SHIDA ZA WANA NCHI ZA MKOSESHA USINGIZI MAKAMO WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 окт 2024
  • Kutoka ALFATAH TV ONLINE
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​​​​​.
    #ALFATAHCHARITABLEASSOCIATION​​​​​​​​​​​​​​​​.

Комментарии • 42

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 3 года назад

    Asante muheshimiwa makamo Hemedi Suleiman. Huyu jamaa ni mchapa kazi kweli. Nakumbuka siku aliyomwambia Mkuu wa wilaya na yeye akiwa kama Mkuu wa mkoa gari lake aliwache skuli litumike kupelekea wanafunzi spitali na siku ya pili yake gari aliileta shuleni itumike kupelekea wanafunzi hospitali. Allah akulipe na akuongeze kufanya mbombo ya khairati

  • @ibravo59760
    @ibravo59760 3 года назад +1

    Shukran ewee kiongoz wetuuuu

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 года назад

    Mh. Hemed umesema kweli leo kuibiwa kuibiwa... waleteni watu wa NJEE kama nyiye hamna ujuzi wa KUTOSHA..MUNGU IBARIKI ZANZIBAR NA WATU WAKE. AMIN.

  • @issaomar5945
    @issaomar5945 3 года назад +3

    I like that “ hizi zote ni gharama lakini hakuna gharama zinazozidi maisha ya mtu/watu “ respect

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 3 года назад

      Ni maneno tu hayo. Ukweli ni kuwa serikali za CCM hazeheshimu maisha ya watu. Mfano mdogo tu ktk uchaguzi mkuu wa 2020 raia wasiopungua 17 wameuliwa Pemba na Unguja na wengine kujeruhiwa vibaya na kutiwa vilema vya maisha, na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi ya wauwaji. Hiyo heshima ya maisha wa watu iko wapi hapo?

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 года назад +1

    Inshaallah mwenyezi mungu atakufanyieni wepesi mazito akuondoleni

  • @rahmaabdallah5114
    @rahmaabdallah5114 3 года назад

    Manshaallah nakubali sana kazi zenu alfatah. Picha safi sana
    Allah awaepushe n’a husda mana kazi mnayo ifanya sio rahisi n’a sio kila mtu au kila tv inaweza yafanya.
    Asanteni sana kwakutuburudisha n’a picha zenye viwango.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 года назад +3

    Huyu jama Ana jitahd kadri ya uwezo wake

  • @saidomar1060
    @saidomar1060 3 года назад +2

    2030 ww ndie rais wetu baada ya rais mwinyi innshallah

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 года назад

    Aaah wallah shida tuu kila kitu

  • @zakwani885
    @zakwani885 3 года назад

    M mungu atawasaidia na insha Allah dokta atawasikiliza kilio chenu

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 3 года назад

    Hallooo the government of zanzibar Pliz try to make this problem thing of the past,it really hamper economic and social life of the people.Its so sad that the people are suffering so ihope and trust that the DP should take immediate action to end this disaster.

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 года назад

    Hapo inabidi kuje gari linyonye maji mpaka yaishe ikisha kutomolewe makaro ili maji yasikae yakafanya uchafu na mbu.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 года назад

    Jamani hatuna la kusema Zanzibar wameiuwa... kila Mwaka mambo hayo...hayooo. Dr. Hussein wasaidiyeni hawa WANANCHI..

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 года назад

    Icho ni kisiwa mipango ya ujenzi mnatakiwa muzingatie sana laa si ivyoo Mutakuja jikuta kisiwa chote maji Allah awaepushe, serikali wangeeka mipango miziri ya ujenzi unguja iyoo ni ndogo watu wote wanacha sehem wanakuja Unguja wanajenga yanawakuta hayoo yanowakuta mie Mwenyewe nimeona nijenge Pemba kwetu mana maeneo uko unguja yameisha ukipata unapewa kwenye maji, from ole

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 года назад

    Maji hayana pakwenda watu wanajenga bila kufata masharti wanoambiwa ndo mana maji yanakwenda sehem ambazo zilikuwa hazikai maji, kwenye mabonde ya mipunga watu huku kinuni watu wamejenga sasa tutarajie nini Allah atuhifadhi tu

  • @abdallahsalum7301
    @abdallahsalum7301 3 года назад

    Mambo hayaendi kwahamasa

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 года назад +2

    Huwezi kutoa maamuzi tatuzi bila ya kupita na helicopter juuu kwa juuu kwa lengo haswa la kutatua na kumaliza hilo tatizo sugu.

  • @saidomar1060
    @saidomar1060 3 года назад

    Ila al Fatah munachelewa kutupa taarifa

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 года назад

    Dhulma hailetii maendeleo

  • @ajimalmtumb9896
    @ajimalmtumb9896 3 года назад +1

    Wala sio Watu wa chini NYUMBA zenu geti kali ukilinganisha navijij vingne . Tatzo Lenu ni miundombinu mibovu kila mtu anajenga anavotka yeye hajal njia za maji Wala mabonden

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 3 года назад

    Siasa kama za MAGUFULI hakuna jipya hapa

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 3 года назад

      Sasa we wataka siasa za majukwaani sio kutatua kero za wananchi

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 года назад

    Ndo kwetu tuu hakuna kwa kwenda ila usishangae ziara zote hizo hao watakaoagizwa wakadharau wananchi tukateseka kila cku

  • @abrahmanhija9904
    @abrahmanhija9904 3 года назад

    Nitapiga

  • @idrisaabdillahibpxkijykbs4162
    @idrisaabdillahibpxkijykbs4162 3 года назад

    Kuwafanyia ziara watu na kubwabwa sio suluhisho anzeni kutatua shida za wananchi washachoka uongo wenu wa kila siku

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 года назад

    SMT ichangie miundombinu ZNZ. Masoko mengi wapo ndugu zetu wa bara. Humo mitaani hali kadhalika. Najua wana haki ya kwenda watakapo madhali tumeungana. Lakini SMZ peke yake hii kazi itawashinda. Watakuwa wanapiga deki ilhali mfereji uwazi.

  • @bokasa5150
    @bokasa5150 3 года назад

    Hivi serikali iliyopita ilikuwa wapi hadi hali akawa hivi

  • @mr.maulidmahmoud1526
    @mr.maulidmahmoud1526 3 года назад

    Tunasubiri utekelezaji

  • @saidomar1060
    @saidomar1060 3 года назад

    2025 nitapiga kura kwa mwenendo huu wa kuwajali wananchi mana miaka ishirini ilopita nilikataa kupiga kura

  • @el_chilubi7458
    @el_chilubi7458 3 года назад

    Hapo jumbi kadhulumiwa mtu ardhi yake.

  • @feisalmassoud8176
    @feisalmassoud8176 3 года назад

    Kwani hapo mwanzo kabla ya kua makamo ilikua hajui kama wananchi wanashida

  • @aliasaa5087
    @aliasaa5087 3 года назад

    Mbona ni mda mrefu tunasumbuka na tatizo hilo hilo

  • @hijjafakky1381
    @hijjafakky1381 3 года назад +1

    Huyu ni kiongoz wetu lzma akose usingiz na tunataka atutekelezee shida zetu👆👆👆

  • @tigerboy5685
    @tigerboy5685 3 года назад

    Hatutaki kuamini kwa serekali ya fulani tunataka kuona utekelezaji kwa serikali iliyopo madarakani

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 года назад

      Kusuka au kunyoa wote usafi wa kichwa. Ukiita serikali iliyopo madarakani au ya Mwinyi yote yaleyale.

  • @IbrahimAli-sb7es
    @IbrahimAli-sb7es 3 года назад

    Asatebaba

  • @aliasaa5087
    @aliasaa5087 3 года назад

    Na sisi tomondo maboga