengozi Год назад +25

    Dotto you are the best ❤

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 Год назад +1

      Best kwenye nn ujinga ama?!

    • @JacklineNamundengozi
      @JacklineNamundengozi Год назад

      @@edwardtrigga5701 you are just jealous of him shame on you looser 🤣🤣🙆

    • @ricklandennis
      @ricklandennis Год назад +1

      Kwenye biashara ndio maana Issa hawezi kumfukuza na anamkubali hatari

    • @hajikhamis3288
      @hajikhamis3288 Год назад +1

      Sio isaaa tuu hata hao wafanya biashara wengine wanataman kutangaziwa biasharaaa na dotto

  • @JamesPhilipo-oh1ff
    @JamesPhilipo-oh1ff Год назад +4

    yan hii interview imeenda kw ajili ya maswali mazuri ya mtangazaji ,

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 6 месяцев назад

    Dotto Você é muito Mau😂😂😂😂

  • @McT-q6i
    @McT-q6i Месяц назад

    Doto magari mzee wa kutupia doto magari anafaa kuwa mtangazaji wa habari wa michezo , chanel ya wasafi

  • @isayaamulike
    @isayaamulike 11 месяцев назад

    Jamaaa ni muwz sana 😅😅😅😅😂😂

  • @Official-bataboy
    @Official-bataboy Год назад +4

    Huyu chizi😂😂😂

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by Год назад +4

    Namtoa mtu nchi kavu nampeleka huko kwenye kenge😂😂😂😂

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Год назад +1

    Kweli suti zuri

  • @hkk2450
    @hkk2450 Год назад +2

    Hahah I love this guy 😂

  • @beatusgosbert-qb6sy
    @beatusgosbert-qb6sy Год назад +1

    Mi nimempenda, Nilikuwa simjui,ila sasa hivi.nakujua.unasema ukweli

  • @edwardtrigga5701
    @edwardtrigga5701 Год назад +22

    Wanaume wa dar kujisifia na unafiki unafiki tu

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 Год назад

    Huyu doto mwisho wa siku utasikia diwani 😂😂😂... Kajua kumpromoti mama kizimkazi 😂😂😂

  • @InnocentLeonard-gy1mn
    @InnocentLeonard-gy1mn Год назад +1

    Umewakataa wasukuma 😂😂😂😂😂😂

  • @NdongaKichwa-hz7jf
    @NdongaKichwa-hz7jf Год назад +68

    Maneno mengi kumbe Hana lolote kuweni kama wazanzibar wako kimya humjuwi Tajiri wala masikini wapo wapo na maisha yao Bigap sana kwa Wazanzibar Gonga links kama unawaelewa Wazanzibar

    • @ArafaAmirAmir-ci7ld
      @ArafaAmirAmir-ci7ld Год назад +7

      Umeongea ukweli mtupu

    • @daudmwalimu971
      @daudmwalimu971 Год назад +6

      Ni kweli kabisa wa Zanzibar hawana majigambo ya maisha na wamerizika na maisha yao kwenye mijumba mibovu ya stone town hawana makuu kama mimi

    • @hajikhamis3288
      @hajikhamis3288 Год назад

      ​@@daudmwalimu971 mueleweni kua hajasema yeyé anapesa kua nitajiri huo ni msemotu lakn yeyé ni muhamasishaji fahamuni maana ya hilo neno kwanzaa

    • @binrashid1638
      @binrashid1638 Год назад +5

      NITAKUPATA WAPI NIKUPE PONGEZI ZAKO KWA KUTUELEWA WAZANZIBARI

    • @NdongaKichwa-hz7jf
      @NdongaKichwa-hz7jf Год назад

      @@binrashid1638 😄😄

  • @Hajimajoka-k9c
    @Hajimajoka-k9c Месяц назад

    Du doto unakaribia kunipita kwa kimpenda mama Samia . Ila ujanifikia.

  • @MamaMtingo
    @MamaMtingo 11 месяцев назад

    Kweli we dotto ni noma😅😅😅😅

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Год назад

    Dotto hafeki Maisha kama hao Kenge wa Wasafi wanafiki Kazi kuchunguza ya wenzao 😮

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 Год назад +6

    Kiboko ya dotto ni lokole🤣🤣🤣

  • @karimumohamedi5421
    @karimumohamedi5421 6 месяцев назад

    Mwamba nakukubali sana

  • @gadafsalum8042
    @gadafsalum8042 Год назад +2

    Namkubari sana

  • @ricklandennis
    @ricklandennis Год назад +1

    Mzaramo og😂😂😂😂😂

  • @SelemaniSaid-ip6se
    @SelemaniSaid-ip6se Год назад

    😂😂😂,kweli doto mzawa ninyumba yaulithi wakuja wale wanao lipa kodi

  • @sophiekanyengele3241
    @sophiekanyengele3241 Год назад +2

    Si alikataa pale sio kwake
    Mbona ameanza kukubali

  • @AllyKija
    @AllyKija Год назад

    Namkubali sana mkali infolensa

  • @Kiswaking
    @Kiswaking Год назад

    Hiki chuma😂😂🙌🙌🙌

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Год назад

    Ýaani nakukubali sana DOTTO MAGARI unaishi uwezavyo siyo Watakavyo..Washamba wa mji a Maisha ndo wanapayukwa tu wanadhani Kuishi lazima uwe na Nyumba...😅

  • @amosimussa3360
    @amosimussa3360 8 месяцев назад

    Big up bro

  • @elizabethmkini6948
    @elizabethmkini6948 Год назад +1

    Kwenye watu wengi,watu watuone kwenye watu wengi 😅Mi huniwek huko mbez cjui goba...... 😅😅😅😅😅😅

  • @collinstemba6040
    @collinstemba6040 Год назад +2

    Ukiweka battle na huyu mwamba ujipange 😂😂

  • @mwinyimustafa3227
    @mwinyimustafa3227 Год назад +6

    Hawa ndo baadhi ya wanaume wa dar.Umeona anapoishi. mfate utaumia. maradhi kidogo tunamchangia

  • @EliasMatoi
    @EliasMatoi 2 дня назад

    🎉😢🎉😢🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EmmaCharles-gz7kc
    @EmmaCharles-gz7kc 7 месяцев назад

    Ditto nakubari sanaaa kaka unaongeaga ukwel

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j Год назад +2

    Hiyo ndo nature yamzaramo kunmlomo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kituhilel.j9747
    @kituhilel.j9747 Год назад +5

    Huyo ndio Dotto,fuata maneno yake uumbuke

  • @expert5852
    @expert5852 Год назад

    😂😂😂😂😂😂 noma sana

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Год назад +1

    Mtu mzima unakaa kwenye nyumba ya urithi😂😂😂

  • @cholocholo4264
    @cholocholo4264 Год назад +3

    DOTTO MAGARI UKO VIZURI SANA HUU MUDA WAKO KILABJAMBO NA MUDA

  • @PhillyHassan
    @PhillyHassan Год назад

    Kweli kaka yangu doto wambie ukeli

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 Год назад +1

    Hehehehehe bongo Raha sana et ushambaaaa

  • @saidissa5117
    @saidissa5117 Год назад +1

    Uzuri wa doto haigizi maisha kama wengine

  • @alexmahenge9408
    @alexmahenge9408 Год назад +2

    Kuna jambo la kujifunza😊

  • @elbawazeky7113
    @elbawazeky7113 Год назад

    Wale mara ya kwanza unawaambiaga watoke na meno yao ya kunguru ulikua humaanishi wachaga😊”ivyo uliongea wewe🤗🙌🏻

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 Год назад

    Magari Leo amekwazwa xna...uso umebadilika nuru....relax bro...wenye matunda ndio upurwao mawe..

  • @zezenuvel7612
    @zezenuvel7612 Год назад

    Dotto 😂😂😂😂😂😂

  • @WitoMwalongo
    @WitoMwalongo Год назад

    Kwenye marekan tyu umetixhaa

  • @TrayceMwassa
    @TrayceMwassa Год назад

    Mmmmh 😂😂 anaona aibu

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 8 месяцев назад

    Ni kweli ila huyu ni km muigizaji na anapambana...pia hamuombi mtu yupo na udalali wake vzur...hao unaowataja ww ni wabinafsi na lazima waridhike na ule ugumu wa maisha

  • @MamaLorenzo
    @MamaLorenzo 11 месяцев назад

    Uli mpaka upinde mgongo kashawatukana Ditto😂

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 Год назад

    Dotto😅😅

  • @beatusgosbert-qb6sy
    @beatusgosbert-qb6sy Год назад +1

    Mwaya,ishi maisha yako,watu watakushangaaa,lkn IPO siku utafirahia,usihishi kwa stress.

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 Год назад

    Nakukubali mtoto wa mjini sio hawa mashoga

  • @EzekiaMbuba-ix8br
    @EzekiaMbuba-ix8br 5 месяцев назад

    Mwisho wa dotto magari ni mbaya yani hataki kujenga hataki kujenga

  • @ArafaSleiman
    @ArafaSleiman Год назад +2

    Mm nimekupenda dotto kwa kujieleza kwako mzaramo mwenzangu nakumtaja mama wakizimkazi.huyu anatakuwa ikifika kampeni ya mama wakizimkazi apewe nafasi yakumuombea kura.

  • @AbdulMahmud-ut7ee
    @AbdulMahmud-ut7ee Год назад +1

    Dotto pesa ipo

  • @Babi_Mapigo
    @Babi_Mapigo Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂aah uyu jamaa n balaa

  • @JamesSteven-vd7vw
    @JamesSteven-vd7vw 11 месяцев назад

    kaongea ukweli aisee

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Год назад +1

    Maneno ya mkosaji hayo! Ungepanga wapi bila sisi kujenga? Watu mkikosa pesa mnapanikiiiiii Jenga kwako utoke magetoni! Acha maneno!

  • @EventElias
    @EventElias Год назад

    Dotto ana u Kingwendu flani hv

  • @richardmligo935
    @richardmligo935 Год назад

    Doto unaweza

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 Год назад

    Nyoa nywere mzee au chana

  • @yusuphjuma-oz6lt
    @yusuphjuma-oz6lt 4 месяца назад

    Ardhi ya mbabadu😂😂😂

  • @WhiteMahmud
    @WhiteMahmud Год назад

    Dah br pexa himekukutia ukubwan ndo maana kelele zimekua nyingi kama mpiga deb😂😂

  • @dannymusictz9442
    @dannymusictz9442 Год назад

    Nice

  • @mrishomkolela4633
    @mrishomkolela4633 Год назад +13

    maua yako mwandishi maswali mazur

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 5 месяцев назад

    Kweli anapinda mgo go na mikopo juu

  • @JemsiPiter
    @JemsiPiter 11 месяцев назад

    Dotto achana lokole atakutia nuksi.

  • @Biubwa-x9g
    @Biubwa-x9g Год назад

    Dotto mtu saivi wakate wake mpoki alimwambia baada ya rais anafata makamo halafu wazir than dotto ... ila dotto kajiengeza baada ya raisi dotto mama kizimkazi dotto anatufaa anaweza kazi