afrika tutabaki kuwa watwama hadi kiama badala mutengeze mitambo ya kuyasafisha ila maendeleo yabaki africa ndio tutoke kwenye utumwa ndio mwanzo twarudisha tunguri kwa mganga hio garama mpka mradi kutimia mbona kusijengwe kiwanda cha kuzalisha pumbav zetu watu weusi bure kabsa
Mshangao utakuta Uganda inatajwa katika nchi masikini na mafuta kwake yanakuwa na bei ya juu kuliko wanakoyapeleka.Africa banaaa mmhhh!si nilisikia na Tanzania yapoo au ndo hivoo yanachotwa kimya kama kawaida yetu
Mtangazaji anavyoielezea Ewura utafikili ndiye mmiliki wa hilo Bonba na Visima vyote kumbe wenye mali ni Wazungu wanaomiliki ambao ni Total ya Ufaransa,Tulow ya Uingereza pamoja na China National offshore Oil Corporation ya China hao ndiyo wamiliki wa mradi mzima mengineyo ni mbwembwe za Mtangazaji tu.
Kweli kabisa, Uko sahihi kiasi Tz inamiliki asilimia 15 ya hisa za mradi huu kupitia tpdc mamlaka ya maendeleo ya petrol, wamilikia wakubwa ni serikali ya uganda, total energies na china cnoop
Sasa Sijui Akili gani, eti kwenda kuuza nchi nyingine wakati wenyeji au nchi zenyewe mafuta juu, haiingii akilini kwa kweli, Kweli gadaffi alikuwa shujaa, na kama magufuli angekuwepo, angeanza kuuza hapa nyumbani kwanza kabla ya kupeleka nje
@@salumalriyamyafu hajui kama hyo ni crude oil, Bado hayajasafishwa Ili yafae kwa matumizi, hapo ndo yanasafirishwa kwenda kusafishwa. Labda mpaka na sisi tujenge kwanza kiwanda Cha kusafishia. Dangote ndo anajenga kwao Nigeria kwa sasa.
@@chumamasunga8855 Bonge la hoja nimeyakubali maelezo yako yakina,Hapa Africa Mashariki hakuna Nchi yenye kiwanda Cha kusafisha Mafuta ghafi na Nchi za Africa kusini ya jangwa la Sahara zinazozalisha Mafuta Nchi inayojenga kiwanda Cha kusafisha Mafuta ghafi ni Nigeria kupitia mwekezaji Aliko Dangote.
Ubarikiwe kea kutupa habari
Hahaa sekibiki hujalala tu?
afrika tutabaki kuwa watwama hadi kiama badala mutengeze mitambo ya kuyasafisha ila maendeleo yabaki africa ndio tutoke kwenye utumwa ndio mwanzo twarudisha tunguri kwa mganga hio garama mpka mradi kutimia mbona kusijengwe kiwanda cha kuzalisha pumbav zetu watu weusi bure kabsa
Tanzania jenga kiwanda cha kusafisha hayo mafuta kwani tanzania inaelekea uchumiwa viwanda
Mshangao utakuta Uganda inatajwa katika nchi masikini na mafuta kwake yanakuwa na bei ya juu kuliko wanakoyapeleka.Africa banaaa mmhhh!si nilisikia na Tanzania yapoo au ndo hivoo yanachotwa kimya kama kawaida yetu
Kwa sasa ndio wameanza kuchimba bado hawajaanza kuyauza , ila kuna dalili za uganda kuja kuwa nchi tajiri sana
@@JenafaTV nduga Fadhili kwa namna viongozi wa kiafrica walivo sijui.ila vipi huku kwetu si walisema yapo
👍
Mtangazaji anavyoielezea Ewura utafikili ndiye mmiliki wa hilo Bonba na Visima vyote kumbe wenye mali ni Wazungu wanaomiliki ambao ni Total ya Ufaransa,Tulow ya Uingereza pamoja na China National offshore Oil Corporation ya China hao ndiyo wamiliki wa mradi mzima mengineyo ni mbwembwe za Mtangazaji tu.
Kweli kabisa, Uko sahihi kiasi Tz inamiliki asilimia 15 ya hisa za mradi huu kupitia tpdc mamlaka ya maendeleo ya petrol, wamilikia wakubwa ni serikali ya uganda, total energies na china cnoop
Yanayonunuliwa na wanachi wa Uganda yanapitishwa wapi
Sasa Sijui Akili gani, eti kwenda kuuza nchi nyingine wakati wenyeji au nchi zenyewe mafuta juu, haiingii akilini kwa kweli, Kweli gadaffi alikuwa shujaa, na kama magufuli angekuwepo, angeanza kuuza hapa nyumbani kwanza kabla ya kupeleka nje
@@salumalriyamy wapi nimeandika Tanzania ndugu yangu. Sasa leo tunawatenga sio east African no more? LOL
@@salumalriyamyafu hajui kama hyo ni crude oil, Bado hayajasafishwa Ili yafae kwa matumizi, hapo ndo yanasafirishwa kwenda kusafishwa. Labda mpaka na sisi tujenge kwanza kiwanda Cha kusafishia. Dangote ndo anajenga kwao Nigeria kwa sasa.
@@chumamasunga8855 Bonge la hoja nimeyakubali maelezo yako yakina,Hapa Africa Mashariki hakuna Nchi yenye kiwanda Cha kusafisha Mafuta ghafi na Nchi za Africa kusini ya jangwa la Sahara zinazozalisha Mafuta Nchi inayojenga kiwanda Cha kusafisha Mafuta ghafi ni Nigeria kupitia mwekezaji Aliko Dangote.
Video zako juwa outdated jitahidi uwe unaweka video upto date