Hongereni sana Mhe Daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ku extend uwanja wa Afcon wa Arusha kuweza kubeba watazamaji zaidi ya 50000 hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani.
Katika vitu walivyo chemsha ni kapasity ya uwanja, kufanya ufunguzi au kufunga mashindano lazima kapasiti iwe 40,000 and above. Mmekipa pesa nyingi Alafu uwanja utakua Upo tu, hiyo elimu waliyo soma haiwasaidii hata kidogo. Wekeni 40,000 uwanja uwe unatumika Mara kwa mara
Mtengeneze na barabara inayoenda huko ikianzia arusha mjini, kupitia shamsi, kona ya mbauda, morombo hadi huko uwanjani, barabara hiyo ni nyembamba na mbovu kupita maelezo.
Tatizo uwanja ni mdogo sana uwezo 30,000 hiyo ilishapitwa na wakati. Viwanja vingi duniani siku huzi vinajengwa na capacity kati ya 60,000 -100,000 na sio chini ya hapo.
Kwa mji km Arusha uwanja huo unatosha Dar kwenyewe watu elfu 60 huwa wanajjaa kwn Derby na mechi baadhi za Taifa stars kwa mji km Arusha uwanja huo unatosha
@@RichardTito-q8q HIZO ZA KITANZANIA WALIBADILI KUTOKA dOLA....ULIZA BEI YA KILO YA SUKARI AU UNGA ILIKUA KIASI GANI KWA tSH.WAKATI HUO...UTAAMBIWA SUKALI KILO TSH.250
Watanzania tunapiga kazi wakenya wanaandama , nyie wakenya kingereza akinunui ugali!.😂😂😂
Hongereni sana Mhe Daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ku extend uwanja wa Afcon wa Arusha kuweza kubeba watazamaji zaidi ya 50000 hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani.
30
Capacity ni ndogo! Wangeweka capacity ya 40,000-50,000
Zege inashauriwa zaidi kufanyika usiku msheshimiwa kwasababu ya joto kushuka
Katika vitu walivyo chemsha ni kapasity ya uwanja, kufanya ufunguzi au kufunga mashindano lazima kapasiti iwe 40,000 and above. Mmekipa pesa nyingi Alafu uwanja utakua Upo tu, hiyo elimu waliyo soma haiwasaidii hata kidogo. Wekeni 40,000 uwanja uwe unatumika Mara kwa mara
😂😂😂 Jenga wako
Wako wapi watu wakujaza uwanja wa 30,000 pale Arusha? Subiri uone kama Kuna kujaza uwanja hapo Arusha.
Uwanja wowote duniani haijazwi na na watu wa sehem moja watatoka sehem mbali mbali na utajaa tuu
Hivi ule wa Dodoma unajengwa wapi?
Ufunguzi na kufunga zitafanyiwa kenya
Hivi ule uwanja wa Dodoma umefikia wapi? Au ndio umeshasahaulika?
Huwo ulikuwa wa Magufuli simba alie lala usingizi
Uko mtaa gani huo uwanja
Mama samia mitano tena
NIVIZURI
Mtengeneze na barabara inayoenda huko ikianzia arusha mjini, kupitia shamsi, kona ya mbauda, morombo hadi huko uwanjani, barabara hiyo ni nyembamba na mbovu kupita maelezo.
Hbr ndugu huo uwanja uko mtaa upi
@@jacobmajengo8892kisongo
What happened uwanja wa hapo Dodoma, king wa Morocco aloahidi kujenga?
YANGA NDIO MANA HAWATAKI KUJENGA UWANJA WAO KUMBE WANATAKA KUHAMIA ARUSHA
Capacity ndogo sanaa
Mkundu wa Mama yako wewe onyesha capacity yako kubwa
Arusha siyo London au Manchester
Huyu jamaa anasungumuzia kazi ambayo sio yeye anafaa kusungumuzia
Kiwanja kinajengwa na fedha za walipakodi Tanzania..kama unaelewa gonga like
Jitahidini uwebor zaidi naona nondozak sikubwa san sisijekuanguka wakati wa fans wamondani
Tatizo uwanja ni mdogo sana uwezo 30,000 hiyo ilishapitwa na wakati. Viwanja vingi duniani siku huzi vinajengwa na capacity kati ya 60,000 -100,000 na sio chini ya hapo.
Kwa mji km Arusha uwanja huo unatosha Dar kwenyewe watu elfu 60 huwa wanajjaa kwn Derby na mechi baadhi za Taifa stars kwa mji km Arusha uwanja huo unatosha
Watazamaji 30,000 wachache sana, at least tungefanya watazamaji 40,000.
Shida sio 30000 shida mnaweza kulipia kutazama
Hiyo Hela wanatupiga angalau ingekua unaingiza watu 60000 sawa lkn watu 30000 mmmh
Ivi mkapa ilijengwa kwa bei gan
Mkata DOla moja ilikuwa chini ya 1,200
Mkapa alijengwa kwa Bei ya shilig za kitanzania bilion 98
@@RichardTito-q8q HIZO ZA KITANZANIA WALIBADILI KUTOKA dOLA....ULIZA BEI YA KILO YA SUKARI AU UNGA ILIKUA KIASI GANI KWA tSH.WAKATI HUO...UTAAMBIWA SUKALI KILO TSH.250
@@jeremiaaugustino7187bila shaka hata darasani maswali mengi ulikuwa unaenda chaka.
Jengeni uwanja harakà Wacheni ujinga majirani mumeona Talanta Iko 3rd floor inaelekea 5th floor
Kazi zinafanyika kwa mpango kazi wa mktaba wa ujenzi na siyo kufuata jirani kafanya nini...
@Abounaumaan224 ebu jengeni uwanja haraka msitukoseshe hosting rights 😅
🎉
Mnajenga uwanja wa kisasa mnatumia pesa nyingi lakni mdogo sana