video safari kuingia sayari mars kuchukua rasilimali na kuanzisha maisha ya binadamu NASA animation

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 127

  • @austereaniceth7577
    @austereaniceth7577 2 года назад +1

    Kwa kweli Jenafa mmenifunza mengi sana kupitia elimu yenu....muendelee hivo, nawafuatilia sana

  • @mahamoudmasoud9196
    @mahamoudmasoud9196 5 лет назад +11

    Ni kweli,'' mungu ndie aliyemfundisha mwanadamu kubaini'' surat rahman

  • @jumaazizi6109
    @jumaazizi6109 5 лет назад +3

    Inaelekea hii sayari iliangamizwa asa ole wao siku waende ndio watajua mungu ni muumba au nimjomba wao

    • @onalis3014
      @onalis3014 5 лет назад

      Kuwa makini na unachokiandika

  • @osicamathayoosicamathayobw372
    @osicamathayoosicamathayobw372 4 года назад

    Yeah tuonyeshe

  • @justinstiga6664
    @justinstiga6664 Год назад

    Daah !!itakuwa ngumu kuishi huko mars

  • @richardnyagali4394
    @richardnyagali4394 5 лет назад +3

    wtafnikiw ishallah tuombe mungu afanyie wepec2

  • @gideonbugenyi9820
    @gideonbugenyi9820 4 года назад

    Wataweza.

  • @umtweve4501
    @umtweve4501 5 лет назад +7

    Hakuna kitu kama hicho yaan we unadanganwya nawe inakuja kutudanganya sisi hakuna MTU anaye weza kutoka nje yadunia naakijalibu safari yake haiwez kutimia Mungu tu anaweza kufika huko na kama na danganya mungu anajua

    • @muswaabaley3717
      @muswaabaley3717 5 лет назад

      Asante kk hh

    • @big.r5550
      @big.r5550 5 лет назад +2

      Wewe ni ngombe ya kawaida.. rudi mashambani ukakamuliwe matiti.

  • @eliasmusa6405
    @eliasmusa6405 4 года назад

    Sina imani kama kunauwezekano wa kuishi sayar nyingine!!!

  • @swalehkiuga167
    @swalehkiuga167 5 лет назад +9

    Jamani mtadanganywa mpaka liniii hawaendagi mahali hawa wanaishia hapahapa duniani fungueni akili zenuuuu hii ni moja ya project beam za uluminati katika harakati ya kueatawala binadam kifikraa

    • @salimomarmkapa
      @salimomarmkapa 5 лет назад +1

      Kiukweli siwezi kubisha kwasababu hauko mbali naukweli. Tunachapaswa kujua kuna mchezo hapa ambao haueleweki. Kuna vitu tumezoea kuviona kama viumbe vya ajabu na kwa jina la Alliens, ila nauliza hawa viumbe wapo kweli? Nakama wapo kwanini hawajawahi kuonekana au kutokea kwenye bala letu la Africa? Kwani je na wao wana ubaguzi wa langi kama wazungu?

    • @swalehkiuga167
      @swalehkiuga167 5 лет назад

      Salim mkapa niuongo viumbe wanavyo dai wanakuja kutoka nje ya duniani hakuna Bali hayo nimajin ambayo yako APA APA duniani ambayo ndio wanayatumia kufanikisha mambo ya kwa mfano mfumo wavifaa vya electronic kama cm,computer ndege namavifaa mengine ya kushangaza kabisa ni hayo majini wanayatumia kwakupitia mfumo waakili ya binadam kwa mfano kunatofauti kubwa sana kati ya doctor ambae ni Freemasonry na doctor wakawaida huyu anae abudu ibilisi uwezo wake unakua wahali yajuuxana

    • @fredricklyenera6566
      @fredricklyenera6566 5 лет назад

      Kuonyesha kuwa uelewa wako ni mdogo angalia hata hiyo iluminanti yenyewe ulivyoiandika....halafu ndio tuamini unachosema....jamaniiii!

    • @fredricklyenera6566
      @fredricklyenera6566 5 лет назад

      @@salimomarmkapa image zao zilichorwa na wanafunzi wazimbabwe ndio walioanza kuwaona kabla hata ya hao wazungu...fatilia historia yao kwa kina utajua....jini lipo kichwani kwa binadamu na wala halina muonekano au sura rasmi....yeyote anaedai kaona jini ukimuuliza likoje atakuambia linakwato kama mbuzi au binadamu mrefu n.k...lakini hakupi sura rasmi!

    • @miltonlugano6384
      @miltonlugano6384 4 года назад

      @@fredricklyenera6566 wewe ndo unauelewa mdogo, kwa sababu uelewa haupimwi kwa jinsi mtu anavoandika,. acha ujinga wewe.

  • @henryreggie211
    @henryreggie211 5 лет назад +5

    kweli kwa hizi comnt baadhi yenu utagundua wabongo n wapumbavu,hii video ni animation inayoelezea kazi ya chombo inavyo fanya kazi na kingne hakuna uongo hapo wala usibishe coz kwetu hatuna kombi/course za hv vitu so n vigumu mtu kuelewa what kinaendelea.

  • @Ceramicmedia
    @Ceramicmedia 5 лет назад +2

    Good try nasa

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 5 лет назад +4

    Aise tunashukuru kwa kazi nzuri bro. Ila mimi lengo la hawa wana science kutaka kutengeneza sayari ambayo haina maji hata oxygen haina, nashangaa kbs. Bora wangetumia hizi nguvu zote kuifanya vizuri hii dunia Mungu aliyotupa. Ila wao nikuiharibu tu na sidhani kama watafanikiwa kwa hili.

    • @Ceramicmedia
      @Ceramicmedia 5 лет назад +1

      Tusubiri tuone

    • @yohanalaiser2667
      @yohanalaiser2667 5 лет назад

      Tayari mbinu za kurudishia uhai sayari ya Mirihi (Mars) zimefikiriwa na zinaweza kuchukua takibran miaka mia zikifanikiwa kuanza.
      Inasemekana michakato inayoharibu hewa hapa duniani ndio inaweza kuwa tiba kwenye sayari ya mirihi kwani kinachoisumbua sayari hiyo ni baridi kali kutokana na kukosekana kwa tabaka la hewa za ukaa.

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 3 года назад

      Vilaza hao achana nao. Kalime shamba hapa duniani ukawalishe familia yako.

  • @magemachupa7510
    @magemachupa7510 4 года назад

    Uwiii shikamoo mzungu

  • @robertshirima6187
    @robertshirima6187 4 года назад +1

    Tanzania endelea iko tutaishi sayari ya mars

  • @borisssop119
    @borisssop119 4 года назад

    Watanzania endeleeni kosoma masomo ya siasa na sayansi kimu ndio yanawatosha hivi vingine hamuwezi elewa vipo mbali Sana kaeni tu kwenye vijiwe vya kahawa ili mbishe vizuri

  • @castrogodfrey508
    @castrogodfrey508 4 года назад

    haitawezekana

  • @racheldavid1988
    @racheldavid1988 4 года назад

    Nafikiri haiwezekani sababu Mungu aliamua viumbe vyote viishi duniani iweje leo hii yatokeee makazi mapya kwenye sayari ya mars kamwe haitatokea hiyo Mungu cy mjinga bhana

  • @mohammedigobeko8456
    @mohammedigobeko8456 4 года назад

    kumbe kuna sayari yanamna hii kwalweri nihatari bwana, ahsanteni kwa kutujurisha mambo muhimu

  • @MrBm369-h1p
    @MrBm369-h1p 5 лет назад +7

    Jamn achen kutudanganya hakuna mtoto. Hum sabab kitarudi vipi na Engenezote zime achan nacho na au ztapachikwa nyingine siungan nago hyo

    • @dianajulius8615
      @dianajulius8615 5 лет назад +4

      Ben Mtweve Pole mtangazaji kakupotosha kimtindo ila sio mbaya spaceship ikiwa inaondoka huwa inabeba mitungi yenye gas ya hydrogen inayoisaidia kujisukuma kwenda anga za mbali na inapofika anga za juu mitungi hiyo huwa inajiachia na kushishwa taratibu kwa kutumia parachute kurudi duniani na sio engine kama ambavyo huyu mtangazaji nanga anavopotosha Raia..... Vile vile wakati wa kurejea duniani kutoka anga za mbali kuna namna mbali mbali ila mara nyingi spaceship hurudi kama ndege kubwa ya kawaida...... Ambapo utuaji wake itategemea inaweza shuka kwa uwanja kawaida au katika kina kdogo cha maji ili kuepuka hali ya moto inayosababiswha nje ya chombo kutokana na msuguano wa hewa

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 3 года назад

    Kama ni wanaume kweli si wangeweka mtambo wa umeme toka juani kuja duniani basi. Wadanganyifu na wategaji wa maisha ya kubahatisha.

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 5 лет назад

    Wazungu tuwaache tu, wanaweza sana

    • @yohanalaiser2667
      @yohanalaiser2667 5 лет назад

      Antoine BAKEVYA na sisi pia tunaweza....tujitahidi kutumia uwezo wetu wa kufikiri vitu visivyodhahiri (imagination) na tujiulize maswali kuhusiana na mambo yanayotokea kiasili kabisa. Kwa mfano, radi ni nini na inatokeaje au ndege anawezaje kupaa na kisha tujijibu kwa kufikiria au kwanini sumaku zinavutana au kusukumana.

  • @francisalego1383
    @francisalego1383 4 года назад

    Ni kwli

  • @julianajangandu1064
    @julianajangandu1064 4 года назад +1

    Sauti ya mwalim kashasha

  • @superhomboyz5720
    @superhomboyz5720 5 лет назад

    Duh mzungu kanishinda

  • @redjangleofficial7144
    @redjangleofficial7144 4 года назад

    Kweli

  • @shehanidege6291
    @shehanidege6291 5 лет назад

    Safii

  • @andasonosward9164
    @andasonosward9164 5 лет назад +4

    Waongo hawa

  • @jaziumusa486
    @jaziumusa486 5 лет назад +6

    Uongo aiwezekani chombo kinamulikwa nakamera mwanzo mpaka mwisho uoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooongo mtupu

  • @omarhababuu6307
    @omarhababuu6307 4 года назад

    Inawezekan

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 4 года назад

    Ndo maana Mungu ameanza na korona maana hata wakati ule walikuaga wanatengeneza mnara kwenda mbinguni alikuja akawaingizia lugha kila mmoja na yakwake

  • @bahatimohamedi4302
    @bahatimohamedi4302 5 лет назад +1

    Apana

  • @tillyahono3723
    @tillyahono3723 4 года назад +4

    i believe in explores out side of our Earth but this video is just an animation, video ya kwel inajulikana

  • @leonardmwilaph5295
    @leonardmwilaph5295 5 лет назад +4

    Hakuna MTU alie. Fika huko

  • @msatymichaeli2245
    @msatymichaeli2245 5 лет назад

    wako vizur

  • @reubenedward6559
    @reubenedward6559 2 года назад

    Nachotaka kujjua ni kwamba wanasayansi wakiwa huko huwawanaoga ama wanasubilia waludi duniani

  • @jumashabani5085
    @jumashabani5085 5 лет назад +2

    baada ya kupoteza mawasiliano na chombo cha kwanza je walishatuma chombo kingine?

    • @matthewsandarya3616
      @matthewsandarya3616 5 лет назад

      God is first of all things

    • @yohanalaiser2667
      @yohanalaiser2667 5 лет назад

      Juma Shabani ndio....hichi ni chombo kipya kinaitwa Curiosity Rover yaani Gari Dadisi

  • @elistirmwirigintorungu49
    @elistirmwirigintorungu49 5 лет назад +2

    Tangu Hizo sayari zoote wamewai tembea kunayo imewai patikana kumewai kuishi wanyama alfu Kama iko nigani

  • @mustayoo
    @mustayoo 4 года назад

    maisha hayawezekani mars sababu hakuna o zone layer.watu watakufa na cancer.ila quran imesema Allah amemfundisha mwanadamu mambo asoyajuwa so ni ruksa kufanya tafiti.tutajuwa uwepo wa Allah

  • @eliudymhapu1750
    @eliudymhapu1750 5 лет назад +2

    Oyaaa viewers wamegoma

  • @mahonalukuna3351
    @mahonalukuna3351 4 года назад

    All possible for life to exist even if there is favorable condition

  • @martinsamson7889
    @martinsamson7889 5 лет назад

    Mwisho waje watusumbue ss

  • @nashonshimba7997
    @nashonshimba7997 4 года назад

    Mbona hakina tenk la mafta

  • @josephmnyamale4423
    @josephmnyamale4423 5 лет назад

    Video zenu zote za kutengeneza

    • @yohanalaiser2667
      @yohanalaiser2667 5 лет назад

      Joseph Mnyamale ni kweli hii ni video ya kutengeneza iliyotolewa na shirika la NASA kuelezea walivyofikisha gari hilo huko Mirihi (Mars)....video pekee mubashara ni hiyo ambapo roketi inaondoka duniani.

    • @pascalmgina
      @pascalmgina Год назад

      Tengeneza yako

  • @kussagakussaga6445
    @kussagakussaga6445 5 лет назад +1

    Hawatafanikiwa3 kwa. Kutaka wait mpaka allwa atake

  • @MrBm369-h1p
    @MrBm369-h1p 4 года назад +1

    Wakati wa kupanda kinalipuliwa je wakati wa kushuka wanalipua kitu gani ilikirudi dunian

  • @Mokiwa
    @Mokiwa 4 года назад

    Animation... Uongo wenue uhondo.

  • @ibrahimkadudu9104
    @ibrahimkadudu9104 5 лет назад +1

    Hiko chombo kimeshukaje huko mars wakti haluna gravity ?? Acha usanii kijana

  • @borisssop119
    @borisssop119 4 года назад

    Uliwahi kuwaza siku moja utawasiliana na simu kwa njia ya video call mtu yupo nje ya nchi mnaongea mbaonana mnatumiana pia na picha?

  • @suzanlucian1448
    @suzanlucian1448 4 года назад

    Na Mirihi je?

  • @josephatjoseph1594
    @josephatjoseph1594 5 лет назад +3

    unajua mm sijaelewa iyo keria ina kaa pemben ina subiri rova hiyo keria ina kuwa ina tumia nn mpaka rova ima lize kupima kila kitu na je apo inapo kaa keria mboba auonyesh kuna uwanja wa keria inapo kaa mm ubaniacha njia kona sielewi kitu apo naona mov tu ta van dame

  • @rajabumtambuzi2284
    @rajabumtambuzi2284 5 лет назад

    Saw

  • @dasilvajunior3016
    @dasilvajunior3016 5 лет назад +2

    eti baada ya kukanyaga mwamba ikashtuka na kuanza kupima 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @violetvayo8358
    @violetvayo8358 5 лет назад

    following

  • @jamesmfuse3948
    @jamesmfuse3948 4 года назад

    Yata wezekanana

  • @devidimakoye2498
    @devidimakoye2498 4 года назад

    Inategemea kwauwezo wawanasayansi wanaweza kukaa watu

  • @samwelsompo2520
    @samwelsompo2520 4 года назад

    Uko ata vindege wapo nimewaskia

  • @salimulukwembe7103
    @salimulukwembe7103 5 лет назад

    Developed

  • @petergama8006
    @petergama8006 5 лет назад +2

    Camera man pia ulienda?

  • @fatmanasornasor9047
    @fatmanasornasor9047 5 лет назад

    Sasa inamaana ile ardhi inaeleya hewani?

  • @mainangatia1063
    @mainangatia1063 5 лет назад +1

    Those are computer generated images, hakuna helicopters huifuata

  • @khalfanomar7665
    @khalfanomar7665 5 лет назад

    🔪 chombo KInaweza kufika maisha hawezekani ALLAH angelitubainoshia kwenye vital vyake vitukufu binaadamu hawezi kufanya maisha sehemu nyengine yoyote zaidi ua hapa duniani pekee

  • @jxcvbx4819
    @jxcvbx4819 5 лет назад

    Maxi take mini

  • @jumaazizi6109
    @jumaazizi6109 5 лет назад +1

    Waliwezaje au ninani aliwaambia kuwa iyo sayari inaitwa mars mbona panaonekana hamna vibao kujulisha ni mars hapo

  • @twahbkhamis1340
    @twahbkhamis1340 4 года назад

    Alie recot hayo matukio yote alikua WAP yeye na umesema unajoto Kali la mionz ya jua???!

  • @theclabatromeo8108
    @theclabatromeo8108 4 года назад

    Ambao mna amini ni uongo kama mm mkono juu
    J

  • @albertnyanje9338
    @albertnyanje9338 4 года назад

    wenze2 wanateknolojia ya juu cio kama sisi afrika,mbona baadhi ya vi2 kama cm,ndege,rocket n.k 2naviona vinafanya kazi lkn sisi mpaka leo ha2jui m2 mweupe ali2mia akili gani mpaka kaweza kufanya vyote hivyo,leo hii 2nakataa kuwa wanasayansi wanauwezo wa kufika sehemu nyingi tofautitofauti kwa7bu ha2jawashuhudia ila 2lilivyovishuhudia ndo 2naviamin...

  • @johnchale939
    @johnchale939 5 лет назад +2

    HINDIA WAMEFANIKIWA KUPELEKA CHOMBO KTK MWEZI, CHINA WAMEFANYA, MAREKAN, WARUS SANA TU, SASA NYINYI ENDELEENI ETI UONGO, NA WAHIND NA WACHINA WAWAONGOPEE? DUNIA ZIPO NYINGI MNO NA KAZI TULIYONAYO NI KUZITAFUTA ILI TUISHI DUNIA ZAIDI YA MOJA, LAKINI TUKIKUMBANA NA WENZETU WASIOJULIKANA KAZI TUNAYO

    • @yohanalaiser2667
      @yohanalaiser2667 5 лет назад

      Umenifurahisha sana John Chale 😂😂😂 mimi nina imani kuwa Mungu alituumba peke yetu hivyo sina hofu lakini sipuuzii uwezekano wa kuwepo kwa viumbe vya angani.
      Ila ukweli ndo huo hivi vitu ni dhahiri na wahindi ambao walikua masikini tu kama sisi sasa wana chombo mwezini.

    • @mussamsafiri2814
      @mussamsafiri2814 5 лет назад

      Hivi unopo kataa hiro ukiwa mtu unahakiri hata mambo ya hapa duniani Leo wewe ugeweza hata kutuma pesa kwa njia ya umeme au mnafikiri wezenu wanafikiria viazi na uji!!!

    • @edwardnzumbi7252
      @edwardnzumbi7252 4 года назад

      Ananias na Mimi nina simulizi yangu aisee

  • @augustinoadrianimushi169
    @augustinoadrianimushi169 5 лет назад

    Aiwezekani kwani upeo wa binadamu una ukomo MUNGU afananishwi na chochote

  • @michaelobed3022
    @michaelobed3022 4 года назад

    Ni uongo mtupu kumbuka Safari ya kuondoka duniani ina kishindo kikubwa mitambo inayotumika kufyatua Rocket c mchezo sasa kwenye Mars mitambo inafanyaje watanzania wanaopenda kusifia hata ukiwauliza hawajui

  • @lordmasali3410
    @lordmasali3410 5 лет назад +3

    Oyaaah sasa kama wanafanya process ya kutafuta maji, sasa kivip watazuia cosmic radiations from the sun???

    • @yohanalaiser2667
      @yohanalaiser2667 5 лет назад

      Maji yapo katika makundi makubwa ya barafu kutokana na baridi kali iliyopo huko Mirihi (Mars)
      Pia swala la mionzi kutoka Jua ni tatizo kubwa kutokana na kwamba Mirihi haina kani ya usumaku kama ilivyodunia. Wazungu wamefikiria wanaweza kuacha chombo angani karibu na Mirihi ambacho kinaweza kutawanya mionzi hiyo isifike ardhini.
      Pamoja na hayo, yote haya bado ni nadharia tu na tunatarajia mambo yote yakienda sawa, binadamu wa kwanza atatua Mirihi kabla ya mwaka 2030.

  • @youngthug604
    @youngthug604 5 лет назад +2

    Ww unasema waongo uongo wao uko wapi hawa awashindwi ki2 jiulize ndege inapaa VIP angan na je haliegundua ndege MTU wa tabaka gan sim m2 mweus usibishan na m2 mwenye akili ww ww unaosem waongo ata ndala umeshindwa kubuni

    • @elickkinanila2704
      @elickkinanila2704 5 лет назад

      Young Thug nikweri hata Mimi nimeona vimegawanyika

    • @elickkinanila2704
      @elickkinanila2704 5 лет назад

      poleni wanasayans kwa ufatiliaji mkubwa mliotumia

    • @yusuphnzawila3279
      @yusuphnzawila3279 4 года назад

      Kweli kabisa sisi tumejaliwa kubisha NA kutomba basi NDIO maana tunamkululo wa wtoto

    • @abdunewton6376
      @abdunewton6376 3 года назад

      Y

  • @ambroseshirima469
    @ambroseshirima469 5 лет назад +2

    Uuuuuwi!
    How about camera man

  • @mweucorg6910
    @mweucorg6910 4 года назад +1

    Halafu injini zote zikiachwa wanarudije?

  • @jumaazizi6109
    @jumaazizi6109 5 лет назад

    Ivi unasema ni miezi nane mbona kinaanda kasi sana inakuaje kisafiri kwa mda mrefu ivo na kinaaenda kilomita nyingi kwa saa siitakiwa kifike kwa siku tu za kuhesabu

    • @yohanalaiser2667
      @yohanalaiser2667 5 лет назад

      Safari ya kwenda Mirihi huchukua takriban miezi sita hadi nane. Na hii huwezekana kila baada ya miaka miwili ambapo Dunia na Mirihi (Mars) huelekeana ipasavyo kuweza kufika kwa muda mfupi zaidi.
      Hivyo, dirisha hilo dogo likipita, safari haitowezekana tena hadi miaka mingine miwili ipite.
      Pia, chombo hichi hakiendi moja kwa moja Mirihi bali inabidi kitangulie mbele zaidi ili kuitanga hivyo huchukua muda zaidi kufanya hivyo. Hii ni kutokana na kwamba sayari zipo katika Mwendo kulizunguka Jua hivyo ukiinyookea sayari hautaikuta bali inabidi uitange kwa mbele kama ambavyo unalikimbia gari ukitaka kupanda likiwa mwendoni.

  • @johnshayo7926
    @johnshayo7926 5 лет назад

    mtangazaji acha kutudanganya hiyo rover wala chombo kikifika huko hakirudi duniani, kiteknolojia bado, na hizo video za mars ni robotic bado,

    • @johnshayo7926
      @johnshayo7926 5 лет назад

      chombo kikifika mars kinafanya utafiti kinarudisha taarifa mbalimbali duniani pamoja na image

    • @johnshayo7926
      @johnshayo7926 5 лет назад

      hakuna sample inayorudi duniani ikishachakata na kupima inarudisha taarifa tu

    • @williamdamian8317
      @williamdamian8317 5 лет назад

      Inawezekana

    • @yohanalaiser2667
      @yohanalaiser2667 5 лет назад

      Ni kweli bado hakuna teknolojia ya kurudisha hivyo vyombo duniani. Kile kinatuma mawimbi ya redio tu ambayo huchukua takriban dakika saba kutoka kule kutufikia duniani.

  • @patrickkioko1425
    @patrickkioko1425 4 года назад

    E

  • @sungjosephmaestro4264
    @sungjosephmaestro4264 4 года назад

    0

  • @kibatichauruguai2864
    @kibatichauruguai2864 4 года назад

    HUO NI MCHORO TU NA SIO VIDEO KAKA: ANIMATION NI MCHORO TU

  • @kussagakussaga6445
    @kussagakussaga6445 5 лет назад +1

    Hawatafanikiwa3 kwa. Kutaka wait mpaka allwa atake