HISTORIA YA SCANIA, KUTOKA KUTENGENEZA BAISKELI MPAKA MASHINE ZA BARABARANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 июн 2024
  • КиноКино

Комментарии • 53

  • @housemanagmentfinishing1151
    @housemanagmentfinishing1151 14 дней назад +3

    Asante sana kuendelea kutujuza kwani tunajifunza mengi sana

  • @samtwomakota8821
    @samtwomakota8821 13 дней назад +3

    Unajitahidi sana mwanangu, tuletee vitu vipya Kila wakati

  • @omaryally6959
    @omaryally6959 14 дней назад +8

    Nna mood na kuendesha haya magar lkn sipat nafas

  • @Pacificano2000
    @Pacificano2000 14 дней назад +1

    Aksanti,nime jiunga 🤝🇨🇩🇨🇩

  • @MonicaYohana-li6sw
    @MonicaYohana-li6sw 14 дней назад +4

    Naomba tujue kuhusu tractor ❤❤❤❤❤❤❤

  • @allyisaya9106
    @allyisaya9106 14 дней назад +3

    wa kwanzaaa like hapa 😊

  • @user-fy6pm1oi3h
    @user-fy6pm1oi3h 11 дней назад +1

    Hakuna gari powerfully kama mack hii gari inatumika kubeba mizigo mizito sana na njia mbaya

  • @HabasuFamily
    @HabasuFamily 11 дней назад +4

    Amini usiamini katika kiwanda cha scania kuna wa zanzibari watatu ambao ni watu muhimu sana,ni dizaina wa show za scania,injini na mfumo wa umeme, lkn serikali ya Tz haijui km kuna raia wake pale km ingekua inalielewa hili bc kuna asilimia yao kifedha na kupewa magari kila mwaka,watu hao wapo na watu waliongea nao,

    • @Kedmonchituzi
      @Kedmonchituzi 11 дней назад

      Muongo

    • @ErickMwendwa-md2cz
      @ErickMwendwa-md2cz 11 дней назад

      Na wahaya 4 ni mainjinia na masai 2 wanalinda geti msukuma mmoja amestafu mwaka jana anakula penshen bukundi meatu shinyanga

  • @TumainiManyika-vb5xd
    @TumainiManyika-vb5xd 7 дней назад

    Napenda sana mpaka kulichora

  • @user-xc9gg8jx7e
    @user-xc9gg8jx7e 11 дней назад +2

    Scania ni baba wangine ni watoto ndowana fata

  • @SijaOlomi-cm4cw
    @SijaOlomi-cm4cw 13 дней назад +2

    Just napenda scania 113 truck G7 Marccopolo Bus

  • @mountmeruautospares2251
    @mountmeruautospares2251 8 дней назад

    Gazi za ukweli na zinazomfaa mwafrica

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 14 дней назад +9

    Mmoja ya magari makubwa ninazozipenda sana kuliko magari zote duniani ni hii SCANIA. ni nzuri afu ina nguvu sana.

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 14 дней назад +2

      acha uongo gari zenye nguvu NI Faw au zuchu zakichina ila sio imala ukitaka uniamini uliza madeleva maloli wanao cheza nazo

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 14 дней назад

      Acha kufananisha scania na faw scania gali ya maana na hata ukiendesha haikuchoshi kama faw​@@user-nb6yh2bn9y

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 14 дней назад

      @@user-nb6yh2bn9y kweli

    • @domymerinyo8165
      @domymerinyo8165 13 дней назад +2

      Ukitaka kujua mchina ina nguvu ipakie ton 65 uone ni gari au ujinga 113 ilipokuwa mpya tulikuwa tunapakia ton 65 na kukaa miaka 10 bila kugusa engine

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 12 дней назад

      ​@@user-nb6yh2bn9yww ndiyo muongo alafu DEREVA hajui gari anajua kurndesha tuulize ss tunao zitengeneza faw mpya 0 km mwisho kwanguvu miaka 5 hapo ndiyo ndiyo balaa linaanza inaleta milioni 2 inakula m1,7 unabaki na laki3 scania yenye miaka 10 bado ni Moto na asikudanganye MTU hakuna kampuni ikayo kuja kuikuta scania

  • @DubuNobad
    @DubuNobad 13 дней назад +1

    Naomba tutengenezew faw

  • @HabasuFamily
    @HabasuFamily 11 дней назад +1

    Wapo sweden na wanaongea kiswahili km kawaida na wamesomea huku huku Tz,km mna watu wa kufuatilia fuatilieni mtayaamini maneno yangu,wapo na ni watu muhimu kwao

  • @JosephMlunya
    @JosephMlunya 14 дней назад +3

    Volvo vipi mkuu

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 6 дней назад +1

    Scania inabaki gari pekee washindani wake ni Benz na Volvo.inafuatia Iveco.Daf na Renault sitaki kuwazungumzia.Mengine ya kichina tuachane nayo kwani yakiwa mapya utafurahi lakini barabarani yatadumu muda mdg sana.Bahati nzuri viwanda vya kusaga vyuma chakavu tunavyo.mmenielewa

    • @contuextra4760
      @contuextra4760 3 дня назад +1

      Howo za kiwandani pale dangote mtwra tumeanza nazo elfu 2013 mpk leo zina miaka karibu 11 bado zinadunda kutunza gari ni jukumu lako kuna watu kibao washaua scania hizo kwa miaka michache tu

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 14 дней назад +3

    Kuna mashine ya kimarekani yakuitwa Mack hiyo track ni 🔥🔥🔥

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 10 дней назад +1

    Africa asilimia 97

  • @AlbertRemmy
    @AlbertRemmy 14 дней назад +1

    Asante sana tunaomba na historia ya iveco

    • @thadeusmarkiminja2282
      @thadeusmarkiminja2282 3 дня назад +1

      Iveco pia gari nzuri kama we ni mtu wa magari Fiat pia ni gari bora hasa kubwa.neno Iveco maamaana yake ni INDUSTIAL VEHICLE COMERCIAL.

  • @WE_ZOMBIEE.
    @WE_ZOMBIEE. 10 дней назад +1

    😂😂😂 mwamba unatufoc sasa tukufollow

  • @RajabuRamadhani-go5py
    @RajabuRamadhani-go5py 9 дней назад

    Mm BB yangu ni dereva wa gar la SCANIA

  • @MustaphaAbdallah-op5ge
    @MustaphaAbdallah-op5ge 13 дней назад +1

    Naomba history ya hino

  • @paulkambaulaya4591
    @paulkambaulaya4591 6 дней назад

    Yan ukiw na chuma hii uhakika wa safari popote

  • @rashidismail6593
    @rashidismail6593 10 дней назад

    Scania friend to the end 🎉

  • @joshuaatwenda3158
    @joshuaatwenda3158 12 дней назад +1

    Leta ya VOLVO

  • @millermlowe8156
    @millermlowe8156 7 дней назад

    Mimi kwenye maisha yanguvhaiwezi pita dakika 10 sjaiona scania

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 10 дней назад +1

    Bamdog anayo 50

  • @kuntakinte7339
    @kuntakinte7339 11 дней назад +1

    Wangetengeneza magari madogo nami ningepata😂😂😂

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 6 дней назад

    Scania ipewe heshima yake.ikifuatiwa na M Benz Volvo Iveco. Pia

  • @FredSimiyu-uo7ck
    @FredSimiyu-uo7ck 13 дней назад +1

    tujue pia pikipiki ya boxer

  • @user-yl2br2ts3i
    @user-yl2br2ts3i 12 дней назад +1

    hapo msweden amecheza km Ronaldinho 😂😂.

  • @kelvinimasagasi7398
    @kelvinimasagasi7398 10 дней назад

    God Trak

  • @Kedmonchituzi
    @Kedmonchituzi 11 дней назад +1

    We hakuna msimukiajia hapo unalap t unafupiaha story huelewwk inshot t mwamba n jamal apiril usipomuelewa we chizi oy bro shd badilika nenda na mda kam scania anavoenda na wakat

  • @kelvinimasagasi7398
    @kelvinimasagasi7398 10 дней назад

    God Trak SwiDen 1

  • @edibilychaula.3753
    @edibilychaula.3753 14 дней назад +1

    Video tamu ila fupi

  • @ronaldkilawokilawo
    @ronaldkilawokilawo 10 дней назад

    Tunashukuru kwa Makala ila ulitakiwa uanze na Kirefu cha neno SCANIA( Sweedish Crap Always Needs Immediate Attention)