HII NDIO SIRI YA SPEED YA KELVIN KIJILI/OFA NZURI/WALINIAMBIA WATANICHEKI HAWAKUNICHEKI/SIKUAMINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 36

  • @EliabuChatanda
    @EliabuChatanda 3 месяца назад +24

    Simba nguvu mojaa kama unampenda kijili gonga like hapo

  • @AmeirhajjRamadhan-e1h
    @AmeirhajjRamadhan-e1h 3 месяца назад +1

    Mashaallah kijiti una maneno mazuri maneno ya hekma sana allah asimame na sisi inshaallah awalinde na wachezaji wetu♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @omaryrazalo4302
    @omaryrazalo4302 3 месяца назад +5

    Nakubali uwezo wake koz ana seeped sana na sitomsaauu ile March walitukazia akiwa na singida big 🌟

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 3 месяца назад +2

    Congratulation Kijili jitunze jitahidi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉💪🌹

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 месяца назад +2

    Asante sana kijana wetu Mungu awape wepesi mkaipambanie nembo ya Simba.

  • @AlmasYassin-v5h
    @AlmasYassin-v5h 3 месяца назад +1

    Karibu Sanaa Simba ss Kevin kijili

  • @piniellaizer-t7b
    @piniellaizer-t7b 3 месяца назад +1

    Hongera Sanaa kijanaa wangu

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 2 месяца назад

    Hongera sana unajituma sana uko vizuri sana Big up , simba imepata namba 2 wa ukweli kwanza kijana

  • @shafiiyahya4945
    @shafiiyahya4945 3 месяца назад +1

    Mungu Awe Nanyi Msimuu 🤲

  • @yusuphitambu3405
    @yusuphitambu3405 3 месяца назад +1

    Kelvin Kijiri kama ulivyofurahi wew kusajiliwa Mimi nilikuwa natarajia siiku moja ifike usajiliwe Simba we ni bora sana

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 3 месяца назад +2

    Unajua kujielezea safi sana dogo

  • @princemesha9611
    @princemesha9611 3 месяца назад +3

    Nilikua nakutamani toka upo kmc hivo ninafulaa Sana kukuona Simba kijili

  • @imanmasawe749
    @imanmasawe749 3 месяца назад +2

    kaka pambana nakukubali sana

  • @GIDSONMICHAEL
    @GIDSONMICHAEL 3 месяца назад

    Kelvin Kijili mtu na nusu 🎉🎉🎉

  • @MustaphaLitanda
    @MustaphaLitanda 3 месяца назад +4

    namini kuwa wewe ndio mchezaji mwenye uwezo mkubwa sana kama utapambana kama ulipo toka utafika mbali sana simba nguvu moja

  • @leonardagnatio258
    @leonardagnatio258 2 месяца назад

    Jamaa anajua kujieleza sana, swala la ufit ni jukumu lako sio la mwalimu ila la mwalimu ni mbinu

  • @jumamussa8308
    @jumamussa8308 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @InnocentBobsleigh-mc6sm
    @InnocentBobsleigh-mc6sm 3 месяца назад +3

    Bro nakuahidi jina lako ntaliandika kwenye jezi yangu mpya inshalla

  • @GideonEzekieli
    @GideonEzekieli 3 месяца назад +1

    Kijili na kapombe Bora Nan? Naombeni majibu kwa mim naon kijili wew je

  • @KiulaAron
    @KiulaAron 2 месяца назад

    Kevi nakukubali xana pambana mwamba

  • @emmanuelmasse459
    @emmanuelmasse459 3 месяца назад

    Kijili nguvu moja

  • @SamsonSimba-k4l
    @SamsonSimba-k4l 3 месяца назад +1

    🦁🦁💪💪💪💪💪💪👏👏👏👏

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el 3 месяца назад +2

    Ubaya ubwelaaa

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 3 месяца назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @studio..07
    @studio..07 2 месяца назад

    Kelvin fukuza kunguru 🎉🎉 kunguru 🎉🎉

  • @jofreymwampamba1236
    @jofreymwampamba1236 3 месяца назад

    Mzee wa spid

  • @JohnMasimba
    @JohnMasimba 3 месяца назад +1

    Ubaya ubwela

  • @yohanatlatlaa4205
    @yohanatlatlaa4205 3 месяца назад +1

    Endelea hivyohivyo usikate tamaa kijana wetu utafika mbali

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile 3 месяца назад

    Simba wamwondoe Fred michael atachafua hali ya hewakazi nzuri yamo pia onana

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 3 месяца назад

      Kweli kbc Fred angesep2.onana nilitamn aondoke abaki kramo lkn daah ndo hivy tena

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 3 месяца назад

    Nyie viongozi pamoja na mashabiki mbumbumbu mnaoshangilia mabonanza badala ya kufuatilia mstakabali wa timu Israh Mwenda yuko wapi? Na kwa nini hayuko na timu? Nani Bora kati ya Israh Mwenda na duchu na kapombe. Yaani unamtelekeza Mwenda unamkumbatia duchu na kapombe, kweli ujinga ni mzigo.

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 3 месяца назад +1

    Ndivyo ilivyo mujiza ukifika lazima uchanganikiwe

  • @MbelwaZuberi-i4c
    @MbelwaZuberi-i4c 2 месяца назад

    Huy jamaa ni zaid ya kapombe sema kapombe ni mzoefu ila huy jamaa better xn namkubali xn

  • @franccoz94
    @franccoz94 3 месяца назад +1

    NGUVU MOJAAA

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 3 месяца назад

    Nyie wapunbavu mmempeleka wapi Israh Mwenda? Mbona hamsemi? Mnatuona mafala ili hali nyinyi ndo mafala?