MISSION IMPOSSIBLE [1] SEASON 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 ноя 2024

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @annaki318
    @annaki318 День назад +406

    Tuliotoka season one
    Mpaka now tupo season two
    Mkuje tujuane jamani
    Season two tumeipokea na tunatamba nayo❤❤❤❤❤❤ aloooo weee📞

  • @VestinahAmoss
    @VestinahAmoss День назад +91

    Anaetaka dakika ziongezwe tujuane...gonga like apa🎉

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 23 часа назад

      We shetani kweli dakika 22 na wataka kuongezewa? Labda uongezewe pumbu tuu

    • @VestinahAmoss
      @VestinahAmoss 23 часа назад

      @saumbliz8983 MUNGU akubariki🙏

  • @CasmirorsCollection
    @CasmirorsCollection День назад +78

    Wanaomkubali chado master kwakutoa kazi kwa wakati weka like hapa🎉🎉🎉

  • @AmenaAmoon-t3v
    @AmenaAmoon-t3v День назад +39

    Nilikuwa nimekumic sana ngwengwe atimae nimekuona nashukulu napiya ongera kwa kazi nzuri

  • @AhmadiJuma-c9o
    @AhmadiJuma-c9o День назад +103

    Wote wanafuatilia season hii mwenyez mungu awatilie wepec katka mambo yao❤❤

  • @Sukhan255
    @Sukhan255 22 часа назад +32

    Sio Kila unaemuona mfupi ni dogo nakukubali sana Give me your flowers, my little one

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie День назад +56

    Waliongojea Jana hd wakaboeka mikono juu 🤚🤚🤚 chado master 🔥🔥🔥🔥 twakubali huku 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FedhaLuhunde
    @FedhaLuhunde День назад +142

    Tunao amini manyonga anashindwa kuuza nyumba gonga like apa video queen atamp 10milion deni litaisha

  • @Aliciaabdallah-uh4gk
    @Aliciaabdallah-uh4gk День назад +74

    Jaman kwanzia season one imeanza mpk imeish sijawah pata like hata tano tu

  • @MANGELI_111
    @MANGELI_111 День назад +139

    Mbona mm jamani hamunipi ata like tano kama tunamkubali chado ❤

  • @SindarubazaCherejiyo
    @SindarubazaCherejiyo День назад +33

    GWengwe amenifurahisha sana ijapo mama namuudhisha kwenye sehemu msimbazi ila maisha yake magumu magumu

  • @PendosimonDenis
    @PendosimonDenis День назад +45

    Ee mwenyezi mungu yeyote atakae soma komenti hii namuombea baracka ya mafanikio juu ya maisha yake. Pia tuishi Kwa kupendana kifo ni fumbo

  • @kamalkhamistz9172
    @kamalkhamistz9172 День назад +13

    Yaa 🔥🔥 sana chado zanzibar inakusubir kwenye jambo lako❤🎉

  • @AminaSimba-q8z
    @AminaSimba-q8z 22 часа назад +22

    Mama ngwengwe na kibwebwe mpaka kifo kimtenganishe

  • @SakinaKhalifa-pd6hr
    @SakinaKhalifa-pd6hr День назад +27

    Ngwengwe anatumia sana akili 😂😂😂

  • @ManVizzy
    @ManVizzy День назад +114

    Ya Leo Kali kamaa unaikubal mission weka like apa from kenya

  • @IanPaul-j4m
    @IanPaul-j4m День назад +88

    Jamani nipeni basi like yani mmenibaniaga hamujawahi kunipa like.. Mungu akubariki sana utayesoma

  • @MELVINBBY
    @MELVINBBY День назад +15

    Aky huyu Ngwengwe si ana kpj jmn much luv from 🇰🇪

  • @SaumuNyale-s6h
    @SaumuNyale-s6h День назад +229

    Wakwanza apa kutok Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤ kama wakubali filamu hii gonga like apa ata kumi tu 🎉🎉🎉

  • @ShafiiMkunje
    @ShafiiMkunje День назад +69

    kwa wale tunaemkubali mr.cheusi gonga like kama zote😂😂❤

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 День назад +2

      Cheusi kasha mtoamtu jehanam 😮😂😂😂😂😂😂

    • @HappyJohn-zw5lu
      @HappyJohn-zw5lu 20 часов назад +2

      Smpend pumbav zake mbea had anakera na anavyo ongea sasa

    • @ShafiiMkunje
      @ShafiiMkunje 16 часов назад +1

      😂😂😂@HappyJohn--zw5lu
      cheusi umbea wake si mchezo

  • @rosekavumbi2413
    @rosekavumbi2413 21 час назад +6

    ❤❤may God bless this man chado master Mungu aendelee kukufungulia njiaa

  • @NapindaSadamu
    @NapindaSadamu День назад +64

    ote tumshukulu mungu kwa kutufanya tuione siku ya leo amina!!

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa День назад +28

    32,Chado jamani unatufelisha mashabiki zako.unachelewesha kazi.watu unakaa kuchungulia kila saaa.❤❤❤❤❤

  • @IrakozeHami-t9m
    @IrakozeHami-t9m День назад +7

    Ngwengwe is the best love u Ngwengwe❤.... Mission impossible 😎 Aloooooooo📞

  • @EliaStephane-c3j
    @EliaStephane-c3j День назад +6

    Asante sana kabisa nilikuwa naji uliza films nzuri kama hii inaishaje asante sana kabisa wakwanza ku toka Congo leo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @RofinaAkwede
    @RofinaAkwede День назад +15

    Apo sawa sasa twende nalo chado tunakubali kinoma noma mpite mkiniachia like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JOSEPHINRamazan
    @JOSEPHINRamazan День назад +28

    Wakwanza Leo jamani nipeni like zangu one love to chado masta❤

  • @Cynthia-nw8kg
    @Cynthia-nw8kg 22 часа назад +4

    Jaman mm sijapenda 😢yan mzigo unanifikiaga wengine tayar wameshiba kabx acheni ubaguzi uyo jaman 😊😊

  • @MwajumaRamadhani-f9w
    @MwajumaRamadhani-f9w День назад +10

    Hahahha ngwengwe nakukubali san mdg ang unaupiga mwingi❤❤❤❤

  • @jeankabongo718
    @jeankabongo718 День назад +6

    Chado verry smart CE jean from Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @michaelmsouth45
    @michaelmsouth45 День назад +7

    Kubabake nimepiga miruz ming san nilivyoon season 2 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @UMMUFahadiFahadi
    @UMMUFahadiFahadi День назад +12

    Kazi nzuri Chado Masta 💋💋💋🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @deniscassian-e5b
    @deniscassian-e5b 22 часа назад +6

    Nimefurahi kumuona ngwengwe nilimmic bado mmoja sijamuona nani yule sijui baga pamoja sana

  • @happyntandu
    @happyntandu День назад +9

    Ngwengwe I missed you
    Mission impossible mtaniua nmekua addicted

  • @nassorovuwai1499
    @nassorovuwai1499 День назад +16

    Tumesubiri sana
    Anaeamini CHADO ni MASTER tukutane hapa kwa like

  • @MishNassor
    @MishNassor День назад +8

    Najma usilie😢kipenz bd chado we2 yupo 2nae na2natambanae💪

  • @CheiaMomade-v3c
    @CheiaMomade-v3c День назад +7

    Tumeipenda sana season two tunaomba ifique mpaka episode 70 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @RukiaShauri
    @RukiaShauri День назад +8

    Hii movie Bab kubwa, chado hongera❤❤❤

  • @MousaAmos
    @MousaAmos День назад +3

    Sema chado genious sana move Kali balaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @PrettyKitundu
    @PrettyKitundu 33 минуты назад +1

    jamn movie nzur kama unamkubali chado master gonga like apa kuwapa nguvu team chado🎉🎉❤❤❤

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg День назад +11

    Uyo so zungu ni kostatich kama unakubaliana nami laiki apa 🌹 🌹 🌹

  • @fatmahaji6210
    @fatmahaji6210 2 часа назад +1

    Laa haula bongee cheusi saluti kwako nakupend hatar😊😊😊

  • @AllyJackson-sd6kg
    @AllyJackson-sd6kg День назад +4

    Mzeeh umechelewesha sana mzeeh au sababu ya msiba lakn fresh

  • @NeemaRobert-v2b
    @NeemaRobert-v2b 19 часов назад +2

    Kazi nzuri chado master nakukubali sana ila usituwekeze sana jaman mission impossible inatufundisha sanaa...🥰💯

  • @ZuuhHamisi-i5n
    @ZuuhHamisi-i5n День назад +5

    Wakwanza jmnii from tz❤️❤️ namkubali chado master

  • @BeatriceMussa-y4b
    @BeatriceMussa-y4b День назад +18

    Wa kwanza leo daah kama unamkubali ngwengwe like apa tukisonga❤❤😂

  • @DavidJoseph-u1e
    @DavidJoseph-u1e День назад +12

    Sema hicho kidudu cha jicho kinahama maana season kilikua upande wa kulia

    • @FatiaAhmed-m1u
      @FatiaAhmed-m1u День назад

      Nilitaka hii comment jaman wanafel wap au hawamzingatiii kma anahamisha kila cku

    • @HalimaKacheka
      @HalimaKacheka День назад

      Kidudu gani hicho

    • @FatiaAhmed-m1u
      @FatiaAhmed-m1u День назад

      @@HalimaKacheka huyo jambazi anachokiweka kwenye jicho

    • @HalimaKacheka
      @HalimaKacheka День назад

      Oooohhh sawa​@@FatiaAhmed-m1u

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy 18 часов назад

      Mnamwangali vibay vipenz jicho ndo ilelile sema kamera inawachangany to​@@FatiaAhmed-m1u

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 День назад +4

    😢😢😢masikini chado anapambana ilakakosa pesa basi mkubalie jojo upate pesa polenajima gwegwe nammayako mpovzr sana

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 День назад +6

    Ambao tupo pamoja kwenye season 2 ya MISSION IMPOSSIBLE please like zenu hapa tujuane❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Nasastraissa
    @Nasastraissa День назад +25

    2lofrah kumwona ngwengwe gonga like hapo

  • @JackiJaday
    @JackiJaday День назад +5

    Chado kipenz kz nzur sana naomba usije ukaimaliza

  • @PromiseJerome
    @PromiseJerome День назад +4

    Muiendeleze humohumo msije mkaleta sitor nyingine pamoja sanaaa

  • @ramandau357
    @ramandau357 День назад +9

    Daaah hii kalii aisee wakat mgumu sana kwa chado master njia Iko Moja tu iliyobaki dakika za jion ni kumtafuta video queen Jojo kukubali masharti yake tu 😢😢😢

  • @AmaniRodah
    @AmaniRodah 15 часов назад

    Tunafurahia sana mungu awabariki sana alafu hiyo wimbo

  • @Vincentkuluwa
    @Vincentkuluwa 23 часа назад +5

    wakwanza kutoka zambia naombeni like zang hata 5 zinanitosha chado masta hujawahi niangusha ❤❤❤❤❤

  • @rehemakatundu7027
    @rehemakatundu7027 День назад +7

    #CHADOMASTA NIMEKUPENDA BULE USHELEWESHI MAMBO ME NDIO I LIKE ❤

  • @HuzaimaAmeir
    @HuzaimaAmeir День назад +2

    Nilikuwa nimepita sehemu nyengine naona giza tu kumbe maeneo ndo haya kazi kaz chado nawapenda ❤❤❤🎉🎉

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 День назад +4

    Bwana zungu kimekuramba😂😂😂😂😂unacheza n gwegwee😂😂😂😂😂

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr День назад +9

    Sema kijicho, jicho la mkono wa kushoto limepona, limeamia kulia mbn amumzingatii huyu mwamba😂😂😂😂😂

    • @LeeCapajr
      @LeeCapajr День назад

      Yule anavaa kama fashion tu sio jicho bovu

    • @Mzuri_002
      @Mzuri_002 22 часа назад

      Yule anavaa tu kiusanii sio kwamba anajicho bovu😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 12 часов назад

      😂😂😂

  • @AdejaAhmad-uq4wj
    @AdejaAhmad-uq4wj День назад

    Wow aafi sane.nlikua nasubiria kwa hamu n ghamu ❤❤❤nawapenda nyote team chado master 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @anastaziaMzigo
    @anastaziaMzigo День назад +6

    Jmn kusema kweli jpili nilisubir sana

  • @CorneliusKatana
    @CorneliusKatana 19 часов назад +2

    Jaman ngwengwe love you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wenye wanamkubali ngwengwe agonge likes apa

  • @RamaJay-n5d
    @RamaJay-n5d День назад +4

    Chado nakubali chukua ile hela kwa vidéo quen lakini mnakawiza

  • @KibondoAboubakar
    @KibondoAboubakar 5 часов назад +1

    Oya chado big up kbs

  • @AnneOmukatia
    @AnneOmukatia День назад +5

    Waaah na vile nilikua nangonja thanks so much 🎉

  • @RaphaAdam
    @RaphaAdam 8 часов назад +2

    Daaaa chado umewez mov tam balaaah🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki День назад +12

    Muzungu Ngwengwe amekukomesha nakuuliza kumeishiyaeko Najima usiliye shoga yangu Allah yupamoja nawe fimbo ya munyonge hulipwa na Mungu

  • @ChecheHemed
    @ChecheHemed 20 часов назад +1

    sema family chado una zingua bag mmempeleka wapi ndio ulitakiwa uwenae kwenye uo ugovi wa hau wajamaa wakina zungu fany umludishe bag

  • @ziyadamubark1612
    @ziyadamubark1612 День назад +9

    Wow nilisubiri kwa hamu

  • @MosesMosee-x4o
    @MosesMosee-x4o 13 часов назад

    Mi niwa bili kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kufatilia hii muvies Kali sana❤❤❤

  • @ddontz
    @ddontz День назад +7

    Ongeza muda kidg mzee 🔥🔥🔥

  • @AhmadiOmari-v2v
    @AhmadiOmari-v2v 18 минут назад

    Chado master upo vizuri kawa kuandaa kazi upo kama chief God love hatari sanaaaa❤

  • @TigerKingazi
    @TigerKingazi День назад +13

    Ninachokupendea chado hutuchelewesh kabs gonna like apa 🎉🎉🎉

  • @CynthiaManeno
    @CynthiaManeno День назад +2

    I like this song''mission impossible''yaani naipenda iyi nyimbo

  • @MichaelBrown-m3c
    @MichaelBrown-m3c День назад +5

    Jaman chado ulitususa tulikuwa wapeke🎉

  • @estherwairimu7021
    @estherwairimu7021 День назад +1

    Finally its back...much love from kenya❤

  • @NassormsuruzyaRupia
    @NassormsuruzyaRupia День назад +4

    Dah ndonyumba ishakula mnada ivyoo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 kwa lakilaki mia mojaa

  • @WinnieDickson-r9u
    @WinnieDickson-r9u 17 часов назад

    Wooow nimeisubir kwa shauku sana Yani mmejua kunifurahisja pia hongereni sana Mungu azid kuwatia nguvu mfike mbali zaid

  • @PantaBizzy
    @PantaBizzy День назад +4

    Alieeeh ingizia nyimbo katisha ileee mbaya saruti kubwa kwake.

  • @kyalzsteve9598
    @kyalzsteve9598 13 часов назад +1

    Wakenya 🇰🇪 tunaosema Chado is GOAT kwa hii sector, press like batton tukisonga

    • @kyalzsteve9598
      @kyalzsteve9598 13 часов назад +1

      Wazungu tumalizie hii GOAT,,, waswahili mtupe tafsiri
      G....
      O...
      A...
      T....

  • @YunusYahya-gr6ks
    @YunusYahya-gr6ks 23 часа назад +3

    Tupoo pamojaa mpaka ngwengwee aoeee hatuchokii

  • @Salmasaid-q4q
    @Salmasaid-q4q День назад +5

    Nilimmiss ngwengwe jmn❤

  • @JacksonFaustine-h6n
    @JacksonFaustine-h6n День назад +4

    Nice job like Kwa chado master

  • @SulaymanAbbas
    @SulaymanAbbas 19 часов назад +1

    Kinachobakiya wa2pe 2zoye2 2 maana chado katisha kinoma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @UmmyChilumba
    @UmmyChilumba День назад +8

    Oyooooo chado kama chado chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChakoBoyIsebo
    @ChakoBoyIsebo 4 часа назад +1

    Una akili kweli, kwaiyo umeamuwa usitowe tangazo, kinwaji kimepigwa kitambaa

  • @AhmadyAbdalla
    @AhmadyAbdalla День назад +5

    Njoenii😂😂 uku sasa❤❤❤❤😂
    Chado_Gang❤❤mjinapa

  • @JessicaIrakoze-w4e
    @JessicaIrakoze-w4e День назад +4

    Huwezi Amini dakika 7mushakuw mumalaki eeeeh nyiye Watu hamulali haki yamungu mauwa Yako chado🎉🎉🎉nawaza utakuwa unatupa kila Siku wanaokubaliyan Na mimi dondosha like hapa

  • @PerajaHenry
    @PerajaHenry День назад +1

    I love ngwengwe unajua mtoto mzur ❤❤❤❤

  • @Amirishukanasalehe
    @Amirishukanasalehe День назад +2

    bigap sana chado master kw kazi nzur

  • @DanielKazadi-b8j
    @DanielKazadi-b8j 18 часов назад

    Nili isubiri kwa amu❤❤❤❤❤ Chado masta aishi milele

  • @henriques193
    @henriques193 День назад +2

    Mimi wakwanz kutok Mozambique 🇲🇿 naomba like 5 tu

  • @ThomasKibutwa
    @ThomasKibutwa День назад +1

    Nimependa sanaa. Kazi nzuri.
    My God be with you on your everything you do.

  • @KhamisiOmari-yo7jx
    @KhamisiOmari-yo7jx День назад +2

    Chado yuatakiwa uwe mwana tamthilia Bora wa mwaka.❤

  • @ASUMTAMWINGIRA
    @ASUMTAMWINGIRA 16 часов назад +1

    ❤❤❤❤❤mission impossible seson 2

  • @KidumeRashid
    @KidumeRashid День назад +3

    Manyonga ali dadi hajapoteza pesa sema umempora pesa lakini ninavyoona huenda ukachemka kwa chado kitengo

  • @Vintonekaveli
    @Vintonekaveli 16 часов назад +1

    Wa kwanza kuwatch from Kenya 🇰🇪 nipeeni likes zangu wakuu 🙏

  • @mauasoud
    @mauasoud День назад +2

    Chado master kitengo tupo live hatufeli aminia❤❤ gonga like kwa chafu yetu kitengo

  • @MonicaMaina-x1m
    @MonicaMaina-x1m 4 часа назад

    Love the from Kenya but watching from Saudi

  • @SalumAlima-o3f
    @SalumAlima-o3f 22 часа назад +2

    Niliisubiri kwaamu sn 🥰🥰 wenye tulikuwa tunaisubiri tujuwane