Jux - Sisikii (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 фев 2020
  • Tanzanian R&B Singer Jux delivers the official video for Sisikii audio produced by Manecky at AM Records.
    Music Video Directed by Zed Benson Starring Vanessa Mdee in Guangzhou China.
    Available Worldwide:
    africori.to/juxthelovealbum.oyd
    © 2019 African Boy
    Follow Jux
    Facebook: / juma-jux-553
    Instagram: / juma_jux
    Twitter: / africanboyjux
    Subscribe here: - / juxvevo
    ruclips.net/channel/UCFVU...
    More from Jux:
    Now You Know ft. Q Chief: • Jux - Now You Know [Fe...
    Wambela ft. Ruby: • Jux - Wambela [Ft. Rub...
    Subscribe here: - smarturl.it/RUclips_Subscribe
    Digital distribution: www.africori.com/
    #Jux #Sisikii #AfricanBoy
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 812

  • @David.108
    @David.108 3 месяца назад +81

    Tulio rudi 2024 tujuane gonga like 👍 twende sawa

  • @Juma_Travel
    @Juma_Travel 4 года назад +487

    Kama unaona jux ka mkumbuka vannesa like apa

  • @JulienneHeart
    @JulienneHeart 4 года назад +342

    Vanessa wangu 😰 🥰❤️ kama uko fan wa Vanessa mdee nipe Like basi ❤️🥰😉

  • @venessahatieno4681
    @venessahatieno4681 3 года назад +121

    Kama uliipenda hii couple pita na like basi🔥🔥🔥#sisikii

  • @seballepaul6644
    @seballepaul6644 2 года назад +111

    Kama umesikiliza Nyimbo ya Jux mpya afu ukarudi hapa Gonga like

  • @mussakhan5939
    @mussakhan5939 4 года назад +148

    Wale tuliommiss shemej yetu Vanessa pita na like hapa

  • @anjelacosmas818
    @anjelacosmas818 3 года назад +4

    Km kuna wanaotazama wimbo huu nakuurudia gonga like

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 4 года назад +164

    Jaman na mm leo nipen like hata moja cjawah pata like hata cku moja

  • @lucytuti3873
    @lucytuti3873 2 года назад +163

    Its already 2022 February...lets see how many legendary are still jamming in to this

  • @veronicahwanjiku936
    @veronicahwanjiku936 4 года назад +403

    Who else feels like he misses Vanessa😅😘😘😍

    • @Susanwanjiru1989
      @Susanwanjiru1989 4 года назад +9

      He hurt her😥😥😥

    • @petromtakati2975
      @petromtakati2975 4 года назад +6

      It's not a feeling he's in love with vanessa 1

    • @SZN-2
      @SZN-2 4 года назад +4

      pgm Mtkt you are right! He is not over her. 😔 but, they might get back together. 🙂

    • @kisurasasha
      @kisurasasha 4 года назад +3

      These two are soul mates

    • @richardmwidongo9623
      @richardmwidongo9623 4 года назад +2

      Mapenz mchezo mbaya sana

  • @diamondtenny3915
    @diamondtenny3915 Год назад +2

    Here 2023❤️❤️💗💗💗💗🎄

  • @paulprotas7198
    @paulprotas7198 Год назад +3

    Just january 2023 am listening to it gongalike hapa

  • @malaikauwase9421
    @malaikauwase9421 Год назад +2

    It's already 2022 December let's see who are in with me

  • @Theflexstudiotz
    @Theflexstudiotz 4 года назад +94

    Comments za watu ni vanessa, vanessa na vanessa yaani ni VANESSAAAA 😂😂😂

  • @smartboymedia1809
    @smartboymedia1809 4 года назад +46

    Kama jux kammisi Vanessa gonga like hapo chini

  • @jumastephano2688
    @jumastephano2688 2 месяца назад +2

    Gonga like kama unaisikiliza 2024

  • @levy_de_starboy
    @levy_de_starboy Год назад +2

    Juma n Vanessa watakuja kurudiana,trust me on this 2023

  • @Tigressnjoki.
    @Tigressnjoki. 2 года назад +17

    Sina neno brought me back here...I love Jux

  • @zakayolazier1193
    @zakayolazier1193 Год назад +2

    2023 nampaaa jux maua yake 🎉🎉

  • @yaliomo1808
    @yaliomo1808 3 года назад +53

    When you loose a good woman because you think she doesn't have a say.

  • @positivewave2393
    @positivewave2393 4 года назад +3

    Vanessa tunamrudisha soon 🙌🙌🙌 gonga like kama unaamini atarudi 💪💪💪

  • @lewismalale5276
    @lewismalale5276 11 месяцев назад +2

    june 2023🔥🔥 legends

  • @pendo8082
    @pendo8082 Год назад +1

    Na kweli hukusikia hadi dada v money amekuacha😂😂

  • @sultun6528
    @sultun6528 Год назад

    Its already July 2022...we are still here.Who are still surviving
    ..like for proof

  • @philemonraymond8860
    @philemonraymond8860 2 месяца назад +5

    2024 bado nasikiliza hii nyimbo Kali sana👏

  • @emmanuelodiembo4616
    @emmanuelodiembo4616 Год назад +17

    This guy ain't receiving the kind of recognition he deserves,top artist,I love his vocals en vibe....am a proud Kenyan who always supports African music.

  • @SIKUDHANISHIRINITZ
    @SIKUDHANISHIRINITZ 10 дней назад

    Kipindihicho jux alikua nasura yakitoto jamani au naona mietuu😂😂

  • @fraviusmanyika7521
    @fraviusmanyika7521 3 года назад +23

    Mapenzi mapenzi yana hisia kali sana ikiwa tu mlipendana, l believe kwa wote wa wili kama walikuwa na mapenzi ya dhati bado yanaishi mioyoni mwao na moment hizi wakizikumbuka basi hubaki wakiumia Moyoni, mziki mzuri, jumbe nzuri kwa yule umpendae 🌹. Kama wote wapo mikono salama hawatarudiana ila kama nitofauti Mapenzi yata wafunza nawatarudi kuwa pamoja tena🌹 Mpende ulie nae sasa katu usiruhusu Ugomvi katikati yenu 💔, kuweni kielelezo cha mapenzi yenu 💖 na Mungu wa mbinguni awabariki ndimi rafiki yenu Fravius 🌹

  • @beatricemgalla7175
    @beatricemgalla7175 3 года назад +16

    Wimbo wangu usiochuja tangia 2015 Hadi leo 2021 jux 😍😍

  • @moses-nq4uy
    @moses-nq4uy Год назад +2

    2023 March
    I love love jux for life

  • @gloriouslameck6909
    @gloriouslameck6909 3 года назад +3

    Kam umeangalia baad ya hawa jamaa kuachan like hap🙊🙊🙊

  • @agnesslyamuya8085
    @agnesslyamuya8085 Месяц назад +2

    Any 2025 here ??

  • @paulinenjoki692
    @paulinenjoki692 11 месяцев назад +19

    2023 still in love with jux music 🎶 ❤

  • @Official_lumumba
    @Official_lumumba Год назад +1

    Hii nyimbo ni utabiri wa kilicho kuja kutokea

  • @Raymonbenedict28
    @Raymonbenedict28 Год назад +16

    2023...still singing the lyrics like it"s mine💥💥

  • @rachelpeter7032
    @rachelpeter7032 Месяц назад

    Couple inaniuma mpk kesho hii😂😂😂😂😂😂😂aya wa 2024 mko wapi

  • @KisimbaAbed
    @KisimbaAbed 4 месяца назад +5

    2024 love is a choice and staying together it by the grace of God mungu hakuamua itokee no way

  • @ashatz3434
    @ashatz3434 3 месяца назад +1

    2024 feb i admire these gyz 👐

  • @johnassenga3533
    @johnassenga3533 5 месяцев назад +1

    15-12-2023 still on this song guys

  • @agnesmbugua690
    @agnesmbugua690 Месяц назад +1

    Guys note a lady loving you that much is not a weakness,,the moment she decides to move on...sisikii will be your story too.

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 2 года назад +4

    Nimekuja kuangalia huu wimbo baada ya kuona mimba ya v money🤣🤣🤣🤣mwingine nani

  • @skmajani
    @skmajani 2 года назад +5

    Am here after #sinaNeno,I miss mdee na jux meenn!these two really made a good one..aki mapenzi wewe 😔.

  • @maryabby4669
    @maryabby4669 11 месяцев назад +1

    It's June 2023 I am back here again❤❤❤

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 Год назад +1

    Sina lakuandika zaid ya 😭😭😭

  • @usangu_welding_fabric
    @usangu_welding_fabric 4 года назад +1

    Vanessa anamtrsa jux jaman hadi Kam dadicat hivi hii nyimbo sio ya kupandishwa RUclips leo

  • @anitahvalerie3857
    @anitahvalerie3857 2 года назад +7

    The chemistry between jux and vee baby was on another level...

  • @fainesmgalla6192
    @fainesmgalla6192 2 года назад

    Kama umekuja huku baada ya ujauzito wa Vanessa like twende sawa

  • @eleoncejohn3823
    @eleoncejohn3823 2 года назад

    Shida ilianzia hapa

  • @shabanihamisi115
    @shabanihamisi115 2 года назад +7

    Moment that will never come back again😭

  • @DaudiMagumba-fq6eu
    @DaudiMagumba-fq6eu 2 дня назад

    29/5/2024. Saa10 ucku noma sana jux

  • @mswateresiaemmanuel5314
    @mswateresiaemmanuel5314 Год назад

    Najibamba nikiwa 🇸🇦

  • @Kynamaleyk
    @Kynamaleyk 2 года назад +6

    Coming here after Sina neno by Jux❤😢💔...i feel this guy take heart 💯

  • @olivermfinanga1268
    @olivermfinanga1268 2 года назад +1

    Dah leo nmerud ten kuangalia huu wimbo baada ya video ya sina neno

  • @Veemuiru6483
    @Veemuiru6483 4 года назад +4

    All times favourite.. Wapi likes za jux jameni

  • @janemuya3375
    @janemuya3375 3 года назад +12

    2021, who else is still listening to this song?❣️

  • @davidnchoji
    @davidnchoji 3 года назад +50

    It's April 2021 am back here again. This boy is another level ♥️

  • @davidochieng3197
    @davidochieng3197 8 месяцев назад +1

    Gutted that the duo’s relationship never materialized despite all.

  • @twayzo6207
    @twayzo6207 4 года назад +1

    Ni kweli umekubuka chaka kaka? Wangapi wanasema jux kamkubuka V?? Like twende sawa🔥❣💔

  • @wanjirunjeri7486
    @wanjirunjeri7486 Год назад +1

    Who's here November 2022

  • @dabasodiba339
    @dabasodiba339 2 месяца назад +1

    One of my fav song 💞.
    Still listening to this piece.

  • @andrewhamisandrew8031
    @andrewhamisandrew8031 2 года назад +6

    Saluti kwako jux we noma sana nyimbo nzuli sana

  • @robijorum4113
    @robijorum4113 Год назад +6

    For everyone who ever been hurt by an ex😓🙏

  • @everlynenjogu9723
    @everlynenjogu9723 Год назад +1

    Jux wee n mnomaa

  • @safinatourssafaris2519
    @safinatourssafaris2519 Год назад +1

    Jux asikutese yule baba rotim hawezi kukufikia

  • @alexlucas1571
    @alexlucas1571 Год назад

    V money and jux 2023

  • @seepraise3698
    @seepraise3698 4 года назад +33

    bro kali beats apo naona umemkumbuka wife vennessa .likes zi flow #sisikii kali

  • @RubenIbrahim-st6dh
    @RubenIbrahim-st6dh 11 месяцев назад +1

    It's now 2023 am still enjoying the good music

  • @thomaskangero5576
    @thomaskangero5576 4 года назад +61

    Jux mzee baba najuwa real unampenda Vanessa ila dha wote hatujui nin kilikwamisha upendo wenu bro but hope utasikia tu ur songs a awesome sana bro

  • @mudymau1759
    @mudymau1759 Год назад

    Kaka jux ukwel mim binafsi naumia wew kua mbali na Vanessa 2023😭😭😭

  • @mashikukitobelo9760
    @mashikukitobelo9760 3 месяца назад +1

    Nimemiss sana haya mahusianoo😢

  • @user-xh8ps9sp6d
    @user-xh8ps9sp6d 3 месяца назад +1

    still love this song uwiiii nammis Vee money

  • @jenipherjames6377
    @jenipherjames6377 4 года назад +4

    Pole Sana jux jamani pole sana mapenzi yanauma mno asikwambie mtu ila jikaze tu hata vanessa anakumiss sema anajikaza so jipe moyo

  • @susanadhiambo6253
    @susanadhiambo6253 2 месяца назад +1

    Ive been listening this song since childhood today am watching the video first time lovely

  • @amani2555
    @amani2555 4 года назад +2

    _Kama unamkubali hii ngoma na unaona kama mpya gonga like_

  • @jumaramadhan3380
    @jumaramadhan3380 4 года назад +37

    Vanessa plz come back to this boy😂😂😂

  • @calebwanjala3177
    @calebwanjala3177 Год назад +1

    Who's here in 2023?!

  • @Bennie_tv
    @Bennie_tv Месяц назад

    My best song forever 2024

  • @Jujuchaser1215
    @Jujuchaser1215 5 месяцев назад +4

    December and still vibe 🥰 vanessamdee the best female in Africa

  • @janetmwangi2015
    @janetmwangi2015 2 года назад +58

    This song never ages!!I can listen to it 100 times😍😍😍

  • @angerolucas-tn4vy
    @angerolucas-tn4vy 8 месяцев назад

    2023 like

  • @thelyrics5165
    @thelyrics5165 4 года назад +1

    I waz lyk🙄I day ago???! Wakat ii imetok Bado nasoma 🤗kumbe karepost Tena🤗😅

  • @jenniferotieno1156
    @jenniferotieno1156 3 года назад +33

    These two looked good together 😍😍❤

  • @wizshine1904
    @wizshine1904 2 года назад

    Na nyimbo alimwimbia lakini wap? daàaaa!!!!!!

  • @ArthemondNimubona
    @ArthemondNimubona 6 месяцев назад +2

    Nakubali sana juma❤❤❤

  • @vaustineobura9828
    @vaustineobura9828 2 года назад +12

    I miss this couple 😪😭

  • @gladysmtenda2843
    @gladysmtenda2843 Год назад

    February 2023 am wa

  • @mfuasieddyson6521
    @mfuasieddyson6521 Месяц назад

    Mi sisikii aisee ngoma Kali sana❤

  • @JayEastMusic
    @JayEastMusic 6 месяцев назад

    Leo napitia ngoma zangu kar na kimvua hiki cha dar kibalidi kwa mbar na melody tamu

  • @yisufaboubakar8349
    @yisufaboubakar8349 Год назад +1

    Couple Yang nimekuwa naipenda saana huwa naumiaga saana kuona jinsi walivyo acana wao bila hata mtoto wakumbukumbu😭

  • @DominicSergiomutai
    @DominicSergiomutai 5 месяцев назад

    Wee, ulinionesha njia nzuri
    Nisipotee (no no no)
    Natena wee, nilipo anguka ulininyanyua
    Nitembee mmmh
    Sikufuata ulivyotaka wee
    Hukupenda tugombane wee
    Hukutaka kuniona mi na shida
    So tu kila mida mi niko lonely
    Sikufuata ulivyotaka wee
    Hukupenda tugombane wee
    Hukutaka kuniona mi na shida
    So tu kila mida mi niko lonely
    Mi sisikii (Sisikii)
    Una true love baby wee
    Na sioni (Sioni)
    Mpenzi kama wee
    Owaa, owaaa
    Owaa owaaa oh oh
    Owaa, owaaa
    Owaa owaaa oh oh
    Nasema wee
    Ulisubutu usile wewe uniletee
    Natena wee
    Kuna makosa ulipaswa usinisamehee
    Sikufuata ulivyotaka wee
    Hukupenda tugombane wee
    Hukutaka kuniona mi na shida
    So tu kila mida mi niko lonely
    Sikufuata ulivyotaka wee
    Hukupenda tugombane wee
    Hukutaka kuniona mi na shida
    So tu kila mida mi niko lonely
    Mi sisikii (Sisikii)
    Una true love baby wee
    Na sioni (Sioni)
    Mpenzi kama wee
    Owaa, owaaa
    Owaa owaaa oh oh
    Owaa, owaaa
    Owaa owaaa oh oh
    Unajitahidi tahidi
    Kunipa upendo
    Nitakupenda zaidi
    My love, my love
    Unajitahidi tahidi
    Kunipa upendo
    Nitakupenda zaidi
    My love, my love
    Mi sisikii (Sisikii)
    Una true love baby wee
    Na sioni (Sioni)
    Mpenzi kama wee
    Owaa, owaaa
    Owaa owaaa oh oh
    Owaa, owaaa
    Owaa owaaa oh oh
    Mi sisikii (Sisikii)
    Una true love baby wee
    Na sioni (Sioni)
    Mpenzi kama wee
    Owaa, owaaa
    Owaa owaaa oh oh
    Owaa, owaaa
    Owaa owaaa oh oh

  • @vanemochama2965
    @vanemochama2965 Год назад +1

    Wow to me I love jux because songs zake sinanimbamba

  • @LatfaMusuya
    @LatfaMusuya Месяц назад

    Jux hawezi mkumbuka tena vannesa

  • @husseinally7052
    @husseinally7052 4 года назад +8

    Baba utakua umemmiss Vanessa si bure but i like this couple to come up again.

  • @gemmammassy7192
    @gemmammassy7192 2 года назад +7

    when i listen this song and sing my self,,,i get deeply feelings that contain mercy....😌😌😌 who feel like me

  • @queenmamou254
    @queenmamou254 4 года назад +84

    He missed her ...OMG it's hurts

    • @26chancelor
      @26chancelor 4 года назад +2

      pole saana Jux. ca fait tres mal

    • @richardmwidongo9623
      @richardmwidongo9623 4 года назад

      Mapenz cyo mchezo

    • @yxungyj
      @yxungyj 4 года назад

      kim maryam New song ya Sho madojozi ft Diamond platnumz remix ya John Cena ina kuja soon....ona vidéo apa👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽 ruclips.net/video/D7i4FCgfCfU/видео.html

    • @richardmwidongo9623
      @richardmwidongo9623 4 года назад +1

      @@queenmamou254 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @queenmamou254
      @queenmamou254 4 года назад

      @@richardmwidongo9623 nisaidie ku subscribe kweny you tube channel yangu 🙏

  • @estarmelodie1231
    @estarmelodie1231 2 года назад +1

    Huyu aliachwa muosho moja Safi

  • @stellavenansi2144
    @stellavenansi2144 2 года назад

    Jomon jux roho imeniuma saana mlivyo achana na ve money

  • @joyceraphael6631
    @joyceraphael6631 2 года назад +2

    Atari Sana ndio yeye jux ana mpizani mziki wakiisia kabisa kwawapezi ilove gsong ❤️❤️❤️❤️🥁🙏

  • @user-yi8pe8zz1t
    @user-yi8pe8zz1t 2 месяца назад

    Ila jux Na wewe jamani💐💐

  • @winniedorah778
    @winniedorah778 2 года назад

    Back here 2022 who else is here this here