Kwa nini 'Two-state-solution' haijafanikiwa?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 окт 2023
  • Mgogoro kati ya Palestine na Israel ni wa muda mrefu kuwahi kutokea duniani, ambao umeanza mwanzoni mwa miaka ya 1900, ambapo kundi dogo la Mayahudi Wazungu walipotaka kuanzishwa kwa makazi ya Mayahudi.
    Baada ya vita ya dunia pili mwaka wa 1947 Umoja wa Mataifa ulipendekeza kugawanywa kwa eneo la Palestine kwa Waarabu na Wayahudi.
    Mwaka wa 1948 Israel ikawa taifa rasmi lakini hadi sasa Palestine haijapata utaifa ilihali ardhi ni yao.
    Kwa nini suluhu ya mataifa mawili au Two-state-solution' haijafanikiwa?
    Fuatilia Habari zetu:
    🌐 www.trtafrika.com/sw
    Tiktok
    🟣 / trtafrikasw
    Facebook
    🔵 / trtafrikasw
    RUclips
    🔴 / @trtafrikasw
    X
    ⚫ x.com/trtafrikaSW
    Instagram
    🟣 / trtafrikasw

Комментарии • 6

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 7 месяцев назад

    Nawezaje kuwasiliana na dada huyu mtangazaji, Personal contact

  • @carolihando6271
    @carolihando6271 8 месяцев назад

    Kuigawa Yerusalemu ni sawa na kumwondolea mwisrael haki yao toka mababu zao. Biblia inaeleza wazi toka mfalme days hadi yesu mwe nyewe Aliulilia mji ule. Hiyo italeta shida milele iliyoletwa otoman

    • @abdalahsuleiman8989
      @abdalahsuleiman8989 8 месяцев назад

      Acha ujinga wewe bibilia kitabu cha mtume nani ?

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 8 месяцев назад +1

      Acha ujinga ww unajua ibrahim aliontokea irag hiyo mji ulikua na watu na vitabu vyote ni vya mmungu mmoja walipo kuja esraeli fake bada ya miaka 2000 si walikuta palestina tayari hao ni mpango wa wazungu wazungu hawana na bee mbwa tu makafiri kueka ugaidi tu kuonea nchi za watu huyo msikiti ni wa kislam mpaka jina linaitwa al agsa Acha ujinga ww jina tu lina kuonyesha kua ni waislam wLisalia na mtume wetu alisallia humo na mana bee wote ni waislam ndio wake wangu manajis waseme eti ni bible imesema hiyo Bible wao ndio waneitenfeneze na hawana mana bee ila ushenzi

    • @emmanuelsunday8325
      @emmanuelsunday8325 8 месяцев назад

      Hawa waparestina wanalilia nchi isiyo yao

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 8 месяцев назад +1

      @@emmanuelsunday8325 kumbe ya kwako au yao mbwa ww huna aibu wala haya na usie jua vibaya nchi ya nani wKati hao mashoga wameingia juzi si walukuta kuna serekali hv ww ingekua watu waj ktk nchi yako wakuambie sio yako ungejisikiaje hao wLa sio waesrael.wa zamani miaka 2000 ww huna akili.hiyo msikiti tu ni lugha ya kiarabu basi ungeitwa kwa kizungu huo ni.miji ya mitume wazungu hawana mana bee wakuchongee sanam uliabudu hapo kuna misikiti kibao mana bee wote ni waislam na ukae ukijua waesrael hawawapendi ukristo bora hata muislam anaweza kuaa na mkiristo japo wanaelimishana lakini muesrael fake wanatemea mate kwa mkristo shenzi ww soma historia ujue hao waesrael wapo pande 2 ambao w ukweli wanapinga hawa wa sasa hv kua ni.magaidi wa marecani ndio esrael imejaa wazungu wako uchi wangekua na dini.wangekua mashoga wamejaza ktk mji mtakatifu wapLestina ndio utawaona wana heshima na wamejisetiri ndio wenye mji Fala ww South africa huoni weusi wanayayasika au mpaka leo