WADUDU WA ARUSHA WATINGA NA LAND ROVER YA MBAO KWENYE FESTIVAL/ WAIPA JINA "MAKONDA DEFENDER"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 117

  • @Vivia-m7g
    @Vivia-m7g Месяц назад +9

    So sweet.Yaani vitu vingine ni starehe tupu.Big up RC AR.

  • @AmiryNdoa
    @AmiryNdoa Месяц назад +5

    Nyumbani kumenoga natamani nirudi chuga kama chuga ❤❤❤❤❤❤❤❤❤love you chuga kama chuga

  • @CharlesLyimo-h3i
    @CharlesLyimo-h3i Месяц назад +6

    Nalwapa bg up Sana wadudu nyie ni noma

  • @paullameck-r5j
    @paullameck-r5j 2 месяца назад +12

    Usikute arusha Nd walipogundua gari 😅

  • @samwelsimon7392
    @samwelsimon7392 Месяц назад +29

    hawa jamaa ukiwaangalia kama machizi vile ila ukiwaangalia kwa kutulia utagundua wana akili nyingi mno

    • @EuverusJohn-b7w
      @EuverusJohn-b7w Месяц назад

      Hahaha kwaa kwakutulia kijana wetu kwani wewe hauwazi kumiliki silaha siku moja 😂😂😂

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 2 месяца назад +6

    Akina Mama raundi hii mmezaa 😂😂😂

  • @MagdalenaKongera
    @MagdalenaKongera Месяц назад

    Makonda ana talent kubwa sana ya uongozi

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 Месяц назад

    Mad max bonge la movie sasa ipo arusha 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤

  • @HalimaHalima-n5r
    @HalimaHalima-n5r Месяц назад

    My.makonda na beauty mom mtahusika apa ktk kipaji cha kuadhimisha cku ya R.I.P baba wa taifa Mh.julious kambarage nyerere tumenufaika kupata vipaji tofauti km T.Z tunaweza km alivoweza majaliwa na akapewa saport kwa jambo alozindua Mh.paul makonda basi kuna stahili ya kutaka kugundua vipaji tofauti. H9ngera land rover from A.town.cha arusha kweli litam😂😂😅❤

  • @barakamtweve3017
    @barakamtweve3017 2 месяца назад +7

    Usikute Arusha ipo nchi za nje nasisi hatujui

    • @everlynkilimba3963
      @everlynkilimba3963 Месяц назад +1

      Ni nchi ya nje nyingine kweli eeeh ,aisee wewe umenena😅

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 Месяц назад +6

    Gari ya ibrahim traole

  • @augustinomajebele
    @augustinomajebele Месяц назад +8

    Jamaa wako vizuri ni utalii tosha

  • @KimitiNdaskoi
    @KimitiNdaskoi 2 месяца назад +6

    😂😂😂 nimesikia gali linauzwa jumla na rejareja

  • @WilliamMakala
    @WilliamMakala Месяц назад +5

    Mbna hapo kinyonyo cjamuona jamani 😅😅hongeren sana wadudu

    • @Mariam-h7o6f
      @Mariam-h7o6f Месяц назад

      Kinyonyo ameoa yuko kwenya saba za mwanzo

    • @evansmtalo9406
      @evansmtalo9406 Месяц назад +1

      Yuko honeymoon alioa😂

    • @mcback4384
      @mcback4384 Месяц назад

      Mkewe kamfungia kwenye diaba

  • @ElibarickJoseph-t2n
    @ElibarickJoseph-t2n Месяц назад +4

    Naitaji namba za wadud Kuna jobi ya maan

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 месяца назад +7

    😂Safi saana ,tena Ni vemaa

  • @alberturassa6408
    @alberturassa6408 Месяц назад +2

    Hakuna mjinga hapo wote ni watu wa kawaida na wana maisha Yao acha kudanganya watz enzi hizo zimepitwa

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 2 месяца назад +4

    Hawa wadudu wametisha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @SamuelJoshua-rl8kl
    @SamuelJoshua-rl8kl Месяц назад

    Wakuu kusha nakubali yenyewe

  • @WiliampeterUngele
    @WiliampeterUngele Месяц назад +1

    Kumbe chuma aiendi yenyewe...😀😀

  • @kleofacejerome
    @kleofacejerome 2 месяца назад +7

    Inatembea kwelo😅😅

  • @eliudezekiel8615
    @eliudezekiel8615 Месяц назад +4

    Arusha sio Tanzania wenye mamlaka watuambieee

  • @MwanahijaKimaro-le9fp
    @MwanahijaKimaro-le9fp 2 месяца назад +12

    Makonda kiukweli arusha umeiwez ni wakorof sn lkn naon wanakuelewa kinoma honger kaka kwa kz

    • @evansmtalo9406
      @evansmtalo9406 Месяц назад

      Arusha wana ukorofi gani. Wakati wako pc san ndo maana utalii unaendelea vzr. Hiyo stlye yao tu! ❤

    • @mcback4384
      @mcback4384 Месяц назад

      Hamna watu piece kama wa arusha wanapenda tu vibe lakini hawana shida na mtu

  • @spabiton7989
    @spabiton7989 Месяц назад

    Hioni talent ya makondagwajima Gwajima iga bas

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 месяца назад +4

    Nimeskia milioni 3 Kwa mara ya kwanza mwenye gari hataki dola elfu 40 hivi mnacheza Na ubunifu wa mtu😂😂😂

  • @JOHNNYAMHANGAMACHUGU
    @JOHNNYAMHANGAMACHUGU Месяц назад

    ,,👏👏

  • @evansmtalo9406
    @evansmtalo9406 Месяц назад

    Hii ndo gari iliyoongoza kushangaza zadi kwenye festival. Iingizwe kwenye gueness rcords!

  • @joycembogo7870
    @joycembogo7870 2 месяца назад +2

    Mbona haitembei😂😂

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 2 месяца назад +2

    😂😂😂 eti waipe hewa gari 😂😂😂

  • @ElibarickJoseph-t2n
    @ElibarickJoseph-t2n Месяц назад +1

    Naitaji namba za wadud

  • @KornelioKibula
    @KornelioKibula Месяц назад +6

    Chuga ni mkoa ambao hauwezi ukaulinganisha na mkoa meingine apa Tz

    • @stoicman3782
      @stoicman3782 Месяц назад

      Sio mkoa hata mataifa Hawa jamaa wako kivyao vyao

    • @saliminyusuph6122
      @saliminyusuph6122 Месяц назад

      Akuna wewe. Dar. Na Morogoro ndo mikoa yenye vipaji wewe.

  • @franciscojohn5751
    @franciscojohn5751 2 месяца назад +3

    Huyu katumia pesa kidogo lakini utalii umetiki makonda kajitahidi huliko Royoly yenu ile

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 2 месяца назад

      Nyooo wageni mwaka wa pili huu hata sehemu ya kulala hamna unaongea landlover iongeze wageni.

  • @moramwita890
    @moramwita890 Месяц назад +1

    Safi sana

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng Месяц назад

    nimependa walivyonyoa

  • @justinelukumay5308
    @justinelukumay5308 Месяц назад +1

    Wenye muji wamevamia na MITUTU YA KIVITA A.K 47

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 Месяц назад

    Kweli wadudu ni wadudu tu.

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj 2 месяца назад +1

    Niubunifu tu Wala sio ujinga

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 Месяц назад +1

    Hii mitandao ya kijamii inakuwa na mivuto mbalimbali ya kuteka akili zetu na kushindwa kufikiri vitu muhimu
    na umri ndo unasogea
    ifikie mahali tukatae umaskini kwa nguvu kubwa

    • @adamuandrea6658
      @adamuandrea6658 Месяц назад

      We fikiria wengine wacha wapunguze kwere vichwani

  • @NeemaMoshi-h3b
    @NeemaMoshi-h3b Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 2 месяца назад +4

    BADO NAENDELEA KUULIZA IPI KAZI YA MKUU WA MKOA

    • @amedeustesha5947
      @amedeustesha5947 2 месяца назад

      Mbali mbali

    • @gileadmushi8294
      @gileadmushi8294 Месяц назад +2

      Unamuuliza nani?

    • @justinelukumay5308
      @justinelukumay5308 Месяц назад

      Ni pamoja na huu uamasishaji Mkubwa Big UP MAKONDA

    • @justinelukumay5308
      @justinelukumay5308 Месяц назад

      Kumbe huu Mkoa TANGU MWANZO INAMUHITAJI MAKONDA ILI NDOTO KAMA HIZI ZITIMIZWE WATU WAKO NA VIPAJI SANA ❤❤MAKONDA

    • @robertnyanda6486
      @robertnyanda6486 Месяц назад

      Kaa hivyo hivyo kama hujui kazi za RC

  • @emmanuelcharles4600
    @emmanuelcharles4600 Месяц назад

    Kakonda Yuko juu Hadi kiwanda Cha Kutengeneza magari kipo Arusha😂😂😂 Bora asifie kiwanda hiki kuliko kusifia Msafara wa magari yanayotengenezwa na Nchi zingine hrf Unasema umewazidi😂

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 2 месяца назад

    Mbona taa haziwaki 😅😅😅😅. Wala honi hakuna

  • @cleophaceruta4961
    @cleophaceruta4961 2 месяца назад +1

    Biblia sasa❤❤❤

  • @munawaromary7752
    @munawaromary7752 Месяц назад

    Wadudu

  • @HellenaMky
    @HellenaMky Месяц назад

    Makonda malafiki umepata wako naakili sana

  • @clarencemeena1628
    @clarencemeena1628 Месяц назад +1

    Ila Hawa jamaa Wana akili sana japo wanajifanya machizi

  • @moramwita890
    @moramwita890 Месяц назад +1

    Sijamuona kenyonyo

    • @EuverusJohn-b7w
      @EuverusJohn-b7w Месяц назад +2

      Kenyonyo yupo honeymoon 😂😂

    • @TheBastarrrd
      @TheBastarrrd Месяц назад

      Noumaaa ​😂😂😂😂​@@EuverusJohn-b7w

  • @BarakaJohn-c3m
    @BarakaJohn-c3m Месяц назад

    Chugaaaaa 6:16 6:17

  • @ThomasmerinyoMollel
    @ThomasmerinyoMollel 2 месяца назад +3

    Arusha cyo tanzania somalia ndogo

  • @kubwayoshomarytv
    @kubwayoshomarytv Месяц назад

    We akiliyako ndo ukiachia itachizi. Yaani mtu atengeneze mbao for fun ibadilike kua silaha

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika Месяц назад

    Mbona,mmeleta uchafu huo wanini Sasa unaweza kuuza nnje uo uchafu

  • @AndrewLwaho
    @AndrewLwaho 2 месяца назад

    Khaaaaaa😂😂😂😂😅🤪😂😂😂😂

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 2 месяца назад

    Mbona haitembei sasa

  • @augustinoevarist6754
    @augustinoevarist6754 Месяц назад +1

    Hivi tuna uhakika Arusha ni Tanzania😂😂😂??

  • @OmariMzava
    @OmariMzava Месяц назад

    Hakuna akili hapa , nikupoteza kizazi, akili za namna hii usizani zinaweza kuhimili na kuendesha familia kikawaida

  • @ibraBenjaminkiula
    @ibraBenjaminkiula 2 месяца назад

    Arusha mna feli

  • @AminaHasan-n6l
    @AminaHasan-n6l 2 месяца назад +9

    Kilamtu aje na gari yake

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika Месяц назад

    Kweli watu hawana kazi ndio maana michezo ya watoto wanacheza watu wazima Sasa ayo si magari ya watoto pumbavu sana

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 2 месяца назад +2

    Mbona haitembei.

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂mi hoi

  • @yusuphmruma1771
    @yusuphmruma1771 Месяц назад

    😂😂

  • @EuverusJohn-b7w
    @EuverusJohn-b7w Месяц назад +1

    Hahaha iyo ni nchi nyingine wewe achana nao kabisa

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian Месяц назад

    Ni upuuzi kwani nani kasema ukuwa na landrova ni kumpunguzia mtanzania umasikini tz tuna matatizo mengi sio landrova au ndio tumepata kiwanda Cha magati kwamba tunakuza uchumi wanchi nchi hii ni ngumu

    • @rajgunda9683
      @rajgunda9683 Месяц назад

      Ni kweli tz ina matatizo mengi ikiwemo umaskini wa fikra, imagine population iliopelekwa Arusha na io festival mtu hajui kama kuna watz wameingiza mapato, umewaza wenye maduka, supermarket, gues, hotels, oil stations wameingiza kiasi gani kupitia hao watu?

  • @ibraBenjaminkiula
    @ibraBenjaminkiula 2 месяца назад

    500000 hy kama mkokoteni bhn

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂

  • @simangwijac
    @simangwijac 2 месяца назад

    😂😂😂😂

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 2 месяца назад +1

    Imetoka dasilamu😂😂😂😂

  • @SihaSanyajuu
    @SihaSanyajuu Месяц назад

    Hayo ni mawazo yako ya kijinga piya

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 2 месяца назад

    Ujinga wa akilli

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 2 месяца назад +6

    Huu ujinga wakuachiwa wajinga kutengeneza silaha bandia kunasiku watatamani kutengeneza za kweli ndipo utawala utashindwa kuwatawala

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 2 месяца назад

    Halafu mnasema watu wa Arusha ni wajanja?, ujinga mtupu

  • @JacksonKilewo
    @JacksonKilewo 2 месяца назад

    😂😂😂😂

  • @joycembogo7870
    @joycembogo7870 2 месяца назад

    😂😂😂