Ongela series Kali inafundisha usipende kufanyakazi na watu usio wajua alaf ili penzi lako na na kidemu jau utatuponza huku mtaan tutaiga ooh sisi ndo I like
Kiukwel hat mi nilihisi hivyo ila sijaw nauakika lakin minahis hivyo kwasabab uyo mr manyonga anatak ampekesi nzito dady ili ampate Nadjma anae kubalian na mm aje anip lik zangu ap 🙏
Dah inahuzunishwa sanaaa alichofanyiwa dady yaaan asilimiaa 100 % kwa % manyonga anahusika ila tuwe true 2 ata katka maisha 2lonayo kwasasa yapo haya yote
Nanjma mdogo wangu kakako iyo ni mbinu ya manyonga ili ukatoe tushwa ya ngono kwa kumisaidia kakayako ten najma hapo utakosa chado juu manyonga ukilala nae utashika mimba yake tena atakutesa tena chado utamukosa juu hatavumilia ataona nitama zimekuponza😢😢😢
Naisi manyonga kamfanyia mchezo dady mnaokubalian na mm like nizione chini
hata mie nahisi hivyo
Ili najma awe wakulilipa deni
Manyonga wew ndo umechez huo mchez acha dhambi unatembea na tasbii mda wote kumbe mkorof
Ni ivo tyar huyu mbba sio mzuri
Ndio ni kweli target ampate najma kwa wepesi
Mzee wa misumali anachezew michezo. Na manyonga.... kma mnakubalian na mm gonga like hapaaaa😊
😂😂😂😂sawa mtabirii
Kweli kabisaa
Alafu huyu mzee ananiambaya na familia ya misumari
Anamfanyia Ivo ili ampate najma
Ila kweli mi nikahisi hivio
Tunaotaman dady aungane na chado kuwatafta hao majambuz gonga like hapa tujuane 🎉🎉🎉🎉
Ongela series Kali inafundisha usipende kufanyakazi na watu usio wajua alaf ili penzi lako na na kidemu jau utatuponza huku mtaan tutaiga ooh sisi ndo I like
Naipenda sana hii movie Nani mwengine tujuaneni jaman ❤
hello
2ko wote
Tupo❤
mm apa tujuwane tu hello
Mim hapa
Kama umegundua kua upoteaji wa pesa amehusika Mr manyonga gonga like apo tusonge mbele
Uyu jamaa alimtega mzee wamisumali
kamfanyia mchexo ili iwe rahis kumpata kidem jau
Alimtega amuon km nimfany kz mzr😅😅😅
Yy ndiye ameanya
Ndiyo kabisa uyu baba anausika
Mzee wa misumari kaisha dah,ila naamin Kitengo atakua upande wake Mzee misumari na atamsaidia
Eeeh mwenyezi mungu tusamehe waja wako na adhabu ya kabuli na kila atakae Soma comment hii Bax mungu ampe maisha mengi Amin ❤
Ameen
Amiin
Amen
nakubal
Ameen
Ameusika kwa asilimia zote😂😂😢😢😊😊mzee wa misumari ni big actors
Daa! Ee mwenyez mungu tupe rikiz zako.
Tuepushe na miungu watu😭😭🙏
Paka hapo nishajua Mr manyonga ndo Kaka yake chado na ndo baba yake ngwengwe gonga like😊😊
Kama ndo hivyo ndo I like 😅😅
😂weee alaf kweli
kwe broo kamsaliti ana mtaka najima.
noma sana daddy amka wewe
Kweli mkuu
Huyu manyonga sio mtu mzuri naisi pia ndio babake na ngwengwe anaekubaliana nami like it
Chado ndio baba wa ngwegwe
@@sehelsalum1843 chado baba mdogo na ngwengwe ila itakuwa manyonga ndo baba ake na ngwengwe
We uko wapi ndugu yangu 😂😂chado ni baba mdogo@@sehelsalum1843
😂
@@SharifaRashid-tg9kx😂😂😂swadakta
Mzeee wa misuli maskiniiii 😢😢😢😢😢 thank u chado masta mungu awabariki xna kwa muve nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kiukwel hat mi nilihisi hivyo ila sijaw nauakika lakin minahis hivyo kwasabab uyo mr manyonga anatak ampekesi nzito dady ili ampate Nadjma anae kubalian na mm aje anip lik zangu ap 🙏
Tuendelee kusaport vijana wetu naiman kazi zao nzur sana,,, tukimaliza hii kuna ile Maumivu 🔥🔥🔥
Leo nkose like nitajua mko na roho mbya, alafu mzee wa misumari kimemramba...
I think kwa Series za online tv 2024 hii ni top ✨️✨️✨️✨️✨️ TOP AND BEST SERIES 🎉 congrats kitengo
nimekua wa kwanza kila anae angalia movie hii mwenyez Mungu mlinde na kumtia nguvu
Amini
Aamin
Huyu boss wa mzee wa misumari anamtega ili amchukue kidem Jao kichonjicho kiujanja hatari sana huyu boss😅
Najma anataka kufanyiwa nini jamani maana hizo sura ningumu sana hongereni sana kwa kazi nzuli na mm naomba like leo maana nimewai
Jamani nimechelewa leo lakini siyo mbaya naomba tuiwezeshe hii kitu
movie hii n jiwe la mwaka kama unanabl...tia misumal...manake me ndo i like😂
Hii series sijawaona,CHEUSI&BONGE nawapenda sana nyote🎉🎉🎉
Jamani na mi pia Bonge na Cheusi nawkbali sana !!!!
Yn hujanshinda mm😂
Manyonga ndo baba akee ngwengwe nando anahusika kwa upotevu wa pesa kwa mzee wa msumali kama tupo pamoja gonga like chini
Mission impossible kwa mjomba😂😂😂😂😂😂
Hatimae namm nimewafikia leo maana dah nimeanza kuifatilia wiki iliyopita toka ep 1 had leo tumekua wote, kazi nzur jaman nawapenda sana chado tim🎉🎉
Me naiman chado atamxaidia mzee wa mixumali then mzee wa mixumali ataaprixhet chado awe xhemeji ake🎉
Kama unaamini kitengo atapambana kumtetea mzee wa misumari. Weka like yako ❤
OYAAA WANANGU MANENO YA VIDEO QUEEN YAMENICHOMA KISHENZI SANA YANI DAAAAAH😢😢😢
Me nazan manyong kamfanyia mchezo dady ili ampate najma anaekubl hili tijuane kwa like
Me pia nimewaza ivo
Ata na mm nahisi ivo ivo
Jaman Leo me ndoo wa kwanza naomb like zenu kutok dubai
Chado masta umeniacha dororo Yan kule kidem jau kitatekwa kuwahii broo
Huoni mchezo wa Mr Manyonga ana mpima Mzee wa misumar uwezo wakazi . Kama mna bisha Tia Comment hapo😮
leo niko wakwanza wapenzi wa chado masta nawapenda sana munipe like zenu!team chado masta nyinyi wote nawapenda!love from burundi❤❤❤❤❤
Chado tunapenda San misimamo Yako ❤❤❤
Ujanja wot umemwisha Mzee wa misumal akiwa kwa manyonga anakua mstaabu misumal yot inaisha ambay anaamin ilo gonga like apo
Mimi ni fan namba moja wa bonge
Nilijua hili litayokea manyonga n mpuuzi sna nadhn utampta mtotoa najma
Wanaodhani huyu mzee amemchezea mchezo kaka wa kidemu jau like ❤
Huwo ni mpango wa Mr manyonga wale wamejuaje kama ana begi 😢😢😢😢pole dady
Kwaiyo mr Manyonga kaamua kumchezeshea game mzee wa misumali
labda ili ampate najma😂😂😂mshenzii huyu baba
Chado naomba uongeze dk jmn yan movie n nzr ila dk chache jmn
Dah inahuzunishwa sanaaa alichofanyiwa dady yaaan asilimiaa 100 % kwa % manyonga anahusika ila tuwe true 2 ata katka maisha 2lonayo kwasasa yapo haya yote
Huyu Mr Manyonga tangu siku ya kwanza nilivyomuona nilijua tu kuwa sio mtu mzuri
wanao amini kama dady atasaidiwa na chado gonga like
misumali kashamuuza mdogoake bila ye mwenyewe kujua ona sasa kitakachomkuta spati picha kitengo akijua huu upuuzi unaoendeleaaaaa
Pole sana dady mdogo wako alikwambia tafuta kazi usipende Uva maseleleko Ila yote kwa yote pole aise
Leo me kwanza jamanii nipe like mnaomkubali chado master
Wanaosema hii series isiishe tuchape nayo ata miaka mitatu kama Isindingo 😂😂😂😂 like apa
Iiishe tu Maana bando la kuunga unga maisha ya bongo sio ulaya😢
Hii neo l like😂
Shetani shindwa kbx I en izo pesa za bando zitoke wapi😂😂😂😂
Mzee manyonga nd baba ngwengwe anaekubalian n mm piga like hapa.....
Ndio na mm nahisi hivyo
Hata mimi
Amin kwamba
@@CellinaMsimbe haina kabaya
@@ScholaMalale hain kabaya
Nidhahiri shairi Manyonga ni ndumakuwili lazima yote yaliyotendeka anayafahamu ilaacha tuendelee kutazama Daddy mzee wa misumari kampata nyundo atakipatapta..
Huyooo tumuite kinyonga sio manyonga maana yey ndo amecheza mchezo
Ukweli usemwe kitengo na ubabe wake wote anahuruma sana tena inaonekana machon mwake
Na inaonekana kweny uharisia wa maisha yake c Katiri hata kidogo
@@SophiaJoseph-n4o kwa mwenye experience na wahuni aina kam ya kitengo wanawakua sio makatili
Me napata tabu mwenzenu naumia kwann mzee wa misumari bado anang'ang'ana na mr manyonda duu😭😭
jman wanaume wote wangekuwa kama chado du ingekuwa lah sana
Mungu ametufikisha tena salama,tushukulu mungu kwa kila jambo inshallah🙏🙏
Mchezo dani ya mchezo...kazi zuri
Mzee wamisumali kapoa jaman
Ahaaaaaa😅😅😅😅😅 mjomba ni mama mpo hiyo ndo i like🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mm nilisema toka mwanzo kuwa huyu manyonga siyo mtu mzuri kabisaaa
Yan😂😂😂😂😂😂
Jamnii anaekajuaaa haka kawimbo kale ka hiii move kale romantic ,,ety kanichokaaa anitaki tena hat kunionaaa❤❤pls aliyeimbaa
Kaimba chine inaitwa aniue
Uyu manyong anafany mission YA makusud ili ampate najim .yes Ndo maan YA mission Impossible
Hata maongezi unajuwa kabisa kama sio mtu mzuri
😂😂
Sawa title relate to content 😂😂
Chado tunaomba muenderezo kaka move kali
Mnatoonea sana mnavyo toa kipande kimoja hii movie 🙌
Anaesema chado atakuwa msaada kwa Mzee wa misumar tuonane kwa like😮😮
Chadoo upo vizurii yaaan ucheleweshi😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tunaombaa kilasiku kitoke kipande kimojaa 😢❤
umenena
Mr manyonga kausika asilimia mia moja 😊😊
Haroo leo niwakwanza ❤❤❤kutoka Kenya lakini niko saudia 🥰🥰🎉🎉piga kelele kwa @chadomaster💃💃
Manyonga hyo n mbinu ake ili ampate Najma, kupitia hzo pesa , hata hvy Alidaddy ajifunze kwnn usitafute pesa zako halali???
Hakika iyo ni mbinu zake
Apo sasa ataingiza akili😂
Kabisa yn
Manyonga kafanya mchezo Kwa dady amoeleke jela halaf aombe lushwa ya ngono Kwa najima Ili amsaidie kumtoa dady
Kwan anampenda sna kaka ake
Umenyoosha mwanangu
Tulio kubaliana km manyonga kunamchezo anaucheza tujuane kuazia sehemi 51 tujuane ho❤❤
Huyu jamaa ndie aliewatuma wale watu. Au mnasemaje
Mzee wauchumi uchumi unazidi kuyumba tu.😂😂😂
Mama ngwengweeeee apewe kiti cha didaah ĵmn mpeni connection
Wa kwanza from mbeya
Sema hii movie jmn watu wanakumbia 🙆 Kam huna mbio hutoboi😅😅😅 big up kwenu
Jomoniiii nikajua nimewah leoo😢😢but all in all alhamdulillah ❤
Manyonga tuachie dady wetu aendee kulea mdogo wake
Jaman msiwe mnahadithia move ktk like mnapotez ladh 😅😅😅😅
najima gipenzi❤❤❤❤🎉🎉🎉 nagupenda chado
Wanaosema nia ya manyonga kumpa ile kazi dady ili ampate najma kiurahisi gonga like
Nampenda sana chado jinsi anavyomjali najma jmn yan anaishi nae kiakili sana anajua kumliwaza anajua km najma ni mtoto ❤❤
❤
Kweli mkuu
Nimeikubali sana iendelee chado hatari
wa. Kwanz kulike na kucomment like hapa😂❤❤
Nakubali sana mwanangu
Wa kwanza Nan leo nimpe like zake maan mi cionekanagi😢😢
M ndo I like
Nakubali userious wa vidio guen anajuwa kabisa🎉❤
Mungu simama,,, kitengo njoo kwa mkeo usalama zero.... njoo tu umuokoa maana million 10 cjh itqlipwaje
Ilaa manyonga anaonekanaa ni mjeuli Sanaa kafanya mchezo wa hizoo helaa xipotee ionekana dady hayupoo makini kwenye kazi yakoo
Wakwanza mimi jamani nipewe like zangu 🎉🎉🎉
Ila huyuu mzeee kamfanyia mchezo mzee wa misumariii😢😢😢anatak kumpata naji kilazima
Nanjma mdogo wangu kakako iyo ni mbinu ya manyonga ili ukatoe tushwa ya ngono kwa kumisaidia kakayako ten najma hapo utakosa chado juu manyonga ukilala nae utashika mimba yake tena atakutesa tena chado utamukosa juu hatavumilia ataona nitama zimekuponza😢😢😢
Mr manyonga mchawi kweli i say
Hivi Jojo ni ukaka unataka kweliiii au una yakooo
Anaekubali dady amechezewa mchezo na mr manyonga naombeni like zanu jamani
Much appreciations to Chine kwa kunogesha hii Movie kwa ngoma zake kali🎉🎉🎉🎉
Mzee manyonga nitapeli anakudabo cross mzee wamisumari anataka akueke ndani iliawekaribu na dadako
Manyonga kamfanyia mchezo mzee wamisumari
Video qeen anaomba ukaka upi haswa hila nampenda🎉🎉🎉🎉🎉