Mbowe aanguwa kilio baada ya Lissu ,HECHE na LEMA kuungana na kumsaliti wachukuwa fomu za kugombea

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 44

  • @EliasMpehi
    @EliasMpehi 6 часов назад +1

    Hao watatu Heche Lisu na Lema, ni safi kabisa.

  • @ChachaMniko-d4o
    @ChachaMniko-d4o 7 часов назад +2

    Tundulisu anasitahili kuwa mwenyekiti Kwa asilimia mia

  • @ElinaMbura-h7w
    @ElinaMbura-h7w 14 часов назад +4

    Siasa za sasa zinamhitaji zaidi Lissu

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 15 часов назад +5

    Jaman binadam wa Tz mbon tunatumia nguvu nyingi kuchagua Lisu ni jibu tosha la wa Tz wooote. Sema hatujielew tuu imeandikwa lushwa hupotosha haki ndio hii sasa

  • @EliasMpehi
    @EliasMpehi 6 часов назад +1

    Mbowe apumzike ametosha.

  • @LaurentRyoba
    @LaurentRyoba 16 часов назад +4

    Kwa Siasa za Sasa zinamuitaj sana tundu lissu.

  • @wilbertluzama5949
    @wilbertluzama5949 7 часов назад +1

    Mzee mbowe muachie Tundu lisu

  • @EliasMpehi
    @EliasMpehi 6 часов назад +1

    Kwa maslah ya Chama Mbowe mwache LISU twende naye KAANAN nchi ya ahaad.

  • @KorekaLukumay
    @KorekaLukumay 9 часов назад +1

    Lissu

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 13 часов назад +2

    Hawajamsaliti Mbowe, bali wanakiokoa chama!

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 10 часов назад +1

    Mbowe nenda na wakati achia Ngazi
    Miaka 21 imetoshs uking'ang'ania utaua chama
    Muda Raia wanataka Sura Mpya ya uongozi Mwachie Tundu Lisu

  • @LeocardiaCelestine
    @LeocardiaCelestine 12 часов назад +1

    Lisu anafaa zaidi

  • @wiliamkatala
    @wiliamkatala 15 часов назад +2

    Ndutu ssuli anafaa 😂😂😂😂😂

  • @samsonwilson3762
    @samsonwilson3762 13 часов назад +1

    Tundu lissu mwenyekiti na heche makamu sura mpya za siasa nchi

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 13 часов назад +1

    LISU tosha

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 12 часов назад +1

    Kuna kiongozi iringa amemdharau Lissu ole wako

  • @ANGELUSLIJUJA
    @ANGELUSLIJUJA 14 часов назад +1

    MBOWE AMACCHELEWA SANA ILO NI JANGA KWAKE

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 15 часов назад +1

    Kwa kweli aende tu kama hakujiandaa aombe ccm kuteukiwa hata tu mwenyekiti wa bodi

  • @DennisKapinga
    @DennisKapinga 16 часов назад +2

    Lisu anafaa

  • @DanstanMassawe
    @DanstanMassawe 15 часов назад +2

    Tundu lisu anafaa

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 13 часов назад +1

    Mimi namkubali LISU tosha

  • @thomasdiyami7771
    @thomasdiyami7771 16 часов назад +2

    Lisburn anafaa

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 13 часов назад +1

    Taito yako sjaipenda Bali Niko na Lisu popote

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 16 часов назад +2

    Tunamtaksa lisu mbowe rudisha hiyo fom

  • @teresiagama3578
    @teresiagama3578 15 часов назад +1

    Jamani kura si zitasema?? Lisu❤❤❤

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s 15 часов назад +1

    Lisu

  • @IsayaKivambilo
    @IsayaKivambilo 14 часов назад +1

    Tundu lissu anafaa anaweza anauwezo kila kona

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 14 часов назад +1

    Lissu anafaa kwa sasa. Mbowe ameshafail. Ameongoza miaka 20, kuna jambo gani jipya atafanya kwa miaka 5 kama ameshindwa kwa miaka 20?

  • @matiredms917
    @matiredms917 5 часов назад

    Tuachie WanaCHADEMA waamue juu ya nani anafaa kuongoza CHADEMA. WaTz hawana shukrani kabisa. Ni ulimbukeni tu. Hakika tutajajuta wakati utakapofika.

  • @josephmagige874
    @josephmagige874 5 часов назад

    Lisu anafaa sana

  • @yonassngonye3759
    @yonassngonye3759 15 часов назад +1

    Wote wawili hawafai

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 15 часов назад +1

    Niyeniye risu tuu

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 7 часов назад

    MABISHANO HAYA YA CHADEMA NI FURAHA KUBWA KWWA KWA HALIMA MDEE NA TIMU YAKE

  • @StephanoMwanjemba
    @StephanoMwanjemba 9 часов назад +1

    Tundulissu ndyo anafaa

  • @KhamisShangonga
    @KhamisShangonga 5 часов назад

    Lisu apewe akiyake ni muda sahihi

  • @davidpallangyo114
    @davidpallangyo114 7 часов назад

    Acha kupotosha watu na porojo.Unaandika Kichwa cha Habari Chenye Mvuto kumbe ni porojo tuu ulizo nazo!
    Nadhani wakati umefika sasa kwa Sheria za Mitandaoni kuboreshwa na kuwepo na adhabu kwa wapoteshaji kama wewe!

  • @godfreyfrugence3760
    @godfreyfrugence3760 14 часов назад

    Tundu lisu mazima

  • @HassanHaji-zr4yf
    @HassanHaji-zr4yf 7 часов назад

    Wote hawafai

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 12 часов назад

    Sio kumsalit mbowe ndo kasalit chama

  • @BARAKAKinana-n4y
    @BARAKAKinana-n4y 12 часов назад

    mbowe take

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 15 часов назад

    Sasa kama mtu mwingine akichukua form ni msaliti sasa uchaguzi unafanyika kwa nini?

  • @LeocardiaCelestine
    @LeocardiaCelestine 12 часов назад +1

    Lisu anafaa zaidi