DOTTO MAGARI AMUWASHIA MOTO HAJI MANARA / NAKUONYA USIMUACHE ZAIYLISA /FUNGENI NDOA / MNUNULIE GARI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 90

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 Год назад +3

    One of the amazing guy, aka doto magari...bro uko sawa Kwa kila interview zako hua unaongea vitu on point...Kenya tumeanza kukupenda Kwa kazi Yako nzuri isiyo na kinyongo na mtu big up man ,✌️✌️💪👍👍👍

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 9 месяцев назад +1

    Yaan magari anatofauti na Kumbuka'Mwijaku 'juma Lokole yaan hawa watu ujiandae kuwajibu❤❤❤👍👍😁😁😁

  • @ismailihabibu
    @ismailihabibu 8 месяцев назад

    Nakukubali xana braza

  • @markwiwi9833
    @markwiwi9833 Год назад +1

    Tshirt kali sana Dotto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @selemanmaganga-le4zg
      @selemanmaganga-le4zg Год назад +1

      Mi mwenyewe nimeitamani kweli hiyo T-Shirt, mwanzo mwisho nilikuwa naikodolea macho tu, Dar es salaam.

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c Год назад

    Doto anajitafuta jamani big up doto

  • @saidirandon
    @saidirandon Год назад

    Brother umeongea sure kaka🎉🎉

  • @HusseinNillan
    @HusseinNillan Год назад

    Mr Doto magari ukitowa sadaka.hutaki kujitangaza ukitowa mkono wa kuliya wa kushoto usijuwe

  • @googleus4903
    @googleus4903 Год назад +1

    PANKI KAMA MCHEZA X WA UTURUKII😂😂😂

  • @meckalex4648
    @meckalex4648 Год назад +2

    Ila mtangazaji umeongea point. Kwa Nini dotto apendi mafanikio ya wengine Kama harmonize anamchukia bure kwer nimesmini msemo wake riski ndo mwanzo wa chuki.

  • @jomba6514
    @jomba6514 Год назад +1

    Mtani unaenda vizuri kanyagia wanao kunja watajijua

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Год назад

    Pesa haina mwenyewe💪

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Год назад +1

    Manywele. Machafu
    Doto skupendi lakini wakati uwo uwo nakupenda staili zako

  • @JumaYasin-d9g
    @JumaYasin-d9g 9 месяцев назад

    Doto magari acha ushamba w Dar salamu unaputukuza utasema kama giniva na ujuwe sadaka awatangazi boya ww

  • @ZainabSimith-ey6vm
    @ZainabSimith-ey6vm Год назад

    Khaa kumuhoji huyu kaka jipange hahaha

  • @hajimaster7624
    @hajimaster7624 Год назад +3

    Mtangazaji mpaka kawa mpore kweli dotto magari kiboko😅😂

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 Год назад +2

    Panki kama mcheza x wa uturuki😅😅

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 Год назад

    AMESHAKATA TAMAAA HUYU KIMA HANA VISION ASIWATIE VJANA UJINGA HANA UZEE WW N JUHA HILI

  • @ZANZIMEDIA
    @ZANZIMEDIA Год назад +3

    Yani kumuhoji dotto uwenamoyo😂😂😂😂

  • @FROLIDAKIHWELO-zu3nu
    @FROLIDAKIHWELO-zu3nu Год назад +2

    Panki kama mcheza x wa uturuki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Год назад

    Mmh Tanzania 🇹🇿 ya Mavi kunuka maisha magumu huko sio kuzuri naona vichaa na wehu wanazidi kuongezeka mjini Bibi tozo jenga zaidi wodi za vichaa

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Год назад

    Mtangazaji umemuweza huyo bwege dotto magari

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Год назад +1

    Unajuaaaa dini weyeee ungevaaa msarabaaa

  • @karamasaahmed5026
    @karamasaahmed5026 Год назад

    Uchawa umekuwa kipaji cha kujitegemea duniani. Kusoma muhimu pia

  • @bakarimashi848
    @bakarimashi848 Год назад +1

    Eti pank kama mcheza x wa kituruki

  • @HawaMkomele
    @HawaMkomele Год назад

    Mwislamu anavaaa msalaba

  • @marcmarc-xq1fs
    @marcmarc-xq1fs Год назад

    Mwanangu leo kayakanyaga

  • @hamisiomari7624
    @hamisiomari7624 Год назад

    Ukimihoj doto uwe na roho😂😂

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 Год назад

    Nyie watangazaji hamna kazi?

  • @GodwiniJoni
    @GodwiniJoni Год назад

    Dini yakisiram unatakiwa upigwemawe ieshimu musikiti

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Год назад +2

    Dotto ICU chuma cha umbea wamefika kwako eti una magari ya kifahari ila una lala chumba cha uwani kama njiwa😅😅😅😅.kwa ushauri uza gari moja rekebisha mjengo kaka ushakua mtu marufuu😅.

  • @idrisamasatu8760
    @idrisamasatu8760 Год назад +2

    😂😂😂😂😂wedoto kumakweli😂😂😂etipankiii😂😂😂😂 kamamchezax😂😂😂😂 wautuluki😂😂😂😂😂😂 wesomzimaaa😂😂😂😂

  • @hassanmahimbo9355
    @hassanmahimbo9355 Год назад

    😢

  • @ramsohk
    @ramsohk Год назад

    Acha ujinga doto mkono wa kulia ukitoa wakushoto usijue muislam gan ww usiejielewa😢😢😢😢

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 Год назад

    Kwahio Kahama iko Mwanza? Ifulensa unafeli😊

  • @ismailihabibu
    @ismailihabibu 8 месяцев назад

    Cku nikiha bongo ntakutafta Kaka nipate japo mkono wak

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 Год назад +2

    Ototo wa Kislam ana msalaba kifuaninwacheninkichezea Dini yetu nyie

  • @AhmedAdan-po5ps
    @AhmedAdan-po5ps Год назад +1

    Huyu muislam gani amekeza kwenye nguruwe kwa mke professor j hana maana huyu

  • @violetpriscus9162
    @violetpriscus9162 Год назад

    Mbona kokolochi??!😂😂😂😂😂😂

  • @fezabillionea9398
    @fezabillionea9398 Год назад +1

    Akuna DINI dunian

  • @SODAYABEMBA-o9h
    @SODAYABEMBA-o9h Год назад

    Toka apaaa limbukeni mshamba wewe😮😮

  • @AlenKimatuka-p1d
    @AlenKimatuka-p1d Год назад

    Hahaha ifloresaaa

  • @GodwiniJoni
    @GodwiniJoni Год назад

    Ditto mwisiramu anamusaraba hunahatahera wenyehera wapi wewesi musiramu

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Год назад +1

    Doto mshamba Sana kujisifia uzawa badala ya kujisifia pesa wengin tuwazawa lkn wapo wakuja wanamaendeleo wewe unasubiri na utii mguu

    • @sharbaidysalum
      @sharbaidysalum Год назад +1

      Na ww wakuja tuu😂😂😂

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 Год назад +1

      @@sharbaidysalum born and grew in DSM lkn pesa ndio mpango kuna watu wemezaliwa Newyork, Amsterdam, London lkn hawana usenge huo kizamani

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 Год назад

      ​@@mashramadhani1989😅😅😅

  • @kamanukavital9849
    @kamanukavital9849 Год назад

    Kavaa na msalaba

  • @sofiaantonioantonio7265
    @sofiaantonioantonio7265 Год назад

    Hilo koti lake wewe huvae ate wakipe milioni5 😂😂😂😂😂😂😂

  • @saidadam2165
    @saidadam2165 Год назад +9

    Muislam vp mbn haelewiki uyu mzee asa muislam gani unavaa vitu vya gold wakt gold wanava wanawake tu na ilo msalaba vp 😮😮😮

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb Год назад +3

      Huyu mjomba hata hiyo dini aijui utapoteza time

    • @saidadam2165
      @saidadam2165 Год назад +1

      @@yusuphrashidi-dr1kb dahh mtihani mkubwa

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab Год назад

      Muislamu wapi huyo ni kafiri tu huyo huoni salaba kifuani hilo

    • @saidadam2165
      @saidadam2165 Год назад

      @@R10_Rajab bs asijitangazie kua muislam

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 Год назад

      Bora nyie waislam wenzie muulize

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 Год назад

    Unajiita Doto Magari , Sasa Akina Charles Mtawala , Akina Bwakea , Akina Kai Kai waitwe. Nani ? Kama wewe wautwa Dotto Magari 😅

    • @HamisMberwa
      @HamisMberwa Год назад

      Kila mtu anajitangaza

    • @desolz3809
      @desolz3809 Год назад

      Kwani kujiita kuna shida gani?

    • @khalidgugu4964
      @khalidgugu4964 Год назад

      Hao maboss zake

    • @AlllyMtemi
      @AlllyMtemi Год назад

      Kumbe washamba mko wengi kwani kujiita ni ttz nao si wajiite yeye kajiita hivyo kutokana na kazi yke sasa km hao mbweha ulowataja wakitaka wajiite tu

  • @suleseif2678
    @suleseif2678 Год назад

    Dalali mwenye nguvu

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 Год назад

    Muislam gani unavaa misalaba wewe. 👈

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 Год назад

    Huna pesa ww

  • @Richbrown-xh4rb
    @Richbrown-xh4rb Год назад

    😂😂😂😂

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 Год назад

    Nilikuwa nakuelewa sn Dotto magari 😢,,,ila kwa kumwombelea MANARA ,,,,,Nimekushusha thamani

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 Год назад

      Manara ni Albino Kama wengine tuu, acheni kumuona wa tofauti sana😂😂

  • @musicbank257
    @musicbank257 Год назад

    kwan ww wakuzaliwa hapa una nn zaidi ya domo chafu.

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab Год назад

    Sasa unasema wewe ni Muislamu hayo Masalaba shingoni ya nini?

  • @BK60066
    @BK60066 Год назад

    Sasa muslamu huyu cheni yake inamsalaba

  • @goshakinmusic6257
    @goshakinmusic6257 Год назад

    😂😂😂

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 Год назад

    Acha matusi wewe boya sana .Shule muhimu sna

  • @yazu3007
    @yazu3007 Год назад

    Vuwa salaba bro Kama kweli wewe muslim mana ukafiri msalaba huwo

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 Год назад

      yazu kafiri wewe mpumbavu mkubwa angevaa tena Waislamu wote wanavaa

    • @goodluckriwa3425
      @goodluckriwa3425 Год назад

      Kafirii wewe Shetani, Acha kuita wenzakoo kafirii wee hakuna Dini iliyoo juu ya wenginee wote tuna muuabudu mungu mmoja