HECHE AFUNGUKA UKWELI WOTE MSIGWA KUHAMA CHADEMA | TUNA UMASIKINI WA KUTUPWA, TUPATE HAKI KAMA CCM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 114

  • @BorchertWilliam
    @BorchertWilliam 4 месяца назад +21

    Umejibu vyema sana waandishi wasikubali hizi ni mbumbumbu wanapenda umbea wana acha mambo ya msingi waache uchawi 🇹🇿

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 3 месяца назад +2

    Hongera sana ndugu Heche kwa upeo mkubwa katika majibu yako. Wengi watanzania bado tupo nyuma sana kifikra, kielimu na kuzalendi. Hili ni tatizo kuu. Ujinga umekithiri kuliko maarifa. Kufikiri shida kwa watanzania. Umepevuka sana ndugu Heche.

  • @mkongoejsm1942
    @mkongoejsm1942 4 месяца назад +6

    Nakubali sana heche ni mpambanaji na sio mwanasiasa hongera sana heche

  • @c2vconnection
    @c2vconnection 4 месяца назад +3

    Nimependa sana majibu ya Heche. This is another maturing politician. Hongera sana Mr J. Heche. Personally nimekupongeza, nimekukubali.You are focused,and you know well that the "Whole is bigger than the sum of its parts". This is real leadership!

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 4 месяца назад +8

    Heche nimtu makini sana natama cku moja awe rais wa nchi hii ili ayatekeleze kwa vitendo yote anayoyasema big up heche

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 4 месяца назад +9

    Heche ni kamanda wa kweli

  • @AnteloSanga
    @AnteloSanga 4 месяца назад +1

    Chadema viongozi kila ngazi wamejitoshereza madini vichwani mwao barikiwa sana Heche.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 месяца назад +15

    Kajibu vizuri sana bwana Heche

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 4 месяца назад +7

    John Heche is a bright leader

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 4 месяца назад +1

    Hongera Mh Heche

  • @ExodusMarcStanley
    @ExodusMarcStanley 4 месяца назад +8

    Mh. Heche anadhihirisha uwezo wake

  • @FaustineKingu
    @FaustineKingu 4 месяца назад

    Mh heche uko vizuri sana tupo pamoja nawe

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 месяца назад +9

    Trust me mwabukusi anaweza kuwa sehemu ya mapinduzi

    • @salumntulo1589
      @salumntulo1589 3 месяца назад

      Yaani huyo mwamba ndo ungekuwa mwarobaini wa chadema

  • @Mteulehalisi
    @Mteulehalisi 4 месяца назад

    The bright Man ever seen✊🏼

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 4 дня назад

    Mheshimiwa heche uko vizuri huwa hupendi umbea yaani nimeshangaa viongozi wa juu wanagombana halafu wote wote wenyeviti .ongeeni kwenye vikao vya chama sio kutoa shutma kwenye vyombo vya habari.

  • @UwezoChayonga-uo6ou
    @UwezoChayonga-uo6ou 4 месяца назад

    Heche. Mungu Akulinde

  • @ANGELUSLIJUJA
    @ANGELUSLIJUJA День назад

    KAMA NIMEMWELEWA IVI HECHE AJAKULUPUKA KABISA AKUTAKA KUPANIKI WALA KUMWATAKI MTU SAFI SANA HECHE

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 2 дня назад

    MH. HECHE NI HAZINA YA KIONGOZI BORA SANA KTK TAIFA HILI, INAUMA SANA KUONA MH. HECHE YUKO NJE YA KUIONGOZA SERIKALI YETU KWA SABA U TU WAOVU WACHACHE WAMEAMUA KUDHIBITI MFUMO OVU WA KUWAPATA VIONGOZI BORA KAMA MH. HECHE!!!

  • @polycarplazaro8482
    @polycarplazaro8482 4 месяца назад +5

    UMEJIBU KIUWALIMU SANA, MWALIMU MWENZANGU....KICHWA SANA.....UMEITENDEA HAKI...FANI YAKO......

  • @Brianna20b21
    @Brianna20b21 4 месяца назад +3

    Kamanda💪💪💪💪

  • @JosephineSembuli
    @JosephineSembuli 4 месяца назад +4

    Kichwa hiki 👊🏿

  • @ANGELUSLIJUJA
    @ANGELUSLIJUJA День назад

    UMEJIBU KWA HEKIMA SANA SANA HECHE SIKUTEGEMEA UMENYOOKA KABISA

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu 4 месяца назад +7

    Hata heche anafaa sana sana

  • @gaspermatee3970
    @gaspermatee3970 4 месяца назад

    Weldone heche _chacha-mwita

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 4 месяца назад +7

    Heche oyeeeeeeeee 🎉

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 4 месяца назад +2

    Hekima yako iendelee kuwaka. Chadema ina watu wengi wenye busara sana. Heche ni mmoja wa watu hawa.

  • @ashrafurwegoshora4227
    @ashrafurwegoshora4227 4 месяца назад

    Waandishi very professional

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад +1

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 4 месяца назад +5

    Wewe ni hazina ya taifa hili

  • @Hbmeditv
    @Hbmeditv 4 месяца назад +3

    Chadema❤

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 4 месяца назад +6

    Nyinyi mnamtaka mtu kama nani? awe kiongozi wetu, Vyombo mmekuwa machawa.

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 4 месяца назад +1

    Heche wandishi wa siku hizi ni umbeya mtupu alafu kama majinga hivi

  • @juliuslabarani8575
    @juliuslabarani8575 3 месяца назад

    Heche the great mind

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 3 месяца назад

    Nakukubali sana kamanda heche uchambuzi wako naukubali sana

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 4 месяца назад +1

    Heche waulize elimu zao ndio utajua kwanini wanajadili mtu mmoja😂😂😂😂

  • @RamboDotto
    @RamboDotto 4 месяца назад +2

    Yap matatizo ni mengi wajadili hayo na sio uchawa

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 2 дня назад

    Heche ni kiongozi mzuri si mropokaji hovyo

  • @LesiJama
    @LesiJama 2 дня назад

    A focused leader chadema hav😂

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq Месяц назад

    Mbona hamshangai Yuda kumsaliti YESU?

  • @MagabeWambura
    @MagabeWambura 4 месяца назад

    Huyu ndio alienaki kuvaa viatu vya Magufuli

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 4 месяца назад +4

    Hivi vyombo vinajua havisikilizwi na ili visikilizwe vinawataka watu kama wewe Heche, ndio utafutaji wao wa habali. Hawana na hawajui kuhusu hali ya nchi na changamoto za Taifa na Wataifa wake.

  • @eliasgoseph1075
    @eliasgoseph1075 4 месяца назад +3

    Heche mtu wa maana kabisa

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 4 месяца назад +3

    chadema inavichwa hata kusikiliza bunge mi nilishaachaga baada ya kuona vibe hamna

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 2 дня назад

    Nimefurahi Busara na hekima za John Heche

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 4 месяца назад +2

    Mwl&Mh. Heche, mtu na nusu.
    M4C wananchi & CHADEMA.

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 4 месяца назад +3

    Mpeni mwabukusi au lisu

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 2 дня назад

    Mbowe Heche Wenje n.k ni bora

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 4 месяца назад +2

    Hivi hawa vijana wa tz hawaoni shida zilizopo tz hadi wanataka kujua habari za mtu binafsi!!!!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 месяца назад

    👊✌️👍.

  • @maxonnyamonge
    @maxonnyamonge 4 месяца назад

    Wilaya ya Tarime chadema ichukue Jimbo kwan nn?

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 4 месяца назад

    Lissu namkubali sana! Ila wakimchukua Mwabukusi akasimama kupeperusha bendera,,, Hakika Nnchi inaenda Chadema

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 4 месяца назад

    Heche ni mtu na nusu safi sana kwa majibu yako

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 4 месяца назад +1

    Mbunge wangu hoyeee

  • @nicholaustarimo8415
    @nicholaustarimo8415 4 месяца назад

    Media houses inabidi zimuelewe mh HECHE.

  • @maxonnyamonge
    @maxonnyamonge 4 месяца назад

    Heche kaa kwenye kit cha Enzi hamna wa kukutikixa hao ni mbwembwe tu

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 4 месяца назад +3

    Kweli nchi yetu huwa tunapoteza mda mwingi kujadili mambo madogomadogo yanayoibuka tukaacha mfano nchi inapigwa mafaini na fidia makubwa makubwa ya mamilioni ya madola kwa kushindwa makesi ya uwekezaji. Huu ni utumwa mkubwa. Wanahabari haya hamna ubavu nayo? Be investigative journalists tena wa kimataifa. Ibueni mambo makubwa na mazito yatakayoliokoa taifa ktk haya mafidia mabilioni na sasa zinaanza trilions za shilingi. yanayokula pato la taifa.

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn 4 месяца назад

      Asante Benedict. W'habari wa tanzania wanatia shaka sana weledi wao katika tasnia hii. Na hakika hawana uwezo wa investigative reporting ambayo inazaliwa na tools of analysis, somo muhimu kwa mwaandishi wa habari yeyote aliyepitia chuo cha uandishi habari na akapasi. Sasa kama ulivosema hawa waandishi wanang'ang'ania kujadili watu, nani atagombea urais, msigwa ameondoka kuna pengo hakuna pengo! Stupid questions! Badala ya kufuatuilia/ kuibua nchi inaibiwa matrillioni ya fedha, ripoti za CAG, DP world - what next, raslimali na madini kukabidhiwa waarabu/wazungu - the prons and cons (faida na hasara), watu kutekwa - weledi wa polisi TANESCO kata kata umeme. Na katika haya kwa kutaja machache ndo sasa investigative reporting ya kufa mtu ingedhihirika na waandishi tungewapa maua yao. Hawawezi! Tupeane pole bwa. Benedict na watanzania, tasnia ya habari tumaini letu jingine la kuukomboa umma imekosa mwelekeo!

  • @ponsianomwakisunga899
    @ponsianomwakisunga899 4 месяца назад +1

    Akuna lolote apo anaulizwa maswal anakwepa kujibu 😅 akuna democrasia chadema 😅 mbowe mda wake umeisha tundulishu NI anafaa sanaa

    • @EpiphaniaLukas
      @EpiphaniaLukas 4 месяца назад +1

      Aise ushakuwa mwenyekiti Sasa wa chama mpaka unakuwa mwamuzi wa vyama ndani ya nchi

  • @danielkanso
    @danielkanso 4 месяца назад

    Huyu jamaa namwelewa sana na pengine Tanzanian tukifanya maamuzi ya kubadilisha Uongozi kutoka chama kimoja na kuchagua chama zingine tungeendelea sana ila shida watu wengi akili zimeganda ni shida sana Tanzanian tuameke

  • @CostansiaKimaro
    @CostansiaKimaro 4 месяца назад

    Heche nikiongozi anaejitambua sana jamani majibu Yako yanajitosheleza

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 4 месяца назад

    Wewe kama unamtaka january makamba msajiri chama chenu .

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 4 дня назад

    MH John Heche IQ yake aliyopewa na Mungu anaitendea Haki kabisa

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 4 месяца назад

    SACCOOS 😢😢😢😢😢

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 4 месяца назад +2

    Heche ni akili kubwaa

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 4 месяца назад

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, mbona tunasikia kuna harakati za kupinga jambo hili kuendeshwa na TAMISEMI kwa sababu tayari sheria iliyotungwa na kupitishwa majuzi inaitambua Tume Huru ya Uchaguzi na siyo waziri wa Tamisemi? Kwani hatujui kusoma maandiko?

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 4 месяца назад

    Heche well done small mind discusses people

  • @MasudSalum-o4o
    @MasudSalum-o4o 4 месяца назад

    Namkubali mbowe ila lissu ni zaidi

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 4 месяца назад

    Heche alikuwa mbunge,lakini hajuwi kwamba wamasai asili yao Sio Tanzania,nendeni mkaalie wakati rais Wa Kenya akimuomba rais Wa Tanzania kuhusu wamasai 1993.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 4 месяца назад

      Kila kabila likitafuta asili yao basi watanzania ni wazaramo tu 😁😁

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu 4 месяца назад +1

    Mwabukusi anafaa

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 4 месяца назад

    Wote hao ni makada wa ccm mulema Dr.silaa mwitawaitara zito kabwe hamuna mupinzani ccm watawondelewa na machinga mamantiliye walio mwaga barabarani hao ndio watapambana na selikali tupate viongozi kwanza machinga wameshindwa wamevamia kirakonda mpaka maeneo ya miladi selikali imeshindwa kuwatoa na Bado tunaitana nchi nzima wataona hata machawa watabaki kama odinga Kenya na uhulu

  • @LewiNdoda
    @LewiNdoda 4 месяца назад

    Tongue tied man heche

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 4 месяца назад

    INA MAANA UTARATIBU WA KUMPATA MGOMBEA NDANI YA CHADEMA NI RESEARCH NA SIO KUPIGIWA KURA ?

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 4 месяца назад

      Swali lako halina macho, kama hujaelewa alichosema Heche you better keep quite.

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 4 месяца назад

      @@dionismutayoba3542Research ndio Demokrasia ?

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 4 месяца назад

      @@dionismutayoba3542 sawa wacha tunyamaze.

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 4 месяца назад

      ​@@dionismutayoba3542sasa huyu ambaye hata hiyo tu hajaelewa ana uwezo wa kuwa sehemu ya kuleta mawazo chanya kweli?

    • @jacksonolotu9318
      @jacksonolotu9318 4 месяца назад

      Joseph hujaenda shule huwezi kumuelewa Heche😂

  • @NimlaMbangu
    @NimlaMbangu 4 месяца назад

    Waandishimsilazimishe mawazo yenu kuwa ndio mawazo ya watu mnaofanya nao mahojiano, mnakosea Sana ,

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 4 месяца назад

    Heche bonge moja la mtu

  • @HelmanSolomon
    @HelmanSolomon 4 месяца назад

    Mimi kama Mimi, namshauri January makamba, makamba haende chadema, akajalibu kugombea, kupewa nafasi ya kugombea ulas, ayo mawazi yangu Mimi, ila Sina chama

    • @MaokolaMajogo
      @MaokolaMajogo 4 месяца назад

      Wewe ni msenge kwann asigombee hukohuko CCM?

    • @gangan4618
      @gangan4618 4 месяца назад +1

      Afu 😂zama za kijinga za MACCM zimepita kuja kujipatia UMAARUFU CHADEMA.

  • @ISSAissa-r3b
    @ISSAissa-r3b 4 месяца назад

    Mpoo vyema wakonge wa matangaoz tz...!!!

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 4 месяца назад

    Nyie kila mtu peter peter wapuuzi sana. Hamna ajenda ingine ni msigwa tu? Embu kama mnataka msigwa mchukueni nyie

  • @RobertRange-uf3rf
    @RobertRange-uf3rf 4 месяца назад

    Huyu mwandishi wa kiume ni muzoefu kwa mbaaali

  • @issaabdallah5358
    @issaabdallah5358 4 месяца назад

    amejibu kiusomi zaid

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 4 месяца назад

    Watu wenye busara wanazngumzia isues watu wenye akili finyu wanapenda kuzngumzia watu. Mambo ya kuzungumzia watu yapo kwa wanawake. Taifa lote msigwa msigwa. Mimi nawaona wajinga .

  • @mussajulius
    @mussajulius 4 месяца назад

    Heche nawenzako minaongea pointi kwa mutu mwenye akiri timamu lazima aunge mkono

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 4 месяца назад

    Alipo mtu mkweli, wa haki, msawa, yupo na mimi, na ndio maana leo nipo nanyi.

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 4 месяца назад

    Huyu mwandishi wa kike anashindwa kutofautisha umbea wa mitaani na habari zenye maslahi ya kijamii!

  • @kingmseti9205
    @kingmseti9205 4 месяца назад

    Heche Mimi ukiwa kwenye vyombo vya habari Mura sina uoga na wewe

  • @BrunoRufulenge
    @BrunoRufulenge 4 месяца назад

    Chadem mshapoteana ila eche Yuko vizuli sana

  • @mussajulius
    @mussajulius 4 месяца назад

    Heche wewe nimwisho umejibu sawasawa

  • @fredmichael3683
    @fredmichael3683 4 месяца назад

    Wegesa

  • @HamzaNamkaa
    @HamzaNamkaa 4 месяца назад

    O

  • @LesiJama
    @LesiJama 2 дня назад

    A focused leader chadema hav😂

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад +1

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад +3

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 месяца назад +1

    Heche Mungu akutunze una akili nyingi sanaaa umewatoa aibu wandishi umbea wao um