Sara Mungu Akubariki Sana,Imani yako izidi kukuwa ktk viwango vya juu,hakika umekuwa ushuhuda kwangu,jamani Mimi nilitenguka nilikuwa siwezi kutembe huyu dada alinikuta natoka hospital,akanishudia kwamba Mungu anaweza kukuponya,nipe nafasi nikuombee,nikakubali,akawa anakuja kuniombea akaniambia mwaka mpya utatembea mwenyewe,uwezi amini tarehe 31/12/2023,nikaanza kutembea kwa kweli nilifurahi Sana,Mungu Akubariki Sara,mshike Sana Mungu.
Kazi nzuriii!!! ashukuliwe MUNGU atupae kushinda kwa BWANA WETU YESU KRISTO
Hiyo ni misuli ya Imani. Yesu aliiona Imani yako akaamua kulitimiza Neno lake la Uponyaji kwako
Sara Mungu Akubariki Sana,Imani yako izidi kukuwa ktk viwango vya juu,hakika umekuwa ushuhuda kwangu,jamani Mimi nilitenguka nilikuwa siwezi kutembe huyu dada alinikuta natoka hospital,akanishudia kwamba Mungu anaweza kukuponya,nipe nafasi nikuombee,nikakubali,akawa anakuja kuniombea akaniambia mwaka mpya utatembea mwenyewe,uwezi amini tarehe 31/12/2023,nikaanza kutembea kwa kweli nilifurahi Sana,Mungu Akubariki Sara,mshike Sana Mungu.
🌧️👋👋👋 Mungu akutendee mema na lihimidiwee Jina lake
Jmn we dad ulkuw unanishudia kumbe umekuj kushudia huku Mungu aendelee kukutunza jmn nakutamani
Huy dad namjua jmn yup mbeya mbalizi alikuwa ananishudia mapito yke na akaniambia mdg wng mrudie Mungu