Na mjenge majengo ya kizaza kabisa kuliko yote ambaye yako African mashariki na kati ,kwa Kodi zetu tukioona kitu chenye hadhi hutulalamiki sisi ,bali tutapongeza,kama vile walifanya sgr kila kitu ni Cha dhamana kabisa na Cha heshima, good job serekali yetu ,Tano tena
Kwanini tujishindanishe nao kwani... Tuseme yawe mazuri zaidi ya nchi zilizoendelea na siyo Kenya.. Kenya ni ndugu zetu jmn . Pole kama nimekuelewa vibaya.
Enyi wizara ya ujenzi mbona taarifa hii haijakamilika. Hizo 60% ni pamoja na jengo la abiria au ni njia ya kurukia ndege peke yake? Hii picha haionyeshi jengo/majengo ya abiria kwa sababu huko ndo kuna kazi zaidi na gharama zaidi kuliko hiyo njia ya kurukua ndege mlionyesha. Toeni taarifa sahihi na zilikamilika tafadhali.
Na mjenge majengo ya kizaza kabisa kuliko yote ambaye yako African mashariki na kati ,kwa Kodi zetu tukioona kitu chenye hadhi hutulalamiki sisi ,bali tutapongeza,kama vile walifanya sgr kila kitu ni Cha dhamana kabisa na Cha heshima, good job serekali yetu ,Tano tena
Majengo yako wapi
Na je yamefikia asilimia ngapi ???
Majengo ya abilia yawe mazuri zaidi kuliko ya Kenya
Kwanini tujishindanishe nao kwani... Tuseme yawe mazuri zaidi ya nchi zilizoendelea na siyo Kenya.. Kenya ni ndugu zetu jmn . Pole kama nimekuelewa vibaya.
Yan kila vku mnatuonesha run way tu kwaiyo majengo hakun kitu
😂😂😂
Tuonyesheni na majengo syo runway kila siku
Anaye sema mama hafanyi kazi je hii ni nini?
na sisi wa Arusha tunaomba ujenzi wa kituo cha mabasi cha mkoa
uwezo wa kujenga airport ya kisasa sidhani kama kuna akili iliyobakia zaidi ya iliyotangulia mbele ya haki
Enyi wizara ya ujenzi mbona taarifa hii haijakamilika. Hizo 60% ni pamoja na jengo la abiria au ni njia ya kurukia ndege peke yake?
Hii picha haionyeshi jengo/majengo ya abiria kwa sababu huko ndo kuna kazi zaidi na gharama zaidi kuliko hiyo njia ya kurukua ndege mlionyesha.
Toeni taarifa sahihi na zilikamilika tafadhali.
Airport ni njia ya kuruka ndege na parking ya ndege,terminal building inachukua % chache tu katika asilimia kwa ujumla