Jux - Zaidi (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 сен 2018
  • Zaidi (which means 'more' in Swahili) by Jux is about a love story between two love birds that love each other and try to remind themselves that they deserve more love.
    The video shows Jux in love with a low class woman. He is trying to find her in the streets where he first saw her, he believes that she is the one who will give him more love. Jux is trying to remind us that we all deserve to love and to be loved unconditionally.
    Follow Jux
    Facebook: Juma-Jux-553...
    Instagram: / juma_jux
    Twitter: / africanboyjux
    Digital distribution: www.africori.com/
    Lyrics:
    Its bob manecky
    Intro:
    Nana nana naaana
    Nana nana naaana
    Nana nana naaana
    Nana nanaaa
    Verse:
    Zinanitoka goose bums,
    Nikisikia jina lako
    Mi ninaweukaa
    Kabisa mi ni chizi wako
    Na kama ni mganga eeeh
    Mzuri huyo mganga wako
    Sio kwa kunipumbaza huku
    Baby, Mmhh
    Mamy ongeza ubuyu
    Nizidi kuumung’unya eeeh
    Tena na sukari guru
    Utamu nikitafuna eeeh
    Baby ongeza ubuyu
    Nizidi kuumung’unya eeeh
    Tena na sukari guru
    utamu nikitafuna eeeh (mhmh)
    Pre-Chorus:
    Kama ni pili pili maa (na na na na)
    Acha ukali niusikie (na na na na)
    Kama nivita mamaa (na na na na)
    Acha adui wanivamie (na na na na)
    Kama we ni asali maa (na na na na)
    Acha na nyuki wanivamie (na na na na)
    Lakini penzi lako baby (na na na na)
    Ata kidogo lisipungue (na na na na)
    No no nooooo
    Chorus:
    Zaidi zaidi zaidi zaidi (mhmhh)
    Nipe nipe
    Zaidi zaidi Zaidiii (mhmhh)
    Wewe zaidi zaidiii zaidiii
    Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
    Bridge:
    Haya yaya yaaah yaaah...
    Haya yaya haya yaya yaaaah...
    Verse:
    Nanyosha mikoni juu
    Kwako mi nimesurrender
    Naona maajabu
    Sungura kazidiwa ujanja
    Nimekuwa zuzu zuzu zuuu
    Nimekuwa bubu bubu buuu
    Nimekuwa mbumbu mbuu baby eh
    Nimekuwa zaidi ya nyumbu
    Sioni sisikiii... (aaah)
    Sioni sisikii ... Baeby
    Pre-Chorus:
    Kama ni pili pili maa (na na na na)
    Acha ukali niusikie (na na na na)
    Kama nivita mamaa (na na na na)
    Acha adui wanivamie (na na na na)
    Kama we ni asali maa (na na na na)
    Acha na nyuki wanivamie (na na na na)
    Lakini penzi lako baby (na na na na)
    Ata kidogo lisipungue (na na na na)
    No nooooo oooooh
    Chorus:
    Zaidi zaidi zaidi zaidi (yeyeeeee)
    Nipe nipe
    Zaidi zaidi Zaidiii (mhmhh)
    Wewe zaidi zaidiii zaidiii
    Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
    Outro:
    Mamy ongeza ubuyu
    Nizidi kuumumunya eee
    Tena na sukari guru
    Utamu nikitafuna eee
    Baby ongeza ubuyu
    Nizidi kuumumunya eeee
    Tena na sukari guru
    Utamu nikitafuna eeee
    Mhmhmh...
    vevo.ly/P8jUvA
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 2 тыс.

  • @rosemollel2681
    @rosemollel2681 3 месяца назад +29

    Nimerudia tena kusikiliza hii nyimbo 2024 ❤ tujuane hapa kwa like tunaokubali jux

  • @kenserem946
    @kenserem946 3 года назад +56

    Walai jux ni wangu tangu leo..kumbe nilikua nimepotea law mziki jamenii..nipe like jamenii

  • @kijiwenikwetu
    @kijiwenikwetu 14 дней назад +1

    TULIO SIKILIZA TENA KWA MARA NYINGINE HII NGOMA LEO 2024 like zetu plz 🎉🎵🎹

  • @maxirodriguez.
    @maxirodriguez. 5 лет назад +2

    JUX sina neno ila ubarikiwe utupe ZAIDI isipungue 100%

  • @KTMediatv
    @KTMediatv 2 года назад +4

    Huu mzigo wa moto. 🔥🔥🔥

  • @betterman1821
    @betterman1821 5 лет назад +6

    Unastahili kuitwa king wa Rnb Tanzania nzima Sijaona kama wew kama unaamini Jux Ni msanii Namba Moja Wa Rnb Tanzania GONGA LIKE

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 3 года назад +7

    Kama ndiyo kwanza unaangalia hii ngoma gonga like👍 na comment ili tuende sawa

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 4 года назад +161

    2020 anyone???😘

  • @humphreykagwi5096
    @humphreykagwi5096 Год назад +22

    Years down the line this Song is still a Hit! We love it in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BerzyBerzy
    @BerzyBerzy 3 года назад +62

    I'm Italian. I have no fucking idea of what this dude is singing. He could sing about papayas as far as I know. But he really puts his soul into this sht. I love it

  • @irenemusyoka3444
    @irenemusyoka3444 6 дней назад +1

    Back here 2024 🇰🇪🇰🇪

  • @sallywanderland3836
    @sallywanderland3836 5 лет назад +130

    This artist is quite underrated in terms of the work's he has done.. He needs more love #Africas son of Swahili RnB... A legendary in the making.. Like if you agree.. With love from Kenya

  • @tawhidkheri6334
    @tawhidkheri6334 5 лет назад +4

    ebhna huyu mtoto hazeek huyu si ndo yule teacher kwenye ngoma ya young dee🙌🙌🙌

  • @simaotv8560
    @simaotv8560 5 лет назад +30

    Kama Kwel unamkubali JUX like Zako apa♥♥♥♥♥♥♥♥

  • @jowiboyone5195
    @jowiboyone5195 6 дней назад +1

    Kila siku hii ngoma naipiga

  • @Juma_Travel
    @Juma_Travel 4 года назад

    Ingoma Kila siku nasikiliza zaidi jux Nice bro

  • @merimeprosper6901
    @merimeprosper6901 5 лет назад +9

    Kali sanaa hii 🔥🔥 gonga like kama umelike kabla yakumalizia video

  • @SateyianMary
    @SateyianMary 5 лет назад +32

    your music is therapy walai

  • @dismasitv9595
    @dismasitv9595 5 лет назад

    jux African boy Nakukubali hadi kitaani wananiita Jux 2ko pamoja ZAID YA ZAID mwendo wa kumung'unya ubuyutu

  • @user-li9cd4db7o
    @user-li9cd4db7o Месяц назад

    Jux ana nymbo nzuri jaman napenda san nyimbo zake

  • @epifaniamponda5676
    @epifaniamponda5676 5 лет назад +179

    goma kali brother 👏👏👏👏wale wakuangalia goma huku wanasoma comments like twende sawaaaa😘😘😘😘😘😘

  • @Jordan-pm2uj
    @Jordan-pm2uj 5 лет назад +176

    Big up jux ngoma kali sana.. Diamond platinums ana mengi ya kujifunza kutoka kwako. 🔥 🔥 gonga Like tumpe shavu jux kama una mkubali ..

  • @smithlegrande
    @smithlegrande 5 лет назад +76

    My favorite from my bigman skia hiyo sauti na mpangilio wa maneno alafu ugonge like hapa ju kwa Jux nimekuwa mbumbumbu sioni sisikiiii💯

    • @livinemrema8715
      @livinemrema8715 4 года назад +1

      Jux n noumaaa ana maujumbe matamu hatariii acha kabisa unachezea ngoma zake. Tulia wewe utaumbuka usipo like... Emb 💗 💗 like

    • @taysonmdao7423
      @taysonmdao7423 4 года назад

      Smith Legrande n

  • @brianwanjiku8629
    @brianwanjiku8629 2 года назад +1

    hiyo ngoma ni more fire tena sana

  • @devdyalphonce4926
    @devdyalphonce4926 5 лет назад +148

    mzee baba video kali kuna ubunifu flani iviii amaizing kama umeuona gonga lke

    • @brownytay
      @brownytay 5 лет назад +1

      Tel me about jux in chipmunks version here
      JUX ruclips.net/video/Zx3NdXKp458/видео.html

  • @albanbros7210
    @albanbros7210 5 лет назад +10

    Ngoma kali unasikiliza mara moja tu unaielewa wala hupati tabu.
    #zaidi

  • @deebrown7908
    @deebrown7908 5 лет назад +22

    Kamahunamkuba jux gonga like bas ilitwende sawa
    Tujuwa wanao mpenda

  • @djflamethrower3598
    @djflamethrower3598 2 года назад +6

    2021 who’s still singing this for bae 😌🚨 love from 🇷🇼 Rwanda

  • @amanahenerico9864
    @amanahenerico9864 5 лет назад +14

    King wa R&B yetu bongo.

  • @salamaomary6604
    @salamaomary6604 5 лет назад +45

    Jux I love you 😍😍😍 dada vee jikaze si kwa ubaya😄😄😄

  • @proscoviaawori850
    @proscoviaawori850 4 года назад +35

    Can't stop listening to this music on Spotify i love it 😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @user-kn3vj7yo1i
    @user-kn3vj7yo1i 4 месяца назад +1

    Unyama sana jux alitisha San hii nyimbo namukubali sas

  • @michellemabale890
    @michellemabale890 3 года назад +3

    Any kenyan... Gonga like am still here in 2020

  • @amisisteven8339
    @amisisteven8339 5 лет назад +23

    *jux* the best ever .! 💪💪💪💪💪. Ongeza ubuyu 😁💪

  • @vasleyoutfity5157
    @vasleyoutfity5157 Год назад +1

    2023… tun angalia gud music

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 5 лет назад

    One of my best Rnb singer labda aje mwingine ila kwa sasa sjaona wapo wa kali ila huyu #1.

  • @delixscotch1764
    @delixscotch1764 5 лет назад +4

    Kenya namark register gonga like kama unamkubali jux

  • @nyagakennedy9101
    @nyagakennedy9101 2 года назад +8

    THIS SONG DESERVES OVER 10M VIEWS - AUDIO CLARITY AND QUALITY LEAVES ME DROOLING NOT TO MENTION JUX'S FLOW

  • @achiengndegwa2820
    @achiengndegwa2820 3 года назад +1

    Mzuri huyo mganga wako ♥️

  • @brianmangera115
    @brianmangera115 3 месяца назад +1

    2024 anyonee😭😭❤️❤️

  • @felix19
    @felix19 5 лет назад +48

    I love this guy's music... Legend

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 5 лет назад +11

    Jux our pride, if u believe it please like it, 254 feel welcomed guys

  • @stanleymsaki554
    @stanleymsaki554 5 лет назад

    kama unamkubali jux gongs like yako hapa

  • @mudymteka330
    @mudymteka330 3 года назад +1

    Nakubali juma jux ver goog my brothear

  • @rickierunyota3613
    @rickierunyota3613 5 лет назад +8

    M mzambia cjui kiswahil... Iv uyu bwna jux mbna Zambia anatamba yey tuu

  • @AbdulRazzaq-uf7zo
    @AbdulRazzaq-uf7zo 5 лет назад +7

    duh! huyu mwana balaaa....! 🔥🔥🔥🔥

  • @JayEastMusic
    @JayEastMusic 6 месяцев назад

    Hiii funika mwaka ilikua ad sasa kila nikiisikiliza ngoma zao zote za mapenz naweka kuleeeeeeee mbaliiiiiiiiiiiiiiiiii nice song zaid

  • @georgeshija1276
    @georgeshija1276 5 лет назад

    dah!sijui ni lini utakuja kukosea aisee African boy tisha mbayaaaaaa

  • @rickkabakama3781
    @rickkabakama3781 5 лет назад +15

    mmmmh hadi nakosa neno zaidi ya vibe African boy umetixha

  • @pasqalog5051
    @pasqalog5051 5 лет назад +17

    African boy u killed it brother

  • @ngaloloisayaisaya9830
    @ngaloloisayaisaya9830 5 лет назад

    Zaidi zaidi zaidi ikojuu Sana umetisha brother hongera sana√√√√√√√√√

  • @brothera441
    @brothera441 4 года назад +1

    Nilipo muhona nashindwa kuongeya tena

  • @rastaboytz7125
    @rastaboytz7125 5 лет назад +12

    Jux always is the best artist for me,,more appreciate bro

  • @salmamuhamed9647
    @salmamuhamed9647 5 лет назад +22

    jux nyimbo zako zote ni nzuri hazinaga tafsiri mbaya unaweza kusikiliza hata ukiwa na watu wakubwa kuliko wasanii wengine wanaimba maneno sio uwezi hata kusikiliza na mzazi ila wewe ni moto na kukubali sana jux 🔥🔥🔥

    • @livinemrema8715
      @livinemrema8715 4 года назад

      Yan me nakukubali sana jux..... Una nyimbo nzur na zenye vumvuto kinomaaaaa. Yan unatoa nyimbo kali ambazo hazina matusi... Love u more jux....... We ndo mkali wao achaia vitu broo me nakukubali kinoma

  • @shaibumgaya8544
    @shaibumgaya8544 5 лет назад

    kama ninguwa na mimi naimba ninge kwambia umeniibiaaa! imenigusaaaa zaidi umetisha

  • @giftokeyo1053
    @giftokeyo1053 Год назад

    who's here this year? a classic !!!

  • @Sue_Oduya
    @Sue_Oduya 5 лет назад +7

    I can't get over this one 😭😭😭

  • @taricqeekaunda9562
    @taricqeekaunda9562 5 лет назад +30

    Ma'mae KICHUPA KIMEJIBEBA ILE MBAYA. Good work.

  • @AbdulAlley-vm7td
    @AbdulAlley-vm7td 5 месяцев назад

    Juma jux unajua mzee king of rnb

  • @AnnithaMgawe
    @AnnithaMgawe 6 дней назад

    Kipind hiko me nipo kwenye penz zito sana jaman jux ulijua kuimba ila mmmmmh

  • @devicerdanadana6913
    @devicerdanadana6913 5 лет назад +4

    Uswahilini kbs hv ndo inatakiwa urithi wetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @carenkalinjuma380
    @carenkalinjuma380 5 лет назад +4

    "nimekua bubu bubu""⚘⚘ his music hits the 'am crazly in love'' button ..

  • @emmanuelnicholaus8795
    @emmanuelnicholaus8795 5 лет назад

    % nyingiii za nyimbo ya jux hazikinaishagiii hata kidogo mazeee

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 2 года назад

    Maneke.
    #Zaid by jux
    #alele by ruby.
    🙌🙌🙌🙌Bob maneke.

  • @haxon015
    @haxon015 5 лет назад +50

    Jux unaweza Kuimba una bonge LA voice brother sana👋👋👋👋

  • @netliamsandra8571
    @netliamsandra8571 4 года назад +9

    To me this guy is big in TZ I enjoy his music big time,, he will make to learn Swahili, so that I can be understanding what he says

  • @policiakenya641
    @policiakenya641 5 лет назад +1

    hakuna anayenipendeza bongo kam JUX

  • @United_fraternity.2024
    @United_fraternity.2024 3 месяца назад

    Bro 2024 but jux this song is timeless....jux you are a king

  • @tysonphilip2094
    @tysonphilip2094 4 года назад +14

    Kama umeichek tena zaidi 2019 December gonga like zote

  • @anitaprecious7550
    @anitaprecious7550 5 лет назад +45

    He never disappoint my all time crush from +255

  • @rahmaissa3816
    @rahmaissa3816 4 года назад +1

    Umetsha mdogo juma

  • @mohammedseyf6531
    @mohammedseyf6531 4 года назад +1

    Huyu msenge hatarii anajuaa sanaaaa

  • @clemencebahati2821
    @clemencebahati2821 4 года назад +6

    Music muzuri sana 👂

  • @sirdavis7054
    @sirdavis7054 5 лет назад +53

    Huyu jamaa habahatishi anajua anachokifanya big up Juma Jux gonga like kama unamkubali Jux

  • @fatyqueen346
    @fatyqueen346 3 года назад

    Bae ungeza ubuyu nizidi kuwumunguny😘😘😘❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @juliusmatalotv5996
    @juliusmatalotv5996 5 лет назад

    Yaan wewe na kasim mganga kwa nyimbo za mapenz nawakubali sana

  • @joydee3187
    @joydee3187 5 лет назад +19

    Bby ongezaaa ubuyuu uuuuwiiii ue mtam zaidi ya wa shilawaduuuu KEEP IT UP!!!!

  • @emmanuelmohamed181
    @emmanuelmohamed181 5 лет назад +15

    Jux is trying to remind us that we all deserve to love and to be loved unconditionally, good job kamanda

  • @bilalyussuf890
    @bilalyussuf890 5 лет назад

    King of RNB pop in Tanzania

  • @rechalulomi582
    @rechalulomi582 5 лет назад

    Nawehuka mm ni chiz wako, baby ongeza ubuyu tena na sugar guru nizid kumumunya zaidiiii mmmh kwel Kaka ww nouma sana, mashair yako vzr beet ndo kabisa lanimaliza hata km hutaki kutikisa kichwa ujikuta kichwa kinacheza chenyewe
    Hatareee keep it up brother jux

  • @janethjoel9872
    @janethjoel9872 5 лет назад +5

    In love with the chemistry..

  • @beatricemgaya5941
    @beatricemgaya5941 4 года назад +5

    Nani anackiliza huu wimbo 2020 kama mm

  • @mwachidzopoposalimpopo8890
    @mwachidzopoposalimpopo8890 3 года назад +1

    I like this so much nipeni like kama umeipenda

  • @rashidmbelikwe4433
    @rashidmbelikwe4433 5 лет назад

    Shkamoo jux kweli hakuna msanii zaidi yako kichupa konki

  • @irmgardsamia1827
    @irmgardsamia1827 5 лет назад +15

    JUX YOUR ONE OF A KIND, Its time you look for international collabo 🙌🙌

  • @dianamwandi5185
    @dianamwandi5185 4 года назад +21

    I can't get enough of this song aki

    • @allyfatma7359
      @allyfatma7359 2 года назад

      How? You can't.
      This is 🔥.🙌🙌

  • @Matiherbalist
    @Matiherbalist 2 года назад +1

    My favorite artist I love you always jamani 🙈

  • @sirlumbaptista9844
    @sirlumbaptista9844 5 лет назад

    Ngoma Kali Sana Then Kichupa hakija2mia Bajeti Kubwa But Kimesimama Ile Ile Xtymes 2kumbuke Home

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 5 лет назад +27

    Kama unamuelewa African boy gonga like twende sawa

  • @UbbaKCliff
    @UbbaKCliff 5 лет назад +7

    There’s so much beauty in this song.

  • @ishowspeedishowspeed7001
    @ishowspeedishowspeed7001 2 месяца назад

    Mimi kila siku eti hii ngoma naikubali sana

  • @gabrielsixtus1718
    @gabrielsixtus1718 5 лет назад +1

    kazi moja poa sna

  • @bonkemlawa1615
    @bonkemlawa1615 5 лет назад +4

    African boyy!!!!!!!

  • @mutheumwangi5745
    @mutheumwangi5745 3 года назад +4

    Still my favorite song. Valentine choice

  • @lewakhamis3538
    @lewakhamis3538 3 года назад +1

    Huyu dem ni yule yuko kwa CRUSH ya Otile Brown ama vipi.. ebu nisaidieni wadau😂🙈

  • @kinghenry5511
    @kinghenry5511 5 лет назад

    Hizi nyimbo ni kwa generation zote

  • @judynyabuto4467
    @judynyabuto4467 3 года назад +8

    This song gives me goosebumps. So lovely.

  • @jessyjewel5115
    @jessyjewel5115 5 лет назад +9

    wow the song is so lit..love from +254

  • @charity3978
    @charity3978 5 лет назад +1

    The King of RNB Unstoperble

  • @gastocelestine5525
    @gastocelestine5525 5 лет назад

    Daah Bob manecky anamuwezea sana jux..na jux nae anaimba mziki mzuri sana hauchoshi kusikiliza.