we ni wanguuu tuuu baby we belong together, 🎼🎼🎼 mi ni wakoo tu Mimi we belong together 🎶🎶🎶 I belong to youuu...you you we belong together..🎹🎹🎹🎼🎼🎼🎶🎶🎵🎵🎤 and you belong to me you you..we belong together! nice song lovely sister jaydee and spicy u made it!
Hajatokeaga mwanamuziki wa kike wakumfananisha na jide huyu ni fund wa mafund aliyefuzu ufundi wa wakufunzi wa mafundi ilove you my no1 artist in country
wow wimbo mtamu na mtulivuu sana. ...am encouraged to love again. ...ila ninae mpenda hajui kama nampenda naa yeye kanipenda ila kashindwa kujieleza jamani 😢😢😢how will I tell him we belong together
HADIJA PAZIA Namimi sijawahi kuhichoka yaana ni nzuri kupita maelezo kilasiku napashwa kuhisikiliza na kuhiyona ata mara 20 kwa siku moja tu, Spicy na Jide walijuwa kuutendeya aki sauti ziko powa sana
0h mpenzi pole mpenzi Take it take it easy Unanipa vyote boy you know you drive me crazy Sina wasiwasi you're the kind of boy I wanna be with We ni kila kitu sijapata ona kama wewe My addiction baby and me can never let you go Boy you make me happy and blest You're taking me up up up Fikra zaenda kasi When I'm missing you oh my love When we fight I can't sleep at night I can never let you go Wewe ni wangu tu wewe (we belong together) Mimi ni wako tu Mimi (we belong together) You're my baby boo boo boo (we belong together) I don't wanna lose you you you (we belong together) Anytime that I'm feeling horny Baby girl it'll be you I'm calling My baby boo honey you know the waste time You got my medication You got me feeling all excited When you open up the door I'm coming Oh baby boo honey I don't wanna waste time I need you everyday My addiction baby and me can never let you go Girl you make me happy and blest You're taking me up up up Imaginations run wild When I'm missing you oh my love When we fight I can't sleep at night I can never let you go Coz I belong to you (we belong together) And you belong to me (we belong together) Oh my baby boo (we belong together) I don't wanna lose you (we belong together) Oh baby love oh sweety bae I don't wanna lose you My sugar eh my buga eh I don't wanna lose you Baby don't go I will never leave you lonely I will always be there for you You're my exctacy You're my addiction baby And me can never let you go Girl you make me happy and blest You're take me up up up
I love the song... OMG Jide amekuwa bint gafla ase... Love is beautiful wen u loved by a realman... Plz God bless them a child coz nice couple to get some good stuff
I love u jide hakika ww ni komando hongera unasaut tam sana mung akulinde na mabaya na akuepushe na husda za walimwenga nyimbo nzur zana nikiisikiliza nasikia mwenye furaha na aman telee
kazi nzuri yenye burudani saaaafi. hongera Sana malkia wa muziki Tanzania na Africa ila nakusihi ongeza juudi namafanikio utayaona. nakutakia uwajibikaji mwema Mungu akutunze kwenye mikono salama
Tunaosikiliza hiiii ngoma mpka mwaka huuuu 2024 gonga like kizuli hua kinadumu
❤❤
❤❤❤
@@deemar560 ♥️♥️
❤❤❤🎉
❤️ saaaaana
❤it's 2024 and I'll keep watching this song😊😊..Much love
6th April 2024❤❤🎉 I still can't wait to meet the one and dedicate this gem to him🥰🥰
2023 still my favorite song ❤! God bless you Jay dee
Sanaaaa Tamu haichuji
2023 mwezi wa 6
forever 28 jul 2023
This brings fresh memories🤗🤗❤🎊🎉
❤❤❤
Tunaongalia 2025 tujuane hapa 😂
Mungu acha aitwe mungu..amekupa mume mwema huyu atakufuta machozi yako..nawaombea kwa mungu awaongoze shetani apite mbali.m
Tutaotazama 2024 tujuane gonga like 200
Today is February 2024 😊 still love this song 😊
Nyimbo nzuri sana haichoshi kusikiliza we belong together❤❤
2024 niko hapa na bado yatima wa mapenzi naipenda sana ahii nyimbo😂😂😂😅
😅😅
@@abdilkaremshaaban2717 proud of u
Tukoweng mayatima 😂 wimbo huu upo kweny playlist yng
we ni wanguuu tuuu baby we belong together, 🎼🎼🎼 mi ni wakoo tu Mimi we belong together 🎶🎶🎶 I belong to youuu...you you we belong together..🎹🎹🎹🎼🎼🎼🎶🎶🎵🎵🎤 and you belong to me you you..we belong together! nice song lovely sister jaydee and spicy u made it!
noma sana huyu dada
nice 👑👑👑👑👑👑👑
Jide uiiiiiiiiiiiiii unajua Dada angu lv u
geraldina dominick dope kweli
2020 hiii ngoma kama imetokaaa janaa bado kwangu hot song kwa 2020♥♥♥
So hot kama king kiba
2021 bado npo
Hajatokeaga mwanamuziki wa kike wakumfananisha na jide huyu ni fund wa mafund aliyefuzu ufundi wa wakufunzi wa mafundi ilove you my no1 artist in country
00⁰0⁰pv
Kizuri hakichiji jamani naipenda sana hii nyimbo
Ni jumatatu ya nov 25,2024 Houston,TX ngoma tamu sana from Dada mkubwa Jide. Radha murua za kimahaba humu.
NGOMA TAMU SANA KAMA NA WEWE UNA UPENDA HUU WIMBO NIPE LIKE ZAKO HAPA 2024
Only two months remaining tuingie 2024🎉still enjoying this love ❤️ song 🎶
Kama unaikubali hii Ngoma gonga like hapa💪🎶
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Naipenda sana kama naww unanipenda mpaka saiz 2020 gonga like
Mm kila siku lazima nisikilize ♥️
Njo mumewake
Elia Msongole naipenda sana
Naupenda sana huu wimbo
Hii ngoma mpaka mwaka huu 2021 bado naiona ndo Bora kwangu
wow wimbo mtamu na mtulivuu sana. ...am encouraged to love again. ...ila ninae mpenda hajui kama nampenda naa yeye kanipenda ila kashindwa kujieleza jamani 😢😢😢how will I tell him we belong together
Resah barasa 😊 jamani
woyie
Resah barasa be strong and explain your feeling to gim
just go ahead my dear,,,kimbuka,mapenzi kikohozi huja kwa nguvu za tsunami,,,njia nyeupe...
Resah barasa just be open and tell him
shikamoo jide. Mungu akusimamie hivyohivyo, you deserve all the happiness
IRENE SALUMU absolutely!
acheni kumchana gadna jaman acje kujinyonga
IRENE SALUMU is v
IRENE SALUMU haaaaahaa
hahahaha
amakweli mapenzi matamu ukimpata anae kupenda! big love from 254
Jane Adhiambo exactly my dea😘😘😘😘
+shantel shantel yeah! thanks dear
Jane Adhiambo kweli kabisa
Ii Kali saaaana
Naielewa sana
Wanasema ukimuona nothing na wewe kwake hujawa something. Ukiona cha nn watu wanajiuliza watakipata lini. Respect kwako jide
Tunaotazama 2020 2juane jamani! Ngoma haiishi utamu!
woooozer
Niko ndani
Oyooooooo
Elisha Thomas Yaan mi sichoki kuitazama
Pamoja
05 April 2020 still listening this song .. kiukweli dada ulitisha ..na bado nyimbo Ina hit sema Sasa shemela cijui Yuko wap
Hii nyimbo ni nzuri , ila tatizi moja tu hii nyimbo nzuri saaaaaanaa
My favorite song i think there is no any other song naeza nikapenda kuliko hii kwa maisha yangu🥰🥰🥰🥰🥰🥰📌
2021 and still watching can't get enough of this song
nasikilizaga mziki mzuriiii tu...good job.... nice couple ..😘😘😘😘😘😘😙😙😙😘😘😘😘😍😍😍😍😍😍😍
Ny
Mamb
Hii ngoma haina ubishi iko poa chemistry zimeenda sawa,unayebisha kwamba ngoma iko poa ww ni mchawi TOGETHER iko poa
This song is dope...especially for those who are in love...wao ndio wanauelewa hadi kwenye maini...Haters gonna hate...
Alex Makundi eti maini😂😂😂😂😂am dead
Alex Makundi umenena kweli..this song is dope
Duuu Kamando umekomesha! we ni noma! Good Song and Hongera kwa kupata ..........good one more than ........
hatari
Alex Makundi hadi kwenye maini, apo ndio kuna 🔑
😭😭😭😭😭 nimelia kwanza duh mapenz!!!!!!!
😂😂😂unalia nn
@Annie-st5hh nimekumbuka mbali sana pind hiko Kuna Mtu nlitokea kumpenda San half hakujali
Mpaka leo sijapata kuona wimbo mzuri Kama huu 🔥
Ngoma nitamu me sichoki kusikiliza 2024
kila ugumu unaokutana nao jua faraja inafuata mbele yako....hongera! fanya muziki sasa.
idrissa juma apo ni juu2sana
Nyimbo nzr sanaaaaa kama unaikubali dondosha like kama zote
Huu wimbo kila wakati natamani kusikiliza Tu nipo na Mume Wangu tunakula bata Tu Ahsante kwa wimbo mzuli
😘😘😘😘 huwa sichoki kuangalia huu music my commando jide
ngoma kali mpaka basi
The couple is superrr, Yaan huu wimbo nausikiliza kila mara. I like it soo Much, Jide and Spicy best combination. The chemistry is superrr.
my favourite song
more than good jide faraja imekuja on right time enjoy life
Happyness Masere hi
ama kwel mung hamtupi mja wake..jidee my love mung akusaidie ..uzidi kuwa na furaha daima..nice song
watoto wakalale ni muda wa wakubwa zao ....hii so kawaidah...jiedee utatuua mama eemm legeza kidogo
😃😃😃😃😂😂😂😂😂
huhuhuh
Rapture Geniuz
Watoto wengine hawasikii kabisa watataka kuangalia v2 vya W-2 wazim ila Ni HV Weka mbl na watoto kw7bb Ni zaidi ya noma sana
umeonaeer
Kuiskiliza siachi Hawa wa2 wali2lia sn🔥🔥🔥🔥
HADIJA PAZIA Namimi sijawahi kuhichoka yaana ni nzuri kupita maelezo kilasiku napashwa kuhisikiliza na kuhiyona ata mara 20 kwa siku moja tu, Spicy na Jide walijuwa kuutendeya aki sauti ziko powa sana
@@gisellebusime6578 Saaanaaa👌👌👌👌👌
One of the best song of all time but underrated 😭😭
this is love.... nice... may this relationship last forever.... I fell in love with you the moment I saw your pictures... may God bless you always
Emma Mroso it kills me a lot esp when with my love
Kwa kweli nimeupenda huu wimbo mpaka nahic kuchanganyikiwa.💏💏💏💏💏💏 Ila namwomba tyu hyu jamaa asije kumliza dada yetu
Hahahahahaha
Cant stop playing this song its so sweet ,full of romance much love from kenya
Shem wangu upon juu
Hii nyimbo nzuri mpaka imepiliza nampenda sana mke wangu kupitia nyimbo hii nimejifunza mengi
Wimbo bora wa mapenzi kuwahi kutokea duniani hauchoshi kusikiliza
Nikimsikilizishaga mke wangu huwa ananiuliz"where did you get that song"i just laughing and tell her just keep listening good music
0h mpenzi pole mpenzi
Take it take it easy
Unanipa vyote boy you know you drive me crazy
Sina wasiwasi you're the kind of boy I wanna be with
We ni kila kitu sijapata ona kama wewe
My addiction baby and me can never let you go
Boy you make me happy and blest
You're taking me up up up
Fikra zaenda kasi
When I'm missing you oh my love
When we fight I can't sleep at night
I can never let you go
Wewe ni wangu tu wewe (we belong together)
Mimi ni wako tu Mimi (we belong together)
You're my baby boo boo boo (we belong together)
I don't wanna lose you you you (we belong together)
Anytime that I'm feeling horny
Baby girl it'll be you I'm calling
My baby boo honey you know the waste time
You got my medication
You got me feeling all excited
When you open up the door I'm coming
Oh baby boo honey I don't wanna waste time
I need you everyday
My addiction baby and me can never let you go
Girl you make me happy and blest
You're taking me up up up
Imaginations run wild
When I'm missing you oh my love
When we fight I can't sleep at night
I can never let you go
Coz I belong to you (we belong together)
And you belong to me (we belong together)
Oh my baby boo (we belong together)
I don't wanna lose you (we belong together)
Oh baby love oh sweety bae
I don't wanna lose you
My sugar eh my buga eh
I don't wanna lose you
Baby don't go
I will never leave you lonely
I will always be there for you
You're my exctacy
You're my addiction baby
And me can never let you go
Girl you make me happy and blest
You're take me up up up
wow this song is soo amazing wow keep the fire burning your are destined for greatness me love you from your first song I appreciate you gal 254😘😘
Bilha Kuria wa
Tamu sanaaa
Yani wimbo no mzurii sana kwa wapendanao
Aki Jay dee katika huu wimbo ni wewe mzimaaaaa. Much love
2021 and still watching and enjoying the good music
OMG!!!! am So excited and happy for you Jide....
yan u can see kabisaaaa jide she is happy yan hahahahaahah Love u moreeeeeeeee jide the super woman
I like this😍😍 seven years passed but still love indeed
2022 and I'm here, my favorite song of all time ❤️
Same here
I love the song... OMG Jide amekuwa bint gafla ase... Love is beautiful wen u loved by a realman... Plz God bless them a child coz nice couple to get some good stuff
congratulations. .... nimesinzia kwa kweli. .good job gal child
.
Nakukubali sana Dada Judith, kazi yako huwa inapendeza siku zote
Still watching 2022,,,,,,,if we are together,,,,,,,hands up
Gardiner Mbona anaumia tuu hakuna namna, nice song and le shemela ni kisu 😍
acha kabisa jide we kibokoooo......kila kitu kizur in it
nd bcz am single wat will i sing hapo pa u belong to me oooh my.....the songs is🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💡✔
Trizah Shiro 😢😢😢
it true 😢😢😢😢😯😯😯 Resah Barasa😍
Iza girl kila mtu na wakati wake
I love u jide hakika ww ni komando hongera unasaut tam sana mung akulinde na mabaya na akuepushe na husda za walimwenga nyimbo nzur zana nikiisikiliza nasikia mwenye furaha na aman telee
Huuu wimbo kwa siku nausikiliza mara 2000 dada jide shikamoo mar 100 yule baba alikuwa sio taipu yko hapa ndo penyew sas mmeendan ile mbaya😍😍
wewe n wangu tu
my baby boooo
keep it u my komando
Jidespicy
nyimbo nzuri ila tatizo ni moja tu, hii nyimbo ni nzuri sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂;hattarii
iko vizur hata mi naipenda sana
tatizo gan?
Max Zitatu ua so funny😂😂😂
nice boy and girl
Kama umerudia hii nyimbo mara kumi like hapa yaani haichoshi
Ngoma kali sanaaaa
2021 mwe3 tareh 15 ndio naanglia naupenda San hi yimbo
Daaah nime ikumbuka tena hii leo
Miss my homeland Tz, listening from Toronto, Canada happy for this amazing new couples! Go Jdee go!
Ñjoo nikuoe dada
Nipo TANZANIA dodoma nampenda sana jide
viazi vyangu vitamu vikae kado kwa mda. Nataka niusikilize kwa mara nyingine bila usubufu
😂😂😂😂😂
I never get tired of this song.
kazi nzuri yenye burudani saaaafi. hongera Sana malkia wa muziki Tanzania na Africa ila nakusihi ongeza juudi namafanikio utayaona. nakutakia uwajibikaji mwema Mungu akutunze kwenye mikono salama
So mwaaaa 😘😘😘 I can't let you goooo we Ni wanguu tuu na mm Ni wako tuuu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
damn this shit is dope
nzur sana ukiskiliza na mtu wako
asante jide heshima yako tunaona iko palepale juu...beutful song and amazing
Francis martin nyimbo imenichanganya mpaka basi kama kunamtu anasema nyimbo mbaya ubongo uitikisika naajali ya gari
ooh mungu so wa MTU mmoja kwa kweli , nimefurahishwa sana na hii couple
Kwel kabisa
Inanifanya nampenda sana mpenzi wangu Agja maana ni mda mref sasa tunaishi kwa furaha 👍hapa
Nakupendaga sana we kka daaah ndio bac kesha wai kamanda j
I'm not ashamed of listening to this song 2019
Good
*The only song i can sing from start to the end* ❤🇰🇪
From Kenya with Love. Jay Dee still going strong. This is an award winning song. I love the song. Keep it up baby
Napenda sana natoa mawazo mie jaman
Bonge moja la ngoma aiseeh, huchoki kusikiliza, Nyimbo ina hisia, Wewe ni wangu tuuuuuu wewe We belong together.
Feeling like am Already in a relationship...keep up the spiritJaydee!!
You deserve all the happiness in the World Jide!! Blessed be your Marriage. What a Beautiful song?.
Libvghn
I can't get enough of this song, I'm going crazy. The words in it and the instrumental 👌
Same here 🙂
❤❤❤kizuri ni kizuri tuuu 2024
We belong together. ...kali sanaaa. ...penda. ..
this song is driving me crazy . av watched it the whole day. owsome saaana.
I've lost the count on how many times I've listened to this song, this jam is terrific 👌❤️
Haha i see you craming the whole song..
Sing for me please
Same here...still watching it 2021
@@cynthiamutesa8640 you know
Amazinnggg song for sure
Jide hapo uliuaa huyu jamaa yupo wapi mlipendeza sana.
July 2019 who is with me here , yo r de baddest jide sjui kwann mmeachana jaman
Lady jaydee ndo msanii Bora wa kike wa muda wote Nchini na viunga vyake. Huyu ndo fundi wa muziki
Gonga like 2023 tujuane