GUMZO! Hizi ndiyo sababu zilizosababisha Chelsea kumfukuza Tuchel | Nani kuziba pengo lake?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии •

  • @dustennkhalamba8511
    @dustennkhalamba8511 2 года назад +1

    Unatisha mzeee upo bomba

  • @grizzymusic2647
    @grizzymusic2647 2 года назад +1

    Nakubali kaka unajuw

  • @abrahamherry1784
    @abrahamherry1784 2 года назад +2

    Nakubali bro 🙏

  • @legrandmsangi8405
    @legrandmsangi8405 2 года назад +1

    Uchambuz yakinifu. Big up

  • @laydenfernando5828
    @laydenfernando5828 2 года назад +1

    brother u have long way to go

  • @elihoudmanirakiza9075
    @elihoudmanirakiza9075 2 года назад +1

    Jamaa alikuwa haeleweki
    Ila alifanya makubwa
    Tunamushukuru

  • @walidissah29
    @walidissah29 2 года назад +1

    Daaaah bc kajifunga mwenywe

  • @andrewbutera136
    @andrewbutera136 2 года назад +2

    U know how to do it brother

  • @spared7736
    @spared7736 2 года назад

    Mgala muuwe haki umpe tuchel ametufurahisha sana wakati wake wote ndani ya chelsea

  • @PeterMsongo
    @PeterMsongo Год назад

    Mkari mbona xioni linki ya kujiunga na group la darajan

  • @justinhabonimana3890
    @justinhabonimana3890 2 года назад +1

    Ukweri kabisa

  • @oduumchelsea6373
    @oduumchelsea6373 2 года назад

    Tuchel alijikaranga mwenyewe

  • @mussaali1592
    @mussaali1592 2 года назад +1

    Bgp sana

  • @hassanmpangachuma2715
    @hassanmpangachuma2715 2 года назад

    Wewe bado sana kwenye uchambuzi. Naomba umefanikiwa base sana kwenye mapenzi ya timu kuliko ufundi wa mpira

  • @babaabromovich1475
    @babaabromovich1475 2 года назад

    Wewe ni mlalamikaji sana

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 года назад +1

    Huja uchambuzi ww chelsea mm ndie mpenz wake halisi,,kiliza mfumo wa Chelsea hawajui shida maendeleo ndio wanangalia tu ,Chelsea joze special 1 aliletwa na Na Abrahmu kutoka Poto ureno km ungakumbuka ameinyanyua chelsea chini mwisho siku amefukuzwa km mbwa kwaio hata shangai ss kufukuzwa tt

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 2 года назад +1

      😳😳😳

    • @Gospel2Youth
      @Gospel2Youth 2 года назад

      Video inayokuja itajibu mada yako vizuri,kuwa teyari mwana soka

  • @fareedshuwayb6118
    @fareedshuwayb6118 2 года назад

    kaka uyo Potter style yake ya uchezaj inafanana na kocha gan

  • @AhmedMohamed-um8ox
    @AhmedMohamed-um8ox 2 года назад +1

    Rudi schooli kasume 🤣🤣

  • @andersonmzo5893
    @andersonmzo5893 2 года назад +1

    Kweri

  • @muxbrown931
    @muxbrown931 2 года назад

    Sio tukel ni tuchel😂😂😂

  • @linusjumanne1619
    @linusjumanne1619 2 года назад

    Darajan ninyi niwaogo xan

  • @dinopaul2618
    @dinopaul2618 2 года назад

    Is this a comedy?😳

  • @philipoleolenicholaus1967
    @philipoleolenicholaus1967 2 года назад

    You know nothing regarding football