❤❤❤ Hatari sana ! Huyu Dogo Mungu amjalie anapoelekea atakua vizuri sana, maana hata nyimbo zake zote zinanigusaga sana...❤❤❤ Ningekua na uwezo ningempa kipande Cha Dunia.
Mtoto mkali jemeni tokea Kenya nakukubali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,,,, wa pili nipe likes zangu kijana apewe ulinzi mkali
Vizuri sana Kwa kuimba nyimbo zinazoendana na umri wako. Kesho Yako ni kubwa Sana, natumai watoto wengi ambao ni wasanii wanapaswa kuiga vingi Kwa @Founder Tz
Tafadhali ndugu zangu, muwe muna andika commentaires fupi ili ku tu rahisiya sisi kamati ya wasomaji wa commentaires ku zi soma zote 😂 hongera Boss wa kesho Founder tz Mungu anyoshe njiya ❤ wanangu muna semaje 🎉🎉
Wale watu wakenya Kenya tufike hapa na likes ya huyu young soul
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
smrt sana
Kazi safii sanaa pamoja🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,,, pitia ruclips.net/video/rq_SShwA5Ls/видео.htmlsi=tlXgi0a1JcQSK4d9
@@JomakaSita Huyu dogo kaja kwa kasi sana na aendelee ivyo kafunika wasanii wote Kenya
Nakukubali Sana kijana
Dongo niko kongo minakupenda Sana Sana nitumiye nambayako ya WhatsApp svp
Wale tunao amini founder tz ni diamond platnumz wa baadae , kikubwa azidishe heshima kwa wakubwa zake , tujuane kwa like❤
Dogo anajua sana
Dogo anaweza kl kama unacosema ni diamond wa badae
Ameanza kusikika mapema wakina mondi watakavyochoka yeye ndo anakuwa na umri wa mondi wa sasa🫶🫶
umehupiga mwingi bro💙
Yenyewe, assure kichwa atafika mbali
Leo nimekua wakwanza kuona wimbo huu, kama unakubali dogo anaweza gonga like apa
South africa 🇿🇦🇿🇦 Kwa zulu natal
simba wakesho huyu,,,wapi like za founderTZ jamani🥰
kabis kaka
Apo enyewe yuko chini ya menejimenti ya simbaa
Kazi kubwa hiyo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu pamoja dogo afike mbali inshalaa🤲🤲
Ameen
@@bajagihaji8923😅😅😅😅😅😅😅😅
🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Amen u too❤
Ameen 🙏
Nyarugusu nyarugusu kwasasa popote tulipo tunajivunia tumezalisha mtoto wa taifa mungu akulinde mtoto wa mama
Majemeni wenzangu wa Kenya.. mbona nyie mnapata likes me sipati... Tusupport mzk mzuri wa dogo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🗝️🗝️🗝️
Kenya 🇰🇪 tufike hapa na likes 👍 ya huyu young soul Kenya 🇰🇪 🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
🤙 na ulivyo weka kibembe yaani kbsa ndo umenimaliza 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎤🎸😂
Kutoka 🇧🇮 Leo nimekua wakwanza naomba muniachie like zangu Nice song brother Na upewe mauwa yako👏
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipe like kama unampenda #Founder TZ simba 🦁 🦁 and God bless you
Yeah he is doing good things 🎉🎉❤
Sio wew unamkumbali founder tz nipe like kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kama unaamini kazi ya dogo naomba likes love❤ from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👍👍👍♥️♥️♥️♥️👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃💃✨✨✨✨✨✨
❤❤❤❤
@@MjedaAmisi💪💪
Ebu kidogo turudi Kwa real bongo
Likes from Kenya
Nimekubali dogo ngoma kali sana, kama na wewe unamkubali dogo kutoka Uganda 🇺🇬 like zangu
🎉
Kijana anafanana saana na babu tale..sijui mwaona kama mm...from kenya 🇰🇪 wapi like
😂😂
❤❤❤
Walio sikia KIBEMBE TO THE WORLD tuogonge like hapa❤
Wabembe
Tupo
🇨🇩
Wabembe❤
Tupo
Kama unamukubali mpe like za congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Iko nguvu yaushawishi kwahuyu dogo pia kipaji nakarama mungu amembaliki MAISHA marefu #faund tz
Kwanza asante san founder kwaku changa lugha yetu hasili wewe ni mshindi wangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇺🇲🇺🇲🇹🇿🇹🇿toweni like apah
Wetù mwana 🇨🇩
@@bienvenukichambaomar5067 ni kwel ndugu yetu uyo
Mtoto katoboa kabs 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@AzizaQueen-lr8oz ni kwel
Kama ww niwa EBEMBE TO THE WOLD like this comment 🇨🇩🇺🇸🇹🇿
EBEMBE IN THE WORD
Umesikia hano hano hata úbe yúkya 😅😅
@@Saidi.mbuto36Nimesikia na mimi Kibembe to the World🤗🤗
Bembe in the world 🔥🔥🔥🔥
@@WilondjaAyebaKibembe juu
Congo weka hapa 🇨🇩🇨🇩💪
Nimekubali
Ihi ngoma kali sana kabisa
From DRC🇨🇩 Lubumbashi,
Konga like hapa mkongomani mwenzangu
Hata mnipatie wembe...mimi Sikati tamaaa..tutabanana hapa..hapa kwa mitandao ..!!
I'm founder tz 🎉🎉🎉 congratulations mdogo wangu 🎉🎉 another it 🎉🎉
JONATHAN Loves OK ❤😂
Huu wimbo n mzuri sana..
Naombeni nipatieni likes hapa🎉
Moto Hiii Kaka wapi like za huyu ndogo 💯💯🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️
Nakubali sana ❤
Imba Kama Hizi zakutusaidia USIBADILIKE PLEASE! watu sikuizi wanaimba usiige ELIMISHA JAMII... GO HIGHER MDOGO WANGU❤!
Nimepotea kwa siku mbili barud nakuta nishapitwa uku daaah ila gima Kali sana dogo itafika mbali sana 💪🤝❤️
nakukubali wedogo upambane tu kwabidy mungu anakutazama mimi Niko uku Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba liké zangu jameni pokéya 🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉
Today I'm praying for someone who is emotionally in pain, Mentally stressed, Financially broke💔😢 but physically smiling 😊it will be alright.🙏
Ulivyo imba lugha yetu tu , nimefurahi mpaka chozi limedondoka 😢 EBEMBE TO THE WORLD
❤❤❤ Hatari sana ! Huyu Dogo Mungu amjalie anapoelekea atakua vizuri sana, maana hata nyimbo zake zote zinanigusaga sana...❤❤❤ Ningekua na uwezo ningempa kipande Cha Dunia.
Mauwa kwetu wa BEMBE 🎉🎉🎉 mwana wetû tata eeh
Hongera sana kijana. Unapambana sana, Mungu akubariki sana, usimsahau mama yako mzazi
Huyu mtoto ni dunia nyingine kabisa sikutegemea 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Kama una mukubali Founder Tz 🇹🇿 nipe like 👍 🎉
Nakipaji kizuri sana
Yani dogs anajua sana ngoma 🔥
tuache unafiki ila iki kichwa kitawasumbua sana dogo anajua kulanyimbo anaetoa inakuwa kali na inaiti mungu azidi kumpigania azidi kuwakilisha zaidi❤❤
Hapo kwenye kibembe tu basi 🇫🇷 hongera sana
Kama unataka dogo aendelee vizuri ebu like zanguu jaman found TZ awoteee
Bila shaka nasikia kuna seemu Dogo amekanyaga kibembe hapo😍
Kila siku me nasemaga Ebembe to Word 🌍
❤❤❤ Dogoo we ni hatari sana pambana sana utafika mbali sana
Nazani kuirudia tu kuitazama duh gogo anaweza ,wabembe kama tupo hapa usipite bila kutohacha comenti ata olé'iyokya tobanana hanono heee🔥🔥🔥
Mtoto mkali jemeni tokea Kenya nakukubali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,,,, wa pili nipe likes zangu kijana apewe ulinzi mkali
Dogo namie nakubali
ruclips.net/video/2eFJ7E3xzKE/видео.htmlfeature=shared
Waziii nakukubali Sanaa bamdogo Mimi n shabiki wako kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dogo unaenda Mbali..Kenya hapa😊🎉
Imekaa sawa hii kijana❤🇨🇩🇹🇿
Anaye Amin kua founder tz ni msanii Bora Africa kesho nipe like yangu apa
Nyarugusu tupo juuu🎉🎉🎉🎉 nipe like zangu jaman
Founder tz is the founder of music in east Africa ❤ Kenya 🇰🇪 we love you, Kaa we ni fun wa founder tz uwezi kosa ku like
KIBEMBE ndio KIKAMBA Kenya wapi likes za wakamba wueewuee🔥
😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
napenda ❤ nyimbo zake founder tz mungu amsaidie watu huanzia chini kupanda juu
Bembe to thé wordl❤❤❤❤ courage sana petit congolais ila uzijikoroge kujihita mtanzania
Uyu dodo anaupiga mwingi Sana🔥🔥🔥 from 254 much love... My favourite Musician💪🔥🔥🔥
Aminia mdogo wangu❤
Mwendo ni wa kufuata nyayo za SIMBA😂🦁
Ngoma kali mwanzo mwisho🔥
Wow asant san nimeskia lugha yangu ebembe to the world 🌎🌎 kazi kubwa iyo dogo 🎉waburuze uko sisi uku tunaongeza dua
Kweli ngoma kali san🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Uyu dogo sura kafanana na babu tele atakua mwanae ila kipaji ni harmonize mtupu au 20pacent tim elimisha jamii❤❤❤❤❤
Tulio muona dogo akijalibu kudance tujuane❤❤❤❤❤
1:46 walio sikia luga ya kibembe ka mimi mkongomani nipeni likes
Nitafsirie basi
@@michaelmillinga5064 atakama kukuwe juwa tutabanana apa apa😅😅
Yeyote anaye soma comment hii,
Mungu akabiriki kila atua yako,ameen 🙏
Vizuri sana Kwa kuimba nyimbo zinazoendana na umri wako. Kesho Yako ni kubwa Sana, natumai watoto wengi ambao ni wasanii wanapaswa kuiga vingi Kwa @Founder Tz
Asalaamu walekum mungu awepamoja nawe kijana tupo pamoja
Wa kwanza kucomment,nipewe maua yangu.hongerea Founder Kwa kazi poa
Founder tz Tanzania to the world 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 founder nambar moja nani ana bisha🎉🎉🎉 nimwendo wa kobe mwaka huuu
Tafadhali ndugu zangu, muwe muna andika commentaires fupi ili ku tu rahisiya sisi kamati ya wasomaji wa commentaires ku zi soma zote 😂 hongera Boss wa kesho Founder tz Mungu anyoshe njiya ❤ wanangu muna semaje 🎉🎉
Kazi safi bro,uyu tumpe mda ni star wakesho kazi zake zinakubalika keep it up bro much appreciation from 254 🇰🇪 unakubalika uku dogo
Wazi sana bro
dogo anakipaj bwana like 5 kwa founder
Nipo uku mimi wimbo uko kila semu uku 🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲❤❤❤
Wimbo mtamu Sana much love from kenya my country 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakukubali sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mungu akusmamie ila usje ukawa kama aslay kutwa kutembea na mashoga tu laana zmemjaaa
Wa Congo 🇨🇩 naomba likes zenu hapa👇
🎉🎉dogo KAAMUWA ku tangaza EBEMBE 🎉TO THE WORLD 🌎 👉🏾🧏🏾✌️🫡🫡🫡🫡🫡🫡 DOGO wew ni mwanamziki bora sana pia Naomba mungu uje kuwa kama daimond p.
Ngoma Kali Sana...nipeni like zangu kutoka Kenya🇰🇪
Nyimbo inafundishaa hatree🥰 be blessed dogo ufike mbaliii🙏
Bembe to thé World najivunia kuitwa mubembe dogo umehuwa🔥🔥🔥🔥
Diamond wakesho tz wapi like zangu from kenya
MunyaRwanda🇷🇼 wa kwanza kuangalia na Ku comment nipeni like
Niseme nini ❤❤❤ kutoka 🇰🇪🇰🇪 Kijana kalifanya tena 💯💯💯🔥 Big Bro yani hili kubwa sana
Unajuwa sana ❤️❤️❤️❤️❤️
Nzuri sana mdogo wangu nakupenda 🎉🎉
Kigoma nyarugusu na Dar es salaam naomba like zangu tumuombee dogo afike mbali kipaji kikubwa
Kama una mukubali Founder Tz 🇹🇿kama mimi ninavyo mukubali nipe like 👍 🎉
❤
Ni bora tusaidiane hyu dogo ni hatari sna ningependa nifanye colabo moja na yeye wapi like zangu watching from 254
Mon petit tu es vraiment talentueux 🎉 , vraiment toute mes félicitations 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪
Dago kazi kazi ukojuu sana mziki unalaza na ujumbe juuu asante dogo lete mawe
0:19 daah wa Congo tumehenda🎉mbali san 🎉🎉🎉❤❤nakuombea kwa mundu mdogo wangu ufikie mbali 🔥🔥🔥🔥🔥
Sasa sambazeni link uko nawengine waone
Ubaguzi tyu eti wakongo mkongo gan kwa kiswahiri hicho Ndio maana unamuombea kwa MUNDU
Sio Congo ya Lubumbash, hii ni product ya Congo Brazzaville ya Tanzania, Manyara, Mererani@@topmanyota6760
Naona Dogo anazidi kukua. Pambana Dogo. Maisha vita. Much love from Migori county - Kenya.🎉🎉
Diamond wa kesho gonga like zako apa tujuwane kutoka kongo 🇨🇩🇨🇩
Mungu akubariki dg langu ufike juu zaindi🎉🎉🎉🎉
Hongera sana dogo kwakuwakilisha vizuri 🎉🎉🎉🎉🎉
Naomba tùsambaze kwawingi nyimbohii toto huyu tumrahishe tuhakikishe anapafa viuwas millions 1auzaidi leoleo tu
Diamond wa kesho,,dogo ametisha kinomanoma,,I salute him
Uyu dogo tuna mufata hapa kwetu Burundi 🇧🇮 🎉🎉🎉, hejuru cane mwana❤❤❤❤❤
Founder Tz N Dogo Flani Atari Naamini Huu Mwaka Lazima Utoke Mdogo Wangu Nmekubali Majiwe Yako Kinouma Bingwa Langu
Big up sana kijana unaweza Mungu azidi kukubariki ❤❤❤❤