nilidhani ni mimi tu aisee, alitolewa na Magu, Samia akamrudisha position hiyohiyo, kama alivyowarudisha kina Nape na Makamba. Jamaa sijui huwa anatetemeka akiongea au vipi, hata haeleweki, eti upana wa runway utakuwa 60 sentimenta dah!
Huyu jamaa ni miongoni mwa watu wanao ihujumu bara. Maguculi alipanga kuje ga huo uwanja uwe miongoni mwa viwanja vikubwa duniani. Sasa hiyo sentimita sitini sijui ndiyo nini!!
Tunataka uwanja mkubwa kuliko vyote afrika mashariki na jengo la abilia liwe kubwa na zuri zaidi la kupendeza
Mheshimiwa centimeta 60 ni urefu wa rula 2.
Ndio unene wa lami, sio upana wake.
Huyu kweli wamtoe yupo slow mbaya, sio mara ya kwanza anaongea ujinga kwenye habari kila mara akiongea.
nilidhani ni mimi tu aisee, alitolewa na Magu, Samia akamrudisha position hiyohiyo, kama alivyowarudisha kina Nape na Makamba. Jamaa sijui huwa anatetemeka akiongea au vipi, hata haeleweki, eti upana wa runway utakuwa 60 sentimenta dah!
Musiyoyajua muyaache!
Huyo mtu ni msomi wa hali ya juu.
Hakuna alichobabaika hapo. Yumo sawa kabisa.
@@abdallahsaid8157 labda wew Una upeo mdogo huwezi kuelewa Tu.
@@abdallahsaid8157 Kwa hiyo miye msomi wa hali ya juu pia ndo naweza kumcritisize siyo? Acha hizo, msomi wako kiswahili kinamshinda, mamluki!!!
Huyu jamaa ni miongoni mwa watu wanao ihujumu bara. Maguculi alipanga kuje ga huo uwanja uwe miongoni mwa viwanja vikubwa duniani. Sasa hiyo sentimita sitini sijui ndiyo nini!!
Upana wa mita 60 sio sentimita😂
Harafu unatakiwa utumbuliwe unapeleka mambo polepole sana kama kuongea kwako hujachangamka😂
Unene wa lami, sio upana.
Thickness
mheshimiwa 60cms is equals to 2 rulers 😂😂😂 why you lying brodaa
huu uwanja wa Mwanza vipi? pamoja mnatudharau hivi
Upana wa sentimeta 60?
Thickness
Very slow hay majengo mnaona ata aibu kuonesha
hahah, maneno mengi